Тёмный
No video :(

KILIMO CHA NYANYA: DONDOO MUHIMU | MBEGU BORA | MBOLEA YA KUPANDIA | MASOKO YA NYANYA | VIWATILIFU 

Shamba hub
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Fahamu kuhusu Kilimo cha Nyanya kutoka Katika Shamba Darasa lililoandaliwa na Rikolto kupitia Mradi Wa AGRI-CONNECT; Shamba Darasa la Ndugu Victor Kasebele lililopo kata ya IYELA Mbeya Vijijini.
Kufahamu zaidi sikiliza Taarifa hii au tufuate kupitia @shambahubtz Instagram, Facebook na Twitter.
#Horticulture #shambadarasa #Nyanya #Tanzania

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@geofreymahonje956
@geofreymahonje956 2 месяца назад
Nimekuelewa sana mtalam
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 4 месяца назад
Asante kwa somo zuri naomba no yako
@PeterOchieng-di7my
@PeterOchieng-di7my Год назад
Asante sana tena sana nimehifunga mengi
@user-fz1rs7lw1h
@user-fz1rs7lw1h 9 месяцев назад
Asante kwa maelezo yako na darasa Bora kwe2 wakulima
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 месяца назад
Habari naomba no yako
@user-rn7oo5ic8q
@user-rn7oo5ic8q 10 месяцев назад
Naomba nitajie dawa za viwatilifu vya spainer torm
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 4 месяца назад
Tunaomba no yako
@gprosper8935
@gprosper8935 2 года назад
Ahsante Kwa Somo zuri la kilimo cha nyanya
@shambahubtz
@shambahubtz 2 года назад
Karibu sana
@goodhopeernest157
@goodhopeernest157 3 месяца назад
Naomba namba yako
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 месяца назад
Hiyo nyanya ni aina gani?
@amonzachary2718
@amonzachary2718 2 года назад
Boss hviii hyooo miti ya staking inakaa distance gan mti mpk mti
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 месяца назад
Mbegu gani?hiyo nyanya?
@kasaseemmanuel9976
@kasaseemmanuel9976 6 месяцев назад
naomba unisaidia mfano wa viuatilifu vyenye phosphite?
@ayubuchima1364
@ayubuchima1364 2 года назад
Mbolea yara winn na naitrbo zinaptikan wap
@Salumathumani-ld8ob
@Salumathumani-ld8ob Год назад
Naitaji,mbegu?
@husseinkombomwachikobe8828
@husseinkombomwachikobe8828 Год назад
Asante.ntumie.nomba.yako.
@shambahubtz
@shambahubtz Год назад
0752101023
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 года назад
Napataje mbegu
@shambahubtz
@shambahubtz 2 года назад
Tafadhali wasilisha namba yako kwa mawasiliano zaidi
@ayubuchima1364
@ayubuchima1364 2 года назад
Nahitaj mbegu ya nyanya zara f1 za kutosha nus heka
@shambahubtz
@shambahubtz 2 года назад
Unapatikana wapi? Wasiliana nasi 0715 847561
Далее
KILIMO CHA NYANYA KINAMKOMBOA MKULIMA // KILIMO SOKONI
35:49
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
18:22
Просмотров 2,1 тыс.
MRISHO MPOTO NDANI YA KILIMO CHA NYANYA
31:30
Просмотров 13 тыс.
Upandaji wa miche ya mazao
31:02
Просмотров 9 тыс.
MBINU  11 ZA KUDHIBITI MAGONJWA YA NYANYA
9:16
Просмотров 18 тыс.