Inshallah mwenyezi Mungu akubariki Sana ipo siku katika uhai wangu nitakuja kuongea na wewe uje sehemu moja morogoro inaitwa mlimba uje uwapatie wa Islam wenzetu mawaidha hakika wewe ni mwalimu mzuri Sana asiye kuelewa hatakuja kumuelewa yoyote
Manshaallah. Shukran jazila Hongera ķwa elimu unayotugea. Hapa Kinshasa nishawapa waislamu jina lako wale wajuao kiswahili wakutafute kwa U tube. Shida hapa wengine hawajui Kiswahili. Allah akuzidishie umri na akujalie thawabu Amiin.
😢😢 subhaanallah...una jina zuri lkn ume comment pumba kabisa astaghafiru llah... Mawaidh ya shekh anaelewesh vzr na hatoki ndani ya mada ...anabaki haphp ..Sasa mtu km amegusia mfano swahaba Fulani ..humjui Ndio maan unaona anamuelez kidg ili mpate kuelewa lkn hatok ndani ya mada ..