Тёмный

HlSTORIA ..MJUE KIJANA ANAETENGEZA MILIONI 120 KWA MIEZI 3 ATOBOA SIRI NZITO 

Swahili Tv
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@PeterOchieng-di7my
@PeterOchieng-di7my 11 месяцев назад
Mwezangu umeniongezea jitihada sana. Nyanya nyanyua nyanya nyanyasa.
@AronThomas-ws1sy
@AronThomas-ws1sy Год назад
Hongera sana na Mimi ni mkulima wa nyanya nipo mwanza unatumia mbegu gan
@abbycherop4138
@abbycherop4138 Год назад
Nice congratulations ,🇰🇪
@chillypips-yq6vh
@chillypips-yq6vh Год назад
Emanuel aliwekeza kupata knowledge first be careful 📌📌📌
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Год назад
Nyanya nyanyua congratulations 👏 brother mungu Aibariki sana kaziyako
@stanleyevanda797
@stanleyevanda797 Год назад
Hongera sana brow
@sylviacornely4688
@sylviacornely4688 11 месяцев назад
uko vzr kaka, unajiamini sana, endelea Ivo ivo, Mungu yupo nawe
@RazaliaHamandi-jy7fh
@RazaliaHamandi-jy7fh Год назад
Hongera Sana kaka nimejifunza hyse
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Hey mtangazaji samahani kwenye swala la kipato anachopata maana usijetusababishia hao TRA kamatabkamatabwakaanza kuvamia kukamata wakulima kulipa KODI
@katrinebirktoft4901
@katrinebirktoft4901 11 месяцев назад
Hivi wakulima hawalipi kodi
@TufikeMbwambo
@TufikeMbwambo 6 месяцев назад
Wanalipa her!!
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
Tupe no. Your very special and blessed ulijua kushika fusa umejitahidi kijana lakini umejitahidi MUNGU Amekusaidia amelipa Nguvu.
@daudbulba9153
@daudbulba9153 Год назад
Kaka naomba namba yako mimi nalima ila sio kisasa kama wewe
@apolinamushi23
@apolinamushi23 Год назад
Knowledge is power 🤝 hongera Sana bro
@revinmlay5031
@revinmlay5031 26 дней назад
Big up brother,👍
@user-hp1xe4tf4p
@user-hp1xe4tf4p 10 месяцев назад
Hongera sana kakaang kweli upo na Akili sana umeniamasisha sana kwa kilimo cha nyanya
@MudiMsangi-kk4ed
@MudiMsangi-kk4ed Год назад
Aloooo Braza umenikosha sana , nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe😂😂😂😁
@josiahkulwa5318
@josiahkulwa5318 Год назад
Great 👍
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Год назад
❤ hongera sana
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Hongera sana Kaka?kilimo sio kutu cha sjabu.ila watu wskisha soma huona Kilimo ni kazi ya chini haiwahudu wao.lkn wanahitajia Kula vizuri!
@user-ew4io7vp1k
@user-ew4io7vp1k 2 месяца назад
Hongera sana kaka,naomba nije kujifunza
@mwaisunilaizer8438
@mwaisunilaizer8438 Год назад
Hongera sana ndugu
@nyanchokachacha9954
@nyanchokachacha9954 Год назад
Hongera Sana Kijana.
@alphakissendi4585
@alphakissendi4585 Год назад
Na mbegu anayolima ni Dhahabu F1
@PauloMsando
@PauloMsando Месяц назад
Nice connection
@happylemboto9103
@happylemboto9103 Год назад
Nice
@danmtuli9484
@danmtuli9484 Год назад
…that’s the point, kilimo ni biashara wa sio cha walifeli kimaisha ka tunavyo fikilia🇹🇿🇰🇪
@kamanda007
@kamanda007 Год назад
Bongo fursa kila kona, hongera kwa kuonyesha njia
@user-il7dy5ug2m
@user-il7dy5ug2m 9 месяцев назад
Hongela😊
@MasoudHamad-dx9mt
@MasoudHamad-dx9mt 22 часа назад
Nahitaji kujifunza kilimo zaidi
@NeemaSanga-tu1gk
@NeemaSanga-tu1gk 11 месяцев назад
Safi sana kaka umekua mfano kwa wengi
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Nilichojifunza hapa kabla hujafanya lolote lazima uwe na Elimu na hilo jambo
@dn.n4983
@dn.n4983 6 месяцев назад
Hongera
@MariaMroso-eo2wt
@MariaMroso-eo2wt 7 месяцев назад
Hongera sana
@sylivanomwanossa8213
@sylivanomwanossa8213 Месяц назад
safi sanaa
@ezekielenock4650
@ezekielenock4650 6 месяцев назад
Hongera sanaaa na mimi natamani kulima nyanya mkuranga vipi hali ya hewa inaruhusu kweli?
@user-ds5tu6xy2v
@user-ds5tu6xy2v Год назад
kaka hongera sana, nimepata ujuzi zaid ya niliokuwa nao, Mungu azidi kukubariki, na pia vijana tujifunze kutoka kwa kaka yetu aliyejiajiri yeye kama yeye kupitia kilimo bora. "Nyaya nyanyua, nyanya nyanyasa"
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
Maono Alipewa na Mungu akayaatamia na kujitia Nguvu
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Год назад
Mtangazaji Asante Sana kwa namba ila nahi namba ya mkulima.
@fredrickandrew798
@fredrickandrew798 Год назад
Congratulations/ hongera sana nakutakia kila la kheri, watu kama hawa waachwe wa thrive ili waajiri watanzania wengi zaidi. Lakini utakuta watu wa kodi za ndani wataanza kukupigia hesabu za kodi ya mapato. Please let us work hard, fursa kwenye Kilimo ni dhahiri tuwatie moyo wajasiriamali kama hawa.
@triphonetawete3268
@triphonetawete3268 Год назад
Mm
@allandavid752
@allandavid752 2 месяца назад
Huyu jamaa sijamuelewa alipata hela akalima heka tisa akapata milion 70 halafu akaongeza heka moja.. why alitoka kwenye heka mbili akarukia tisa kutoka kwenye tisa kaongeza moja tu
@alphoncepeter6765
@alphoncepeter6765 2 месяца назад
Kuna vitu anaongea simwelew kwanza haelezei vizuri kuhusu mtaj wake its seems ana mtu behind the scene anaeisimamia shoo nzima ukute hata kusoma aliyempeleka ni huyo mtu
@albertalistides5428
@albertalistides5428 Год назад
Hongera sana Bro. Mimi mwenyewe nalima nyanya, ila nimepata funzo fulani kwako. hasa hilo la kufeli mara ya kwanza ukaamua kuchukua kozi fupi kutoka SUA.
@EsterManka
@EsterManka 9 месяцев назад
🙌🏻🙌🏻
@dn.n4983
@dn.n4983 6 месяцев назад
Naomba no simu emmanual kwa ushauri kilimo
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Год назад
Zake
@zainabumahenge2048
@zainabumahenge2048 Год назад
Hongera sana kwa kuwa mkulima umetupa hamasa
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe 11 месяцев назад
Hii ni interview Bora za wakulima wote walioojiwa inamotivate
@AsanterabiNkya
@AsanterabiNkya 8 месяцев назад
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 2 месяца назад
Nyanya nyanyua nyanya nyanyasa 😂
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Месяц назад
Huyu mwandishi anaambiwa anauliza tena
@realskywalker4509
@realskywalker4509 6 месяцев назад
heka moja kreti 200 ni ndogo sana... heka moja mazao madogo kreti 600
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 Год назад
Muandishi km magu
@Trey2k365days
@Trey2k365days Год назад
Iga ufe😂
@user-rm3lp9hi1n
@user-rm3lp9hi1n 7 месяцев назад
Uvumi muache jamani wakulima wasijekuvamiwa na TRA
@user-nt6zo4no5l
@user-nt6zo4no5l 7 месяцев назад
Mimi, nilijalibu, kulima, nikanyanganywa, mashine, ya, kuvutia, maji, na, mkuu, wa, wilaya, aliniludisha, nyuma,. roho, inauma,. Sintosahau, maishani, mwangu
@user-ft8vo2tl2b
@user-ft8vo2tl2b 6 месяцев назад
Wakulima wenzangu tunaolima nyanya tusikate tamaa kwa garama ya uwekezaji wake hizo niporojo tu tupambane tu
@kingkendrickk
@kingkendrickk 11 месяцев назад
Iga ufe 😂😂😂
@hosianaminja7034
@hosianaminja7034 4 месяца назад
Kantangaze akiingia chambani ukishindwa kumtoa utajua hujui kilimo utakiona kigumu
@agapejosceline8262
@agapejosceline8262 Год назад
Congrarulation . Kazi njema na hongera sana. Short courzi ya kilimo ina patika wapi? Na tamani kui soma pia
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Год назад
rudia kuisikiliza tena utajua tu
@PartSany-xe7ls
@PartSany-xe7ls 9 месяцев назад
Namba zake pls
@user-iz7gj6oc2u
@user-iz7gj6oc2u Месяц назад
naomb namba ya mawasiliano
@PartSany-xe7ls
@PartSany-xe7ls 9 месяцев назад
Naombeni namba za huyo mbaba ili anifundishe vizur
@joycejackson2320
@joycejackson2320 10 месяцев назад
kila kitu kina maana ukikitumia vzr hata degree watu wanafanya mambo makubwa sana! ni wewe tu na akili yako!!
@zuhurasaidi7390
@zuhurasaidi7390 8 месяцев назад
Tupe namba yako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Kwani wewe nani kombo kama sikuelewi
@anithapaulo6470
@anithapaulo6470 Год назад
Mimi naomba namba ya huyo kijana anielekeze vizuri
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 Год назад
Short course tu ndo imemunyanyua, hayo madegree miaka 3 au 4 wastage of time!
@EugenAssenga
@EugenAssenga Год назад
Kweli elimu inatuset pabaya sana
@EugenAssenga
@EugenAssenga Год назад
Atufundishwi kupamban na mtaa
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 Год назад
Inatufanya vilema wa akili, na mwisho hakuna ajira
@chriskuboja4234
@chriskuboja4234 Год назад
Hiyo short course amefundishwa na nani?
@daudmasawe4459
@daudmasawe4459 Год назад
Ndugu naomba nisaidie namba ya kupat wot pamp ya nch 8 au kum ntapat wapi na mipir yake
@user-mg2jv2cx5d
@user-mg2jv2cx5d 6 месяцев назад
Naomba nipatie namba mimi ejo.e.mbwamb
Далее
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Просмотров 21 млн
[RU] Winline EPIC Standoff 2 Major | LAN | Final Day
9:48:47
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
Просмотров 14 тыс.