Тёмный

KILICHOMKUTA MAKONDA BAADA YA KUKATAA KUOMBA MSAMAHA KWA WACHAGA 

Uhondo TV
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 451 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 434   
@honesternanyaro2106
@honesternanyaro2106 5 лет назад
Dr Bashiru is not only intelligent but also clever
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 5 лет назад
No hug whatsoever!! This is good to see people taking out what's in their hearts for a good will. Tutakuenzi Dr. Reginardi daima, upimzike kwa amani
@deodatieugeni624
@deodatieugeni624 5 лет назад
asante katibu B. Ally, busara yako ndio msingi wa ujenzi wa ccm mpya. asante Mwenyekiti F. Mbowe kwa kutokuwa mnafiki, lingepoa lingepita bila kukemewa. asante Askofu Shoo, kazi yako ya upatanishi tumeiona japo imeonyeshwa dharau umetimiza wajibu wako. R. I. P doctor Mengi. tukukumbuku daima.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 5 лет назад
That was humble in the part of Makonda. God bless you sir..the up and coming president of Tanzania!!!
@petrosanga1366
@petrosanga1366 5 лет назад
Mimi pia nampenda sana makonda hasa kwa sababu kazi nzuri anayofanya.ulimi hauna mfupa wote tumekutana kumuaga KAMANDA wa vita 'mzee wa I must' tumsamehe bure
@mathewlive77
@mathewlive77 5 лет назад
Watu walisahau kwamba wapo msibani, shangwe na vigelegele kama vyote. Asante Mungu mana umewasamehe wote katika jina la Yesu .
@sadasaid4408
@sadasaid4408 5 лет назад
Ni kweli kamsifia mchaga hajakosea, be strong Makonda hujakosea ni tafsiri zao zimekwenda mbali ndio maana, kama unavyosema, Zidi kumuenzi mzee wetu, Allah amrehemu
@starmpogoro8044
@starmpogoro8044 5 лет назад
Nyie Nikwer wabinafsi Tunawajua Minidreva tunawaona kwenye kampany Wakiwa wachaga kwenye kampany Kuingia kabila lingine Nishida Sana
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 5 лет назад
Kweli nimeamini ni Mungu pekee ndio anajua yaliyomo mioni mwetu coz cdhani kama Mh. Makonda alikuwa na nia mbaya yakuongea vile ila fikra na mitazamo tu ya watu Ndio imemtafsiri vibaya jamani, binafsi yangu namkubali sana Mh. Makonda na namuona kama kiongozi wa zawadi kwa Tz ila wengi wa watanzania hawalitambui hilo, I love u, I respect u and I salute u Sir √
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 5 лет назад
Hassan Kihonde We ndo uliku myoni mwake au we n mwerevu kuzd wtz ambao hawakupendezwa nayo.
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 5 лет назад
@@chachamagoti2400 uzuri ni kwamba nipo chanya zaidi na ndio maana nimemuelewa kwa upande chanja na hasi kama wengine,
@scayroad8500
@scayroad8500 5 лет назад
HIZO NI ROHO YAKO MBAYA KWA MAKONDA MM NI MLEMAVU NI KWELI HAKUNA KAMA MENGI HAIJAWAHI KUTOKEA KWANI NI UONGO
@gracedismas1108
@gracedismas1108 5 лет назад
Unatamani kila anaekuja kukusaidia awe anajitambulisha kabila lake mnaongea ujinga ndio maana Mungu analipa kwa njia yake embu nitajie mkabila mwingine unayemjua anakusaidia kila siku kama sio muumba wako ulimi unatuponza watanzania
@gadsentz6519
@gadsentz6519 5 лет назад
Scay Road alishawah kukusaidia uyo mengiii ? zaid yakumsikia kwenyenredio
@yohanakidugala1332
@yohanakidugala1332 5 лет назад
Asante saana Katibu mkuu CCM.... upo vzr saana Ongera saana
@elieshishamy9902
@elieshishamy9902 5 лет назад
Kirikuu!!! Chokoza nyuki ukule asali
@jaffarmguwa5566
@jaffarmguwa5566 5 лет назад
Kama ungemsifia msukuma kisha ukawaponda wachaga hapo lingekuwa kosa....lkn umemsifu.mchaga na ukawataka wachaga wengine wawe kama doctor mengi....ukweli siku zote unauma
@ikupamwaisoba7379
@ikupamwaisoba7379 5 лет назад
Umeona eee yaani ni shida hizo ni siasa tu lkn amewakomesha sana tafsiri mbaya yao
@tikokibila7220
@tikokibila7220 5 лет назад
Nyinyi mamaku acheni ushabiki jamanii.
@stevelayda8555
@stevelayda8555 5 лет назад
Kwa Mara ya kwanza leo nimeipenda kauli ya kiongozi ccm. Bashiru uko juu kweli we ni msomi.
@adelaidedaycareprenurseryk6324
Dr. Bashiru himself msomi wa kweli na ukweli umemukuweka huru nakupenda sana mpenda haki wakati fulani. Makonda unyenyekevu ndio mtaji wewe sio malaika. We love you.
@alexbaynet3426
@alexbaynet3426 5 лет назад
Hiyo ndo kazi ya kanisa. Pia nafurahi sana kumwona mwalimu wangu wa lugha ya alama akitafsiri kwa lugha ya alama mwalimu Protas Mwalongo
@rajabumlawa6209
@rajabumlawa6209 5 лет назад
Nimekuelewa sanaaa katibu mkuu dr bashiru ally
@vicentjoshua7507
@vicentjoshua7507 5 лет назад
Kwanini kwenye misiba wanasiasa na wasanii ni shida
@rajabumlawa6209
@rajabumlawa6209 5 лет назад
@@vicentjoshua7507 yan cjui wapi tunafeli maana ule ni msiba mbowe alipaswa aliseme tatizo nje ya msiba
@alimakaba6170
@alimakaba6170 5 лет назад
Kiongozi anaNAFASI kubwa na huenda akawa anaruhusiwa kuongelea mada yoyote kutokana na mazingira husika au hata mifano kuhusu sehemu au mtu katika mazingira husika lakini tu kisiwe kitu kiendelevu..hapa Unahitajika uwe na ufahamu mzuri kidogo ili kuweza kuligundua hilo la sivyo utakurupuka kuwasilisha reaction yako. Mfano kama kijiji kina fanya mazuri mengi kiongozi anaweza akasema nawapenda sana watu wa kijiji hiki ni watu wazuri sana.. Lakin haimaanishi kama vijiji vingine anavichukia au anaweza hata akasema watu wa kijiji hiki ni wabaya sana kama kukiwa kuna mambo yasiofaa yanaendelea humo, lakin pia hajaimaanisha watu wakichukie kijiji hicho, sasa alivyo sema sio rahisi kumuona mchaga anasaidia watu walemavu hakumaanisha wachaga wabaguliwe au kumlaumu marehemu ila ametoa mfano huo kama kuongeza hadhi kwa marehemu. Sijui kama labda mimi ndo sijaelewa vizuri.!!!
@ikupamwaisoba7379
@ikupamwaisoba7379 5 лет назад
Yaani wewe ndo uko sahihi sana kuliko mbowe na askofu ubarikiwe mpendwa
@nanaimgeri8587
@nanaimgeri8587 5 лет назад
Ali Makaba so smart
@margretlukindo413
@margretlukindo413 5 лет назад
Ndivyo
@gloryngomuo127
@gloryngomuo127 5 лет назад
Ni ukabila huu.......ukisema w2 wa kijiji hiki ni wazur cjui nn n sawa coz wote n wa2......ss ukianza kutaja makabila haipendezi........
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Iko hivi wachaga weng no mabahiri thus huwa wanafanikiwa Sana , ndomana makondo alichosema, kwamaba anashangaa kumuona mchaga anasaidia masikini!!! BT ala in all ,makonda me namuona alikua sahihi! Wala hakumaanisha kama vile mbole alivyokua amemaanisha!!! Tukutane 2020!!!!
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 5 лет назад
Wachaga wabahili kweli na mchungaji wao pia ni mchaga ndio maana kawaka 😂😂😂
@candycane6375
@candycane6375 5 лет назад
Hahahah umenichekesha Sana wewe
@danielmgogo6484
@danielmgogo6484 5 лет назад
MAKONDA UMEOMBA MSAMAHAA TU WAKATI ULISEMA UKWELI UMEWAGUSA SAAANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA ANACHUKI BINAFSI NA MAKONDA MAANA ALIUTAKA UKUU WA MKOA WA DAR NDIO MAANA AMEANZA KWA KUMSHAMBULIA MAKONDA HADHARANI AMEONYESHA CHUKI ZAKE WAAZI
@seifmwinshee3593
@seifmwinshee3593 5 лет назад
Makonda ajakosea sema mnapenda kukuza maneno.wachaga nao tatizo kama mengi ni wachache sana
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 лет назад
Makonda upo sawa hujakosea kitu hapo hao wachaga hawajui kiswahili ndo shida
@tibrucemushi1735
@tibrucemushi1735 5 лет назад
wewe hata katibu mkuu wa ccm anamwambia ukweli halafu kijambo kama wewe unakurupuka hapa.....
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 лет назад
@@tibrucemushi1735 we mkundu tulia
@angelswaum8435
@angelswaum8435 5 лет назад
TIBRUCE MUSHI kwani katibu mkuu ndo nani au ndo mingu sasa
@andrewmwita119
@andrewmwita119 5 лет назад
Duh Jamaa anakiburi yani alikuwa anataka kukataa kwenda kuomba msamahani tena msibani na kanisani!!!!!
@amariaelieneza1854
@amariaelieneza1854 5 лет назад
Nimekuwa nikifuatilia speech za huyu kiongozi. Mara nyingi amekua akikosa mtiririko wa mawazo mazuri mwishowe kuwakwaza watu. Awe anaandaliwa speech
@justinemathiasngwandu7715
@justinemathiasngwandu7715 5 лет назад
Asikofu na bashilu mnalenu Jambo siyo bure, nikipi ambacho Makonda alikisema kibaya? Asante Makonda kwa hekima.
@aminabakari3799
@aminabakari3799 5 лет назад
Alivyosema mengi kasaidia walemavu na watu maskini utazani yeye so mchaga, kasema mchaga kutoa pesa yake kwakumsaidia mtu ni ngumu,
@chrissimbeye208
@chrissimbeye208 5 лет назад
Mbowe ni mchonganishi sana makonda yupo sahihi nikweli wa chaga ni wagumu sana hawawez kujitoa kama alivyo kuwa mzee mengi tunajua wapo wengi sana wachaga wenye pesa lakin wenye moyo wa kusaidia hawapo
@jacklinechengula4933
@jacklinechengula4933 5 лет назад
kabisa
@simulizizakiroho2674
@simulizizakiroho2674 5 лет назад
upuuzi unawaza kwani wachaga tu wenye mali nyingi tanzania mbona wao hawajasaidia walemavu kwa kiasi cha Mengi
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Chris Simbeye mchanga anasaidia ndugu zake tu
@chrispinemallya2420
@chrispinemallya2420 5 лет назад
Kwa taarifa yako wapo wachaga wengi wanaosaidia katika jamii pasipo kujulikana.. Ndio maana sehemu yenye wachaga lazima pana msukumo mkubwa wa maendeleo. Nashindwa kuelewa kwann wachaga wanachukiwa! Wakati wanajitahidi kutoa huduma za kiuchumi zinazobadili maisha ya jamii ya eneo walipo.. Mungu ibariki Tanzania.
@mamachris6811
@mamachris6811 5 лет назад
Kuna mchaga kasema wazi kuwa wagumu kutoa kutokana njia wanazotumia kuipata hiyo pesa Nyingi so halali
@vinmilez5739
@vinmilez5739 5 лет назад
Wanasiasa wanafki sana
@magneticfootballtz1607
@magneticfootballtz1607 5 лет назад
Mimi sio muumini wa siasa kabsa lakini hapa Makonda kama anadhibiwa kwa visasi tu ametoa sifa katika tafsiri ambayo waliua wanasubiria ateleze waanze manyanyaso tu
@stephenhosea1113
@stephenhosea1113 5 лет назад
Mmemdhalilisha Makonda bure shida ni kwamba mmemtafsiri vibaya maana yake haikuwa kuwakosoa wachaga ama kuwadharau na kuwakejeli kulikuwa hakuna haja ya kumuita mbele huo ni udhalilishaji tu kama tayari mlimtangazia msamaha basi mngemuacha atulie sasa mmeleta siasa na hila zenu juu yake kanisani sio vizuri
@godhelpkimaro6742
@godhelpkimaro6742 5 лет назад
Mungu akubariki Sana Askofu Shoo,hakika Mungu azidi kukutunza Baba,hiyo ndio kazi Bwana Yesu alikuja kufanya Hapa Duniani UPATANISHO!!!!!
@imanuelmtui6619
@imanuelmtui6619 5 лет назад
Sioni makonda alipo kesea tuache siasa za kijinga mbowe hatukuelewi
@vinmilez5739
@vinmilez5739 5 лет назад
Makonda sio mtoto,hadi aje aseme kua huu msiba co wa wachaga,lazma watakua walimbagua,ila ndo kawahiwa hana namna
@f.a6043
@f.a6043 5 лет назад
😁😁😁
@gidionmlwae3282
@gidionmlwae3282 5 лет назад
Bashiru aliingizwa chaka mbowe yupo kisiasa ameona amemkomesha makonda hahahaha makonda alikua sahihi
@majutochikawetv8965
@majutochikawetv8965 5 лет назад
Kweli kabisa huyu bashiru kajichomeka
@boazsebastian358
@boazsebastian358 5 лет назад
mh makonda amefedheheshwa kauli ile haikuwa ya kubeza wachaga Bali hapa uchanganuzi wa sentence ndio ulileta shida ,yeye alimaanisha wachaga ni watu wanaojua pesa sana ,na kila mtu anajua hilo .Mbowe yeye anasumu yake moyoni aliamua kutema nyongo madhabauni ule sio uwanja wa siasa kaka hakuna kiongozi shupavu kama RC makonda mtasubili sana achana na jembe apige kazi msimfanyie demolization.
@masagakasunzu7824
@masagakasunzu7824 5 лет назад
Boaz Sebastian mmmmh mmmmh mmmmh mmmmmmh ukikosea kubali no one is perfect
@beatricegondwe2726
@beatricegondwe2726 5 лет назад
Nonsense
@justinemathiasngwandu7715
@justinemathiasngwandu7715 5 лет назад
Hata mie sijaona kosa la Makonda, Nimefatilia kauri zake toka msiba umetokea sioni Kama neno lile lilikuwa la Kubebea bakuri namna ile. Lakini Sasa nagundua hapa nikweli kabisa hawa jamaa wanaubaguzi choyo naroho mbaya. Hakika Makonda kwa hili wamemfedhehesha na huyu bashiru sijui tu, hapo Kuna kitu tuache ishabiki wa kisiasa na chuki, eti unamchukia mtu hata huna kisa naye,🤔 hiyo ni Roho ya kishetani kabisa.
@jenniferdominic6128
@jenniferdominic6128 5 лет назад
yan wamekuza jambo balaa
@faidamashala8933
@faidamashala8933 5 лет назад
Wamemkosea makonda,ndo tatizo LA siasa
@jamalimtima6176
@jamalimtima6176 5 лет назад
Kwa hili,Makonda yuko sahihi tu Wachaga wana ubaguzi mno
@nkubapaul8531
@nkubapaul8531 5 лет назад
Watu hawakumwelewa makonda kwa sababu wanamchukia
@simulizizakiroho2674
@simulizizakiroho2674 5 лет назад
sio kweli ndugu,mbona Moo dewji hata misibani hatumuoni usiwe shabiki tu
@gracedismas1108
@gracedismas1108 5 лет назад
Mijitu mingine haijielewi mchagga mchagga sishangai ila wewe unaesema mchagga mbaguzi je ulishawahi kumsaidia hata mtoto wa nduguyo au ndio hivyo tena ufahamu kwisha
@jamalimtima6176
@jamalimtima6176 5 лет назад
Getruda Msaki .Tunaishi nao,2nawajua.Njoo mbezi au maeneo yaliyojaa wachaga,hakuna mchaga ambae anaweza kununua hata nyembe dukani kwa m2 ambae cyo mchaga mwenzie
@agnessjosephath4330
@agnessjosephath4330 5 лет назад
Kwa mfano kama Makonda asingekuwepo mgeongea nini Makonda kamsifia mchaga katikati ya wachaga
@barakanyambele4673
@barakanyambele4673 5 лет назад
Hii ni sehemu ya ibada ya kuaga mwili wa marehemu, sasa haya mengine yanatokea wapi
@dottonatha3770
@dottonatha3770 5 лет назад
Baraka Nyambele 🇲🇺
@lamekisimoni2809
@lamekisimoni2809 5 лет назад
Kwenye wengi pana mengi Ila makonda nae kazidi kwa nini kila kitu ni yeye tuu
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Mchaga au mpare ukimtoa mengi marehemu RIP mungu akulinde uendako baba, mchanga mwingine yeyote yule ukifiwa au ukiwa na sherehe atakuchangia ila sasa mtoto akiungua moto au kurudishwa ada ya shule atakukopesha ,
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 5 лет назад
Nyny ndo wabaguzi,wapi makonda alimbagua mtu,mnaleta kuchomekeana na visasi Hadi msibani.shem on you guys.
@daviseliona3507
@daviseliona3507 5 лет назад
Hahahs
@godsfinalwarninggfw6492
@godsfinalwarninggfw6492 5 лет назад
Wewe labda hujui kiswahili ndo maana hujaona kama amaleta ubaguzi. Lakini wenye akili kama vile Dr Bashiru, Dr Shoo walielewa kuwa huo ni ubaguzi. Wewe tu ndiyo hujaelewa, siyo tatizo lako, ni uelewa tu!
@godblessmwanri80
@godblessmwanri80 5 лет назад
hekima ni muhimu sana ...
@aminabakari3799
@aminabakari3799 5 лет назад
We ulitaka aambiwe kwenye sherehe hali yakua amekosea msiban, au unajitoa ufaham
@thomaselibarick8058
@thomaselibarick8058 5 лет назад
innocent paulchillu una akili ndogo fala mkubwa
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 лет назад
kanisa ni kanisa ,serikali ni serikali ,ya Mungu mpeni Mungu na Kaisari mpeni yalio yake,alipaswa kuomba toba kuvinywea divai vyombo vya hekaluni ni madhabahuni pale amewasha moto mgeni ni hatari
@ibrahim82649
@ibrahim82649 5 лет назад
Asante mbowe
@dillisalum2384
@dillisalum2384 5 лет назад
Makonda analogic sana ndicho namkubalia, good boy
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 5 лет назад
Palipo na wengi kuna MENGI pia ila yote yote mungu ndo anajua#
@japhetmlungu762
@japhetmlungu762 5 лет назад
Viongozi wa hawamu hii kweri awajaandaliwa. Katibu wa wachukua chako mapema umesema ukweri wako. Wengi awana kauri nzuri, wengine uwasema maneno Makali kwa mtu ambae ni sawa na mzee wake, babu yake au kaka yake. Bila kueshimu umri. Huu ndiyo udhaifu ulioogelewa na Cag.
@adelaidedaycareprenurseryk6324
Ukikosolewa ukubali tu kuwekwa sawa.
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Madam Rose makonda yupo sahihi sana kamuongelea mchaga katikati ya wachaga ukabila wanaleta wao
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@@mussaabdiel9797 Hapana sio kwamba Makonda ndio mdhambii No! But uisikilize vizuri ile speech kuna mahali alithibitisha ukichunguza utagundua kwa nini Katibu Mkuu wa CCM aliamua kuomba msamaha kwa niaba ya. Makonda mimi ni shabiki wake no 1 na ninamfuatilia sana napenda huduma yake sana tu. Anasaidia sana wagonjwa hasa wale wa kipato chani kama mimi kwa mfano Pascal Cassian muimbaji wa Gospel. Makonda ni jiwe la kujikwaa watu wengi hawamuelewi but mimi nakwambua yupo hapo kwa kusudi la MUNGU. Kumbuka yeye si malaika bado anawezakosea tu na huo ndio unyenyekevu.
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Madam Rose apo ukabila aupo bali ni mtazamo aujuae yeye kama yeye kwan awa watu tunaishi nao na tunajuana vzr
@esa_traveller
@esa_traveller 5 лет назад
Makonda hakua na nia mbaya tatizo watanzania hata tukiambiwa ukwel tuna mind
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 лет назад
Ktk maisha ukiwa una kauli uchafu basi kila mahali hautakua na thamani
@barbarajoh7603
@barbarajoh7603 5 лет назад
Makonda hajatambua kosa lake mpaka sasa
@kassimmkemae1533
@kassimmkemae1533 5 лет назад
Makonda hana kosa kwasbb alichomaanisha yy na mbowe tofaut alichoelewa
@mustaphyassin5320
@mustaphyassin5320 5 лет назад
Kiuhalisia hana kosa kabisa
@kassimmkemae1533
@kassimmkemae1533 5 лет назад
@@mustaphyassin5320 yaan kabsa
@simulizizakiroho2674
@simulizizakiroho2674 5 лет назад
makonda kosa lake kutaja ukabira,kwani wenye mali nyingi ni wachaga pekee?
@simulizizakiroho2674
@simulizizakiroho2674 5 лет назад
kosa lake ukabila kuujata angesema wenye mali wengine
@sadockjoseph4555
@sadockjoseph4555 5 лет назад
Du! Ndo viongoz hawa sasa.....Mungu atawaumbua sana tu acha tusubir ipo cku ujinga wao utawaisha tu
@mamachris6811
@mamachris6811 5 лет назад
Makonda usiombe msamaha Uko sawa kabisa
@ashahassan4032
@ashahassan4032 5 лет назад
ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upangaa.... alichomfanyia pieree
@theobarddimoso8835
@theobarddimoso8835 5 лет назад
Vijana tupo wenye heshima na maadili tumelelewa vyema na wazazi wetu na JKT imetupa uzalendo mkubwa tu lakini mmetusahau na kutuona sisi chapa vumbi hatufai lakini tunazidi kuwaombea hao mnao waona wanafaa ili taifa letu lizidi kuwa salama.
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 5 лет назад
Anaharibu na anabembelezwa, yani kama yai
@dsstanzania
@dsstanzania 5 лет назад
Safi sana
@ndhindilomachibya5514
@ndhindilomachibya5514 5 лет назад
Iv makonda angewasifia wachagga kweli haya yangetoke.?...watu hawatakagi ukweli ...et ukabila...narudia...ata mm sijawahi kuona mchaga anatoa msaada kwa waremavu....vimbeni ila ukweli ndo huo ..nosense nie
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 лет назад
MAKONDA UTABAKI KUWA JUU💪💪💪💪💪
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 5 лет назад
Siasa msibani, siasa kanisani siasa siasa
@iambaizo
@iambaizo 5 лет назад
mbowe ni mchonganishi kwani ni uongo wao si wabahili
@beatricengonani4640
@beatricengonani4640 5 лет назад
Mboye anabivu na Jamaa na sio vngne huwez kumfanyia makonda HVO msiban hapo watu wanaomboleza siasa weka kando
@revocatusmbangule8730
@revocatusmbangule8730 5 лет назад
😊
@glorymrema7138
@glorymrema7138 5 лет назад
U come down makonda
@seifzongo320
@seifzongo320 5 лет назад
Makonda kaongea points Sana,amesema nimemsfia mchaga katikati ya wachaga that's point hakuna shida n wivu tu🤣🤣🤣🤣
@malasimuhidin9510
@malasimuhidin9510 5 лет назад
Kaka pale hakuna mchaga pekee. Kuna viongozi na makabila tofauti yanayoishi huko MOSHI na Arusha. Bado tunahitaji viongozi waliofundwa kama Dr. Bashiru alivyosema
@twahashekimweri3024
@twahashekimweri3024 5 лет назад
Angemuita tu. Na sio kuumbuana. Busara itumike
@twahashekimweri3024
@twahashekimweri3024 5 лет назад
Alafu bora wangeongea ayo mambo baada ya maziko. Mbowe nae hana busara
@hamisikabwe3980
@hamisikabwe3980 5 лет назад
Umemsifia mchaga kati ya watu wote Makonda kuwa mkweli na ukubali kukosolewa,hapo walikuwepo watu wengi na hata vyombo vya habari viliipeleka sauti yako mbali dunia nzima,hivyo hukustahili kuongea vile.
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Yp
@keita.wallet6984
@keita.wallet6984 5 лет назад
Ninja sometimes unazingua japo kuwa cheo dhamana
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 лет назад
Huyu Mpaka Mh Bashiru anamsema hadharani, Anawakera kwa mengi sana, Tunayobahatika kuyasikia ni yale anayoyaropoka kwenye Kamera.
@sulejiTv
@sulejiTv 5 лет назад
Uyu mzee mbowe ana heshima sana nime hamini utu huzima dawa.
@majutochikawetv8965
@majutochikawetv8965 5 лет назад
Acha ujinga wewe unakuza mambo tu mburula nyie
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 лет назад
Kwenye misiba ya watu maarufu.watu maarufu waliozimika wanapata nafas yakukiki sasa kosa lake lipi hapo mh makonda?hila si vema asaivi mnamuandama sana cheo icho wanakitaka takecare kaka makonda uliokalbu nao ndo wabaya kwako
@gracedismas1108
@gracedismas1108 5 лет назад
Kosa lake liko kwenye mdomo wake mwenyewe
@godhelpkimaro6742
@godhelpkimaro6742 5 лет назад
Barikiwa Kiongozi,hakika una maneno ya hekima mh mbowe,pia Katibu barikiwa Sana
@emmanuelmsangi645
@emmanuelmsangi645 5 лет назад
Kweli bashiru nikiongozi bora
@thomasmasala9304
@thomasmasala9304 5 лет назад
Kwa kweli ni huzun sana.
@tarickadam7294
@tarickadam7294 5 лет назад
Kwan uongo!!! wachaga awawezi sahiidia walemavu Makonda yupo sahii
@gracedismas1108
@gracedismas1108 5 лет назад
Wewe umewasaidia wangapi
@minjashose2159
@minjashose2159 5 лет назад
Tarick Adam me naona ni chuki binafsi na usiasa mpk msibani mimi mwenyewe kukusaidia lbd unkute nakula tule wote so nkupe pesa or
@tarickadam7294
@tarickadam7294 5 лет назад
@@minjashose2159 kweli kbx
@joelsamson6840
@joelsamson6840 5 лет назад
Yupo sahii makonda tatizo nikuambiwa ukweli
@mamachris6811
@mamachris6811 5 лет назад
MAKONDA = TRUMP
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 лет назад
mchaga na mnyamwezi utani umetokea wapi uwache kuropoka mwanangu kutenda kosa si kosa bali kosa kurudia kosa.
@maremidundo6997
@maremidundo6997 5 лет назад
Nani kakudanganya mnyamwezi uyo hujui uriza
@mako331
@mako331 5 лет назад
Unnecessary drama in the house of God, baba askofu ungezuia hili
@novatusabond9253
@novatusabond9253 5 лет назад
Makonda ni mkuu wa mkoa msimfanye kama mtoto
@kyekwew3216
@kyekwew3216 5 лет назад
Novatus Abond ... then he should have acted as an adult,when someone acts foolishly then they are fools. When you apologize you don’t use the same breath to defend your actions.
@salmahsharifu7096
@salmahsharifu7096 5 лет назад
Mbele za mungu haswa madhabauni hamnaga mtu kubwa wala mdogo ndo maana uliona hata rais magufuli alikusnywa sadaka mwenyewe mbeya bila kujali cheo chake
@kallahassan4896
@kallahassan4896 5 лет назад
nikweli hata Mimi namuunga mkono makonda kwanini tufichane hata nyerere alisema kuna makabila yana ubaguzi natusipo semana tutakuwa tunafuga ujinga
@centralboytz4240
@centralboytz4240 5 лет назад
Dah aisee Had mazabahun hamuon aibu jaman kwny ishu nyet km hyo #ripmengi
@exhaudyvalentine1767
@exhaudyvalentine1767 5 лет назад
Kama Umeona Gnzi ya Mkuu wa Mkoa Magotin kaichana chana kama za Wcb like hapa
@scayroad8500
@scayroad8500 5 лет назад
MAKONDA HAJABAGUA NYIE NDO WABAGUZI HIZI NI CHUKI HAKUONGEA VIBAYA HIZI NI CHUKI TU MAKONDA CHAPA KAZI
@frankmakeula4506
@frankmakeula4506 5 лет назад
Mkuu wa mkoa hakuwa na maana mbaya mheshimiwa Mbunge ndio tatizo acha siasa msibani
@muksinchingonikaya2584
@muksinchingonikaya2584 5 лет назад
Waache propaganda wasenge hao.. Mbowe yeye kila kitu kupinga tu...
@emmanuelmerick5936
@emmanuelmerick5936 5 лет назад
Mdomo na ulimi ni kitu kidogo ila usipoutunza na kuitumia vyema inaweza kukuharibia mfumo wote wa maisha
@devothasanga9228
@devothasanga9228 5 лет назад
Mi sijaona kosa hapo mnamuonea kijawa wamungu jamani kasema kile anacho kiona huyo sio mtoto mdogo aseme tu kitu asicho kifaham nimekwazika hatali misamaha bongo kwenden kule
@esa_traveller
@esa_traveller 5 лет назад
Daaaaa af makonda alimind sanaaaa ila hakua na nia mbaya
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 5 лет назад
Hahaaha mung wanh Tanzanie kweli iyi ni haya kweli. Mbona alikuwa amekata
@mariacassian2738
@mariacassian2738 5 лет назад
Muungwana akivuliwanguo hasimami huchutama lakini huyu makonda kajivua halafu anapiga sarakasi huku anajiona mshindi
@kilosasofadesigner6218
@kilosasofadesigner6218 5 лет назад
Kweli nimeamini Malipo ni hapa hapa duniani Mbinguni hakuna Banki iyooooo!!!!?? #Pierelikwidi_bwana🤣
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 лет назад
Hapo Mbowe umeingiza siasa wala Makonda hakubagua, sifa ya Wachaga ni ubahiri kwenye pesa, hawana mchezo na pesa hilo lipo wazi, hamkumwelewa, umetumia ubabe kwenye madhabahu.
@bintihussein502
@bintihussein502 5 лет назад
Makonda umeonewa tu..kwani kusema ukweli nishida looh!
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Binti Hussein unajua unachokisema au?? Mbona serikali ikiambiwa ukweli inakua shidah??Double standard ww.
@bintihussein502
@bintihussein502 5 лет назад
HHS hs nakijua nannamaanisha.
@bintihussein502
@bintihussein502 5 лет назад
HHS hs alafu kumbuka Mimi sio wewe hivyo kamuulize kama nawewe unaakiri zakushikiwa unikomeee
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Binti Hussein najua kama wewe sio mm.Comment yako tu inaonesha huezi lingana na mm ata mara moja.Lapili mimi siingii period.So yah,we are soo different.Go find yaself job.U seems u gat nothing to do.Au kapike japo maandazi ramadhani hii.
@bintihussein502
@bintihussein502 5 лет назад
Uliona wapi shoga akaingia period?? Mungu aniepushie
@mbowegodlisten5744
@mbowegodlisten5744 5 лет назад
kiburi si kizuri
@kelvinmwakyusah7311
@kelvinmwakyusah7311 3 года назад
Kila siku huwa nasema hii nchi niyetu sote tuache kubaguwana Kwa itikadi ya vyama
@franckgudluckmpogole1066
@franckgudluckmpogole1066 5 лет назад
Amen
@piijey7977
@piijey7977 5 лет назад
Lipo nililojifunza hapa. Kiongozi usitanie watu. Nilichodhani wakati RC Makonda anasema maneno yale pale Karimjee Hall, alikuwa anamsifia Mengi kuwa ni Mchaga tofauti sana na wachaga wengine, na alifanya kutania kwa kusema aliyoyasema. Mimi binafsi niliona ni utani tu. Kumba haikuwa hivyo. Hilo nimejifunza namimi.
@aishahassan1179
@aishahassan1179 5 лет назад
Kweli kabisa akuwa na nia mbaya
@mamachris6811
@mamachris6811 5 лет назад
Hats hivyo msg sent ni kweli hawasaidigi kama wewe sio mchaga mwenzie Utani ulio kweli
@borakonde5908
@borakonde5908 5 лет назад
Acha ubaguzi wew
@mariacassian2738
@mariacassian2738 5 лет назад
Wachaga wanasaidia watu sana ilahuwa tatizo wachaga wengi niwakristo nakanuni yawakrsto unapotoakitu hatamkono wakowakuume usijue kamaunatoa
@mariacassian2738
@mariacassian2738 5 лет назад
Makonda nawewe hatakama unamchukia mtu usijumlishe halafu muombe mungu akupehekima hunahekima
@poasanaevaristo1987
@poasanaevaristo1987 5 лет назад
Naona
@hajiharun3587
@hajiharun3587 5 лет назад
Kumbe madhabahuni suruali za stahili ile mbele ya hafla kubwa kwa Mtu mwenye heshma ktk Taifa unamuaga kwa Vazi lile, Dr. Bashiru nimekuelewa.
@robertmshana8730
@robertmshana8730 5 лет назад
Nilichokisema mwaka Jana ninakusimamia hichohicho.
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 5 лет назад
nimempenda bure makonda
@barakamungure830
@barakamungure830 5 лет назад
makonda hana kosa acheni siasa
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Wachaga mkiambiwa ukweli mkubali wachoyo sasa ninyi wabahili wakubwa ni mengi tu mtoaji mnasaidiaga ndugu zenu tu
@The50JOSEPH
@The50JOSEPH 5 лет назад
Acha uvivu fanya kazi
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 5 лет назад
The50JOSEPH hahhahahahahahah
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 лет назад
Lydia Thadeous yeap
@peterluoga458
@peterluoga458 5 лет назад
Mbowe sio mtu mzuri nimemzarau kuanzia leo
@ayshaysh3326
@ayshaysh3326 5 лет назад
Aibu ya mwaka☺
Далее
MAKONDA Akimuomba Msamaha MBOWE, Askofu AWAPATANISHA!
4:03
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 811 тыс.