Тёмный

Kisa cha mzee ambaye akikwambia siku mbili haziishi unakufa unakufa kweli - Sheikh Othman 

Kalamutz
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 166 тыс.
50% 1

Baraza la sheikh Othman Michael

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@mwnab1697
@mwnab1697 Год назад
Inalilah wainal rajiun Allah tujalie mwisho mwema inshallah 😭😭😭😭😭
@nayeemn9275
@nayeemn9275 Год назад
Inna lillah wa inna ilaihi radjiun, Allah amsamee na atuongoze tulio baki
@layleyla
@layleyla Год назад
Alikua Ashamsamehe hio kutamka shahada ukiondoka duniani ni kheir kubwa mno maana Allah Ashasema Mwisho mwema ni kwa wale wamchao Allah Subhanahu wa ta ala kheir ambazo mja ametenda, ajuae ni Allah pekee
@HafsaShaban-mg3ti
@HafsaShaban-mg3ti Год назад
Allah atupe mwisho mwema ndo pale unasikia pepon utaingia kwa rehma za mwenyezi Mungu subhan Allah
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Год назад
Subhana ALLAH! Allah Atupe Mwisho Mwema, Tufe Na Kalma La Illaha Illah ALLAH, Muhammadu Rassulu ALLAH. Allahumma Amiin
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Allahumma Amiin Yaa Rabbi
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 Год назад
Subhana llah Allha kampa Husn alkhatima
@hidayasaid5131
@hidayasaid5131 Год назад
Allahu Akbar
@abdulzakaria4588
@abdulzakaria4588 Год назад
Subhana Allah. Mwenyezi Mungu atujalie na mwisho mema. Amin. Amin. Amin.
@susans4490
@susans4490 Год назад
Ustadh sivizuri kusema mtu alikuwa hana kheri ,hilo ni yy na Allah
@naslee1010
@naslee1010 Год назад
Shekhe ana maanisha hakua mtu anaye swali sio mtu wa madrassa ispokua alikua na jina la kiislamu na alikuwa na imani juu ya uislamu hivyo imemfanya kua na mwisho mwema.
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Год назад
Tatizo husikilizi vizuri,, kasema hana kheri yoyote iliyo kithirika sio hana kheri
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق Год назад
Subhanna allah Allah atujalie mwisho mwema Innalillahi wainalillah rajiun
@AlimaSadiki
@AlimaSadiki Месяц назад
Allah akuongoze shekhe wang
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Год назад
Innalillah Wa Inna Illah Rajiun Allah ampe kauli thabiti
@AsmahMakunge
@AsmahMakunge Год назад
Allah akuongoze akusamehe na makosa yako
@cishahayoali1136
@cishahayoali1136 Год назад
وإلى الله ترجع الأمور ! Ahsante Shiekh kwa darsi Allah akulipen Ameen!
@shekhabbasisharifuonlinetv5990
Shekh Allah akuthibishe na akuweke katika waja wake wema daima tunakupenda shekh wetu nafaidika sana na maawaidha YAKO,
@allymashaka3471
@allymashaka3471 Год назад
Allah Atujaalie Mwisho mwema, Atusamehe pale tulipoteleza hasa kuingia ktk shirki tutafutapo suluhu za shida na matakwa yetu, Hakika nikutapatapa kibiinadamu tu
@hawamashauri1218
@hawamashauri1218 Год назад
Aaamin kabisa, Allah atupe mitihani ya kiasi chetu, isije kutupeleka kwenye shirki
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 Год назад
Yaallha tujalie mwisho mwema waja wako Alahumma amin
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Год назад
Innalilahy wainnaillahy rajun Allah atuongoxe yarrabh
@florencekawira2212
@florencekawira2212 Год назад
Yesu alisema tusiogope, shetani Hana nguvu yeyote. Bora kuwa shupavu. Mwamini mwenyezi Mungu atakujalia mema
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 Год назад
Zaburi 102:19-20
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Год назад
Innalillah wainnailaih rajiun Yarab mola wetu tupe Mwisho mwema😰😭😭🤲🤲🤲
@tambwefatuuma5378
@tambwefatuuma5378 Год назад
Subuhanallah Mungu atupe mwisho mwema
@akbarston5344
@akbarston5344 Год назад
Allahuakbar allah tupemwisho mwema
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Год назад
AMIIN
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Год назад
AMIIN
@ZainabuMohamed-rf9dd
@ZainabuMohamed-rf9dd Год назад
Wallahi siwezi kukuamini hata kidogo kwn umesahau kuhusu zile video zako za udhalilishaji kwa wanawake wa kiislam hadi ukaitwa bakwata
@farajarrifai1505
@farajarrifai1505 5 месяцев назад
Kam haumuamin mbn watizama video zake??
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Innalillahi wainnaillaihi rajiuun Subhaana llah
@cadabra7402
@cadabra7402 Год назад
Allah akbar
@allykidundo4508
@allykidundo4508 Год назад
inshaallah mungu atujaalie mwisho mwema
@nasermeme80
@nasermeme80 Год назад
Yaan nashangaaga sehemu moja ikiwa tunafundishwa kuwa utakiwi kumuukum MTU kwa matendo yake VP wewe sheikh unasema alikua ana kher ata moja unajuaje hatima yake na mungu
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 6 месяцев назад
Allahu Akbar 😢
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj Год назад
Kisa kizuri lkn kina usanii ndani yake
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 Год назад
Inalillah waina ilaihi rajiun
@darusinganziulenge9363
@darusinganziulenge9363 Год назад
Tumpe Mungu baadhi ya wanaadamu wenzetu awajui wayatendayo
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Год назад
Allah humuingiza peponi amtakaye ndo kama hivi
@mornasaidtindwa3622
@mornasaidtindwa3622 Год назад
Kwakweli Allah atufanyie wepes tuu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Ndio tunapoambiwa wkt ww ni muisilam si kafiri ima wa kuzaliwa au wakuritadi basi dhambi zote Allah anaweza kukuswamehe lkn si ushirikina.
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Год назад
SubhanaAllah. Yarabi tupe mwisho mwema amin
@ISAALMASIHI9823
@ISAALMASIHI9823 Год назад
KACHUKULIWA MSUKULE, ALLAH HAUSIKI HAPO! YESU NI MOTO KWA WACHAWI WOTE.
@SumeimanAli-rd2qk
@SumeimanAli-rd2qk Год назад
Allahu Akbar
@muhunzijunior5153
@muhunzijunior5153 Год назад
Inna lillah wa inna ilaih raaji'u. Allah amrehem marehemu na Aturuzuku sisi mwisho mwema
@saidjuma25
@saidjuma25 Год назад
Allah akbari
@mussahaji905
@mussahaji905 Год назад
Susan Wacha kuangalia kasoro angalia mantiki ya mada
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Год назад
🙏🙏🙏
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 5 месяцев назад
Tuombeni mwisho mwema
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 Год назад
As alykm, lakini sheikh hakuna anae jua lini kifo chatu
@kabese6810
@kabese6810 Год назад
Kwani yeye ni Mungu?
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Год назад
HUYU SHEKHE HUYU BANA UOVU UNAKITHIRI UMMA UNANGAMIA USHOGA UNAZIDI KUJAA KILA KUKICHA BAADA UONGELEE MAJANGA HAYO WEE WAPIGANIA KISOMO ILI UPATE PESA HUU SASA NDO MSIBA
@hawamashauri1218
@hawamashauri1218 Год назад
Hata matatizo ya kishirikina yamekuwa mengi mno Kwa sasa, hasadi ni nyingi. Watu wana mitihani humu wee acha tu mdogo wangu
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Год назад
Hawaelewi hawa Kama shirki pia ni janga kubwa mno
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Sitii neno maana na ww unatakiwa uchunguzwe
@frdosr5794
@frdosr5794 Год назад
Tafadhali shekhe vipi napata number yako,I have personal issues please!!
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 Год назад
Kwahiyo yeye ataishi milele hatakufa
@seharjan8523
@seharjan8523 Год назад
Mbna mumeeka picha ya huyu mzee ndio huyu kweli
@thomasa.kimwaga4161
@thomasa.kimwaga4161 Год назад
Yesu anaokoa na kuponya,Mwaminini Yesu anyi watu mpate kuokolewa,hiyo dini yenu inawapoteza
@9119-r4t
@9119-r4t Год назад
Kwavile wewe nizuzu ambaye unamuabudu yesu utabaki kuwa mshirikina.sisi twamuabudu mungu naye ni Allah
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Год назад
Ndio maana mnafunga hadi mnakufa kwa kukosa elimu
@hawamashauri1218
@hawamashauri1218 Год назад
Mwenye uwezo wa kufisha na kuhuwisha ni Allah peke yake, Nabii Issa Alayhi Ssalaam alikuwa akihuisha na kufisha Kwa idhni ya Allah Subhaanu Wataa'la
@thomasa.kimwaga4161
@thomasa.kimwaga4161 Год назад
@@hawamashauri1218 hakuna kitu kama hicho,huyo Allah ni Mungu wenu Wala sio Mungu wetu,sisi tuna Mungu mmoja Tu ana Jina lipitalo Kila Jina na ni Jina la Yesu Kristo Tu...huyo Issa hata sio Yesu wetu wala usimfananishe...tatizo lenu nyie waislamu mnataka kutufanya kama vile Mungu wenu na wetu ni mmoja,haiwezekani tukawa na Mungu mmoja afu tutofautiane kiasi hiki,huyo wa kwenu aliyemtuma Muhammad kuja kupinga Ukristo uliokuwapo miaka karibia 600 kabla yeye hajazaliwa sio Mungu wa kweli na nyie sio chochote ila waabudu miungu ya mwezi na nyota pamoja na jiwe la Macca mnaliita Kaaba,Kila siku mnafanya ibada kuabudu uelekeo Hilo jiwe lilipo,pia mnashirikiana na majini na unvyozidi kuwa mwislamu ndipo unazidi zaidi kuwa mgumi,katili,mbagua watu,chuki,kujitoa mhanga na kuanza kuua wengine,na waislamu wengi wenye dini ni washirikina wa kutumia majini na Kila namna ya uganga wa kisomo.Sisi Yesu tunayemjua ni tofauti kabisa na huyo Issa wenu Wala huyo Issa sisi hatumtambui pamoja na Muhammad wenu
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Год назад
Na unakubali kuwa alilaaniwa maana amelaaniwa aangikwaye juu ya mti? Hivi una akili kweli kukubali kuwa Mungu wako alitandikwa viboko?? Mwenyezi Mungu akuongoze.
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Год назад
Nimtihani wallahi. Allah atuhidi aote. Maana mchawi hudhania yeye hatokufa, kumbe ni muda tu unamgojea ukifika nae huyooo... Allah amuongoze mchawi huyo arudi kwa mola wake na ATUBIE. AAAMIIIN
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Год назад
Muandaa makala hii umekosea sana kuweka picha ya huyo mzee wawatu nikumkosea sana ondoa picha ya mzee wawatu haraka.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Hiyo ni picha ya kuchora
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Una Kingine!?
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Год назад
@@kalamuMedia ujumbe nimeufikisha
@rizikinassor5618
@rizikinassor5618 Год назад
😭😭😭😭😭🇰🇪
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Год назад
Sasa hapo umeongea nn ?make hicho kisomo hakijamsaidia umekuja umusomee asiuliwe na huyo mzee km ndugu zk na umesoma na kafa Yesu ni uzima na ni njia yakweli na uzima
@hujatswai5798
@hujatswai5798 Год назад
Binti, hakuna kisomo kinazuia mauti, na hajasema amemsomea kuzuia mauti bali kuponya maradhi na kama umeskiliza vizuri kijana alipona, mauti hayazuiliki binti, ukifika muda kila nafsi itaonja mauti hata umtaje yesu kwa sauti zako zote.
@thomasa.kimwaga4161
@thomasa.kimwaga4161 Год назад
Amen amen...waje kwa YESU waachane na upuuzi huo usio na maana
@jamilaallysaid-if1jf
@jamilaallysaid-if1jf Год назад
Allah akbar
@mtalesophia3830
@mtalesophia3830 Год назад
Inna lillahi waaina ilahi rajiuna Allah atujalie mwisho mwema sote tunaokufuatili shekhe
@daudimlapilwa0689
@daudimlapilwa0689 Год назад
Allah Akbar
@frdosr5794
@frdosr5794 Год назад
Allahu Akbar!Allah atujalie sisi waja wake wepesi wa kutamka kalma,na atupe mwisho mwema InshaAllah
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
Innalilah wainnailah rajiun
@AhmedHassan-zh8dd
@AhmedHassan-zh8dd Год назад
😢 Alhamdilillahi Allah atupe mwisho mema
@hadrandege
@hadrandege Год назад
Yallah tunakuomb utupe mwisho mwema
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 Год назад
Subhannallah Ya Allah tusameh waja wako
@ladymoretaboraprincess6190
@ladymoretaboraprincess6190 Год назад
Innalilah waina ilaih irrajiun
@rukaiyalema7966
@rukaiyalema7966 Год назад
Subhana llah 😭😭😭😭😭😭 allah atujalie mwisho mwemaa🤲🤲
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 Год назад
Allah atupe mwisho mwema
@amahorofaridah519
@amahorofaridah519 Год назад
Allah akbar Allah amrehem 😢😢 Allah amempa mwisho mwema mashallah
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Allah atujaalie kaul thabit
@zaituni-im6yk
@zaituni-im6yk Год назад
Mungu atujalie mwisho mwema
@nismaali2982
@nismaali2982 Год назад
Allah atujalie mwish mwem inshallah
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Год назад
Allhuma frllahu warhmahu
@tukaeomary9485
@tukaeomary9485 Год назад
Allah Akbar
@sulekhaosman8357
@sulekhaosman8357 Год назад
Subhanallah
@cydemanchester2368
@cydemanchester2368 Год назад
Ila sheikh haimaanishi kila tiba ya kienyeji ni ushirikina na haimaanishi si kila tiba ya Sheikh ni halali. Maana kuna tiba za masheikh wengi zinakuwa za kishirikina.
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Год назад
Sheikh kua makini maana dunia ukweli haufichiki maana ghaibu ni allah peke yake mwenye elimu
@ZainabuMohamed-rf9dd
@ZainabuMohamed-rf9dd Год назад
Jamani huyu ni msani hua anatnunga ili apate likes
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 месяца назад
zainabu acha maneno machafu muamini mungu
@MuslimuAbdukahari
@MuslimuAbdukahari 2 месяца назад
Unaonaje naww ukitunga ili upate likes
@animamichael3968
@animamichael3968 Год назад
Allah atupe mwisho mwema
@SHININGFILMTV
@SHININGFILMTV Год назад
Inasikitisha kwakweli
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 Год назад
Niharamu kuamini hiyo kitu sheikh kwa mujibu wa Quran hakuna anaweza kujua muda wa kufa mtu wala saa
@MuslimuAbdukahari
@MuslimuAbdukahari 2 месяца назад
Ausioo
@MaryamSalim-q2k
@MaryamSalim-q2k Год назад
Naomba namba yako shekhe othiman
@ghaniaame9895
@ghaniaame9895 Год назад
Mm npo zanzibar nshapģa simu sana tuu spati mawasiliano nielekeze nije ulipo plz
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Год назад
Zanzibar matabibu wamejaa tele kwa nini upate tabu nenda mwera duka kubwa ipo dua nzuri tu Masha Allah kila jumamosi na jumapili asubuhi
@ISAALMASIHI9823
@ISAALMASIHI9823 Год назад
ENDELEENI KUFA TU, MAJINI SI NDUGU ZENU, YESU NI DAWA, EPUKA KUFA KISHIRIKINA
@choggysly3541
@choggysly3541 Год назад
Kwani nyinyi hamfi?juzi kenya mmekufa 73 kwa kumuabudu mchungaji?kibwetere aliwachoma moto kwa kukosa akili, kwa mwamposa mlikufu kibao kisa kukanyaga mafuta,yule mchungaji wenu marehemu jengo lake lilianguka mkafa kibao
@abuuhafsin2224
@abuuhafsin2224 Год назад
Kwani nyinyi majini sio Ndugu zenu?😅
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 Год назад
@@choggysly3541 soma hapa zaburi 102:19-20 utaelewa nini maana ya kubatilisha roho ya mauti na yesu kristo anawafungua walio andikiwa kufa wasife kwa damu ya yesu ni damu ya ukombozi
@ZainabuMohamed-rf9dd
@ZainabuMohamed-rf9dd Год назад
Jamani huyu ni msani hua anatnunga ili apate likes
Далее
Sheikh Hassan Ahmed -  Kisa cha mama na mwanawe
3:04
SIRI YAKO NDIO NGUVU YAKO - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
14:26