Тёмный
LIKE MEDIA
LIKE MEDIA
LIKE MEDIA
Подписаться
LikeMedia
Hii ni chanel inayotoa thamani ya michezo na matukio Katika maeneo yote ya jamii
Hii ni RU-vid Channel ambayo inajikita kwenye Matukio,Simulizi za Michezo mbalimbali na updates.
Комментарии
@bakanga1410
@bakanga1410 3 часа назад
tumia akili ww kibaraka umejuaje mwanasheria wa simba hakufanya Kaz yake?..anayekuhoji kilaza na anayehojiwa kilaza..
@bakanga1410
@bakanga1410 3 часа назад
Uyanga utakuua..
@bakanga1410
@bakanga1410 3 часа назад
Huyu Lugano hajui mtiririko ulivyokuwa mkataba wa mpira na fifa Kwa ujumla cyo kama kama kuuziana kiwanja..
@ZAKARIASELE
@ZAKARIASELE 5 часов назад
Imekula kwa utopolo
@jaspreetsinghbadwal7856
@jaspreetsinghbadwal7856 5 часов назад
TFF yenyewe ni Simba
@allychongowe2025
@allychongowe2025 5 часов назад
Hata ngoma pia kahusika kwenye goli 5
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 9 часов назад
Wewe unayemhoji Lugano angalia kauli zako. Unaposema ati Simba imeona ifanyehivyo kwasababu ya kunyimwa Lawi huo ni upumbavu uliokithiri. Kila kitu kinajitegemea. Simba wameshaachia wachezaji wengi wazuri kuliko Chama kwenda yanga bila figisu. Kwa Chama kuna kanuni zimevunjwa. Na alipokwenda Uarabuni kwa MO alisaini pia mkataba.
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 9 часов назад
Afya gani wewe lugano shabiki wa simba wewe
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 9 часов назад
Email ya Nini mkataba utakuwa imesainiwa asubuhi baada ya miezi sita kuisha...😊😊😊😊
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 10 часов назад
HAPO ni hisia tu simba inahisi chama kasaini mkataba kabla ya mkataba kuisha.ndani ya miezi sita😊😊
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 10 часов назад
Huyu jamaa ni boya hajui Sheria haihisi Chama kasainiwa tarehe 1/7/2024 akiwa mchezaji huru Sasa yanga iandike barua yanini 😂😂😂😂😂😂 Kweli ukiwa na ukolo lazima uwe kama Hawa watu Na nikushauri TU watu wa hii redio E Fm sio wakukupa taarifa sahihi utapotea ndugu yangu 😂😂😂 hawajui namna ya ufanyaji KAZI ya uandishi
@martinkabazo8412
@martinkabazo8412 7 часов назад
Ushaona wap barua anapewa mchezaji huru kama alisainishwa akiwa huru barua yann
@user-tl5oz3ws9m
@user-tl5oz3ws9m 10 часов назад
Hii ndio TZ😂
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 10 часов назад
Yanga wanamakosa wanazarau team zingine utamsainishaje mchezaji kati bado mali ya Simba ndo wao chama walimpa kiburi hata zile goli 5 Yanga walimtumia chama na baadhi ya wachezaji wajivunje sasa kiburi kimejulikana Simba kaza huyo mpaka arudi kwao Zambia❤❤❤ shida wanavunja sheria kisa wana Rais Hers uzuri na Wazee ya Yanga wamemgomea hawamtaki anawaonea🎉
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 10 часов назад
Simba kazia mpaka kieleweke kwa Feitoto Yanga kumpa sheria ngumu kuja kuchezea Simba malipo ni hapa hapa tu Dunianiiiiiii❤❤❤
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 3 часа назад
Wakome
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 10 часов назад
Toweni hiyo barua. Mmekwisha
@user-ro8ff3jj3q
@user-ro8ff3jj3q 14 часов назад
Lugano wewe mdogo kwenye tafsiri za kisheria na kanuni La msingi hebu tafsiri vizuri acha ujinga wa kupotosha watu
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 18 часов назад
Muwe mnaangalia watu wa kuwahoji huyu Ni mshabiki dip mchambuzi ana DNA ya yanga
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 22 часа назад
Alikuwa dikia wewe?
@SeniSalam
@SeniSalam 22 часа назад
Yan haka kajamaa hata aibu hakana mtu hawez kuwa na furaha wakati wanamchelewesha kupata hela
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 23 часа назад
Simba mbona watalia sana , Kwa utaratibu huu wa Matajiri WA Yanga wanaodhamini timu nyingi ktk ligi hii ,ya Tz
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 23 часа назад
Lawi haendi Ubelgiji , Lawi anaenda Yanga siutaona, GSM asipoachana na udhamini WA timu zingine Simba watateseka sana ,
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 23 часа назад
Kama ni maamuzi mazuri mbona mmeshikilia leseni yake? Toeni sasa kwani mnadai nini? Inawezekana hata mshahara wake wa mwisho2 hamjampa majinga sana nyie
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw День назад
Kuna cha ajabu gani,akiwa anakaimu.
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl День назад
Mimi. Naona. Simba. Watashinda. Hiyo. Kesi. Kwa. Sababu. Wanawajomba. Zao. Huko. Tff.
@hamisikapute598
@hamisikapute598 День назад
Hivi ww mwandishi nchi hii Kuna Simba na Yanga tu ebu uwe rational, acha ushabiki kwenye mambo ya jumla
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz День назад
South Africa sio sehem salama kwa Wageni kutoka Africa ijapokua wote ni wa Africa weusi. Wa south tuli ishi nao vizuri sana Morogoro viongoz wao waliishi vzr sana Matundasi.
@faustinemsanguli1055
@faustinemsanguli1055 День назад
Msenge wewe mchambuz
@faustinemsanguli1055
@faustinemsanguli1055 День назад
Viongozi wa cost vilaza huyo mtoto wa watu mnampotosha wasenge nyie atoke cost aende ulaya hiyo ni comedy tu
@MaguguStore
@MaguguStore День назад
Mchezesheni muone
@MaguguStore
@MaguguStore День назад
Nzee ufaham sheria , unabwabwa tu
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y День назад
Sasa Kama Simba wameshindwa na nyie kost ni mchezaji wenu mchezesheni Basi mbona mnabembeleza Simba mkae mezani? Kama nyinyi ni wanaume mchezesheni muine kenge nyie
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 День назад
Wewe mzee ungeweza kumsaidia hadi leo wewe umemwacha njiapanda. Na familia yake vp? MZEE MSAIDIE HUYO MCHEZAJI AKIUMIA CY KUMTELEKEZA. HAPO HAMJAMTENDEA HAKI. SASA ATAKULA BIMA? MCHEZAJI AMEUMIA NYIE MNAMTELEKEZA. MCHEZAJI AKIUMIA NYIE MNAMTELEKEZA. WEWE MZEE JIBU KWANZA HILI LA MCHEZAJI WA POLISI ALIYEUMIA. CY TATIZO LA LAWI.
@josephlorri431
@josephlorri431 День назад
Kolo huyu..
@user-bi8hr3nu6g
@user-bi8hr3nu6g День назад
Nawao ea huruma dunduka umesajili kwa hera ndgo unawalipia kwa hera nyi gi
@mosesmwandi9651
@mosesmwandi9651 День назад
Hujui wewe yanga atalipa Hela nyingi Zaid kuliko simba
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 День назад
Samahani ofisi za msajiri zipo wapi tunataka kuja kusajiri timu yetu
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa День назад
Anaomba Media iwasaidie nini sasa.‼️⁉️ Wizara na Media nani mwenye nguvu na mamlaka kisheria⁉️
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l День назад
Kuna mkono wa injinia kwa sababu tumemchua kagoma watu wasiotosheka na wachezaji
@HamadRamadhaniKamote
@HamadRamadhaniKamote День назад
Wewe kiongozi unajing,atang,ata Acha uwongo na tamaaaaaaaaa mbayaaaaaa
@HamadRamadhaniKamote
@HamadRamadhaniKamote День назад
Wagosss Acheni uzushiii
@user-pt5we2gu4l
@user-pt5we2gu4l День назад
Kaka mngunda nakupenda bure❤❤❤
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 День назад
Sasa huo utapeli unaanzishwa kula hiyoo ina anziswa sasa hebu tufahamishe Bernad Morson na Saido na wengine wengi tu vipi hao au wewe wa Msimbaziiiii
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa День назад
Siyo Utapeli tu ‼️ Ni bundi anaingia katika maendeleo ya Soka na hakustahili huyu jamaa kujitokeza kwenye nyonbo vya habari..... Ni jambo ambalo angelimaza kiutawala tu bila kuonyesha mashavu yake.. Na hicho kibari inamaana kinalipiwa Mila mala⁉️ Sijaelewa hapooooo
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa День назад
Pumba sana huyu jamaa..... Kama huwadai Simba wala Young unaongea nini Sasà⁉️
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n День назад
Achafedhehaimpate bwegehuyoooo,mtoseniiiiiii
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n День назад
Mgunda ni dundukakwelikweliiii
@EmajumaEmajumajohn
@EmajumaEmajumajohn День назад
Mwambien aache jajajaja hakuna mchezaji mdgo asie penda kweda simba kama walipokea hera ndo shida hera hairundishwi
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 дня назад
waambie Dawa ya Deni ni kulipa bwana! Tabia mbaya hiyo utoo
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 2 дня назад
Hawa Coastal walikuwa wanamzuga Lawi ili asipende Simba hakuna deal la Belgium ni uongozi.
@erickprotace9463
@erickprotace9463 2 дня назад
Waandishi tuelimishe juu ya njia za kusitisha makubaliano, kama coastal walifata tutajua mmiliki wa mchezaji ni nani kati ya simba na coastal.
@bakanga1410
@bakanga1410 2 дня назад
cyo maden ni dhurma...
@user-ef2nz7ce9r
@user-ef2nz7ce9r 2 дня назад
Ongelea mambo ya maana, madeni ni kitu cha kawaida.
@jdanny497
@jdanny497 2 дня назад
Kawaida kwako Acha uchizi wewe
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 дня назад
Uto matapeli
@godfregiiti8327
@godfregiiti8327 2 дня назад
Wewe msemaji unajichanganya lameck lawi costal ana namba kwanini mnamgangania muacha aende kwenye maslai mazuri achane uongo