Kama mnaogopa majibu ya mtu muwe mnaacha kumhoji. Haongei matusi anaongea ukweli. Amezungumzia ukweli kuhusu bongomuvi wakike mkakata, na kuna point zingine amezizungumza mmekata kata video. Huo ni utoto... ni kweli vijana wengi wameacha masomo, wamekosana na ndugu, wameingia ktk utumiaji wa vilevi na kutumia pesa nyingi ktk muziki au filamu wakajikuta matatani mbeleni. Tumeona sans tu... Acheni mtu afunguke au mmwambie kabisa asiweke matusi au maneno makali mkiwa bado hamjaanza interview