Mchekeshaji na mtengenezaji wa vichekesho kupitia mitandao ya kijamii anaefahamika kama Kiredio amefunguka juu ya mengi aliowahi kukutana nayo kwenye kazi yake Aidha amesema kuwa aliwahi kufanya Challenge ikasababisha wapenzi wakarudiana
8 сен 2024