Тёмный

KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO 

Kilimo Biashara
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Kwa sasa kuna msukumo mkubwa wa uzalishaji hasa ukizingatia ongezeko la walaji katika miji inayokua kwa kasi. Kwa sababu hiyo viazi mviringo ni zao muhimu la biashara na pia kwa ajili ya usalama wa chakula nchini.
Kilimo Trust kwa kushirikiana na wadau wanatekeleza mradi wa CHIPS unaofadhiliwa na Comic Relief(rilifu) unaolenga kuongeza kipato kwa kaya zinazojishughulisha na kilimo na biashara ya viazi mviringo, kuimarisha biashara ya viazi mviringo na bidhaa zake na kuongeza ushiriki wa wanawake na vijana kunufaika na zao hili.

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@simonseyongwe
@simonseyongwe 5 лет назад
Makala nzuri Sana Kwa mafunzo izi
@charlesmadia5655
@charlesmadia5655 3 года назад
Nitapataje hizo mbegu bora Niko Rulenge Ngara
@oframtvytchannel
@oframtvytchannel Год назад
Mbegu bora ya kiaz naipataje
@wilednzunda.9887
@wilednzunda.9887 2 года назад
Iko vema sana
@andrewmariki6090
@andrewmariki6090 4 года назад
Tafadhali tunaomba makala ya kilimo cha soya
@emmanuelmwampale2273
@emmanuelmwampale2273 5 лет назад
Nimeipenda hii
@jean-claudegowelle6910
@jean-claudegowelle6910 5 лет назад
Nakenda sana hizi makallaaa
@castrosiame6390
@castrosiame6390 4 года назад
Asante karbuni Mbeya Rungwe
@hellenmkuye5379
@hellenmkuye5379 5 лет назад
Tunataman kulima lakin tunaanzia wapi.au tukiwatafuta nyinyi tutapata muongozo mzuri kwanzia mwanzo wakuanza kulima,mashamba,masoko...!kilimo biashara tuelimishen jamn
@davidnyimbo8870
@davidnyimbo8870 4 года назад
Tafadhari naomba namba
@jacksonvkavano3322
@jacksonvkavano3322 2 года назад
Naomba namba za sim
@akidasalim3859
@akidasalim3859 2 года назад
Asante
@khamismohammed899
@khamismohammed899 5 лет назад
Naomba namba zenu
@adelfinabanda6697
@adelfinabanda6697 5 лет назад
Udongo upi unafaa
@nyongezasyl7802
@nyongezasyl7802 5 лет назад
Naitaj mbegu pia 0752494987
@petersongo8155
@petersongo8155 4 года назад
Ni kweli changamoto kubwa ni mbegu ushauri wangu serikali iongeze vituo nya uzalishaji mbegu
Далее
#SHAMBALULU: Kilimo cha viazi Mviringo
32:17
Просмотров 9 тыс.
KILIMO CHA PARACHICHI NJOMBE
26:08
Просмотров 46 тыс.
KILIMO CHA MITI
28:06
Просмотров 33 тыс.
Bei ya viazi mviringo yaporomoka masokoni.
5:31
Просмотров 2,8 тыс.
kilimo cha viazi mviringo/viazi ulaya
10:05
Просмотров 23 тыс.