Тёмный
No video :(

KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K 

Kisima Majabala
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 405 тыс.
50% 1

#dir_migera_Mtctanzania#

Опубликовано:

 

24 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 450   
@eliakimbugari2704
@eliakimbugari2704 9 месяцев назад
Kama ulikuwa unaisubir hii ngome kwa ham.. Ngonge like yako hapa.. #kisima-the-greatest-singer-in-sukuma-land.. ## Bravo kaka..🙏🙏
@lainimakame
@lainimakame 5 месяцев назад
@PaulNigo-yq5ps
@PaulNigo-yq5ps 9 месяцев назад
Nahuu ndo wimbo bora wamwaka kwanyimbo zaasiri wacha wasukuma tuinjoy mziki mzur tena mtam sana kama unamkubali kisima gonga like zako apo❤❤❤❤❤❤❤
@ChalyaMaige
@ChalyaMaige 5 месяцев назад
aposwa🎉
@stratonngalo461
@stratonngalo461 4 месяца назад
Nimzuri sana nakukubali
@pilishija-n4d
@pilishija-n4d Месяц назад
Haswaa ni nzur mnooo naunafu ndisha
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 9 месяцев назад
Tulikuwa tunasubiri hiii Kwa hamu gonga like apa🔥🔥
@Costantinejustine
@Costantinejustine 18 дней назад
Kisima ,elimu uliyonayo kwenye tasinia ya nyimboo za asili kubwa sana ,,hakuna anaefkia uwezoo wako ,,kwa wasanii wa kisukum 👏👏👏👏
@user-qe4yi8hl6n
@user-qe4yi8hl6n 3 дня назад
kazi ni kazi nyanda nolo bochingaaaaaa, Eshikolo oleopandekaa kumbukaga oko we ngaaaaaa, mleyolagolwaa makala nyanda mwandya kwi tongaaaaa, Amafumu galenamasalaaa gakandyaga tamu lyokotegaaaaaa, hongera sanaa kisimaa mziki mzuri vina na mizanii🇹🇿
@masungasayi3298
@masungasayi3298 9 месяцев назад
Kisima dar asee maneno ya kukwambia sina kikubwa hongera usishie tu hapa endelea tena zaidi na zaidi pamoja sana kk🙏🙏
@JosephMisalaba-b4y
@JosephMisalaba-b4y 13 дней назад
Mwamba uko vizur kwenye ujumbe wa kuimba kaxa make ww nimwalimu wa maisha yangu katika nyimbo zako ukiacha kuimba me naniatasaidia unafundsha pia unafalij hata yule alie kata tamaa Sina chakukulipa atakulipa mungu kuwashusha chin maadui zako
@Wazimamoto
@Wazimamoto 9 месяцев назад
Kisima mi Kama ndugu au washe wako naishi ndan ya tasinia Ila mda unaniambia mda ni wako unaimba paka unakela nanyosha 🙌🏼🙌🏼 juu we ni 💥 haipingwi
@lucasbusagala4033
@lucasbusagala4033 9 месяцев назад
Ukopi vitu apo uache ule utumbo wako Mzee tunaitaji vitu kama iviiiiiii
@ShijaKagoke-oc2zu
@ShijaKagoke-oc2zu 9 месяцев назад
Hata wewe Mimi Huwa nakuelewa Ngoma zako kama Ile Ngoma ya wamlogile nani itolee video basi 🫡 kwako
@musasamwel5544
@musasamwel5544 9 месяцев назад
Mjikuu ata wew tunakukubali sema acha mashindano na watu Fanya kazi yako kama wew
@user-pz4bd3lw9w
@user-pz4bd3lw9w 9 месяцев назад
Kazi ni nzur msanii kisima ,wanaona gere kaza kabisa wasikuzoee wanadamu Wakera ,wanafik,majungu,wivu,kaza nati.
@GeraldPombe
@GeraldPombe День назад
hongera sana mkuu wa nyumba kanda ya ziwa big up sana
@josephdomi9393
@josephdomi9393 9 месяцев назад
Kwa sasa itabidi wakubali kuwa wewe ndo greatest singer in sukuma land tribe🔥🔥🔥🔥💪
@rahmarahmaramadhani
@rahmarahmaramadhani 3 дня назад
leo tarehe 12/8/2024 kutoka dar... Nasikiliza nyimbo pendwa ya kaka yangu kisima love kisima❤❤❤ like hapa kama bado unasikiliza nyimba Asilia❤
@MagrethSimon-re3ym
@MagrethSimon-re3ym Месяц назад
Kisima weweeeeeeee safi sana endelea kutuinua wasukuma wenzako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 from chato kwa mjomba JPM
@Makolo_Rob
@Makolo_Rob 9 месяцев назад
Kutoka USA 🇺🇸 bhabha KISIMA hiii nyimbo naplay kwenye gari muda wote…. Bhabhaa bhelelo agwambeleje umanile bhagesi 📌📌📌😋😋😋 AFRICA SONG 🔥
@Genius_creature45
@Genius_creature45 8 месяцев назад
Hey upo usa?
@Makolo_Rob
@Makolo_Rob 8 месяцев назад
@@Genius_creature45 Ndio kaka mkubwa 📌📌
@Genius_creature45
@Genius_creature45 8 месяцев назад
@@Makolo_Rob sehemu gani ndg
@Makolo_Rob
@Makolo_Rob 8 месяцев назад
Nebraska 📌
@DottoMbozu
@DottoMbozu 15 дней назад
Pamoja sana kaka nazikubali sana nyimbo zako.
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 9 месяцев назад
Nimemaliza kuangalia asa ndio nicoment Ili KAZI ionekane kazi lazima uifanye kama KAZI kwelii na uipe heshima zote ili iheshimike na Kwa watu wengine Aliyeelewa ameelewa bravoo sniper Migera Bravo nyingi Sana Mtc Na kongole Kwa Sukuma song writer KISIMA you deserve the best 🔥🔥🔥🔥🔥video Ina hadhi ya nyota Tano kabisa🌟🌟🌟🌟🌟
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 месяцев назад
Asante boss wangu
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 9 месяцев назад
@@MigeraStudio keep it up lazima watu wajifunze tyu kwako watake wasitake huo ndo ukweli
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 месяцев назад
​@@mrishobulabo8014ndugu yangu mbona kawaida sana
@gushahanhale79
@gushahanhale79 Месяц назад
mimi siwezi kumaliza masaa kumi na mbili sijaangalia video ya kisima na nipo katikati ya dar!! big up sana kisima na nikikumbuka ulikotoka duu tunakupeleka kwa mkuu wa skauti mayunga kwenye zoezi nasi tunakimbilia daladala ya baiskeli!! kila kitu ni kujituma tu
@KingimmaKelela
@KingimmaKelela 29 дней назад
Kisima fahari ya wasukuma 💪💪💪🔥🔥🔥🙌
@user-lj3sh6uc7n
@user-lj3sh6uc7n 27 дней назад
Dogo nyimbo zako nazikubali kazi iendelee
@nzobendogeorgelucas3363
@nzobendogeorgelucas3363 9 месяцев назад
Niko dar es salaam nimeipiga watu wameangalia as video wameipenda Saana 🎉🎉 mpaka wanajadili.
@nzobendogeorgelucas3363
@nzobendogeorgelucas3363 9 месяцев назад
Kisima ni chuma.
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 7 месяцев назад
Jamaa anajuwa sana! Ujumbe umetulia sana. Kiufupi jamaa aliumiza kichwa kwenye kutunga hadi video yake👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏. Niko India kimasomo jimbo la Punjabi hsipiti siku sijaucheza huu wimbo
@KelvinKulaba
@KelvinKulaba Месяц назад
Mmh most valuable &important sukuma words " myanga" viaz vya kuchomea kwenye myanga ni vitamuuuu cio cir!!!
@vailethjohn8969
@vailethjohn8969 2 месяца назад
Wimbo wangu pendwa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@NajmaSaid-u3k
@NajmaSaid-u3k 9 дней назад
Umsikiliza huyu jamaa mizm inakubr najma by dar
@user-dt2hs4we6z
@user-dt2hs4we6z 5 месяцев назад
Kisama unaweza kaka hongera sana Ila nina Ombo langu nipatiye dada Moja wakisukuma
@user-xz6fz5nz2s
@user-xz6fz5nz2s 9 месяцев назад
Kaka unaimba nyimbo za uhalisia na maisha ya Leo endelea kutukumbusha tuweze kurudi nyuma tukumbuke Mila zetu za kiafrika hongera sana❤❤❤❤❤
@MndamshimuMalugu
@MndamshimuMalugu 23 дня назад
Jamaa anajitahidi sana namuelewa sana
@AmudyAbdul
@AmudyAbdul 28 дней назад
Mko vizuri kabsa
@onesmomalifedha4709
@onesmomalifedha4709 9 месяцев назад
Shikome!!!!,kweli kanda ya ziwa wanaume tulifundishwa kwenye moto nje.Niko Moshi nacheki SHIKOME ❤
@MeshackLukanda
@MeshackLukanda 8 месяцев назад
nipo songwe
@user-jo6kb7ee8v
@user-jo6kb7ee8v 2 месяца назад
Safi sana, Endelea na Kazi.
@NeemaJosephat-xy3kl
@NeemaJosephat-xy3kl 3 месяца назад
Naenjoy sana kuwa msukuma jamani
@user-zz1pu8yo4h
@user-zz1pu8yo4h 3 месяца назад
Nakukubali Sana jogoo wa Tanzania♥️♥️
@musaogira8375
@musaogira8375 5 месяцев назад
diamond wa nyimbo za kisukuma unajua sana kisima🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mathewjiday190
@mathewjiday190 3 месяца назад
Nyimbo zuri sana ❤❤❤
@MatokeoEmmanuel-h2m
@MatokeoEmmanuel-h2m 15 дней назад
Hii ngoma nilikuwa naisubiria sana
@PatrickZubery
@PatrickZubery 9 месяцев назад
Usemi Sina hongera kwa Kaz nzuri
@pilishija-n4d
@pilishija-n4d Месяц назад
Safi sana kaka tukumbushie
@jilalagenhinje7167
@jilalagenhinje7167 9 месяцев назад
Nipo nimetulia nikiendelea kunufaika na tungo tata ambazo kwako ni kukua kwa kipawa chako ! Hongera mwaka umeend poa , tungojee albamu mpya 2024 God bless you. Narudi zangu Uyumbu wilaya ya kaliua.
@SIDEBOYTV1990
@SIDEBOYTV1990 9 месяцев назад
Wa kwanza Mimi leo😂😂😂
@jumastephano2688
@jumastephano2688 20 дней назад
Msaniii namba 1
@user-tz9iq5df7l
@user-tz9iq5df7l 9 месяцев назад
Kisima bhana mungu akubariki utufuraishe miaka mingi mi nakukubali kinoma yaaan nikisikia nyimbo yako nahisi furaha muda wote Asante kazi nzuri kaka yangu ogukaya ontuzu💙🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏🙏🤝🤝🤝🤝🧎🌹🍜
@lucasbusagala4033
@lucasbusagala4033 9 месяцев назад
Sina neno uongeze chuma t nilijua tangu zamani kuwa kunasiku utatufikisha mbali wasukuma toka kwenye ngoma kama mbina,simiyu kisabho,hadika bigup sana🎉🎉🎉
@NajmaSaid-u3k
@NajmaSaid-u3k 9 дней назад
Namkubar sana wasukuma tupo juu hakuna anaweza imba kama sis kiluga
@xiwang2129
@xiwang2129 3 месяца назад
Africans, gather here and lets enjoy 15mins long song. So good that you dont notice it. I love what you do, the energy and the choreography is just damn good. Blessings to you from Mozambique.
@kakabeny8001
@kakabeny8001 9 месяцев назад
Mimi naipa hii kuwa namba moja❤❤❤
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 9 месяцев назад
Mimi nmshabiki wa gude gude Ila Leo nmehamia kwa KISIMA *** kisima was a pure talent from god love this song from Rwanda**kisma god bless you forever 🎣🎿🛷🎮🎲♥️🀄🎣🛷🎿🎰🛷🎰🎰🎿🀄🎲🎲🎲😎⛸️⛸️♠️♠️🎽🎱🔮🎿🀄🎱♥️🎮🛷🀄🎣🎰🀄
@DanielBarnabas-jz2xh
@DanielBarnabas-jz2xh 4 месяца назад
Bro unajua sana kwa kweli
@user-uw8nj9yp9z
@user-uw8nj9yp9z 4 месяца назад
King majabala never disappointed
@squedertz1735
@squedertz1735 6 месяцев назад
Wewe ni mwamba hakika kaka unaweza
@FelisterRenatus-ib4gb
@FelisterRenatus-ib4gb 5 месяцев назад
Safi sana kisima.
@samuelssozi11
@samuelssozi11 2 месяца назад
Napenda kujua meaning ya Shikome.
@massanja21
@massanja21 9 месяцев назад
kwa hapa ulipofikia wasukuma tumekubal kuwa your the greatest singer in sukuma land tribe sasa inatakiwa dunia ijue tutafutie kolabo moja kali na wasanii wa bongo fleva hafu iwe traditionally aiseee taifa litasimama kwa mda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JescaNdatulu
@JescaNdatulu 9 месяцев назад
Hongera kisima kweli riziki Haina mgang nimeikubali hyo ngoma ubarikiwe
@user-zw4px7cy2c
@user-zw4px7cy2c 9 месяцев назад
Kwenye huu wimbo kisima umenikumbusha mbali sana kwenye kukusanya samadi za ng'ombe kuchoma viazi na mbute Dah Nina miaka sijaona mbute Jaman nimezimiss sana siku nikirudi nyumbani kwetu kijijini nikale mbute na nisisitize shikome kiendelee
@charlescharahani
@charlescharahani 2 месяца назад
kaz nzuri kisima wewe ndie king of sukuma songs kaz nzuri pamoja na producer of mt tanzania
@charlescharahani
@charlescharahani 2 месяца назад
yes
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 месяца назад
Safi getee kisma ❤
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k 3 месяца назад
Good music of sukuma❤❤❤❤❤
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 месяцев назад
Kisima to the world
@bundupendeleo
@bundupendeleo 9 месяцев назад
Your so talented my brother ni zaidi ya kipaji hakuna msukuma mwenye kipaji kama wewe
@michaelmajura4637
@michaelmajura4637 5 месяцев назад
Kisima Yuko vzr 🎉❤anatixha xan kutoka bariadi ndani
@arafajumamalebeti6877
@arafajumamalebeti6877 9 месяцев назад
Hii ndo shikome niliokuwa naisubria jaman da raha ilioje kisima mungu akurinde akuongoze vyema♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@leonidasmasomhe3901
@leonidasmasomhe3901 9 месяцев назад
Nilikuwa nausubilia kisima ulingosha sana Zaid ya sana unazawadi yako kwangu onitogisha sana 🥰🥰 limbo lawizaaa shikomeee
@barnabamasigani221
@barnabamasigani221 9 месяцев назад
Eng'wee abeh ❤❤
@IssakaFimbo
@IssakaFimbo 3 месяца назад
Mm nipo nyehunge naipenda kuisikia hii nyimbo nakutakia KAZI nzuri kisima
@jeremiahmbuga4232
@jeremiahmbuga4232 4 месяца назад
Kiukweli huu wimbo kila nikianza kuuangalia,lazima nirudie hata mara 5 ndipo moyo wangu uridhike. Wimbo una ujumbe konki
@frankmaguha2075
@frankmaguha2075 2 месяца назад
salute kisima,
@MwananshomaZenzeione
@MwananshomaZenzeione 2 месяца назад
Nakubari kabisaa
@mbuziwakutaga
@mbuziwakutaga 9 месяцев назад
Leo ndo nimeamini wewe unakipaj cha kutok kwa mungu na sio ndagu kazi nzuri sana🔥🔥🔥
@kakabeny8001
@kakabeny8001 9 месяцев назад
Kazi yangu pendwa kabisaaa❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@malambimasele7415
@malambimasele7415 2 месяца назад
Huu mwimbo unanikubusha usemi nilio achiwa na babu na bibi bro uko vizur mungu akutagulie palipo na ugum aweke wepesi
@StanleyDaud-nm9ku
@StanleyDaud-nm9ku 2 месяца назад
Wewe ndo mfalme wa nyimbo za asili ya wasukuma nakukubali sana tena sana
@user-xd6yv5tg2l
@user-xd6yv5tg2l 3 месяца назад
Wimbo muzuli unafudisha mungu akubariki🎉
@tuyajengeyaishe-vq5pq
@tuyajengeyaishe-vq5pq 9 месяцев назад
Iko vizuriblkn ilevyakwanza iko vzr zaidi ndg yangu me nishabiki yako sana sana mzaliwa wa bariadi banemhi lakin niko tabora sikonge kikazi
@marrykuchagula
@marrykuchagula 9 месяцев назад
Ongela sana kisima kwawimbo muzuli sana tunausubilia nachilato
@nyandambeleleTz
@nyandambeleleTz 9 месяцев назад
Asante kaka angu kisima kwakuitoa video ya shikome maana tumeisubili kwa hamu sana 🙏
@PaulNigo-yq5ps
@PaulNigo-yq5ps 9 месяцев назад
Hakika kisima nifundi tu umeiongezea ufundi hii ngoma salut sana kaka imenoga ngoma kali
@NajmaSaid-u3k
@NajmaSaid-u3k 9 дней назад
Sana naupenda sana unadumisha mila
@leticiamasuda1929
@leticiamasuda1929 6 месяцев назад
Waweja nkoi 🥰🥰🥰
@ngoletabu5438
@ngoletabu5438 9 месяцев назад
Kazi nzuri sana mdogo wangu. Saizi ndio muda wako,usitoke kwenye reli. Wekeza upatapo pesa kwani mziki unamuda tu.
@lazarojr8923
@lazarojr8923 9 месяцев назад
Mimi nilianza kuwa shabiki yako kwenye nzuki ukweli sijutii kukufuata Kisima hii nyingine kali 2023 tunamaliza vzr😊
@PatrickZubery
@PatrickZubery 9 месяцев назад
Neno moja tu hongera kwa Kaz nzuri
@stratonngalo461
@stratonngalo461 4 месяца назад
Ongereni sana nyimbo nzuri sana minipomosha napenda sana kuzisikiliza nyimbo zenu.munguawainue zaidi na zaidi mufike mbali
@user-tf1xe6pn3n
@user-tf1xe6pn3n 2 месяца назад
Jamaa anakujua saana
@kadegeasilitv-zt9bv
@kadegeasilitv-zt9bv 9 месяцев назад
Wa kwanza by kadege Asili Tv
@MigeraStudio
@MigeraStudio 9 месяцев назад
Asante kwakua wa kwanza
@johnshimuda8331
@johnshimuda8331 5 месяцев назад
Nyimbo bora ya kisukuma kwa 2024 pendwa kwa wasukuma na kwamakabila mengine wanaenjoy tuuuh japokua hawaelewii ila wanatikisa vichwa""" kwenye mtandao wa Tik tok ni hit song wacha tuendelee kufurahia fahali yetu ya kisukuma"'
@nyagabona
@nyagabona 9 месяцев назад
waooooo majabala kisimaaaaaaa waonyeshe hao wakubwatuka mimi shabiki wako Pastory william(Ng’wana ndemela kwenga ushirombo mjini
@samwelntelemko9165
@samwelntelemko9165 9 месяцев назад
Waliorudia malambilimbili kuisikiliza tujuane
@EmmanuelSimba-nj8og
@EmmanuelSimba-nj8og 9 месяцев назад
Mimi nishabiki saaaana wa hizi nyimbo za asili bana unanikosha sana kisima mungu akupe maisha marefu,,, maana nyimbo za asili zimegeuka kuwa bibulia,,zinafundisha sana jamani pigeni kazi sisi tupo nyuma yenu kuwaunga mkono,, pia kazi na maombi,, ACHIA TENA SHILATU ,,,, Emmanueli, kusekwa, kutoka mwime ya ilindi kahama.
@lulimaduhu7265
@lulimaduhu7265 8 месяцев назад
Ni ujumbe uliobeba maana kubwa sana kwa kabila la kisuma Mungu akubariki
@JosephDeus-v5t
@JosephDeus-v5t 19 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwanasofi mmwaaaaaaaaaa mts
@RachelThomas-ox3jr
@RachelThomas-ox3jr 9 месяцев назад
Ngoma kali sana hii tulisubir kwa ham big up sana bro umetukumbusha kuenzi enzi za wazee wetu ❤
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 9 месяцев назад
Fundi
@MayungaBugari
@MayungaBugari 8 месяцев назад
Kisima umeupiga mwingi nyimbo nimeipende inafundisha 7je ui badili uiimbe kiswahili uuze zaidi
@ElizabethJohn-ls7ou
@ElizabethJohn-ls7ou 7 месяцев назад
Yan wewe na mwanakang'wa nawapenda bure!! Mnajua kuimba adi rahaa❤🙏
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 9 месяцев назад
Highest level Broo no doubt
@musaogira8375
@musaogira8375 5 месяцев назад
unajua mpaka unajua Tena💪💪💪💪🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ShamimuRajab
@ShamimuRajab 4 месяца назад
Nainjoy ngoma nikiwa Kenya jaman mpaka watajijua,😂😂😂😂😂safi sana vijana hakuna kusubili kurud nyumban nikuungurumisha tu
@user-zw4px7cy2c
@user-zw4px7cy2c 9 месяцев назад
Hata hivyo kisima kisukuma chako ni kile Cha zamani kabsa ndo maana unaweza kukumbuka vitu vya muhimu sana kuwaimbia wasukuma asilia siyo tu kuimba imradi kufurahisha mashabiki wewe unaimba Kama unafundisha na unahisia ndani ya kitu unachoimba ndo maana watu wanapenda kazi zako za kufundisha watu
@johntvonline1274
@johntvonline1274 9 месяцев назад
Huyu Kisima apewe Maua yake tu ikifikia Hadi Mimi nime❤❤❤
@felixwilliam1999
@felixwilliam1999 9 месяцев назад
Good.music...shikome katika ladha tofauti . Asante kutuburudisha
@JohnKadalla
@JohnKadalla 3 месяца назад
Jaman saiz tupo kwenye mavuno shelehe ni zakutosha vijijin jaman Kwa upande wangu Mimi hii ngoma ndio nitakayo tesa nayo kwenye sherehe sijajua wengine
@JohnKadalla
@JohnKadalla 3 месяца назад
Safi sana kuona like yake Mwamba 👑 kisima Nakukubali sana we Jaman Ila emipango oloihhatya alehho ommamma agodotomela lohhongo.
@user-gw4qi8ri9o
@user-gw4qi8ri9o 9 месяцев назад
Kisima namba moja kwa nyimbo za asili
Далее
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Просмотров 384 тыс.
Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k
15:52
Просмотров 264 тыс.
KISIMA _SHILATU OFFICIAL VIDEO 4K
11:47
Просмотров 181 тыс.
Kisima_Nzuki_Official Video_2022
9:21
Просмотров 4 млн
Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official video
15:29
Просмотров 176 тыс.
Kisima_YAGUBHUTALE_Official Video_2022
11:27
Просмотров 328 тыс.
Kisima_Lugulu_Official Video 2022
13:43
Просмотров 825 тыс.
Kisima_Matemba_Official Video 4k
11:01
Просмотров 241 тыс.
Ng'wana Kang'wa _ Kisima Official Video HD.
10:57
Просмотров 372 тыс.