Kila akiwa nyuma ya mikrofoni akikuletea burudani ya taarab,utakubaliana nami kuwa sauti yake si nyororo tu bali pia ni fasaha.Leo hii anatusimulia safari yake ktk utangazaji.Msikilize June Dezina Vel Ukipenda mwite TAUSI MWENYEWEEE....
Приколы
14 сен 2016