Тёмный

KILIMO CHA MATIKITI(watermelon)-Part 2 

Food Mark
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@leonardmwamwenda
@leonardmwamwenda 29 дней назад
Kiongoz minipo mbeya wilaya kyela vpi nikilima tikiti maji mwezi wanane ntaweza kupata soko
@BabaHassani
@BabaHassani Месяц назад
Me nimepanda kawaida2 nitumie namba zako kaka
@hilmiyayah9311
@hilmiyayah9311 5 лет назад
Hongera sana Mungu akubariki
@jambofarmoperater924
@jambofarmoperater924 6 лет назад
nawapongeza kwa kazi nzuri mnayo fanya naitwa Benson nipo moro ..naweza pata soko nataka nilime mwezi wa saba
@foodmark482
@foodmark482 6 лет назад
jambo jambofunny Lima tu,soko wala huwezi kulimaliza
@FadyutFadyut
@FadyutFadyut 4 года назад
@@foodmark482 👍💪
@fatmaally6932
@fatmaally6932 10 месяцев назад
Je mbolea ya dap ktk kupanda mbengu unaewekaje inagusishwa na mbengu?
@bitabosixbert4843
@bitabosixbert4843 5 лет назад
Niko Mwanza,nilikuwa nahitaji kujua sehem nakoweza kuwaona,mimi niko Bugando
@rosejosephrose587
@rosejosephrose587 4 года назад
Asante Sana ndugu Fabian, nimekuwa nikitazama video zako juu ya kilimo cha Tikiti, ningependa nami nifanye kwa mara ya Kwanza nyumbani, hivyo kutokana na uzoefu nilio uona kwako, ningependa unisaidie katika majaribio yangu katika eneo langu nyumbani kwa kunipigia simu kupata kuelekezwa kama muongozo pindi nitakapokuwa tayari kuanza, saidia maana Mungu anaagiza hivyo! Namba yangu ni 0658 201978, kwa jina la ngu Evance Sanga . Asante!
@ufahamuhalisi7610
@ufahamuhalisi7610 2 года назад
Vizuri kujifunza
@hadijamzinga8473
@hadijamzinga8473 2 года назад
9d
@bitabosixbert4843
@bitabosixbert4843 5 лет назад
nashukuru sana,umenifungua akili na kuna kitu nimejifunza,samahani nilikuwa nahitaji namba zako
@emmanuelmkinga4804
@emmanuelmkinga4804 Год назад
Fabian, matikiti shimo kwa shimo ni futi mbili au mita mbili maana hukua na uhakika. Na vipi mstari kwa mstari ni umbali gani??
@josephissara3599
@josephissara3599 Год назад
Je Mimi nikipanda tikiti maji kwenye eneo lililopandwa mihogo japo halijawahi kupandwa matiki maji?je litastawi?
@castongasi5421
@castongasi5421 6 лет назад
Me naomba kazi
@foodmark482
@foodmark482 6 лет назад
CASTO Ngasi utaliweza jembe😀😀
@christermbawa3060
@christermbawa3060 6 лет назад
Well done bro
@stevengabriely9387
@stevengabriely9387 Год назад
Je naweka kupanda pamoja na kuweka mbolea mda huo huo
@novatusfabian4109
@novatusfabian4109 6 лет назад
mkuu hiyo nzuri, unapatikana wapj
@foodmark482
@foodmark482 6 лет назад
NOVATUS FABIAN Mwanza kaka
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
@@foodmark482 kaka mimi nisaidie namba yako ya wasap ili nisaidie niko nje ya nch naitaji like soon
@gracesawaya4283
@gracesawaya4283 Год назад
Kila shina linatakiwa kuwa na matunda mangapi ya tikiti?
@josephissara5704
@josephissara5704 3 года назад
Je mbegu ya african seedy inaotesha pia?
@avax5717
@avax5717 6 лет назад
kama nikifanya soil testing je?
@imanindongosya723
@imanindongosya723 4 года назад
Tuta moja na lingine ni futi ngapi
@stevenwendeline4457
@stevenwendeline4457 3 года назад
5 lol
@harunaiddi5628
@harunaiddi5628 5 лет назад
Ok
@ufahamuhalisi7610
@ufahamuhalisi7610 2 года назад
Matiti yanachukuwa mda gani kuvunwa shambani
@gloriankungu9799
@gloriankungu9799 5 лет назад
mi,naomba ukisha andaa shamba mmea ukisha kua umetumia sawa gani kuzuia wadudu
@gloriankungu9799
@gloriankungu9799 5 лет назад
sorr umetumia dawa gani kuzuia wadudu
@lightnesslutengano8652
@lightnesslutengano8652 3 года назад
Samahan ety kaka Fabian unaweza panda bila mbolea halafu baada tu yakuota ndio uweke DAP au otesha ni vibaya
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 дня назад
Ndio
@philimonmalulu465
@philimonmalulu465 6 лет назад
good job jamani
@shakimombemsafiri5794
@shakimombemsafiri5794 6 лет назад
Nisaidie sababu za matikiti machanga kuoza na namna ya kuzuia
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Kaka samahan naomba namba yako ya wasap kilimo naitaji kufanyia mwanza please naitaji unisaidie 🙏🙏🙏
@noelychawala6520
@noelychawala6520 5 лет назад
naomba mimi hapa namba yako 0672203458
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
@@noelychawala6520 asante kaka nakutafuta now
@japhetmgeta7150
@japhetmgeta7150 6 лет назад
Kwani huwezi kupandia tu pad kama hauna mbolea ya samadi
@foodmark482
@foodmark482 6 лет назад
Japhet Mgeta unaweza pia kupandia tu DAP
@wilbardroman6139
@wilbardroman6139 6 лет назад
Nahitaji elimu zaid niweze kulima hili zao
@mosesjosephemmanuel986
@mosesjosephemmanuel986 4 года назад
Wilbard Roman naitaji number yako
@josephatgabriel8730
@josephatgabriel8730 6 лет назад
helo kama inawezekana toa namba yakoo ya simu...
@foodmark482
@foodmark482 6 лет назад
josephat Gabriel kutoa namba huwa sio tatizo ila hatupendagi kulipa consultation fee
Далее
KILIMO CHA MATIKITI-Part 3
8:55
Просмотров 59 тыс.
УГАДАЙ ЕДУ ПО ЭМОДЗИ! #shorts
00:57
Просмотров 81 тыс.
Kilimo cha Tikiti Maji - Part 2
30:56
Просмотров 25 тыс.
SHAMBANI TIKITI MAJI NA MRISHO MPOTO
28:51
Просмотров 35 тыс.
Focus On Permaculture Farming | Kilimo na Biashara
26:08