Тёмный

KANUNI ZA TFF ZAIBUA GUMZO KWENYE VILABU / MWEKEZAJI MMOJA HAWEZI KUMILIKI TIMU NYINGI LIGI MOJA 

Crown Media
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@DambweRama
@DambweRama Месяц назад
Crown 👑 HAPA NI NYUMBANI 💥
@RajabuNakapala1
@RajabuNakapala1 21 день назад
Udhamini wa AZAM upo sahihi sana ule timu 16 kama ule wa NBC bank lkn ule wa pili wa b43.6 una harufu ya rushwa pia mashaka makubwa CAF na FIFA wapewe taarifa ili watoe ufafanuzi
@JenaniKilipamwambo
@JenaniKilipamwambo 29 дней назад
Hapa ni kwetu Nyumbani
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Месяц назад
TFF ni muhimu wakaweja zuio juu ya Muwekezaji wa Timu kudhamini Timu nyingine
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 Месяц назад
Jemedari upo vizuri
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 27 дней назад
Ubovu wa Simba hauwezi kuondoka kwa kanuni za TFF kwa sababu ubovu huo haukuletwa na Kanuni za TFF. Simba wana uongozi mbovu na badala ya kuwabadilisha viongozi wao wanataka kuibadili TFF. Huu ni upunguani mkubwa.
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Месяц назад
Huyu karia wanataka kumharibia cv yake ameendesha mpira vizuri kabisa lkn hili linampaka matope
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Месяц назад
Haifai hata kidogo labda kama tff wanataka kuharibu ushindani
@Lebabaz
@Lebabaz Месяц назад
Hapa ni nyumbani
@LauMagwaja
@LauMagwaja Месяц назад
Kwl
@hawahussein137
@hawahussein137 Месяц назад
Jemedari uko. Vizuri
@DDMGI
@DDMGI Месяц назад
😅😅😅 Leo hamaxhambui mechi 😂😂😂 kwa sababu zipi??? Mnajifanya mnamjadala WA tofauti kabisa 😅😅😅😅
@RajabuNakapala1
@RajabuNakapala1 25 дней назад
Bado nawe hujaongea ukweli Azam ana udhamini wa matangazo pia anaidhamini Yanga kwa hayo matangazo pia kwa thamani ya 43.6 hivi achia ule udhamini wa bodi ya wa thamani ya bilion 243 kwa miaka 10 tunahitaji hata hizo billion 43 ziingzwe ktk pamoja na bilion 243 sio timu moja inapewa ngvu zaidi kuliko nyinginezo hiyo timu haichezi pekee katika ligi akumbuke yanga alisha gomeaga pia udhamini wa Azam hapo awali kisha akazifuata pesa alipokwama je mgomo wake huo ulizingatia nini nasi tunaimbia Tff hii sio ligi ya timu moja yawekwe mazingira rafiki kwa timu zote tuache porojo na siasa ktk mpira fifa wanasisitiza fair play kwa kila timu pia uongozi
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 Месяц назад
Simba ajitoe ligi kuu amie Zanzibar tu watu wanweka pesa wengine wanapanga matokeo waziwazi.
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Jana mlivyogongwa na Yanga mmewekewa sh..ngapi?😂 Kuna kipindi mo alidhamini madunduka na timu nyingine 4 na bado ubingwa mlikuwa mnausikia tu...haya leo Azam wana timu wanaimiliki na sio kuidhamini tu na wanadhamini timu zote za ligi kuu au hadi nao wawafunge goli 7 ndo muanze kulalamika😅😅😅😅 tengenezeni timu acheni ujinga mbwa nyie
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda Месяц назад
​@@user-mg1yl2rl8sweeeeeeee ngogwe dunduka fc ndie mbwa halisi unajiita bora ni wa ngapi kwenye kumi bora CAF?
@anthonykagombora
@anthonykagombora 25 дней назад
Kaitaba hampajui Kuna majukwaa 4 ya kukaa
@KangaMaluguru
@KangaMaluguru Месяц назад
GSM mbona haendi pamba day na kutambulishwa kama boss wao?
@user-lr2ff5mp5t
@user-lr2ff5mp5t Месяц назад
Kwani wee juma unapo miliki wake wa 4 anaewaongoza ao wanaweke ni ww mwaume au wake zako ndo wano kuongoza wewe et ukinijb ilo utap jibu lako
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Месяц назад
Ili ujue tuna watu wengi wasojua kusoma wanaliza eti mbona Azam azamini ligi azam anzamin ligi gani tunajua Azam inazamin matangazo mzamin wa ligi n NBC
@HamzaBhai-y4y
@HamzaBhai-y4y Месяц назад
wakwanza nipeni like wanangu
@hawahussein137
@hawahussein137 Месяц назад
Viongozi. Wa. Simba amkeni
@afanikiwechaula1347
@afanikiwechaula1347 Месяц назад
Hapo lazima kunakuwa na upangaji wa matokea ziangaliwe sheria za FIFA zinasemaje vinginevyo tunajidhalilisha Huyo juma ananidhalilisha
@sagevali
@sagevali Месяц назад
Kazumari anakabka juu kabisa 😂😂😂😂😂
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Jemedari ndo maana unapataga 0 kwenye mitihani yaani mtu akiitwa bosi ndo mmiliki wa timu????😂😂😂😂 huyo leah nae eti anauluza GSM sio muwekezaji!? 😅😅😅😅 yaani ukiwa dunduka tu tyr una umbumbumbu😂
@CharlesSomeke-b5m
@CharlesSomeke-b5m Месяц назад
Mo amekatazwa kudhamini timu zingine!
@shamissuleyman4894
@shamissuleyman4894 Месяц назад
Azam wanadhamini ligi nzima na sio timu hapo mnapaswa muelewe vizuri na msimamizi wa udhamini huo ni tff
@mohammedputta5821
@mohammedputta5821 Месяц назад
Azam Ina dhaminini ligi na NBC wana dhaminini . Azam wana dhaminini haki miliki ya kuonyesha ligi tu na it's not directly
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d Месяц назад
Mmmmh wameona Leo 😂😂😂 Tanzania bwana
@josephmwise3177
@josephmwise3177 Месяц назад
Timu ndogo zipo kwaajili yakulisha timu kubwa.
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
MBONA SIMBA NA AZAM ZINAFUNGWA NA YANGA KILA SIKU KWANI ZINADHAMINIWA NA GSM?VIONGOZI WA SIMBA NA AZAM WATWAMBIE WANAPOKEA TSHS NGAPI KWA GSM ILI WAFUNGWE?YAANI WAANDISHI WASOMI MNATAKA KUTAWALIWA NA AKILI NDOGO????
@yusuphpatrick7433
@yusuphpatrick7433 Месяц назад
Yanga wanafanya mbinu za ccm
@lucassusu-q1s
@lucassusu-q1s Месяц назад
Jemedali unaukale sana
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 Месяц назад
kabla hamjafanya kipindi fanyeni utafiti la sivyo mnapoteza thamani ya kipindi, hacheni mambo ya mtaani ongeeni vitu rasmi
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza Месяц назад
Muulize huyo alisema yanga hawawezi kujaza uwanja
@DambweRama
@DambweRama Месяц назад
Wamejaza kwatiketi za bule😂😂😂
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Месяц назад
Fungulia mbwaaa ndio mjaze kakojoe ulalee
@josephlorri431
@josephlorri431 Месяц назад
Hizo za bure wewe umewanunulia.. muhimu wamejaza viwamba 2 kwa tukio 1​@@DambweRama
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
​@@josephlorri431MTANIIII MTELEZO HATA VIWANJA 10 INAWEZEKANA 😂😂😂😂😂😂😂😂
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
AZAM MEDIA ANAMILIKI AZAM FOOTBALL CLUB NA ANADHAMINI LIGI NA TIMU ZOTE ZINAPOKEA UDHAMINI TOKA AZAM MEDIA KWA NINI AZAM FOOTBALL CLUB HAWAWI MABINGWA MIAKA MI3 MFULULIZO ?MBONA WAJINGA KAMA BAADHI MASHABIKI WA SIMBA WASIOJIELEWA WAO NA WACHAMBUZI WAO,AKINA JEMEDARI,GEOFLEYA NK.
@nikky4757
@nikky4757 Месяц назад
Azam ana haki ya matangazo ya ligi kuu adhamini timu za ligi kuu mdhamini mmoja kudhamini team zaidi ya moja kwenye ligi moja hii inatengeneza conflict of interest
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
KUNA TOFAUTI GANI?
@saidinihole6977
@saidinihole6977 Месяц назад
Tuanze nakukataa uzamini wa azam tv kwa vilabu vyote vya ligi maana nao wana timu za azamu
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d Месяц назад
Hiyo ni tv sio kudhamin tim
@saidinihole6977
@saidinihole6977 Месяц назад
@@AllanKabuga-k2d jiulize inamilikiwa na nani
@abdiidi2494
@abdiidi2494 Месяц назад
​@@saidinihole6977na yanga
@haidhautumwahawezikuisha8779
@haidhautumwahawezikuisha8779 Месяц назад
​@@AllanKabuga-k2dkwani hujui Azam amewekeza yanga na Simba tena pesa nyingi
@ProudNative
@ProudNative Месяц назад
Kampuni ya Azam inamiliki Azam FC Kampuni ya Azam pia inamiliki Azam TV ambayo inadhamini vilabu vyt kwenye ligi. Mbona hili mnalikwepa na hamjawah kuzungumzia?
@lucassusu-q1s
@lucassusu-q1s Месяц назад
Kwani azamu si anatimu kwa nini anadhamini ligi?
@Humanity21216
@Humanity21216 Месяц назад
Azam TV ndo inayodhamini ligi ila sio Azam FC
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
WATU WAZITO WA KUFAHAMU AZAM TV IMEDHAMINI MATANGAZO YA MECHI ZOTE KUPITIA TV YAO NADHANI HATA NDONDI PIYA LAKINI MATOPOLO YANJITOWA UFAHAMU KWA KUMTETEA GSM.
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Месяц назад
Ww hata kusoma hujui hata picha hujui vp huon Azamu hazamini ligi yeye anzamin matangazo ya ligi mzamin wa ligi n NBC
@frankchuwa4962
@frankchuwa4962 Месяц назад
Jemadari anaongea kiunazi,Yanga mdhamini mkuu wa Yanga ni Sport pesa,GSM ni mfadhili wa Yanga,ila kwenye timu nyingine kama Namungo,Singida ,Coastal nk ni mdhamini tu,kuna utofauti wa kuwa mdhamini na mfadhili
@AbrahamChengula
@AbrahamChengula Месяц назад
HAJUI Hata anachokiongea huyo
@Humanity21216
@Humanity21216 Месяц назад
Uliona wapi mdhamini mmoja kwa timu tofauti ndani ya ligi moja? Angalia ligi ya uiengereza au za ulaya, kuna mambo na sintofahamu nyingi zinaepushwa
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
​@@Humanity21216😂😂😂 acheni umbulula na uzwazwa.... Sportipesa alidhamini yanga , Simba , namungo , ihefu then Simba akabeba ubingwa miaka 4 mfululizo mnakumbuka ??? Acheni uzwazwa ndugu moamed dewji alidhamini Africa Lyon, stand utd , ndanda na Simba vip ulikuwa hujazaliwa vip kuhusu Hans Pope na kuidhamini lipuli wakati ni mwenyekiti wa kamati ya usajili wa madunduka au umesahau kama Kilimanjaro breweries ilidhamini Simba na yanga kwa pamoja ??
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Месяц назад
Azam vipi
@josephmwise3177
@josephmwise3177 Месяц назад
Azam wanatimu yao mbona inadhamini ligi.
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc Месяц назад
Crown inaenda kufa kisa jemedar
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 Месяц назад
Azam ana timu anayomiliki. ktk ligi na anadhani timu zote za ligi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
AZAM TV WAMEDHAMINI KUONYESHA MECHI ZOTE MPAKA NDONDI PIYA
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Niwaombe huyo jemedari mtafute mtu mwingine anaharibu kipindi ubishi mwingi Mrudisheni E fm wakabishane kule
@haidhautumwahawezikuisha8779
@haidhautumwahawezikuisha8779 Месяц назад
Mpuuzi
@LauMagwaja
@LauMagwaja Месяц назад
Jaman kasema ukwel utopolo mnapata tabu san
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KWANI CROWN YA BABAKO NGURUWE MLA MIHOGO WEWE 😂😂😂😂
@ProudNative
@ProudNative Месяц назад
Kampuni ya Azam inamiliki Azam FC Kampuni ya Azam pia inamiliki Azam TV ambayo inadhamini vilabu vyt kwenye ligi. Mbona hili mnalikwepa na hamjawah kuzungumzia?
@paolo4584
@paolo4584 Месяц назад
Hizi ni entity tofauti.
@user-qy2me3yv9j
@user-qy2me3yv9j Месяц назад
Nyoko azam anazamin zote gsm anabagua tim kama anaweza nayeye azami timu zote
@LauMagwaja
@LauMagwaja Месяц назад
Ww choko azam anaonesha kwenye TV ila timu anayodhqmin azam niambie nyingen ip unapenda mitelemko nyie utopolo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
AZAM TV KADHAMINI KUONYESHA MECHI ZOTE LIVE KUPITIA TV YAKE MPAKA NDONDI PIYA WEWE KUNWEZA??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
​@@LauMagwajaBASI WAMUACHIE GSM AU MANARA TV WAINGIE MKATABA WATUONYESHE MECHI ZOTE LIVE 😂😂😂😂😂😂 MPAKA NDONDI 😂😂😂😂😂 THUBUTU USHUZI WA MIHOGO 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO NYIE KUNWEZA???
Далее
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 156 тыс.
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36