Тёмный

KISIMA _SHILATU OFFICIAL VIDEO 4K 

Kisima Majabala
Подписаться 88 тыс.
Просмотров 219 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@mwitarhobi-r6q
@mwitarhobi-r6q 5 месяцев назад
Wasukuma kwenye soko la muziki mmekuwa,Ka makirikiri wa Botswana bhana😂😂.Ka unakubaliana na mimi hebu gonga like
@MichaelPeter-lb2jw
@MichaelPeter-lb2jw 3 месяца назад
Namba ya sim
@MACHEGEMAGEMBE-cb9nw
@MACHEGEMAGEMBE-cb9nw Месяц назад
​@@MichaelPeter-lb2jwto get 😮😢
@PaulNigo-yq5ps
@PaulNigo-yq5ps 10 месяцев назад
Nipen likes zangu wadau wa msanii wetu kisima majabala the big super star wetu wasukuma
@marrykuchagula
@marrykuchagula 10 месяцев назад
Ninakuona kisima ngoma nzuri sana
@aminamohamed-eu7cl
@aminamohamed-eu7cl 10 месяцев назад
Hogera kisima wimbo mzurii
@Jema2003
@Jema2003 7 месяцев назад
Nimerudi Tena kuangalia huu wimbo nikimaliza naangalia SHIKOME nikitoka hapo nasikilia BHAZUNIJE Kwa huyu mwamba kuacha kuskiliza nyimbo zake Bado hamjanishawishi GEMELAGA ULUJUGWISELA LEKANAGA NASHO ❤
@Makolo_Rob
@Makolo_Rob 10 месяцев назад
Pround of my culture SUKUMA proud of my country Tanzania 🇹🇿 proud of Africa…. Kutoka Nebraska 🇺🇸…. Bhagesi kisima tulaga mbina bhabha
@ElikanaMwalongo-qd2xs
@ElikanaMwalongo-qd2xs 6 месяцев назад
Hongera kisima unaupiga mwingi Hadi huku iringa nakusikia
@SospeterGeorge
@SospeterGeorge 10 месяцев назад
Nyimbo zipo hivi Sasa so Kama Akina Fulani wamekuwa wakikuimba Lisa wewe unapendwa Sana na mzee wko juma kasuka
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 10 месяцев назад
nilkuwa mshabiki wa gude gude ila Leo nmehamia kwa ##KISIMA ## je washabiki wa kisima mnanipokea vipi????????🎶🎶🎵🔇📻🔇📣🎶🎵🔈
@Emma562
@Emma562 10 месяцев назад
Ayayayayayà kumbe sio mwamiñífúúú weweee!!!! mh mboña gude ñaye anàimbà vizuri tuuu semà darasani bana làzima apatíkàne ze súpa àmbaye kwa sasa ni nyanda majabhala
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 10 месяцев назад
@@Emma562 yes
@msomezsaid
@msomezsaid Месяц назад
nizaga hange na shilatu kalomonchocho" okwigwa Awuuuu,Awuuuuuuuuuuuu"hichi kiitikio uliweza sana, nakusikiliza kutoka 🇩🇪
@CNM-u3c
@CNM-u3c 10 месяцев назад
Hatujawah kufeli na hatutegemei kufeli hii video nilikuwa naisubiri kwa hamu sana salute kwako
@AlexandarBeatus-ee8iz
@AlexandarBeatus-ee8iz 7 месяцев назад
This is kisima the greatest singer in sukuma tribe
@RashdyMussa-uj7nm
@RashdyMussa-uj7nm Месяц назад
Nakubal sana mwanguuuuu,,,twazunijeee😂
@sfggf468
@sfggf468 10 месяцев назад
Wewe ni msanii namba 1 wa Kisukuma kwa sasa. PONGEZI KWAKE DIRECTOR
@HamisiShekhematipu
@HamisiShekhematipu 12 дней назад
Nakukubali san kk kisima majabala nikiwa mkoani tanga nam ni mtanga fanta apa
@PaulNigo-yq5ps
@PaulNigo-yq5ps 10 месяцев назад
Nahiii ndo video niliyo isubili kwahamu mwaka huu KAZI nzuri yenye ujumbe mzur sana hongera sana msanii wangu kisima pg kaz kaka❤❤❤❤❤❤💯💯💯
@bashrafsshiraa5587
@bashrafsshiraa5587 8 месяцев назад
Me c msukuma ila ninabahat yakua na marafiki w kisukuma bac najiuta nakuelewa sana nyimbozako zote nazifwatilia vizuri kila wakat nasikiliza mpk wanahic me ni msukuma pia kuna mdada mmoja mnene wite msalimie sana kwenye uchezajiwake hana mambo meng nawakubali sana
@poaswahilimovies99k
@poaswahilimovies99k 10 месяцев назад
Chuga iyoo majabala umevaa mhh by from tabora SIKONGE 🇹🇿
@salujohn7679
@salujohn7679 10 месяцев назад
Najifunza mengi sana kutoka kwako MTC KISIMA NYANDA MAJABALA
@nyalalibuswelu5512
@nyalalibuswelu5512 3 месяца назад
Natamani sana hii video ifikishe views nyingi kuliko Nzuki maana hii ni moto zaidi ya Nzuki 🐝
@msomezsaid
@msomezsaid 2 месяца назад
ivi nyimbo za asili wanalipwaa kweli youtube????
@FrancePetro-m1z
@FrancePetro-m1z 10 месяцев назад
Kisima nakupata ❤❤❤ sana sana huku iriga pia wahehe wamekukubali brother kaz nzuri
@JohnSamwel-r1i
@JohnSamwel-r1i 3 месяца назад
Kaka kisima mm siomsukuma ila ww umesababisha nimejua kisukuma iposiku napenda sana kazi yako Unakaz kama nzuki bhuhabhi shiratu inani marizia bandi hyokazi❤❤❤
@furahamichael6047
@furahamichael6047 7 месяцев назад
Nizaga Hange nashilato kalomo nchocho okwigwa
@GehaShimiyu
@GehaShimiyu 10 месяцев назад
Leo nami naomba nikoment mara nying nimekuwa nikiaangaliaa TU video 📷 zako pasipo kukomenti,,Kwa kweli director wako anajua kushuti,jinsi unavovaa inaonnyeshaa uhalisia wa utamaduni,pia inatofautisha kati ya traditional songs na zingnee Big up kaka,am your fellow sukuma from shshiyu but now am at dar es salaam,nitahakikisha naview video zako zote Kila unapoachia,,,wabheja sana kisimaa❤❤❤❤
@KabelelaVa
@KabelelaVa 10 месяцев назад
Kisima majabala mie mashabiki wako hajawahi tokea Msanii wa kunikosha kama kusima kila kipindi changu cha Hali ya kisiasa Kisima Umekuwa mfariji Wangu Hongera Sana.
@SamwelJacob-xj2zw
@SamwelJacob-xj2zw 10 месяцев назад
Nakukubali sana tu tangu nianze kuzielewa tungo zako 🔥 🔥 🔥
@jthedjmusicngudukwimbatv7707
@jthedjmusicngudukwimbatv7707 10 месяцев назад
Kuiga sio dhambi kikubwa maendeleo tupongezane panapofaa pia tukosoane panapo kasoro hayo ndiyo maisha ya amani na furaha namaliza kwa kusema shikamo industry ya asili (I LOVE YOU FOR ALL BEST)
@JonhManywel
@JonhManywel 10 месяцев назад
Bro fany na nyimbo inayo husu jna lako hilo itafay vzr sana hnger xan my bro
@felixwilliam1999
@felixwilliam1999 10 месяцев назад
Great sukuma singer ....lyembo lya wiza ! Hongera
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 7 месяцев назад
Nakukubali sana Kishusho Simon Majabala aka KISIMA
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 10 месяцев назад
Hakika wewe ni first artist traditional in Tanzania
@sadickally-j9m
@sadickally-j9m 7 месяцев назад
💪 congratulatons br kisima your more Lengend in Sukuma land 🔥
@mbuziwakutaga
@mbuziwakutaga 10 месяцев назад
Hii Kali sana kisima skutegemea❤❤
@lukindamangwelela4569
@lukindamangwelela4569 9 месяцев назад
Brother unyama sanaaa sema nn Nina Ngoma tuje tupig pamoja kama hautojal
@samwelsamwel4042
@samwelsamwel4042 10 месяцев назад
Hicho kiatu balaaa chuga hioooo baba 😂
@ChristinaSami-dj5ej
@ChristinaSami-dj5ej 10 месяцев назад
Wimbo wangu pendwa💃❤
@MabugaLukasi
@MabugaLukasi 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤ Tisha sana mwamba wangu
@TimotheoSengasenga
@TimotheoSengasenga 5 месяцев назад
Wapi group la ngwana ng'waluuu kikosi Cha maangamizi nomaaaaaa yes nice
@JessyMabula
@JessyMabula 6 месяцев назад
😂❤ yaan Mungu mwenyezi akutetee kwa kila jambo baya wanalokuwazia😊
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 6 месяцев назад
Amina ✅🙏🙏🙏🙏🙏
@MsogaThomas
@MsogaThomas 10 месяцев назад
Kisima nakukubali sna kijan don't give up❤❤
@EliasNkuba
@EliasNkuba 10 месяцев назад
Mwamba unajua bhna hakuna mwngine zaidi king2 king1❤❤❤❤❤
@joshualukas2123
@joshualukas2123 10 месяцев назад
Kwer watakusumbua🎉 watakapo jua ulipo zindikiwa❤❤❤❤❤❤❤
@RaysonSaimon
@RaysonSaimon 3 месяца назад
❤❤❤Kisima salute kwako kaka
@SaidNzumbi
@SaidNzumbi 2 месяца назад
Nakubali hiyo ngoma bro❤❤❤❤❤❤❤❤
@pascalmoga2522
@pascalmoga2522 7 месяцев назад
Extraordinary talented 🔥🔥🔥
@noelmasere1400
@noelmasere1400 7 месяцев назад
lini buchosa nakufuaitilia sana tangu ng'wana jomo gad sasa karibu uje Buchosa utoe shoo
@MussasitaMasuke-tw1vg
@MussasitaMasuke-tw1vg 10 месяцев назад
Sawa kisima sulwa hapa natoka ngambasingu nakubali
@massanja21
@massanja21 10 месяцев назад
Wasukuma tupewe nini huu nimda sahihi wa kuishika AFRICA 🌍 nzima na kufuta kabisa utawala uliowekwa na MAKHIRIKHIRI tuna majeshi ya kutosha team imekamilika BIG UP SANA KISIMA &MIGERA Much❤❤❤❤
@MigeraStudio
@MigeraStudio 10 месяцев назад
Thank you🌹
@danielstephano9723
@danielstephano9723 9 месяцев назад
@director Migera umetisha sana mtu wangu video kali sana
@jumastephano2688
@jumastephano2688 3 месяца назад
Wew msanii wangu pemdwa wa kisukuma,alaf unajua kupangilia mistar saf San 🤜🤛
@JonathanMapolu-ec2nz
@JonathanMapolu-ec2nz 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤ nyanda majabala
@EmanuelFaida
@EmanuelFaida 9 месяцев назад
Kisima unatuheshimisha sana Wasukuma🎉🎉🎉🎉
@KisigaKidoyayi
@KisigaKidoyayi 7 месяцев назад
Hongera sana kijana! Kipaji chako kimekuheshimisha sana mungu akubariki
@NKwigwa4Gmwanasebha
@NKwigwa4Gmwanasebha 9 месяцев назад
Kisima lini masumbwe ndani ya mjengon unakiwashag San msanii wa kwanza kufikisha watazamaji 1m we kisima umepigaje achia mawe mapya wapigwe na vi2 vizito kuna wa2 hawajui kwamba we kwa sas king of asili
@erastolukanya1333
@erastolukanya1333 10 месяцев назад
Karibu kasozibakaya
@mwelimazozo9691
@mwelimazozo9691 10 месяцев назад
Ngoma hii 🔥🔥tumeisubir kwahamu sana
@safarikhamis4005
@safarikhamis4005 9 месяцев назад
Majabara Traditional culture hongera sana kaka kwa kazi. Nzr
@MarwachachaChachamarwa-sq8cy
@MarwachachaChachamarwa-sq8cy 9 месяцев назад
Nipo dar kaka nakupongeza sana kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@isayathebest9539
@isayathebest9539 10 месяцев назад
Nakukubali Sana kisima
@mussamatondo-w3h
@mussamatondo-w3h Месяц назад
Nalipenda kabila langu sana,kwenye kutafuta pesa huwa halirudi nyuma,kisima pambana ndugu leo umejulikana kila kona
@marcokasuka105
@marcokasuka105 10 месяцев назад
Honger father Mung akufankishe sana2 pga kaz
@MihayoOscar
@MihayoOscar 10 месяцев назад
Pamojasana mtc mshabikikutoka nsungwa tabora
@kahamagloryofgod5852
@kahamagloryofgod5852 4 месяца назад
Bariadi -simiyu nawapenda watu waliozaliwa huko Safi sana kisima shilatu ahu
@rogetichuo4687
@rogetichuo4687 10 месяцев назад
Seenable ❤❤❤❤more Kisima and Migera SHILATU
@KHALIMATHAYO
@KHALIMATHAYO 10 месяцев назад
Kaka uko vizr sana kwa sasa no one like you in traditional songs especially Tanzania
@Emma562
@Emma562 10 месяцев назад
Ndio kaka,nàelewa broo tolaga milémo ñyànda majabhala
@HelenaBupamba
@HelenaBupamba 8 месяцев назад
Jmn umeua kweny ahuahu ahuahau❤
@KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd
@KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd 9 месяцев назад
Namadi chaniko amajilatu 😂😂 Keep up kisima
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 6 месяцев назад
Kalisana hiii 🔥🔥
@barakapiniel7846
@barakapiniel7846 10 месяцев назад
Dar es salaam tupo nawe bega kwa bega kwa kazi zako nzuri
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 10 месяцев назад
Saf sana tulikuwa tunaisubria kwa hamu sana hongera sana kaka unajua sana kaka pia director wako nampa 100% maana ujumbe wa nyimbo na video zipo sana na pia asili yetu inaonekana hongera kwa hilo
@Frankjosep
@Frankjosep 2 месяца назад
Upo vizuri kisima chapa kazi lakini kati ya nyimbo amboy naikubari """NZUKII"""""
@saidmoctar2832
@saidmoctar2832 5 месяцев назад
Je ne suis pas fatigué d'écouter ta musique quand bien même je ne comprends pas la langue. Dieu t'as donné vraiment un talent. 👌👌👌
@malambimasele7415
@malambimasele7415 4 месяца назад
Hongera bro mungu akubariki xana kwa nyimbo zur
@MigeraStudio
@MigeraStudio 10 месяцев назад
Nipeni moni yenu by Director Migera
@RaysonSaimon
@RaysonSaimon 3 месяца назад
Wasanii wetu wakisukuma mnaonaje mkiweka TAMASHA WASUKUMA FESTIVAL. Mkatutembelea hku dar, uanzishe ww KISIMA, BHUDAGALA, BAHATI BUGALAMA na wengne
@deusgamaya7763
@deusgamaya7763 10 месяцев назад
Ujawahi kufel mkuuu nilijua utauwaa tu maanaa tulisubili xanaa itoshe tu kusemaa hayupo,,I'm very more impressed with u man big up kazii iendelee tenaah🌷🌷🌷
@DeusMabula-k6n
@DeusMabula-k6n 10 месяцев назад
Song Kali kaka keep it na endelea kuwaelimisha Watanzania
@barakapiniel7846
@barakapiniel7846 10 месяцев назад
Merry Christmas my brother
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 10 месяцев назад
You too!!
@SeifMziray-o8j
@SeifMziray-o8j 2 месяца назад
Uku dodom tunakukubali sna broo❤
@jumastephano2688
@jumastephano2688 3 месяца назад
Hii ndo asili sasa achana na wengne muda wowote kukuimba wew
@emmanuelkulwa9227
@emmanuelkulwa9227 7 месяцев назад
Kisima nakubali Sana ingependeza tuonane sijui nakupata wap mm napatkana masmbwe mbogwe geita
@jessicarichard2580
@jessicarichard2580 10 месяцев назад
Best song nimefulahia sana huu wimbo majabala
@danielokoth3152
@danielokoth3152 10 месяцев назад
Congratulations kwa kazi nzuri
@onestartz
@onestartz 8 месяцев назад
Kisima me banw mziki wako unanivutia sana natamani kuujiwa zaidi ningependa sana nipate mawasiliano na wewe na mengi ya kujifunza Kaka.
@maduhumanyangu1544
@maduhumanyangu1544 10 месяцев назад
Hongera sana Bwana Kaka, Sanaa yako itaishi enzi na enzi. Wasukuma umetuwakilisha kwamba sisi ni kabila kubwa Tanzania na Africa na tunaweza Fani ya Uimbaji.
@MasanjaLuhunja
@MasanjaLuhunja 10 месяцев назад
Eti ndio unakuta ng'wana Sala naye anaropoka ili tu aichafue brand ya MTC, mwisho WA cku watazidi kuchafuka wao na MTC inazd kusonga mbele , hongera sana mwamba kwanza Jana mwakitoryo no 5 umetukosha kishenzi mfalme wa asili , ki ufupi Bado sana hata wanaokuwinda ni kama vile wanawindana wao tu king,
@ANTONITzofficai
@ANTONITzofficai 7 месяцев назад
Na wewe usijipendekeze kwakisima
@jumaselestine8498
@jumaselestine8498 9 месяцев назад
Much love from BURKINA FASO,, ONE Day I'll visit you❤ 2:08
@josephjoshuakubagwa
@josephjoshuakubagwa 8 месяцев назад
Ni mda wako kaka nmeaza kukufatilia tang kwenye wimbo wako wa ntemi ni ntemi uko vzur sana npo dar hapa watu wanakubar sana nyimbo zako au sku moja uje ata pale bunju utukusanye wasukuma ote
@jumaedward7110
@jumaedward7110 10 месяцев назад
Nizaga hange na Shilatu😄😄😄
@ankofabi1705
@ankofabi1705 9 месяцев назад
Kisima Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Hii 2024 Iwe Ya Mafanikio Makubwa Sana Na Uzidi Kudondosha Ngoma Kali Kuliko Hata Hizi Kila Kukicha Ngoma Zako Zinazidi Kua Tamu Tu Dah! We Acha Tu Eee Mwenyezi Mungu Tusaidie
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 9 месяцев назад
Jah bless
@benjaseni
@benjaseni 10 месяцев назад
Kaka mambo vip
@simonisangijo4867
@simonisangijo4867 10 месяцев назад
Ukhanonhyaga no o`ng`wabhabha👍
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 8 месяцев назад
Kaka unatisha mpaka huku arusha ngoma zako tunazipiga sana vip bahati bugalama mbona anatowa nyimbo za mafungu mafungu shida nn
@Renardmabimbi
@Renardmabimbi 6 месяцев назад
Bhazunije oshigile bung'wene twimbilage ngika
@Teccno001-ex1uh
@Teccno001-ex1uh 10 месяцев назад
Sawaaa kaka
@MadattaSlyvanus
@MadattaSlyvanus 9 месяцев назад
Kaka ake njile nakukubali Sana bukol moja
@johnmasangwa6471
@johnmasangwa6471 10 месяцев назад
Kazi nzuri bro Mungu alibariki na kazi yako
@SimonNgwenesho
@SimonNgwenesho 6 месяцев назад
❤❤chapa kaz
@emmanuelmanugulilo8925
@emmanuelmanugulilo8925 9 месяцев назад
Tumia lugha ya kisukuma usichanganye na maneno ya kiswahili,unapunguza ubora wa wimbo,big up
@FaustineNjau
@FaustineNjau 9 месяцев назад
Nenda na wakati
@jumaselestine8498
@jumaselestine8498 9 месяцев назад
Much love from BU RKINA FASO,, ONE Day I'll visit you❤ 2:08
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 9 месяцев назад
Welcome
Далее
KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K
15:24
Просмотров 490 тыс.
Mayiku Sayi_Jela_Official Video 4K
13:15
Просмотров 110 тыс.
3 лайфхака для УШМ
01:00
Просмотров 184 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 46 тыс.
Kisima_ Bhuhabhi _Official Video
16:05
Просмотров 401 тыс.
Kukumaji ndubula nhonge
10:08
Просмотров 31 тыс.
Aminadah by Ali Akeko (Official video)
14:16
Просмотров 393 тыс.
RHUMBA MIXTAPE VOL8 2024 HD VIDEO 4K #001 {DJ ESAU RHUMBA}
1:18:09
Kisima Fagason Official Video 4k
11:04
Просмотров 20 тыс.
Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k
15:52
Просмотров 319 тыс.
Kisima_Nzuki_Official Video_2022
9:21
Просмотров 4,2 млн
Kisima  Namonge Official Video
11:51
Просмотров 228 тыс.
3 лайфхака для УШМ
01:00
Просмотров 184 тыс.