Тёмный

KISUGU: AMLIPUA MANARA LIVE/ MZINZI NDIOMANA KAFANYA UPUUZI MBELE YA VIONGOZI WA NCHI NA WA CLUB YAK 

BATTLE TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

#BATTLETV

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Месяц назад
Manara ni Mtu wa kuharibu kila siku ile haikuwa na ulazima kumleta Mabeto ukweli Tuseme ameharibu Tamasha letu bwana!
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Месяц назад
The professional ahmed ally, the king of tonament 💪no one like him🦁🙏🏽
@juliusmbikilwa6928
@juliusmbikilwa6928 Месяц назад
Pamoja na kuwa mie shabiki wa Yanga lakini hakika Manara huenda ni mlemavu hadi ndani ya ubongo.Mbele ys viongozi wa heshima hao bila aibu unatambulisha wazinzi,kulikuwa kunaongeza furaha gani katika tamasha?Manara ni KIVURUGENI kweli,Duh!!!!!!!!?!?😅😮😢😊😂🎉
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Месяц назад
Manara hatumtaki yanga please enginear mpeni thanky manara hatumtaki
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Месяц назад
Kwahiyo mobetto nibota kuliko Ally kamwe
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 Месяц назад
Wakati mo ana tambulisha dada zake timu ni ya familia hile manara ajaribu chote amisa alikuwa Simba kasilimishwa yanga utaki au kamuita pakome amfungie viatu
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy Месяц назад
Kweli mlemavu. Alhamdulilah MUNGU msamehe.
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@asmasalumu
@asmasalumu Месяц назад
Duuu manara hakuwa na jipya
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el Месяц назад
Sasa walitangaza wachezaji au mabeto na Aziza duuh Aziza ameiteka Yanga sanaa
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Месяц назад
Ahmed Ali ametangaza nin si amemtangaza mo na familia yake na mmiliki wa Tim ya Simba mwenye timu yake
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Месяц назад
Manara mnafiki asaa
@athumanidilunga7770
@athumanidilunga7770 Месяц назад
Manara chizi anajiamini kupitiliza
@victorphilipo
@victorphilipo Месяц назад
Manara yupo kiushabiki zaidi na utundu mwingi sasa nyie watu wazima furaha yake ilizidi sizani Kuna mkamilifu mpeni onyo Moira uende MARA oyeeeeee ft yanga!!!
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 Месяц назад
Wenye akiri yanga ni wawili nawatatu ni Mzee magoma
@R10_Rajab
@R10_Rajab Месяц назад
Yaani Manara Le Buga kurudi tu kwa mpira tayari Yanga inaongoza 1 coz anawaumiza kichwa sana Makolokolo
@AlfredVictory-f3r
@AlfredVictory-f3r Месяц назад
Supu fc
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Месяц назад
Kabla hayajawa mengine manara hatumtaki jana anahojiwa anasema akimpiga yanga kwel huyu mnamuweka wann na Ally kamwe yupo jaman tuungane kwaumoja apingwe manara hatumtaki
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Месяц назад
Xavi mtupu
@JohnHembweza
@JohnHembweza Месяц назад
Naye mobeto kajishusha dhamani kuvuliwa nguo hadharani loooo mmm
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Месяц назад
Manara haitaki mema Yanga huu udalali anaowafanyia mabinti wasiodumu na wapenzi kama Moberto ambaye tunasikia kapita na mastaa watatu na kuachwa eti ndiye analetewa Azik Ki kuunganyishiwa kimahusiano hamwoni mnamharibia Aziz Ki yaani mnataka kiwango chake kishuke Yanga ipate hasara ya kimsajili?Manara acha udalali wa.kuwatongozea wachezaji wetu mabint.acha wafanye kilichowaleta yanga usituulie timu
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 Месяц назад
Manara amekosa sera za kuisemea yanga sera zake kubwa ni kuitukana simba nakuibeza ndoo kazi alioajiliwa na yanga
@AbduliAyubu-nk8bd
@AbduliAyubu-nk8bd Месяц назад
We nidio acha ujinga kwasababu unachekelea ubinga
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 Месяц назад
Hivi azinzikii hana mke?
@SouleHamadimfaoume
@SouleHamadimfaoume Месяц назад
Hakuna mawazo mapya pale usituzinguwe
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Mobeto hoyeee yaani yanga bila mobeto haiwezekani duh
@AugustinoRugwije
@AugustinoRugwije Месяц назад
Hivi ni mubeto huyo mzazi mwenzie na Mzee WA komasava
@LwessoKisekaJuma-wb1zu
@LwessoKisekaJuma-wb1zu Месяц назад
Kwani dadake Mo ni mzinzi?!!
@augustinemainde
@augustinemainde Месяц назад
Kisugu acha ujinga dunia imebadilika waacheni Genz walete mawazo mapya kwenye mpira
@user-ld1pp7th6f
@user-ld1pp7th6f Месяц назад
Acha ujinga mpira na mapenz😅😅😅
@abujumanne7570
@abujumanne7570 Месяц назад
Manara uzee jamani ushamfika ...unajua mtu akizeeka. Anarudi kua na akili 😂😂yaki toto..
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Месяц назад
Manaraa ndio alivuruga tamasha la Supu fc
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Месяц назад
Nyinyi wapenzi wa Simba nyote vilaza
@IbrahimMaliki-rv3cn
@IbrahimMaliki-rv3cn Месяц назад
dah usitukane watu ndg yangu
@augustinoflavian1738
@augustinoflavian1738 Месяц назад
Mtangazaji chizi anaehojiwa mwehu 🚮
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Hata mziki haramu
@SemzigwaHarun
@SemzigwaHarun Месяц назад
Msi mlaum jamani yule nilemavu kwahio kuna shot kichwani mle
@user-yx4uu4iv4z
@user-yx4uu4iv4z Месяц назад
Huyo kisugu hanasela
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu Месяц назад
Hawa supu fc"hamna kituu
@Malack-p7j
@Malack-p7j Месяц назад
Hamissa fc
Далее