Тёмный

KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO -KANUNI MUHIMU NA BAJETI (PART 2) 

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 3 тыс.
50% 1

UNAWEZAJE KULIMA NYANYA KWA KUTUMIA PESA KIDOGO NA HUKU UKAWEZA KUZALISHA NYANYA KWA FAIDA KUBWA? VIDEO HII ITAKUPA MAARIFA JINSI YA KULIMA NYANYA KWA MAFANIKIO MAKUBWA
#ajefarms #mashambayanayotyembea #ufugaji #kilimobiashara #smartagriculture #tanzania #travel #agriculture

Опубликовано:

 

14 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 12 часов назад
So clear
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 часа назад
Thanks. Kindly SUBSCRIBE to watch other videos as we upload them right here.
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 Месяц назад
Kipindi ni kizuri lakini hukujiandaa vizuri maelezo yanajichanganya
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Месяц назад
Mahali gani tujiandae vizuri zaidi kwa kipindi kijacho?
@MmakuwaMakwemba
@MmakuwaMakwemba Месяц назад
Nahitaji mbeguu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Месяц назад
Gram 50 ni TZS 50,000 Hakikisha unaSUBSCRIBE na kubonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi. Kwa maelezo zaidi WhatsApp:0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@auni_tv
@auni_tv 17 дней назад
Kitabu cha elimu ya nyanya bei gani?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 17 дней назад
Kitabu cha KILIMO CHA NYANYA ni TZS 3,000 ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE. Tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp:0757 757 968. SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi.
@johnsonhenry6491
@johnsonhenry6491 25 дней назад
Namba zenu za whatsaap ni zipi nahitaji mbegu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 25 дней назад
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Tafadhali SUBSCRIBE,like na share video hii ili uendelee kujifunza zaidi. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali WhatsApp:0757 757 968 .
@hafsamtipula1534
@hafsamtipula1534 25 дней назад
Nyanya yangu ilo na Maura niweke mbolea gan
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 25 дней назад
Tumia UREA. SUBSCRIBE, like na share video hii ili uendelee kujifunza zaidi. Kwa maelezo zaidi tafadhali WhatsApp:0757 757 968.
@zulkilamo6514
@zulkilamo6514 Месяц назад
Nahtaj elimu tosha kuhusu kilimo cha nyanya maana nahtaj kujiajili
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Месяц назад
Utatakiwa kuwa na kitabu cha KILIMO CHA NYANYA ambacho ni mwongozo kamili wa KILIMO CHA NYANYA kwa wakulima wazoefu na wanaoanza. Agiza kitabu kwa kutuma ujumbe WhatsApp:0757 757 968 Hakikisha pia UNASUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@jovituskamugisha6530
@jovituskamugisha6530 Месяц назад
Hiyo nyanya ya mche mmoja kutoa kilo 1 ni mbegu gani na inazaa matunda mangapi??? Maana hata za kukamua zina uwezo wa kutoa matunda mpaka 30 ukiachilia mbali hybrid ambazo hutoa matunda zaidi ya 150 zikihudumiwa vzr. Kwa mche mmoja kutoa kg1 mkulima anakuwa amefeli kupita kiasi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Месяц назад
IZINGATIWE KWA FAIDA HII NI KUTOKANA NA KIASI KILICHOWEKEZWA . HII VIDEO INAHUSU KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO. Ni kweli ukiweka pesa kidogo tegemea mavuno yanayofanana. Ikiwa utaweka pesa ya kutosha na faida itakuwa kubwa hata MARADUFU. Ila kwa mtaji wa takribani TZS 2,500,000 si haba kupata faida TZS 5,000,000 - 8,000,000 .
@jovituskamugisha6530
@jovituskamugisha6530 Месяц назад
ok
Далее
KILIMO BORA CHA NYANYA CHUNGU | NGOGWE
8:59
Просмотров 1,6 тыс.
Solar powered fixed sprinkler irrigation system
11:28
Просмотров 119 тыс.
KILIMO CHA MATIKITI(watermelon)-Part 2
7:56
Просмотров 36 тыс.