Тёмный

KIMEUMANA! KINANA AKALIA KUTI KAVU AJUTA KUMTAJA LISSU,AAMBIWA AACHANE NA SIASA AMEZEEKA . 

John Ngollo
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

#kinana #lissu

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 227   
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 4 месяца назад
Hakika watumishi wa Mungu mkisimama hivi ukombozi tunaupata mara moja. Mungu akubariki na akuinue
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 месяца назад
HAKUNA MTU YEYOTE MWENYE MASIKIO ASHINDWE KUMWEELEWA HUYU MCHUNGAJI. HEKO BABA MCHUNGAJI MWENYE ENZI MUNGU AENDELEE KUKUPIGANIA 🙏🙏🙏
@rabiakitigwa9120
@rabiakitigwa9120 4 месяца назад
Wewe ni mfano wa kuigwa mtusaidie kupaza sauti watanganyika tumeshavamiwa na mkoloni CCM
@WillyJohny-hc3pw
@WillyJohny-hc3pw 4 месяца назад
Ubarikiwe Baba mchungaji kwa kusema ukweli. Hakika
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 4 месяца назад
Mtumishi mungu akubaliki sana akuongezee ekima
@BenetsonLugaimukamu
@BenetsonLugaimukamu 4 месяца назад
Barikiwa sana
@KarimuMkini
@KarimuMkini 4 месяца назад
Mtumishi wa Mungu Mchungaji ubarikiwe Sana kusimama na kunena haki na ukweli ktk Mungu.
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r 4 месяца назад
Utaisikia mijitu mijinga itaanza kumtusi mtumishi wa Mungu anaeongea ukweli hasa kakundi ka watu wachache wanaonufaika na mfumo huu wa kikoloni.Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 месяца назад
Chadema ni chuo cha wana siasa wengi wameibuliwa chadema mwalim mkuu mbowe kazi yake kaifanya vizuri sana
@HaulSidney
@HaulSidney 4 месяца назад
Ongea mtumishi wa mungu,pongezi kwako,🎉🎉
@anoldmrosso6680
@anoldmrosso6680 4 месяца назад
Mchungaji Mungu akulinde na akubariki somo limeenda na limetufikia .
@AndreaAmbros-kw2he
@AndreaAmbros-kw2he 4 месяца назад
Asante sana mchungaji Kwa kuwafumbua macho watanzania sema bila woga
@pauloropian2367
@pauloropian2367 4 месяца назад
✌️ mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa.
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 4 месяца назад
Kumbe Tanzania kuna watu wanauelewa mkubwa sana ila wako nje ya CCm
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 4 месяца назад
Hata ndani ya CCM wapo watu wengi tu waelewa isipokuwa wanajitoa tu ufahamu kwa manufaa yao binafsi
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 4 месяца назад
CCM ni wagumu kuelewa na huwa wanajitoa ufahamu wanapokuwa na jambo lao ovu.
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 4 месяца назад
Wanaelewa vizuri, km unavyosema wanajitoa fahamu
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 месяца назад
Wanaongozwa na miungu
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 4 месяца назад
Facts and Truth!
@athumankaswaga605
@athumankaswaga605 4 месяца назад
Manshallah Mungu akujarie baba yangu kwa nasaha zako
@georgemahenge
@georgemahenge 4 месяца назад
Ubarikiwe mchungaji.wenye masikio wamesikiya.
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 2 месяца назад
Tumekuelewa baba uko vizuri
@BraytonMwakitalima
@BraytonMwakitalima 4 месяца назад
Mchungaji uko wapi nakutafuta uko sahiii sana nakupongeza
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti 4 месяца назад
Ahsante mtumishi wa Mungu. Yafaa watanzania wafikie uelewa wa uharisia unaooneshwa na watu kama hawa! Viongozi wa CCM wapo tu kulinda maslahi yao binafsi hawajiuliza ni kwa nini viongozi karibu wote wa kidini hawakubaliani na ccm inavyoendesha nchi hii. Kilio cha watanzania na maonyo ya viongozi hawa wa kidini muda si mrefu vitaiweka ccm pabaya.
@rabiakitigwa9120
@rabiakitigwa9120 4 месяца назад
Safari hii tumewabana kwenye kona hawatoboi tuendelee kupaza sauti watanganyika tumechoka
@CristinLyanga
@CristinLyanga 3 месяца назад
Haki ya Mungu wewe mtumishi leo umeukonga moyo wangu balaaa,hakika wewe una maono mnoooo.
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh 4 месяца назад
Mtumishi wa Mungu naomba mpe onyo na mzee wasira ni mzee ambae analazimisha watu wamvunjie heshima sababu ni muongo tena wazi
@peterantony5890
@peterantony5890 4 месяца назад
Haki huinua Taifa, bali dhambi niai aibu kwa watu wiwote.
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 4 месяца назад
MUNGU akupe maisha marefu mtumishi wa MUNGU kwa kuwa muwazi
@brownmasai774
@brownmasai774 4 месяца назад
Kinana ni msaliti tu, anajilikana tangu enzi za Nyerere. CCM wanamjua fika, na ndio wamemfuga na kufukia maovu yake. Atuambie kesi ya pembe za ndovu iliishia wapi?
@ladslauskonjani9090
@ladslauskonjani9090 3 месяца назад
Hakika maneno haya ukitulia yanaingiza jambo kubwa aiklilini.Hongera sana kwa kufunguwa vichwa vyetu kisiasa.
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 4 месяца назад
HATUTAKI KUONGOZWA NA CHAMA CHENYE ELEMENT YA UDINI NA UKABILA....ASKOFU MPOTOSHAJI
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 3 месяца назад
Hongera sana mtumishi
@WilliamSENYE-yk8pb
@WilliamSENYE-yk8pb 4 месяца назад
Ccm itambuwe tulozaliwa kutokana na siasa y chadema tuko wengi wasijichanganye kwakua wao hawamchi mungu,
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 4 месяца назад
Nafikiri una roho wa mungu ndani mwako
@jaywi5681
@jaywi5681 3 месяца назад
Hapo kwenye ukweli wa Watanzania umepuyanga. Walishindwa kuonesha ukweli nyakati za ukweli na uzalendo.
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 4 месяца назад
Watumishi wa Mungu hii ndiyo kazi yenu Umesema vema baba Songa mbele Ila wachungaji wa 4G wachumia tumbo hawatathubitu kueleza ukweli kama wewe na Mbarikiwa huku wakijidhani wanafundisha ukweli tusiouona ila ukweli tunaouona hawasemi Hovyoo Songa mbele baba Mungu akupe hiyo haja ya moyo wako🙏🙏🙏
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 4 месяца назад
Muongeaji mungu Akubariki
@FredrickKinyaha
@FredrickKinyaha 4 месяца назад
Mungu akubariki sanaa kwa kusemea watanzania ukweli
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 месяца назад
Ubarikiwe sana mchungaji ninyi ndio mutaivusha inchi hii Kwa mawazo yenu ila Mimi naamini bila kuiweka ccm pembeni matatizo ni Yale Yale maana wamekataa kubadilisha hiyo katiba ya mwaka 1977 hawana lolote
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 2 месяца назад
Balikiwa sana mtumishi wa Mungu baliki
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 4 месяца назад
CCM ,please come to reality;times have changed.
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 3 месяца назад
YESU alipambana/ akafundisha umma dhidi ya maovu ya Pilato na serikali yake (makuhani). Mojawapo katika maovu aliyopigia kelele: rushwa, kukosa haki katika umma nk. Mchungaji naamini kilichomtokea wakifahamu. Serikali ya Pilato na mamluki (wachawa) wakamzoa na kumtundika msalabani! Sasa nawe na wanaharakati wenzenu mjiandae!
@chezariboy
@chezariboy 4 месяца назад
Hiii imeendaa, uko sahihih mtumishi, sema neno labda ccm itapokea wokovu maana ina lishingo gumu sana kama shetwaani
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 месяца назад
Wew ndo mchungaji unae mtumikia Mungu,
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 4 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi.
@MkingaJulius
@MkingaJulius 4 месяца назад
Hakuna mwanasiasa wa hovyo kama kinana.na huyo mzee atazeeka vibaya sana
@ThomasElias-jo4vg
@ThomasElias-jo4vg 4 месяца назад
Hongera baba angu mngu akuzidishiie tunakufatilia kutoka Zanzibar
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Tena amechoka kabisa aachie ngazi mwenyewe wamemcoka kabisa humo ndani ya Ccm yao
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 4 месяца назад
Waziri wa kudumu ktk Baraza la Mawaziri Tz ni pamoja na George Mkuchika.
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 4 месяца назад
Ubarikiwe sana mchungaji Hakika CCM wengi wako hivyo siyo kinana tu wanapotosha ukweli wakilindana na kulinda maslahi yao kuliko kusimama na ukweli na wananchi wamesahau kuwa watanzania wa sasa siyo wa enzi za mwalimu Nyerere wamesahau kuwa lissu anayoiongea ndo hoja za watanzania wengi kwa ujumla wao lissu ni mwakilishi wetu
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 месяца назад
Well said
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 месяца назад
Maneno mazito Sana sana inauma Sana mungu akubariki mtumishi inchi hii wapo watu mungu watu kama huyo mzee kinana toka mwalimu yupo tu alisimamishwa na magufuri kaludi nikajuwa atakuwa na huruma na wanainchi wapi mungu tusaidie
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 4 месяца назад
Angekuwepo huyo rais nchi hii ingekuwa mbalimuno kimaendeleo hasa materialdevelopments.
@fabianmnyenyelwa8752
@fabianmnyenyelwa8752 4 месяца назад
uko sahihiiiii baba tufungue vichwa
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 4 месяца назад
Amen 🙌🙌🙏🙏
@Ushauri235
@Ushauri235 4 месяца назад
Mchungaji unasema kweli kabisa naomba uwambie na wachungaji wenzake watuambie ukweli ili tubadilike la sivyo tutakuwa masikini maisha yote
@ElyotKyando
@ElyotKyando 2 месяца назад
Mtumishi ✈️🙏✈️
@frankminga9307
@frankminga9307 4 месяца назад
Tunakushuru sana mtu wa Mungu, watanzania wengi wana uelewa mdogo sana juuu ya umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kweli kwasababu wamekazwa ujinga mwingi na ccm kwa muda mrefu
@FaresKweka
@FaresKweka 3 месяца назад
Si ajabu ukasikia kanisani kwake, kanisa lake limefungiwa. Mungu iondoe Tanzania na huu nfumo mbovu unaoongoza nchi yetu
@renatusmutabuzi7233
@renatusmutabuzi7233 3 месяца назад
Mungu akubariki mchungaji maana hawa sisiemu wamezidi Uongo
@issaomari5297
@issaomari5297 4 месяца назад
Nimemuelewa sana huyu anaitwa nan plzzzz nimependa alivyoeleza
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 4 месяца назад
Mungu akusimamie mtumishi wa mungu
@kamuogo
@kamuogo 4 месяца назад
Kama Kuna mataifa yamesha amka na sisi tuta amka TU na haki itaonekana na mungu yupo na sisi ✌️✌️✌️
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 4 месяца назад
Ccm inazidi kupoteza imani kwetu watanzania wanashindwa kujibu hoja za wapinzani.
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali 3 месяца назад
TANZANIA TUNAHITAJI KUPATA WATU WENYE AKILI TIMAMU NA WENYE AIBU NA MATAIFA YASIYO NA UTAJIRI KAMA WA TANZANIA LEO, LEO WANA KWENDA KUKOPA HUKO, HUONI KAMA AKILI HAZIPO? TANZANIA TANZANIA TOKA ULIPO FUNGIWA DUNIA IJE IKOPE TANZANIA.
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 4 месяца назад
Asante mtumishi wa Mungu kwa kututetea.
@GervasonTabwa
@GervasonTabwa Месяц назад
Ukweli husemwa 2
@StevenMasunga-fd7xf
@StevenMasunga-fd7xf 3 месяца назад
Hata Mimi Sina muda na chama la majizi, Bora nipigie kura mavi kuliko ccm
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 месяца назад
Hivi mchungaji dini imrkushinda piga siasa ya injili utatupwa lupango
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 4 месяца назад
kaa na ccm yako one day mutaeleweka tu mungu yupo
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 месяца назад
😂😂😂😂
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 4 месяца назад
Mchungaji huyu anaweza kutoa Elimu kubwa Sana kuhusu nchi yetu, Pale tu ambapo ataachwa aitoe na Wapo wengi san, sio Wachungaji tu, hata Mashehekh wapo wa aina hii.
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 3 месяца назад
Kuna watu wameamua kimia waheshimiwa
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 3 месяца назад
Washukriwe wazazi wako kwa kukuzaa ukiwa timamu wengi wetu vipovu tunaona njia tuu ya kwenda chooni
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 3 месяца назад
Mungu anakutumia bila uoga upo upande wa Mungu ubarikiwe miaka yoteee
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 4 месяца назад
Tunapenda wasema kweli kama nyinyi ,na wakiwemo wengi ,hakika nchi hii lazima maisha au nchi iwe na ubora wa Kila kitu
@VenanceMgema-xu6bq
@VenanceMgema-xu6bq 4 месяца назад
Tubuni maana mwisho umekaribia sana
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y 3 месяца назад
Unaakili nyingi sana mchungaji wana ccm hawata uona ufalume wa mungu
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 4 месяца назад
Hongera sana mchungaji
@ElyotKyando
@ElyotKyando 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@JeromeMbonika
@JeromeMbonika 3 месяца назад
Sawa
@PetroSilas-bm2ic
@PetroSilas-bm2ic 4 месяца назад
Baba mchungaji eliimu hiyo watanzania tunaihitaji .tunakuombea Mungu akupe ujasiri huo hadi mwisho.
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 4 месяца назад
Safi kabisa mchungaji
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 месяца назад
Tuvushe Mwamba hakika huo moto uwachomo kwa jina la yesu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
Asante mchungaji.
@sharralucy5231
@sharralucy5231 4 месяца назад
Umenena Mtumishi wa Mungu. Ni ukweli tupu. CHADEMA OIYEEEE!!!
@CristinLyanga
@CristinLyanga 3 месяца назад
Oyeeeeeeeeee,
@thomasmgimba92
@thomasmgimba92 4 месяца назад
Nimekusikia son, umenena safi tunahitaji watu wengi nguvu
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct 4 месяца назад
Hawa ndyo Watumishi wenye faida ktk Nchi na DUNIA kiujumla MUNGU akubariki
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 4 месяца назад
Mchngaji wanakusikiliza
@PeterMandata
@PeterMandata 3 месяца назад
Upo sahihi sana
@Landisy
@Landisy 4 месяца назад
Kweli hii nchi wapewe watumishi wa mungu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 4 месяца назад
Nchi hii watanzania hawajajielewa siku wakijielewa mambo yatakaa sawa,ngoja tunyoshwe tunyoke hadi tutakapo jielewa
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 месяца назад
Nikweri kabisa. Nchi hii imejaa namajizi arafu wanalindana 😊
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 месяца назад
Huyu Kinana angetueleza kuhusu ufisadi wake wa makotena. Anaongea uongo ili azidi kuendelea kuwatumikisha watanganyika. CCM karibu wote ni mafisadi. Kinana hata uwa simueli aliibuka kutoka . Kikwete na Kinana wote ni ndumila kuwili. Sasa ndiyo anazidi kuongea uongo. Yeye Kinana anadhani watanganyika ni wale wale wa 19....ajajua hawa anao gea nao 20... wajiahaibisha sana badala ya kuondoka siasa kwa heshima. Acha kuharibu Tanganyika nenda kule ulikokuwa nani amekutfuta tena kuleta ufisadi na uongo na wizi wa CCM.
@ramygichero1016
@ramygichero1016 4 месяца назад
Makanisa ya machakani hayo toA matubali huko nyuma
@morisemanase2290
@morisemanase2290 2 месяца назад
Viongozi wa dini wanatueleza mambo halisi ili tuelewe !!
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 4 месяца назад
Anatakiwa pingu huyo kwa kuingia na kufanya kazi na biashara akijua siyo raia
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 месяца назад
NATAMANI SANA KUKUFAHAMU JINA LAKO MCHUNGAJI WEWE, KANISA LAKO LIKO WAPI? WACHUNGAJI KAMA WEWE NI WAKUTAFUTA SANA TENA SANA NA USIWAPATE KABISA!!!! NINAPOKUSIKILIZA MOYO WANGU UNARUKA RUKA KWA FURAHA YA KUKUSIKILIZA UNAVYO ONGEA KWELI YA MUNGU!!! NATAMANI NIWE KARIBU NA WEWE ILI NIKUSHIKE MKONO WAKO WA KULIA KWA MKONO WANGU WA KULIA NIKUTIKISE TIKISE IKIWA NI KUKUSHUKURU KWANGU KWA MANENO YAKO YA UZIMA WA MILELE!!! WAJINGA NI WENGI SANA KWENYE ENEO LA SIASA KWA KUFIKIRI SIASA NI PA KUONGOPEA WATU KUMBE LA HASHA!! ENEO LA SIASA NI ENEO BORA SANA NA PANA SANA KWA KUMTUMIKIA MUNGU WA MBINGUNI!!! ILIVYO BAHATI MBAYA SANA WENGI WANADHANI SIASA NI ENEO LA KUTENDA MAOVU LOOH NI AJABU SANA!!!
@amosjoseph7241
@amosjoseph7241 4 месяца назад
Mtumishi unaimani, Mimi nilishasema ukimtazama MTU mmojammoja ndani ya uongozi WA CCM utaona shetani ndani yake
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 месяца назад
Yaani kwa Jenister hujakosea kabisa
@FidelisiKidungu
@FidelisiKidungu 4 месяца назад
Ukosefu wa sjira Kuwepo kwa Umasikini kumetengenezwa na CCM ili kujikusanyia Machawa kwa urahisi wakitumia RUSHWA
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 месяца назад
Hakika umesama kweli la ccm imekuwa ya ajabu sana
@dillonfoya
@dillonfoya 4 месяца назад
Mchungaji nakuelewa kwanini wengine hawaongei kama wewe kweli kwa kauli moja Tunahitaji KATIBA MPYA na muda ni huu
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 4 месяца назад
Viongozi wa dini watetea haki wanazidi kuongezeka hii inaleta muono wa mbali wa mabadiliko ya nchi yetu ,,,ccm ni lazima ifunge virago kwa uongozi mbovu
@lawskuli9876
@lawskuli9876 3 месяца назад
Ndio baba pambania tonge nawe huenda ukatoboa
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 4 месяца назад
Amen 🙏🙏🙏
Далее
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00