Тёмный

KIJANA MZALENDO AWALIPUA WASIRA NA MONGELA "WAMEMSALITI NYERERE/ WAMESHINDWA KUTENGENEZA VIJANA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Sema sanaaaa Kijana Mzalendo ni kweli usemayo Familia ya Mwalimu Nyerere haiko vizuri njaa tupu hawajaliwi hata tunaona nyumba zake haziko vizuri hazitengenezwe zimechakaa tunaziona kwenye mtandao
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 дня назад
RIP MWALIMU😢 WE WILL NEVER GET ANOTHER YOU😢
@selemsigala4771
@selemsigala4771 19 часов назад
Unahaki ya kuitwa kijana Mzalendo umesema kweli kabisa nakuunga mkono kwa asilimia zote Mungu akulinde na kukupigania Mzalendo natamani kama viongozi wangeyafanyia kazi ayo maneno.
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 2 дня назад
Safi sana Kijana , mzalendo. Mimi nimekuelewa sana
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 дня назад
Maombi na kuomba Toba kwa ajili Tz Ili nchi ipone tulipomkosea mungu tunafanya yasiyompendeza kila mtu kwa imani yake kuhusu Nyerere hata ukiamshwa usingizini anakumbukwa kuunganisha makabila ndo Amani hiii Nyerere hoyeeee
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 2 дня назад
Naungana nae Nyerere ni kiongozi mkuu sana si tuu tanzania bali kwa dunia ila Tanzania hatumpi heshima yake ipasavyo amefanya kazi kubwa sana Nyerere
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 3 дня назад
Mwalimu Nyerere amepigania dunia(South-South Commission),Africa(mwanzilishi wa Umoja wa Africa),Tanzania(Tanganyika na Zanzibar) na Tanganyika.Sera za ujamaa na kujitegemea.Azimio la Arusha na vijiji vya ujamaa.
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 3 дня назад
Kwa Tanganyika hakuwa nyerere peke ake alikuta wazee wameanza harakati toka 1929 washaanzisha TAA
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 дня назад
Safi sana kijana mzalendo
@sulaimanabdullah-qp8vs
@sulaimanabdullah-qp8vs День назад
Upo.sawa.kabisa.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 дня назад
Kama naanza kukuelewa vile! Kwamba siku hiyo ya tarehe 14 ilitakiwa kuwa maalum kwa kuonyesha vitu/kazi, sanaa nk alivyovifanya na hata kuvisimamia Mwl Nyerere kote nchini na siyo suala la kupokea Mwenge ambao kwa hali halisi zoezi lilitekwa. Mavazi na kila kitu kilitakiwa viwe na sura ya Nyerere na siyo Samia!! Nafananisha siku ya Pasaka ambapo dunia nzima hukumbuka ushujaa wa Kristo Yesu, namna alivyoteswa, kudhalilika, kutemewa mate, kuuawa, kufa kuzikwa na hatimaye kufufuka siku ya tatu!! Hakuna katika siku hiyo ambayo mambo ya kawaida ya kidini makanisani kote duniani huonyeshwa tofauti na kumbukizi hiyo!! Tujifunze tulipokosea
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Kijana Mzalendo unasema vizuri sana wakosoe kila kitu ndani ya Ccm baadhi yao ni wamekuwa machawa tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Yena maisha magumu sanaaaa sasa hivi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 6 часов назад
Tanganyika tunaonewa sana hela zote zinaenda kujenga zanzibari
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 дня назад
Mwandishi unapelea.. KATIBA ya Nchi ni zaidi ya mapenzi ya Vyama na familia. Makongoro kujiunga NCCR ni takwa la Kikatiba na uhuru pia.
@IzackNguhuni-ez2hd
@IzackNguhuni-ez2hd 3 дня назад
Nisahihi kijana mzarendo
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 2 дня назад
Isisahaulike kuwa GM,akiwa mzungumzishaji wa bunge la afrika,wkt anastaafu,alikchukuwa na samani za taasisi Hadi kidiplomasia akatakiwa kizirejesha! Uadilifu wake ☆
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 2 дня назад
Kwanza hakuna kiongozi yeyote na hata wanachama wa CCM wanao muenzi Mwalimu Nyerere, wanacho Fanya NI unafiki tupu. Nyerere alikuwa mwadilifu, mtii, mpendwa HAKI, mcha Mungu. Hawa tulip nao NI MAJIZI,Wazalendo feki Mabepari uchwara. Wauzia NCHI na Manyang'au.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Na mtu yoyote ndani ya ccm akiwa amenyooka kwenye ukweli hawapendwi
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 дня назад
AMBAO NI MANDINDINDI 😂😂😂NACHEKA KAMA MAZURI VILEE
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 дня назад
UONGOZI NI KITU HADIMU INATAKA MAOMBI MAKUBWA SANA
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi 3 дня назад
Tunaitaji vijana jasili na jeuli kwenye Ili Taifa kama awa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 6 часов назад
Hakuna wakututetea hela zote zinaenda kujenga zanzibari
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 3 дня назад
Ni nabii aseyekubarika kwao
@boniphacemaseromwtta7048
@boniphacemaseromwtta7048 3 дня назад
Kama vile nakuelewa kjana
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 дня назад
Bola umewapa ukweli wao ,
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Ni kweli kabisa usemayo kama Kabudi ni mzuri sana tokea tuko naye kwenye gazeti la Uhuru wakiwa Vija wadogo na wenzao Salvatory Rweyemamu Saidi Nguba Bardiwin Mziray Sengondo Mvungi Kwey Ruseme Agrey Mlimuka na wengineo ambao nimewasahau kwa ajili ya umri wangu
@karamarwamugema3700
@karamarwamugema3700 День назад
Asante sana kwa Kisukuma fasha 😂😂😂
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 часов назад
Samia nishetani tuu hata mumsifie
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 2 дня назад
Wasira saivi njaa sana, alizoea kulala bungeni sasa huku nje kitanda ni cha moto.
@masangagondera4687
@masangagondera4687 2 дня назад
Ni ukweli ulio wazi, akina mama lishe na mahali pengine wanadanganywa na kamtungi ka kilo 25 eti tumewaondoa kwenye matumizi ya mkaa kuondokana na magonjwa. Mmmmmh, mtungi wa kilo 25 baada ya kuisha ?
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 часов назад
Tanzania ni nchi inayoongozwa na viongozi wenye tamaa ya madaraka nawajinga nawapumbavu
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 3 дня назад
Kuna akina Ally sykes,abdul sykes,dosa azizi,john lupia nk ndio wapigania uhuru hao history imefichwa
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 3 дня назад
Jamii inayomuenzi Mwalimu ni Botswana peke yake kwa sasa.
@ray9738
@ray9738 3 дня назад
Ningetamani kujua wanamuenzi vipi.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 дня назад
@@ray9738 Mambo yanayofanyika Botswana ya kumuenzi Mwalimu.1.Matumizi mazuri ya mapato ya kodi kwa kuwalipa watumishi wa umma mishahara ya kadri,bila kuwabagua wabunge na watumishi wa serkali.Hapa kwetu kabla Mwalimu hajang'atuka mishahara ya wabunge na gratuity zao zilikuwa za kadri tu.Sasa,gratuity ni karibia ya Tshs.300millioni kwa miaka 5.Magari ya serkali ni machache sana.Kila mtumishi wa umma hata mawaziri wanaenda kazini na magari yao,kama unavyoona India na Uingereza. Hapa magari ya watumishi wa umma yana bajeti ya serkali kubwa.2.Masomo yanalipiwa yote bila mikopo.3.Vijana ajira ni hivi ukitoka shule unapangiwa mahali pa kufanya kazi.Kama ni kilimo lipo trekita na huduma zote za serkali bila malipo mpaka uvune.Haya ndiyo tulikuwa nayo wakati wa Mwalimu.Yapo,mengine.Tuwasiliane kama unayahitaji au pendant ubalozi wa Botswana Nairobi Kenya utayaelezewa.Mimi nilikuwa SADC Gaborone na hizi zilikuwa nchi zangu za ufuatiliaji wa sera zao maendeleo hasa za usimamizi wa mztumizi ya raslimali za maji.
@usafiaps318
@usafiaps318 3 дня назад
Mjadala Mtamu Sana.Lakini Je Unajua CCM Ni Chukua Chako Mapema.Ndo Viongozi Wetu Tulionao Siku Hizo .Chama Kimetekwa Kama Unavyosema.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 часов назад
Tunaviongozi wapumbavu sana tanganyika
@CharlesKayungi
@CharlesKayungi 2 дня назад
Lakinii Nyerere alienda vikaoni na maamuzi, haswa pale yalipolengwa maazimio. Maazimio karibu yote yalikuwa fikira za Mwalimu. Sijui alifikiri yeye tu ndiye ajuaye. Alikuwa mkiritimba.
@mwanache
@mwanache День назад
Kwa sababu kabla ya vikao alikuwa anakutana na wazee na vijana wenzie aliowaamini na kushauriana kuhusu mambo muhimu ya nchi… wakishakubaliana ndipo Nyerere akiwa kiongozi alikuwa anatoa maamuzi yaliyokubaliwa na washauri wenzie mbele ya UMMA.
@alphoncebaluwa580
@alphoncebaluwa580 2 дня назад
E
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 2 дня назад
Unaongea vitu vikubwa lakin viewz wachache jmn tz tumelogwa na nan daaaah Rlp maguful.
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 2 дня назад
Pumba tupu,
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
Huyo muongo.chuma ingebebewa wapi miundo mbinu kwanza .ndio ufunguo wa uchumi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Mjinga wewe Pantaleo nenda shule hujui kitu ndiyo nyie machawa
Далее