Тёмный

KILIO CHA MJANE (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya ya Mt. Cesilia Parokia ya Mirerani 

Verony Productions
Подписаться 284 тыс.
Просмотров 106 тыс.
50% 1

Available on all Platforms: album.link/tnz...
Download or listen online: mdundo.com/son...
Performers: Kwaya ya Mt. Cesilia Parokia ya Mirerani
Publisher: Verony Productions Ltd.
Composer: E. A. Minja
Copyright ©Verony Productions Ltd.
Ni nani wa kuwasaidia na kuwajali wajane
Ni sisi tuliowapenda walipokuwa na waume zao
Ni nani wa kuwasaidia na kuwajali wajane
Ni sisi tuliowapenda na sasa tunawadhulumu hao
(Tazama leo ni sisi wenyewe chanzo cha huzuni kwao
Tazama leo ni sisi wenyewe chanzo cha machozi yao) x 2
(Ni nani atakayekisikiliza kilio cha mjane
Ni nani atakayekijali kilio cha mjane) x 2
Mlishirikiana nao vizuri walipoifunga ndoa yao
Tazama bibi harusi walimkaribisha kwa nderemo
Chereko chereko tushangilie kaka yetu leo kapata jiko
Karibu karibu wifi karibu karibu hapa ni kwako
Maisha mazuri maisha magumu ilikuwa ni siri ya wawili
Maisha kufanikiwa hiyo ni siri ya baba na mama
Maisha ya ndoa yakitenguka baba mwenye nyumba akitutoka
Hatamu tunaishika kuchukua mali za marehemu
Wewe utachukua gari lile, mashamba yake mimi nitayatunza
Na nyumba ya marehemu ataisimamia kaka yetu
Mama na watoto tunafukuzwa thamani ya utu wetu haipo
Maisha ya kuzurura yatufaa kwa kutokwa na baba.
Wengine wanachukua watoto wa marehemu wakawasomeshe
Na kumbe ni hila tupu wanafanyizwa kazi ngumu ngumu
Kupika na kudeki kazi yao kufua nguo hata na kupasi
Huruma itakujia ukiwaona wanavyosoteshwa
Ndugu yangu leo ninakuomba mimi nawe sasa tubadilike
Na tuwe kitu kimoja mfano wa kuigwa na jamii
Tuonyeshe na kudhamini haki za wajane hata na kuwajali
Watoto tuwajengee misingi mizuri ya baadaye.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
Далее
Kijito Choir - Simba wa Yuda (Official Video)
9:44
Просмотров 1,2 млн
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
Просмотров 27 млн
Holy Trinity Studio - Wosia ( Official Music Video )
7:32