Тёмный

KIJANA WA KIGOMA ATENGENEZA PIKIPIKI YAKE INAWAKA "NAPIGA HELA KILA SIKU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 247 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 546   
@simionkengere6164
@simionkengere6164 5 лет назад
Hongereni mdogo wangu , Nakuombea kwa Mola afungue mlango.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 5 лет назад
Sitaki shule ya kufundisha Historia 😂😂 nimemuelewa sana. Wanaojua Historia wapowengi sana.
@rcdailydrive3080
@rcdailydrive3080 5 лет назад
Nice kijana Kama unamkubali gonga like hapa
@rcdailydrive3080
@rcdailydrive3080 5 лет назад
Pamoja atatoka tuh
@hellenmwangi611
@hellenmwangi611 5 лет назад
nice
@perfectdani6172
@perfectdani6172 5 лет назад
Awezeshwe anaweza hata mbunifu wa balbu alianza kama huyu tena huyu kijana ameishia darasa la sita tofaut na mzee wa balbu alikuwa hana hata akili ya kusoma ila aliwezeshwa
@franklema2008
@franklema2008 5 лет назад
Kwanini tugonge like hapa?
@omarimhina9129
@omarimhina9129 5 лет назад
Ukovizuri dogo
@sk-wj9or
@sk-wj9or 5 лет назад
@millad ayo naomba mawasiliano na huyo mtoto pia nakuomba uliza chuo cha ufundi wapi anataka kusoma mimi nitajitolea kadri ya uwezo nimsomeshe in shaa Allah
@mohammedseif3371
@mohammedseif3371 5 лет назад
@Sandra John ukifanikiwa kupata mawasiliano yake naona nishtue pia.
@sk-wj9or
@sk-wj9or 5 лет назад
@@thewalletent thanks mkuu nitamtafuta in shaa Allah
@Bongo1Media
@Bongo1Media 5 лет назад
@@thewalletent 😁😁😁😁
@joackimmapunda4697
@joackimmapunda4697 5 лет назад
Nice kaka
@sk-wj9or
@sk-wj9or 5 лет назад
@@thewalletent asalaam alaikum. Mkubwa namba ulio nipatia sio smart phone na sijaona kama itanisaidia kuhakikisha ninao ongea nae ndio yeye. Ombi langu tena kwako na team @millad ayo nikunifanyia msaada wakuhakikisha ninaweza kuhakikisha ni yeye kwani dunia tuyayo ishi imebadilika mno. Kama nitapata nafasi hiyo nitashukuru sana. Kwa uwezo wa Allah tutapata msaada huo ili niongee nae kwani nipo mbali kidogo Kwa sasa na niliisha kutana na mkasa kama huo nikatoa sipo. Nadhani utanielewa. Nashukuru pia Kwa msaada wako wa awali. Jazaka'llahu khayri.
@kakamau0384
@kakamau0384 5 лет назад
Ni kweli kabisa sio mtu anakipaji fulani lkn munamlazimishia tuu akasoma vitu ambavyo havipo kwa kichwa chake. Big up kijana kwa kweli ni vyema sana VETA ndio kipaji chako
@Jamess_-500
@Jamess_-500 5 лет назад
genius cyo mbaka ujue kusolve maswali ya physics or math ...ata huyu nae ni genius .....
@charitymnyazi2633
@charitymnyazi2633 5 лет назад
Sure
@automatiqboi5098
@automatiqboi5098 5 лет назад
true, ila kwa bongo yetu hii dogo atakufa maskin
@kareemmbande3911
@kareemmbande3911 5 лет назад
plus-one Tv sahihi
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 лет назад
Kama Unapakubali KigomA Gonga Like Hapa
@sethsimon5746
@sethsimon5746 5 лет назад
Hongera sana brother Millard kwa namna unavyo jitahidi kutafuta na kuibua vipaji vilivyo fichika.Huyu dogo anahitaji support yetu wa TZ kwa ubunifu alionao.
@donaldnyakyema7667
@donaldnyakyema7667 5 лет назад
Hatari sana, big up sana dogo, nmewaza kusajili campuni ili uwe engineer wangu All the best dogo
@abeidkindende977
@abeidkindende977 5 лет назад
Amazing boy 👦 nakubalii kijana apewe fursa anawezaaaa
@shedyjr3227
@shedyjr3227 5 лет назад
Yess.. Hayoo ndo mawazo mapama. Unanifundishaa history miaka 14.. Na ujinga ujinga mwingne tu.
@denissimfukwe6019
@denissimfukwe6019 5 лет назад
kajitahidi sana sana kupitiliza.. kupata tu hiyo structure ya bodaboda shughul yake sio mchezo... na hapo hajatumia michoro. kwa mfano angesoma engineering drawing (auto cad na solid work) na uhakika atafanya vizuri zaidi ya hapo... kwa project hiyo kuna watu wanachukua degree kabisa.. mi kwa ushauri wang asiishie hapo kipaji anacho aende shule asome masomo ya engineering kama automobile engineer,.. ni designer mzuri sana
@mohmedkinana2633
@mohmedkinana2633 5 лет назад
Miladi mchongo uwo
@jkjonathanlabel4498
@jkjonathanlabel4498 5 лет назад
inashangaza saana
@sopy3055
@sopy3055 3 года назад
Ata machenical engineering itamfaa kbs
@johnisingo9982
@johnisingo9982 5 лет назад
Congratulations brother, this is what we want for the country! Vizuri sana! 👍
@rilldoserfromtrc2678
@rilldoserfromtrc2678 5 лет назад
aisee vipaji vyote hutokea kgoma gonga like km unakubalian na mim
@musasimba3689
@musasimba3689 5 лет назад
Ayo TV Kubwa laooooooo gonga like anaelewa wanyonge kumbukeni Anthony
@saidihermes3107
@saidihermes3107 5 лет назад
Daah ametisha anakipaji sna mungu amfungulie milango yake kwa wepesi zaidi afike mbali😳😳😳🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 5 лет назад
Aisee sina hamu kabisa kumbe tunaweza pia dogo jaribu kuamsha pikipiki kubwa kabisa kisha ikifika muda wa maonesho nenda nayo ipeleke itakuwa sapoti kubwa sana.usikate tamaa na usiishie hapo kama kwamba umefika,endelea zaidi na zaidi mungu atakusaidia
@chigypt
@chigypt 5 лет назад
Safi sana kijana, usiachilie kipaji hicho kwa namna yeyote ile.......cha msingi ni kukiendeleza juu zaidi....hongera sana...
@gastobruno8779
@gastobruno8779 5 лет назад
Dogo we ni noma sana unatisha. Mungu akuinue ufike mbali zaidi.
@million.onlinetv659
@million.onlinetv659 5 лет назад
DOGO hatakii...KUSOMA...VIHISTORIA...Vinacheleweshaaa ..mtu na ufundi wake...
@deusmichael4679
@deusmichael4679 5 лет назад
nice
@imamhussein1104
@imamhussein1104 5 лет назад
Mm nimemaliza chuo lakini sina ata ubunifu wa kuingiza buku kwa siku. Manina hili lielim la akina chemistry, history ufala mtupu. #kigoma imebalikiwa vipaji lakini imenyimwa maendeleo
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 5 лет назад
MILLION. tv robert ahhahahahahhah
@million.onlinetv659
@million.onlinetv659 5 лет назад
Wambie hao...maishaa sio SHULE...maaana unasomaa kukimbiza mwenge lakin FANI yako.doctor
@charitymnyazi2633
@charitymnyazi2633 5 лет назад
@@imamhussein1104 ukweli mtupu...tumeishia kuumiza kichwa darasani na hamna kazi... Pumbavu hii elimu
@bigboca315
@bigboca315 5 лет назад
Wew ni big talent Tanzania muko wap mwaacha akili nyingi hizo zko mtaani kama umemkubali gonga like hapa
@jafarmia4629
@jafarmia4629 5 лет назад
Duh vizuri sana kijana yani we unaitaji kujiendeleza jitaidi uwende veta ujiongeze zaidi inshaallah iyo kazi nikazi nzuri mungu akubarik
@ashelymhangazo7440
@ashelymhangazo7440 5 лет назад
hongera san home boy,MUNGU akusaidie ufike mbele zaidi
@HappyHappy-dv8hl
@HappyHappy-dv8hl 5 лет назад
Hongera dogo kazi mzuri
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 лет назад
One in a million, kijana Upo vizuri ongeza bidii ya kuzingatia elimu ili uzidi kupata uelewa mkubwa zaid
@jordankaaya606
@jordankaaya606 5 лет назад
Good sana kijana Mungu akufungulie njia
@goldenson1340
@goldenson1340 5 лет назад
Safi sana hawa ni watoto wa kuwajali sana ni vipaji havipatikan ovyo ovyo iyo ni akili ya kuzaliwa Asante Mungu kumpa talent uyo kipaji mpe maisha malefu
@reyjosee9390
@reyjosee9390 5 лет назад
Hongera Mdogo wangu kwa ubunifu,Wale wenye uwezo wa kumfikisha popote mumwoneshe Njia!
@ndunyafrancis2588
@ndunyafrancis2588 5 лет назад
Hongera
@mwambarockmwambarock739
@mwambarockmwambarock739 5 лет назад
mngu anakuona brother kigoma home. daa vipaji tunavyo kigoma wakutuwezesha hawapo .
@browncolour5965
@browncolour5965 5 лет назад
Dogo anaweza, atakayemsaidia huyu dogo Bhasi mungu amzidishie
@storyzone3848
@storyzone3848 5 лет назад
daaaah dogo atari hadi gear inapanga daaaaaah👍👍👍👍👍
@jonaselias7729
@jonaselias7729 5 лет назад
Jaman...Mungu msaidie afike mbali...naomba baba yangu...
@calvinboy5152
@calvinboy5152 5 лет назад
oyaaaa..tanzania mpya iyooooo..... Nasi tunaweza. Kama unakubali gonga like apa
@sameeradam8805
@sameeradam8805 5 лет назад
Aseee Leo nmekubali KIGOMA is a REGION OF TALENT...
@estherjohn2863
@estherjohn2863 5 лет назад
Mungu hutengeneza njia pale pasipo njia...kwa kipaji hcho mdogo wangu hakika mungu atakiangaza potee hata acha kipaji chako kipotee
@ibrahtv5592
@ibrahtv5592 5 лет назад
maashallah yaani huyu dogo anakipaji cha juu sana serikali ingepaswa kumwezesha ili afanye vzr zaid
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 5 лет назад
Mungu Akusaindie mdg wangu upate mufadhi
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 лет назад
dogo yuko vizuri mungu awe nae amfikishe mbali zaidi
@andrewmallya6455
@andrewmallya6455 5 лет назад
dogo nimemkubal bhana...big up una kipaji..omba mungu akufanikishe utimize ndoto zako
@baylamkandwa3895
@baylamkandwa3895 5 лет назад
MASHAALLAH jah bless u wallah 😍😍😍nimekupenda buleee wengine wangekuwa mataper tyu
@kingswebe3251
@kingswebe3251 5 лет назад
Siku nyingine jaribu kutuwekea namba zao mana wengine tunapenda kuwachangia vijana kama hawa. nimependa ubunifu huu jamani!, ilibidi nimtumie hata 10 elfu.
@suleyswaleh5381
@suleyswaleh5381 5 лет назад
Kama una amini. Kigoma. Wazee wa busara wengi. Like apa
@badaral6167
@badaral6167 Год назад
Mashallah Allah akupe ubunifu zaidi
@abdallahkitwana8471
@abdallahkitwana8471 5 лет назад
Kazi nzuri
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
mwenyezi mungu akujalie kaka upate mtu akusaidie
@wazamanihamis6099
@wazamanihamis6099 5 лет назад
Mungu kibaliki kipajichake Dogojitume 2
@joshuakiwovele8664
@joshuakiwovele8664 5 лет назад
Huyu Dogo ni genius
@mmarikamalick3208
@mmarikamalick3208 5 лет назад
mungu amjaliye kheri ktk maisha yake daima
@yamungumelack2250
@yamungumelack2250 5 лет назад
Hongela sana kijana wetu kigoma tumejaliwa kuwa navipaji sana
@nassorkaitira5135
@nassorkaitira5135 5 лет назад
Daah huyu ndo genius sasa sio kupata A kwa elimu ya mzungu
@almazroey2006
@almazroey2006 5 лет назад
Dogo anastaiki michango asome atimize malengo yake watu kama hawa ndio wanatakikana katika jamii mashallah Allah atamnyanyuwa na atakuwa kioo katika jamii.
@salimumoyogwilile1403
@salimumoyogwilile1403 5 лет назад
This talents Africans we are supposed to develop them in order to have self development because we can't depend the technology from outside
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 лет назад
Hiki kipaj cha kuzaliwa nacho kama atapata msaada na nafas utafanya vitu vikubwa sana
@mussamakanyanga9080
@mussamakanyanga9080 5 лет назад
Subrynery Segerow vipi
@williamcharles1846
@williamcharles1846 5 лет назад
Dogoo nomaa sana! serikali inyooshe mkono wake juu ya huyo dogo! ndio Tanzania ya viwanda ila wadhamini kutoka njee wasimchuke watamuulia kipaji
@Vanisikaka
@Vanisikaka 5 лет назад
Vijana wa dar Tunaimba Singeli tu na kufuga dreadlock
@afdaa946
@afdaa946 5 лет назад
Ma shaa Allah
@iddisaid9413
@iddisaid9413 5 лет назад
Uko vizuri kijana mungu atakusaidia penye mafanikio hapa kosi changa moto
@babaog9583
@babaog9583 5 лет назад
Dogo hongera sana.
@hassansimbano9869
@hassansimbano9869 5 лет назад
Genius.... Huyo dogo atizamwe kwa jicho LA kipekee...wadau,wizara husika na serikali kwa ujumla ...hiyo adhina ya taifa hususani kwa serikali hii yenye Sera ya viwanda
@shamsahussen1059
@shamsahussen1059 5 лет назад
Dah mashaallah yupo vizuri 🔥🔥🤗❤️👌
@joshuapeter889
@joshuapeter889 5 лет назад
Fantastic
@allyjuma6136
@allyjuma6136 5 лет назад
Hongera sana dogo
@harmimumombo7394
@harmimumombo7394 5 лет назад
Kila mtu nakipaji chake mungu amfanyie wepesi katka Kila jambo kama umependa uxipite bila kulike
@tinagorges3741
@tinagorges3741 5 лет назад
Mungu atakunyanyuwa inshaallah
@gidlovesubscribemembertv1609
@gidlovesubscribemembertv1609 5 лет назад
Kali sanatu Kaza moyo
@frank.medadi16frank68
@frank.medadi16frank68 3 года назад
Kweli dgo anajuwa mungu akutangulie
@husseinmasha8798
@husseinmasha8798 5 лет назад
daaah kijana upo vizuri Mungu akusimamie katika kila njia upitayo
@munakassim3521
@munakassim3521 5 лет назад
Safi sana mwanangu.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Mashallah, Mashallah, vizuri sana
@kulwaukasha8082
@kulwaukasha8082 5 лет назад
Daaa hongeraaa dogo
@ahobokilemwasyika7727
@ahobokilemwasyika7727 5 лет назад
Hongera sana
@wilsonmushobozi8807
@wilsonmushobozi8807 5 лет назад
Du kwali mtt amepewa kipaji mungu amsaidie
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 лет назад
We sio maskin Mdogo wang Kaza Buti yajay yana furahisha una kipaji San Baba 💪💪💪
@zawadalismaili2332
@zawadalismaili2332 5 лет назад
Allah atakubrk InshaAllah
@lameckkamana122
@lameckkamana122 5 лет назад
Dogo yuko vizuri sana.
@eustacekamau2735
@eustacekamau2735 5 лет назад
am Eustace from kenya... give us pay bill no. 2 supprt him
@gracenyanza432
@gracenyanza432 5 лет назад
hongera kaka una kipaji kikubwa san
@stephanojoseph804
@stephanojoseph804 5 лет назад
Mungu akusaidie ufikie malengo maana kipaji unacho
@njendanjenda56
@njendanjenda56 5 лет назад
Tanzanians are talented africans are blessed
@princeismailsnr291
@princeismailsnr291 5 лет назад
Kaza buti bro,utatoka tu,you have passion with what you are doing!!
@saidalumuli4938
@saidalumuli4938 5 лет назад
Hongera dogo hii ndio Tanzania ya viwanda tunayoitaka
@bonishani8570
@bonishani8570 5 лет назад
kijana nimemkubalii San serikali ijarib kutupamacho hapo Leo na kesho Toyo zinatoka Tanzania siyo chinaa nimefrahi San mwenyez mungu akuwezeshe
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 5 лет назад
umetisha dogo
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 5 лет назад
Dogo nenda gerage, shule wataanza kukufundisha madudu
@saidalumuli4938
@saidalumuli4938 5 лет назад
Sana
@fatmaabaraka698
@fatmaabaraka698 5 лет назад
Kigomaaa yetu yenye neeema
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
ha ha haaaaaa
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 5 лет назад
@@merryn4891 follow Instagram account Foncetec
@geofrayjandwa7404
@geofrayjandwa7404 5 лет назад
Foncetec Electrical hahaha,algebras sucks
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 5 лет назад
Cogratulations your so creative
@saidikhalfani1070
@saidikhalfani1070 5 лет назад
kigoma oyeeeeee
@samwellochiliajitu4213
@samwellochiliajitu4213 5 лет назад
noma xna ,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@vichekeshotvcomedyfull3289
@vichekeshotvcomedyfull3289 5 лет назад
Aaaaah kigoma kwetu najivunia kuwa muha
@luganodaudi8399
@luganodaudi8399 5 лет назад
Safi kabisa
@wonanjijabongah1906
@wonanjijabongah1906 5 лет назад
Hii interview inaweza kumfkia Mkuu Magogoni
@sananejr8985
@sananejr8985 5 лет назад
Dah kweli historia ni kupoteza mda
@martinighandai2098
@martinighandai2098 5 лет назад
aseeee w hatari hongera sana
@superherotv1750
@superherotv1750 5 лет назад
NI nomaa Kama umekubali like apaa
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 лет назад
Duuuuu aisee hii ni hatar Sana ngoja na mm nikaze naamini siku moja na mm nitatoka kwa kujiamini hongera Sana kaka
@mardadihalisi7509
@mardadihalisi7509 5 лет назад
😂😂😂serikali waniangalie kwa jicho lá kushoto
@nduwayoelias7308
@nduwayoelias7308 5 лет назад
Aisee, dogo ana kipaji.
@allyally8035
@allyally8035 5 лет назад
Anastahili five Star a.k.a nyota tano.....he is doing great things and actally he was born an Engineer.
@fortunatusnduhiye9042
@fortunatusnduhiye9042 5 лет назад
Kaza mzee allydream utatoka broo
@sikujuaabdallah3371
@sikujuaabdallah3371 5 лет назад
Uko vizuri dogo
@saidaabdalla2854
@saidaabdalla2854 5 лет назад
Allah Akuongoze zaidi na kipaji chako
@zawadalismaili2332
@zawadalismaili2332 5 лет назад
MashaAllah
Далее
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 165 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
JIONEE PIKIPIKI BAJAJ GUTA TULIZONAZO
4:50
Просмотров 16 тыс.