Kaka niko Moro haipiti siku bila kuingia you tube kucheki nyimbo zako haka baada ya bhudagala wa pili ww Napenda wimbo wa Selina na nzuki Hizi nyimbo Kaka hazina mpinzani
Hongera sana. The work is reflecting the reality. It is so painful indeed. Tena hongera yao ambao tayari wameshaoa, lakini kwetu sisi vijana hakika kazi ipo. Eleho endele (ngozi ipo). {The skin is present}.
Wimbo mzuri, maudhui mazuri yanapaswa kufanyiwa kazi kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa ili usije kujuta, ila sound production haijatulia sana Ina kelele
Super star wa nyimbo za asili wa miaka 2 2022 - 2023 mfululizo With Brother wa damu Kaka yangu Mpendwa Mungu akulinde Tuzidi kupiga kazi bila Ww sipati mifano mizuri ya Video kwa Kanda ya ziwa Director Migera Beblessed