Тёмный
No video :(

kimenuka!!SIMBA WAMKAZIA CHAMA HAWATAKI ACHEZE YANGA!! CHAMA KAWASHTAKI TFF KISA KUTOPEWA BARUA!! 

LIKE MEDIA
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Месяц назад
Uyoo. Aliejibu. Maswala. Ya. Chama. Ni. Mwanasimba. Haii. Na. Tff. Tunajuwa. Wote. Ni. Wanasimba. Halisi. Wanamkomowa. Chama. Na. Yanga. Kwa. Kuogopa. Magoli. Mengi. Na. Baki. Tu. Bak
@gervaskashegu1940
@gervaskashegu1940 Месяц назад
Ndo maana wali sababisha goli 5 ili waiangushe Simba
@user-ke4qx5hm4c
@user-ke4qx5hm4c Месяц назад
Huyu jamaa haelewi kabisa lugano anaji tahidi lkn wp
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Месяц назад
Yanga wanamakosa wanazarau team zingine utamsainishaje mchezaji kati bado mali ya Simba ndo wao chama walimpa kiburi hata zile goli 5 Yanga walimtumia chama na baadhi ya wachezaji wajivunje sasa kiburi kimejulikana Simba kaza huyo mpaka arudi kwao Zambia❤❤❤ shida wanavunja sheria kisa wana Rais Hers uzuri na Wazee ya Yanga wamemgomea hawamtaki anawaonea🎉
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Месяц назад
Wewe kaa na hasira zako usubiri mapigo ya tarehe 08/08/2024 utajua hujui
@maryammussa2835
@maryammussa2835 Месяц назад
Yanga Hawana makosa chama hajasainiwa nayanga akiwa anamkataba cmba ,,chama mkataba wake na cmba ushamaliza kwa hy nimchezaji huru
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 Месяц назад
wa2 wayanga niwabishi kama mshipa wa......... msikilizeni vizur huyu jamaa na so ubish2 mnatakiwa mjue maana ya mkataba na so ubishi mwingie anasema tr 8 eti simba anafungwa usiishi kwa mazoea
@issaselemani491
@issaselemani491 Месяц назад
Mnaishambulia Yanga na inaendelea kusonga mbele.Chama mnasema ni mzee na wakati huo huo mnamnyima release.Sizitaki mbichi hizi.😂😂😅
@AnnaNdoss
@AnnaNdoss Месяц назад
Mkome Mlitakiwa Mje Muongoye Na Bozi Yake Mo, Mmemsainisha Bila Ruhusa Ya Mmilijki Wake Ametumia Zarau Sana
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Месяц назад
Simba kazia mpaka kieleweke kwa Feitoto Yanga kumpa sheria ngumu kuja kuchezea Simba malipo ni hapa hapa tu Dunianiiiiiii❤❤❤
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Месяц назад
Wakome
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 Месяц назад
Kumbe inauma ee Mlisahau ya Morrison. Anyway mchezaj hawatak muacheni tyuu au mnaona aibu Chama ameiacha simba na cyo simba kumuacha chama
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Месяц назад
UNAYEMUULIZA POYOYO TU,YANGA WAMEMSAJIRI CHAMA AKIWA HURU WEWE
@KhamisKinobad
@KhamisKinobad Месяц назад
Wwe mtangazaji unaingelea sana simb kama ulikuwepo kwenye mkataba
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Mbwai na iwe mbwai. Yanga walisema Feisal hawezi kucheza Simba sasa nawaomba Simba mkazie hapohapo na Mimi niko Kigoma kwa Babu yangu naendelea kuwaona viongozi wote wa utopolo kwenye kibuyu😂😂😂
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h Месяц назад
Makolo tabu ipo pale pale
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti Месяц назад
TFF hakunako utaratibu wa kueleweka; migogoro Kila inapotokea kuhangaishana kunakuwa kukubwa na kuchukua muda mrefu kana kwamba kanuni hazieleweki! Wachezaji wanaomaliza mikataba na timu zao bado wanapata usumbufu; uhasimu wa timu na timu unaachiwa uhuru wa kutesa wachezaji kujiunga na timu zao mpya.
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Месяц назад
Wewe unayemhoji Lugano angalia kauli zako. Unaposema ati Simba imeona ifanyehivyo kwasababu ya kunyimwa Lawi huo ni upumbavu uliokithiri. Kila kitu kinajitegemea. Simba wameshaachia wachezaji wengi wazuri kuliko Chama kwenda yanga bila figisu. Kwa Chama kuna kanuni zimevunjwa. Na alipokwenda Uarabuni kwa MO alisaini pia mkataba.
@user-zo8ws7dy7g
@user-zo8ws7dy7g Месяц назад
😂😂😂 eti alienda Uarabuni!
@user-zo8ws7dy7g
@user-zo8ws7dy7g Месяц назад
Kama amesaini huko kwenu basi mtangazeni sasa mbona hamumtangazi?
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Месяц назад
DU!H WEWE MTANGAZAJI UMESOMEA KWELI HIYO KAZI!!!!!????? MBONA UNAELEWESHWA MARA MBILIMBILI HATA MARA NNE NNE WEWE BADO UNAULIZA SWALI MOJA HILO HILO NA UZURI ANAEKUELEWESHA ANAKUELEWESHA KWA WELEDI NA SISI WASIKILIZAJI TUMEMUELEWA ILA WEWE MTANGAZAJI NI KICHWA MAJI MNO!".
@PamfreyMdeta
@PamfreyMdeta Месяц назад
Mtangazaji mwenyewe yanga boya tu
@brownmasai774
@brownmasai774 Месяц назад
Tarehe yenye nguvu ni ile ya Mkataba kamili. Huwezi kumpeleka mtu mahakamani kwa kesi ya fumanizi kwa kumkuta na mchumba wako. Memo Random of Understanding ni uchumba tu.
@user-qv8sv6hv7m
@user-qv8sv6hv7m Месяц назад
yanga wahuni2
@allychongowe2025
@allychongowe2025 Месяц назад
Hata ngoma pia kahusika kwenye goli 5
@JuliusKideula-qt4pq
@JuliusKideula-qt4pq Месяц назад
Huna lolote unalojua wewe kuhusu soma,usidanganye imma kolo wewe.
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Месяц назад
Huyu nae matako kweli hujui chochote
@EmanuelNestol
@EmanuelNestol Месяц назад
Simba kazeni hapohapo
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Месяц назад
Yupo huru
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Месяц назад
Achananen nae huyo nikumloga tu watamsahau
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 Месяц назад
Walishazoe ila Kwa hili liwe somo
@MwasomolaSteven
@MwasomolaSteven Месяц назад
Kubwa jinga ww..mm nimalze mkata alafu unambie nifuate utaraatbu wat huo niko nje ya mkataba ebu jiheshimu ww acha ushabiki
@user-dw6dh2wn8g
@user-dw6dh2wn8g Месяц назад
Jinga lingine nalo sijui limeibukia wapi
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Huyu jamaa ni boya hajui Sheria haihisi Chama kasainiwa tarehe 1/7/2024 akiwa mchezaji huru Sasa yanga iandike barua yanini 😂😂😂😂😂😂 Kweli ukiwa na ukolo lazima uwe kama Hawa watu Na nikushauri TU watu wa hii redio E Fm sio wakukupa taarifa sahihi utapotea ndugu yangu 😂😂😂 hawajui namna ya ufanyaji KAZI ya uandishi
@martinkabazo8412
@martinkabazo8412 Месяц назад
Ushaona wap barua anapewa mchezaji huru kama alisainishwa akiwa huru barua yann
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 Месяц назад
ushampikia mumeo lakin au mipira imekaa kichwan
@user-tl5oz3ws9m
@user-tl5oz3ws9m Месяц назад
Hii ndio TZ😂
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Месяц назад
MNATAPATAPA TU SEMENI UKWELI KWAMBA BADO MNAMHITAJI,MLIKURUPUKA TU KUMUACHA
@zuhumedia6184
@zuhumedia6184 Месяц назад
Dawa ya jeuri ni jeuri tu. Na tutakaza km mlivyo mkazia feitoto
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Месяц назад
Ni Simba ww hatukusikiliz toka
@ZAKARIASELE
@ZAKARIASELE Месяц назад
Imekula kwa utopolo
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 Месяц назад
Tumia akili
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Месяц назад
HAPO ni hisia tu simba inahisi chama kasaini mkataba kabla ya mkataba kuisha.ndani ya miezi sita😊😊
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Wala sio issue hiyo njoo tukuambie wakali wa sheria za soccer.
@jaspreetsinghbadwal7856
@jaspreetsinghbadwal7856 Месяц назад
TFF yenyewe ni Simba
@davismuzahula907
@davismuzahula907 Месяц назад
Someni sheria tatizo shule mnakimbia na maoni mnapenda kutoa
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Месяц назад
Email ya Nini mkataba utakuwa imesainiwa asubuhi baada ya miezi sita kuisha...😊😊😊😊
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Месяц назад
Anavosain ww ulikuwepo acha ujinga
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 Месяц назад
Toweni hiyo barua. Mmekwisha
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Месяц назад
Kwa Fei mbona mlishupaa aruhusiwe kutoka Yanga akiwa ndani ya mkataba?sasa Chama mkataba umeisha hataki tena kuchezea Simba mnamzulia tena mapya mnataka kumuuza wakati yuko huru?
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Месяц назад
Ewala mamaako, ww hujui chochote,Toka uko
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Месяц назад
Afya gani wewe lugano shabiki wa simba wewe
@IddyMzuri
@IddyMzuri Месяц назад
BENIY AJUI MIKATABA YA MIPIRA. BENY TULIA UFUNDISHWE
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Месяц назад
DU!H WEWE MTANGAZAJI UMESOMEA KWELI HIYO KAZI!!!!!????? MBONA UNAELEWESHWA MARA MBILIMBILI HATA MARA NNE NNE WEWE BADO UNAULIZA SWALI MOJA HILO HILO NA UZURI ANAEKUELEWESHA ANAKUELEWESHA KWA WELEDI NA SISI WASIKILIZAJI TUMEMUELEWA ILA WEWE MTANGAZAJI NI KICHWA MAJI MNO!".
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Месяц назад
DU!H WEWE MTANGAZAJI UMESOMEA KWELI HIYO KAZI!!!!!????? MBONA UNAELEWESHWA MARA MBILIMBILI HATA MARA NNE NNE WEWE BADO UNAULIZA SWALI MOJA HILO HILO NA UZURI ANAEKUELEWESHA ANAKUELEWESHA KWA WELEDI NA SISI WASIKILIZAJI TUMEMUELEWA ILA WEWE MTANGAZAJI NI KICHWA MAJI MNO!".
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if Месяц назад
Arudi K wao Zambia
Далее
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 6 млн