Тёмный
No video :(

KIMENUKA MBEYA Wafanyabiashara wacharuka "MWIGULU HAFAI ANAUA BIASHARA ZETU TASK FORCE INATUUMIZA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 313 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

KIMENUKA MBEYA Wafanyabiashara wacharuka "MWIGULU HAFAI ANAUA BIASHARA ZETU TASK FORCE INATUUMIZA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Месяц назад
Mama Samia mbadilishie kitengo mwigulu nchemba jmn.Mama Samia niwaziri mwenye dharau Napia anakufunba macho namasikio usijue anavyoumiza watanzania sana.
@RabihuHussein
@RabihuHussein Месяц назад
TRA ndio wezi wa kwanza kwenye hii nchi.
@deohank5995
@deohank5995 Месяц назад
Mungu tujalie ujasiri wa namna njema ya kujikomboa kifikra,ili tuondokane na haya madhila
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
Na Mwigulu ni Economist wa chuo kikuu Dar -es- salaam, atawezaje kuweka fain ya 15M? si mwenye duka analifunga kabisa, sasa kodi watatoa wapi? Rais Magufuli alisemaga viongozi wawe waungwana na hizi kodi za kukamatwakamatwa, wawe wanangalia uwiano
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Месяц назад
CCM ndio mchawi mkuu. Without CCM mambo yatafunguka hadi watu watashangaa
@farajimmari1523
@farajimmari1523 Месяц назад
Kwa ushauri wangu serikali iangalie kama hizi tax zitokanazo na efd zina umuhim sana wazipeleke bandarini manager ndiko mzigo unapitokea ndani tuwe guru kufanya biashara bora kitu kama unaweza kipata dukani mfano kwa 10000 kipatikane kwa 120000 kikiwa kishatozwa hiyo kodi yao ije kwa uhuru
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Huyu bwana anaongea ukweli yaliyomo,TRA hawasikilizi wanaamuru tu! Na sio TRA peke yao,kila afisa wa serikali amekua mfalme, wananchi kwao ni watwana hawana kauli za uongozi bali wa mamlaka tu! Hata kazi nzuri anazofanya Makonda Arusha,hawataki kumuiga ndio mana tunajiuliza hii hatua kwa mkoa mmoja tu unaleta faida ipi kwa mikoa mingine?na kwanini wakati huu kuelekea chaguzi? Kama serikali haitaruhusu katiba basi ýote haya yatakua zima moto tu! Matatizo ya wananchi yatajirudia kama mwanzo....
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
wanamambo ya ajabu kabisa
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Mtajipendekeza kwa samia hadi lini Mama mama mama utafikiri hauna mama yako ...wewe kama chalamila amewatukana. Ushasikia samia amemfuta kazi au amfute kazi mwigulu Au amfute kazi nape kwa taarifa za kusema hawategemei kura za box..inamaana samia anawaunga mkono....upuuuzi usimtukane mwigulu wetu koma koma hayo maneno toa neno mwigulu weka samia
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Huo ndo ukweli Na jambo lolote la kifedha kwa mujibu wa katiba anayeanzisha ni Raisi,mwigulu ni karani tuu aliwahi kusema Lissu
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Месяц назад
Sijawahi ona nchi zinazo dili na ukamataji risit ,ni Tanzania tuu!
@nestor384
@nestor384 Месяц назад
Kama huyu ndiyo mwenyekiti ana mawazo ya namna hii Nchi hii inapaswa kujikomboa kwa wananchi wake kulipa kodi including hao TRA, kodi ndiyo nyenzo pekee inayoweza ifanya nchi ijitoshereze kiuchumi Mbuzi kama huyu asingeweza kuongea huu ushenzi enzi za hayati Dr John Magufuli.
@AlexKinyaduka
@AlexKinyaduka Месяц назад
Mfumo waulipaji Kodi kwa mfanyabiashara sio muzuri
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 Месяц назад
Hongera sana msemaji unakila sifa za kua kiongozi
@user-ut2fo1hi9i
@user-ut2fo1hi9i Месяц назад
Raisi Samia mtowe mwigulu kwenye feza, au mbadilishe anaumiza wanaichi nimaoni yangu, wew raisi nimwamzi
@user-tm8rp2jh6x
@user-tm8rp2jh6x Месяц назад
Wafanyabiashara tunahitajika kuwa wamoja ili tushinde dhulma ya TRA bila hivyo tutaangamia
@farajimmari1523
@farajimmari1523 Месяц назад
Biashara zote nchini zimekua na unyonge hatari laiti wangejua biashara moja ukifunga hasara inayopatikana in kubwa kuzingatia serikali inakosa mapato,halmashauri pia wanapoteza,fire nao wanapiteza,TBS nao pia wanapoteza,waajiriwa pia nafamilia zao nao wanaathirika,walinzi na family zao pia wanaathirika pia kupoteza ajira nyingi,mhusika kushindwa kulipa mikopo na benk kuathirika pia,familia kuyumba kimasomo,biashara ya pango huathirika mmiliki was biashara hatimae kuandamwa na madeni yasiolipika na hats kumsababishia maradhi nakupoteza maisha ,kwamana hiyo hili swala litizamwe vema ndugu zangu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
mama Samia inabidi aweke kikao na w/biashara awasikiize. kisha aweke mikakati na watu wa TRA na wizara ya fedha..hii inaumiza sana. kwann TRA wasijitume kisheria kufanya kazi kwa akili na uadilifu? shida iko wapi na watu hawa jmni? mbona maumivu sana?
@edwardlyoba4909
@edwardlyoba4909 Месяц назад
Ujakosea kka wazili viyaz
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Ni nchi pakeyake inaokandamiza wananchi ktk Kodi alafu nchi ya ajabu sana nchi za karibu Hawana bahari wanachukua mizigo yao hapo tanzania lakini sisi Kodi kubwa balaa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Месяц назад
Kwa kweli Inchi hii hawaongei kweli ni wanafiki wakubwa. Ndiyo sababu hao hao wanajiita wanamungano wa Zanzibar na Tanganyika kumbe Zanzibar ina Inchi yake na raisi yake. Kwa sababu tu CCM hawataki kuitwa Watanganyika. Lakini wazanzibar wanafurahia kuitwa wazanzibar. Lakini hao CCM wanafurahishwa kuitwa watanzania ili waweze kufanya kufanya vitu kwa chini chini kwa sababu yakuwanufaisha wao kwa kuiba na kuwafanya wanainchi kuwa watumwa wao.
@Ushauri235
@Ushauri235 Месяц назад
Kwa kisukuma ukitohoa neno Nchemba unapata Nchembi maana yake mkataji kwahiyo ................
@AnnaMwanakatwe
@AnnaMwanakatwe Месяц назад
Hata Jofu ameambiwa kaongee na wafanya Biashara lcha kushangaza amepokewa. Na. Hicho kikundii kimempoteza
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Mumekua wakuchapa makofi mnajadili upumbavu Munatuhalibia bando Kwani mwigulu anakosa gani hamjui mama yenu samia ndiye anasaidi kodi halafu anampa mwigulu mwigulu hana kosa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
TRA ni wezi mnoo cha msingi muwe na camera ndogo muwamase watakoma hao wanacheza na mfumo unagandamuzwa lakini pesa haiendi serikalini wajanja wajanja tu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Месяц назад
Tanganyika hatuna uhuru kabisa kwa sababu wanataka wanainchi kuwa sisi wote ni watumwa wao.
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile Месяц назад
Kabisa huo ndio ukweli
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,4 млн
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,4 млн
Kora kora
0:06
Просмотров 20 тыс.