Тёмный

KIJANA MZALENDO KWA UCHUNGU "KUONEWA MPINA NI TUMEONEWA KANDA YA ZIWA/WOTE TUMEFUKUZWA HATUKUBALI" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

KIJANA MZALENDO KWA UCHUNGU "KUONEWA MPINA NI TUMEONEWA KANDA YA ZIWA/WOTE TUMEFUKUZWA HATUKUBALI"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@NicolasiLuhende
@NicolasiLuhende 3 месяца назад
Hongera sana jina tuna taka vijana kama wewe siyo wafata bendera kama msukuma
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 месяца назад
Hongera sana kaka, kweli tumeonewa sana,
@SamwelEdward-on7if
@SamwelEdward-on7if 3 месяца назад
Watanzania Tumuombee mbunge luhaga mpina Mungu amsimamie na kumlinda , pia huyu mwanaharakati nae tumkbidhi mkononi mwa Mungu !
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 месяца назад
👍👍👍👍✔️✔️✔️💯Una HAKI kutetea mwana mapinduzi WETU Luhaga Mpina. Ila mpeni salamu kasheku kuwa aaache chuki binafsi, ametoa maneno ya shombo, hafai KABISA.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 3 месяца назад
Kwa kweli mbunge Msukuma ovyo,yaani badala kuwa pamoja na mtu wa kwao,badala yake yeye ndio anakuwa sinichi namba 1 kwa Mpina,Mimi wa singeweza kufanya kitu kama hicho,nikishindwa kumtetea wa kwetu,nakaa tu kimya ,
@PoulFred
@PoulFred 3 месяца назад
@RhodaKibona
@RhodaKibona 3 месяца назад
Eeeeeee Mungu!!!! Tupiganie watoto wako!!tusifike pabaya kwa kukukosea ...
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 месяца назад
Madai ya Escrow kipindi cha Lowasa waliischia kamati kuchunguza ni vipi hili limekaliwa kimya, halijafanyiwa uhalali badala yake wameamua kumpa adhabu Mh.Mpina. Ni sawa, lkn mnatengeneza kitu kibaya sana kama bunge, na litabaki kwenye kumbukumbu. The time will tell. Tumeona kinachoendelea Kenya.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Spika ni mbunge wa kuteuliwa, akachaguliwa kwa wingi wa kura za wabunge wa ccm, hatimaye akarudi kuendelea na uspika kwa ticket ya kuchaguliwa baada ya Ndugai kuhujumiwa. Bashe kadhalika ni mbunge wa Nzega aliyeteuliwa kuwa Waziri. Bashe kavunja sheria na kulidanganya bunge lakini hatujaona hatua yoyote ya spika wala ya serikali,kamati imetoa taarifa ya mahojiano na Mpina pekee Spika akapendekeza adhabu, wote wakaunga mkono kwa kashfa nyingi ambazo ni sawa na kuwakashifu hata wananchi, Bashe akasafishwa. Hapa kuna jambo la serikali na bunge kulea uovu na uongo, kwa kuukemea ukweli na uzalendo.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 месяца назад
Tanzania inaongozwa na wahuni. Kipeana sifa za uwongo huku watu wanaumia
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Kwa kweli Mpina kaonewa sanaaaa kuna siri sirini mtu akisemq ukweli hapendwi
@HaulSidney
@HaulSidney 3 месяца назад
Mpina ndiyo mbunge mazarendo,anatetea wananchi
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 3 месяца назад
Damu ya Yesu itakubeba mpina machoz na damu ya etnzania ccm mwisho wenu umefika Mungu anashuka atawaangamiza km sodoma.
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 3 месяца назад
Brother, una "Hoja za nguvu", pia unateleza kutaja Kanda ya Ziwa na Suala(issue) unayojadili.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 месяца назад
Huyo KWANZA NI MSOMARI SIO MZARENDO KTK NCHI YETU,
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 3 месяца назад
Mpina usijali Mungu atakutetea hao wanaokutaabisha ,sijawah kuna mwenye haki ameachwa jitie nguvu wtnznia tuko nyuma yako
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 месяца назад
Kifupi tu kanda ya ziwa tumeonewa, sasa wasubiri 2025 kanda ya ziwa itaamua na watanzania kwa ujumla.
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 3 месяца назад
Tupazie sauti mzalendo wetu
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 3 месяца назад
Wape ukweli wao
@CavinMwasote
@CavinMwasote 2 месяца назад
Kumsimamisha Mina ni kuwasimamisha wananchi wa kisesa.
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 3 месяца назад
Kwani mbunge anapofungiwa anayekomolewa ni Nani?Au faida anaipata nani?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Kuna dalili za rushwa humo ndiyo maana Mpina anapigwa Vita sanaaaa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 месяца назад
Mpina ata fanyiwa figisu 2025 wamuondoe ubunge😢
@ysmasalu
@ysmasalu 3 месяца назад
Time will tell and decide
@LeonardmatiasWiliamu
@LeonardmatiasWiliamu 3 месяца назад
Pina.ameonewa.kwa.kweri.na.wamemzaririsha.kwa.kuhararisha.mawaziri.waederee.kuiba.pesa.za.waripa.kondi.wanyonge.nawanamkwamisha.kupata.kura.zaurais.wateure..wake
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 3 месяца назад
Jambo alilofanyiwa Mpina ni kitisho kwamba kura zetu haziwezi kuhoji madudu yaliyofichwa yanayofanywa na wateule wa serikali ndio maana hata Mpina alipotolewa nje hakuna aliyediriki kuhoji, kuuliza mwongozo, kusikiliza majibu na hoja za ushahidi wa mlalamikaji, au atakayediriki kufanya reasoning. Maana yake angeweza kuweka wazi mambo mengi kuiabisha serikali na watendaji wake ambao hakuwa na majibu ya ukweli.
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 2 месяца назад
YEYE NA MPINA HAWANA WANALOJUWA SHARIA YAKUMINAMBILI IMESEMA INAPOTOKEA SHIDA KATUNI INACHWA MBONA HAHELEZI
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 месяца назад
Amani haichungiki bila ya haki. Nchi nyingi za kiafrika zinakosa amani kwaajiri ya dhuluma za wengi. Wabunge wa Tanzania badała ya kutetea haki ya waliowaweka bungeni wanatetea interests za wachache wanao wadhulumu wengi. Usiposema ndiyo bungeni unakuwa Aduwi na wanakushutumu kubwa adui wa chama na serikali. Demokrasia gani hii? Mbunge ana haki ya kutetea wananchi na sio kuiunga mkono serikali na sifa nyingi kwa Rais bila ya kuwajali wananchi. Tanzania ni masikini kwa wizi na ufisadi wa watu wachache kujilimbikizia mali za watanzania. Hawakamatwi, wala kusemwa. Ukiwasema bungeni yanakupata yaliyompata Mpina.
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 3 месяца назад
Lazima watetee waliowaweka hapo bungeni.
@DaudiPaulo-j5h
@DaudiPaulo-j5h 3 месяца назад
Watanzania tunahitaji msaada wa MUNGU aliye mtakatifu na kilichopo MUNGU huyu atajatoa hukumu ya haki tusiogope.
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 3 месяца назад
Hakika wanachi wa kisesa wamemleta mtu na kama yupo pekee kuongelea wananchi
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 3 месяца назад
Hakika kanda ya ziwa inaonewa kwa kiasi kikubwa
@philiposilasi2135
@philiposilasi2135 3 месяца назад
Mimi sitaki kusikia habari viwanda hapa tz nimewahi kununu cement ya nje kwa bei rahisi kuliko ndani kila kitu hapa viko juu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 месяца назад
Yani kampuni ya simu inapewa kibali kuagiza sukari jelly nchi ina wezi sana hii
@NGUSSAPAULO-ll6gm
@NGUSSAPAULO-ll6gm 3 месяца назад
msukuma nimfanya biashara cyo mwanasiasa hana lolote nimnafiki sana
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 3 месяца назад
Hiz taarifa huwez kuzipata kwa millard Ayo, na cyo kwamba hazijui
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 3 месяца назад
Guvu moja
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 месяца назад
💪💪💪💪
@eliabbanyikwa8716
@eliabbanyikwa8716 3 месяца назад
Kweli
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 месяца назад
Tatizo wabunge wengine ni MBUMBUMBUU, Kama MSUKUMA NA LUSINDE,
@piusngalasoni8236
@piusngalasoni8236 3 месяца назад
Ni aibu kwa Spika kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Bashe hata baada ya kujulishwa jinsi tunavyoumizwa na bei kubwa ya sukari kutokana na vitendo vya Rushwa alivyofanya Bashe. Kwa nini Bunge haikuchunguza ushahidi wa Mpina? Spika ni mnufaika wa vitendo vya Rushwa? Rais safisha Baraza lako.Toa wakora waliopo.
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 3 месяца назад
Nimekuelew kaka mpina yuko damuni pangu
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 3 месяца назад
Tumeibiwa na kina bashe spika anateteya ujinga.
@georgeotete8970
@georgeotete8970 3 месяца назад
Wamekula pesa kuanzia spika mpaka hao watoa vibali vya sukari ukweli ndo huo
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 месяца назад
Vijana amukeni mkemee ujinga wavijana wa ccm wanaujinga moja wote watamwona mpina ni mkosefu mnataka vijana mpige kerere. Huyo anakosowa serikari nendeni mkamteke na huyo kijana mzalendo
@NoahSeludao
@NoahSeludao 2 месяца назад
Msukuma kinachompelekea udhaifu wakuropoka ni elimu ndogo masifa
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 3 месяца назад
Spika ni nani gharika inakuja
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 3 месяца назад
Ilikuwa ni nchi gani iyo yenye upendo na sisi
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 месяца назад
Kosa kubwa nikuongea ukweli
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 3 месяца назад
Nitashangaa kuona mtu mwenye akili kumpingia kura mbunge wa ccm mwaka wa 2025 kwanza ssi wa tanzania kama tunajielewa tuwaonyeshe hao wa ccm uchaguzi huu wa mwezi wa 10
@PoulFred
@PoulFred 3 месяца назад
Maagizo toka juu hata bashe tunamulaumu bure boss ni chura hana muda wa kuongea na vichura vidogo vidogo bahati yao angelikuwa mzee magu bashe angelikuwa ananyea debe
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 3 месяца назад
Genz inakuja isubirie tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Kwa Tanzania jambo la hilo la Kenya haliwezi kufanyika kamwe
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 3 месяца назад
Kwa nini lisifanyike ? Umejihakikishia wapi ? Na limekuwa approved na nani kuwa haliwezi kufanyiks ?
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 3 месяца назад
WAPIGA KURA WA TZ KAMA WATAENDELEA KUPIGIA KURA WATU WA AJABU KAMA HAWA, TAIFA LIMEZAMA
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 3 месяца назад
Tuna chura ambaye hasikii kero za Wananchi
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 3 месяца назад
Spika atuna ukweli autakiwi
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 3 месяца назад
HAKUNA KAMATI MLEEE. NI KAJOPO KAAJABU KTK KUENDESHA MAMBO YAKITAIFA, TENA NI AIBU
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Yombaga Mwanawane
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 3 месяца назад
Huu ni uongo wa Hali ya juu unawezaje kuchepusha meli yenye oda ya Inchi nyingine wewe muliza maswali nyinyi Watanzania mwache ufinyu wa Akili
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV 3 месяца назад
Fuatilia Mambo hii SI kwa Mujibu wa Mtangazaji Bali kwa Mujibu wa aliyeongea hapa Mtangazaji amenukuu Kutoka kwa Mmiliki wa Kiwanda
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 3 месяца назад
Mmmmh!... Oda ya nchi nyingine sisi tukaichukua ndio vigogo au mie nauliza.
@hamisgonga2137
@hamisgonga2137 3 месяца назад
Kazi IPO hapo 😅😅😅
@BossiLaizer
@BossiLaizer 3 месяца назад
Ni watanzania wote wazalendo sio Kanda ya ziwa tu
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 3 месяца назад
Wewe mwandishi acha unafiki kwani tatizo lasukari limeisha? Toa unafiki wako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Huyo mwandishi yuko kazini hana tatizo
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV 3 месяца назад
😂😂
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 3 месяца назад
Daaa nchi hiii? Lakin ogopa Sana wananchi wakiwa Ukimya.... Watanzania wanajua Kila kitu.... Acha uchaguzi ufike kwenye box ni kmya kmya tunafanya maamuzi
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 3 месяца назад
Mimi mtu akinidharau sina habali nae maana hanilishi
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 3 месяца назад
Dah, sasa naamini tuna wasomi lakini kutokana na mfumo wa nchi kwa kweli hatuwezi kupata faida zao ila kwa kupitia presentation kama hizi kabla hawajazuiwa ni Bora wawe wanafanya hivi kuelimisha watanzania wengi tusio na hayo madini. Kuhusiana na kwamba meli ilikuwa inapeleka sukari nchi nyingine na kuletwa Tanzania mimi hii naamini hiki ni kichaka cha hawa wa wauza simu ili waonekane wao ni bora zaidi kuliko vigezo vilivyowekwa na ustaarabu na makubaliano ya Bunge. Hii nchi inalazimika kufanya mabadiliko magumu ya mfumo wa kiuongozi na utawala la sivyo bado tupo kwenye utumwa na akina Mpina wengi watanyamazishwa na kupotezwa.
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 3 месяца назад
Musukuma nibendala fata upepo
@philiposilasi2135
@philiposilasi2135 3 месяца назад
Vieanda wezi sukari malawi ni 2500 hapa tz ni 3000
@barnaba3037
@barnaba3037 3 месяца назад
Sio elf 3000, elf 4 mpaka elf 5 maeneo mengine
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 месяца назад
Hapa ni kuungana viongozi wa upinzani na viongozi wa dini kuchukua hatua wanafunzi ktk shule mbali mbali kuishindikiza hii serekali kupata katiba mpiyia na tume huru ya uchaguzi ktk hii taifa hakuna njia nyingine uwoga ni.hatsri ktk taifa sisi ni shamba la ujinga kwao
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 месяца назад
Wote ni criminals.
@philiposilasi2135
@philiposilasi2135 3 месяца назад
Mpina anatete viwanda
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 месяца назад
Mahakama iharakishe kesi Ili sisi wananchi tujue kulikoni Na sio maneno tu
@geey7893
@geey7893 3 месяца назад
Unategemea Mahakama itamtetea Mpina? Thubutuuu😊
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 месяца назад
Sisi ni shamba la wajinga ndio maana tumeshindwa kuchukua hatua ktk taifa letu Kila kitu malalamiko tuu hatuchukui hatua mpina anatetea haki ya watanzania wote sio ccm wala chadema Bado tuanaangalia tuu hatuchukui hatua hii lnatakiwa kuchukua hatua vyana vya upinzani viongozi wa dini na wananchi kuchukua hatua bado tunauowaga ktk taifa letu uwoga ktk taifa letu sisi ni shamba la wajinga
@georgemahenge
@georgemahenge 3 месяца назад
Upigaji mwingi.nawanautetea.nidiri ra spika
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 месяца назад
ODER PAPER 🤔🤔🤔
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 месяца назад
Mpina kaonewa saaana kisa kasema ukweli Sasa watanzania kuweni makini na wabunge wenu wakirudi kuomba kura msiwape chagueni wengine wapya kabisa si mnaona wanavyoonea wasema ukweli? Ila kisesa mgueni huyohuyo msema kweli ndo tunaoutaka mpina ndo mbunge anaefaa msimwache anaitetea nchi
@philiposilasi2135
@philiposilasi2135 3 месяца назад
Waziri anatetea wananchi
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 месяца назад
Mpina hajaonewa ila ameshindwa kuonesha ukweli mwache asote nje
@joykapaya1970
@joykapaya1970 3 месяца назад
mmhh
@SarahSwale
@SarahSwale 3 месяца назад
Huna jipya. unatafuta tuu kiki. Hujui sheria. Bunge ni chombo kinachoendeshwa kw mujibu wa Kanuni za Bunge na kwazo ndizo alizohukumiwa nazo. Acha upotoshaji ndo maana unajikanyaga kanyagatu.
Далее
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн
Слушали бы такое на повторе?
01:00
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн