Тёмный
No video :(

Kitale 'Niliambiwa Sharo Milionea ananiloga kwa mafuta ya uso' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 509 тыс.
50% 1

Kitale a.k.a Mkude Simba ni mwigizaji/mchekeshaji Tanzania na amechukua sifa nyingi kutokana na zile sauti zake za kuchekesha na video fupifupi zilizotambaa Whatsapp akiigiza kama Teja, kwenye hii video hapa chini kaongea jinsi imani za kishirikina zilivyotaka kumkosanisha yeye na Marehemu Sharomilionea pamoja na mengi ya maisha.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 238   
@twahatkkassimu7458
@twahatkkassimu7458 6 лет назад
Wew Braza upo makin sana yaan unajib bila kuruka swali...Unajibu vizur mpak anayeuliza swali anatabasamu.( ANARIDHIKA)
@faakhalfan6642
@faakhalfan6642 5 лет назад
Huyu kitale mzuri mashallah 😍
@hinduabdulhakim2688
@hinduabdulhakim2688 8 лет назад
inshallah mwenyezimungu atakubariki katika maisha yako pia mwenye zimungu amwondoshe adhabu ya kaburi pia mwenye zimungu akujaliye mapumziko mema sharo
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 года назад
Ameen
@AbubakarBenedictus-ni9bk
@AbubakarBenedictus-ni9bk 7 месяцев назад
I love you kitale from Kenya 🇰🇪
@boscomtani1006
@boscomtani1006 8 лет назад
Safi sana Kitale. Mahojiano haya yanaonyesha busara zako. Mungu atasaidia fanya kazi utafanikiwa. Usishiriki ushirikina kwa sababu itakuwa anguko lako. Kazi na kujituma bila kukata tamaa ndiyo kila kitu.
@felistambwale2687
@felistambwale2687 4 года назад
Huringi Kama wengine uko simple Hadi Raha unaongea kwa heshima Mungu akubariki
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 5 лет назад
mashaallah kitale munguatuwekee kumbe hensam
@paulmuthui3202
@paulmuthui3202 5 лет назад
waho kitale napenda movie nzake sana Mimi n mkenya nafuatilia movie za mbongo sana coz nazipenda big up
@carlossimiyu5512
@carlossimiyu5512 8 лет назад
nakukubali sana kaka kitale,inahusunisha sana.ila endelea na huo moyo,mungu atakulipia.nakupenda sana bro.ila pole kuondokewa na kakako wa karibu sharo,r.i.p
@gabrielkwayu5791
@gabrielkwayu5791 8 лет назад
this guy is humble..... i just love.... his atitude
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 7 лет назад
Duh! ALLAH AKUTANGULIE BR. KITALE KWA KUWA MKWELI.
@msafiriwaziri7863
@msafiriwaziri7863 6 лет назад
Dah kitale hakika umeongea vzr sana
@avax5717
@avax5717 6 лет назад
Marafiki wa kweli kiasi hiki ni wachache sana. Loh, mungu akubariki
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 года назад
Nakupenda kitale,,,,🙏🙏
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 2 года назад
Allah avaricious kazi ya mikono yako Mussa,bora yako umeambiwa shalo anakuroga hujaamini na ukampambania, Sahii tuna wasanii sio kuambiwa fulani anakuroga wao wakiambowa fulani anashindana na ww/fulani atakupita vita inaanzia hapo
@ashuulwavu4941
@ashuulwavu4941 8 лет назад
dah kweli binadamu hatufanani inshallah kitale broo uwe na imani hiyo hiyo na uwe mfano kwa wengine Allah amrehmu shoro sote njia moja kila mtu na muda wake
@lisamedy9439
@lisamedy9439 8 лет назад
kaka yangu katale unaogea vizuri sana nakukubari kaka mungu atakupa mwanga mzuri ishalla
@saidambanza5
@saidambanza5 5 лет назад
lisa medy llp1ľlplp"lll"lllllľllľ0pp0qat 1ppplľl
@kizasadiki5976
@kizasadiki5976 5 лет назад
lisa medy mane
@anoodqambar5398
@anoodqambar5398 8 лет назад
kitale his rill humble..yaani ukiagalia movie zake na yy mwenyewe vitu viwili tofauti...jst like u bro
@majutojackson1050
@majutojackson1050 6 лет назад
konsorata na maria
@jerumayamwasomola1065
@jerumayamwasomola1065 8 лет назад
Hii interview inasisisimua kwa kweli.....pole Kitale...R.I.P Sharo...
@umikram6755
@umikram6755 5 лет назад
INTERVIEW yenye akil nayahuzunisha. Kitale uko vzr ktk kujb maswal. Nakupenda bure km hujaoa karibu kwetu
@hinduabdulhakim2688
@hinduabdulhakim2688 8 лет назад
inshallah nakutakia kila kheri kitale nakuombea mungu mungu akubari akuzidishiye imani ameeb
@mapenzikaindi8574
@mapenzikaindi8574 8 лет назад
nice nakupendaga sana kitale mungu azidi kukupa imani zaidi
@winieramadan9857
@winieramadan9857 7 лет назад
kumbe kitale n bonge la handsome😍😱😱 😂😂😂😂
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 лет назад
Winie Ramadan 😂😂😂😂 hapo sasa
@winieramadan9857
@winieramadan9857 7 лет назад
ahmed alminshad mfikishie ujumbe kaa unamfaham mwambie kuna bidada halali kisa ww kama hajaoa anitafute aise 😀😀😀😀😀😀😀
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 лет назад
Winie Ramadan Kitale ana mke maybe akuowe uwe mke wapili
@twahbasuleimanmatili6968
@twahbasuleimanmatili6968 6 лет назад
Winie Ramadan kweli ni chopa
@fredchaki9591
@fredchaki9591 4 года назад
Acheni ushamba wa kushobokea wasanii ma star ndiyo Mana mnaishia kuzarishwa na kuachwa na watoto mlehe
@dessertqueen7787
@dessertqueen7787 4 года назад
MashaaAllah,leo nasema nikuone unavyo ongea ukiwa freshi, Kwa kweli nimekukubali vibaya sana,kwa upole,uongea na kujibu ukiwa makini,na yote unayo uongea yatoka moyoni,na macho yako kuonesha ukweli wa yote unayoongea,kweli dunia ni nyumba cha mtihani,na mitihani nyingi umepitia na kujifunza mengi kuhusu wanadamu,na muomba Allah azidi kukuongoza na kuifanya nyota yako in'gae zaidi duniani na Kesho akhera,kila la kheir in Shaa Allah
@jospinsadiki4580
@jospinsadiki4580 2 года назад
Mwenyezimungu akubariki kitale
@omarmwinyi6484
@omarmwinyi6484 8 лет назад
Millard hii interview duhhh.....kitale ameongea ya moyoni thanks Millard thank kk Kitale niko Finland hawa wazungu hapa wa nakupenda sana kitale japo hunitamani mm kama translate wao ww na marehemu usife moyo bro sote njia moja piga kazi bro duniani kuna chuki na upendo chuki ipo kumfanya anaechukiwa akaze zaidi thanks Millard thanks bro Kitale I hope ipo cku ntakuja Dar kukuona Live.....
@muyasalo4880
@muyasalo4880 6 лет назад
OMAR MWINYI kwel
@sahaabalsahaab1373
@sahaabalsahaab1373 5 лет назад
Kitale napenda sana movie zako uko powa kaka kitale
@asiansky4786
@asiansky4786 4 года назад
Daa kitale kumbe mziri hivi
@eddiedonald7483
@eddiedonald7483 8 лет назад
nice interview.. safi sana kaka kitale unajua kufanya mahojiano kila la kheri kwenye kazi zako
@veronicakilongumtwa3420
@veronicakilongumtwa3420 5 лет назад
walsi
@hamadkwezi9954
@hamadkwezi9954 5 лет назад
mungu akupe maisha malef kitale
@nyanzasuck5135
@nyanzasuck5135 8 лет назад
Kitale I salute you from Kitale Kenya+154.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 4 года назад
Dah Kaka kitakele Allah ayafikishe malengoyako na Allah amsamehe marehem Sharon uko aliko InshaaAllah
@hopemanzi1319
@hopemanzi1319 8 лет назад
Kaza buti bro kitale, wabongo tunaweza maneno tu na sio kazi.. "R.I.P Sharo"
@faridamahenge6405
@faridamahenge6405 6 лет назад
😱😱😱😱 jaman my kakaaa mahenge mwenzanguu ndomana nakupendagaa mishe zako kumbe damu mojaaaa
@herryemmanuel942
@herryemmanuel942 3 года назад
Nimekufuatilia sana mahojiano yenu na millard.nimependa sna na mwambie Millard interview zake Zina mashiko sijaona.big up sana.na linguine Sharon alishatangulia mbele za haki Sasa hao aliowalog mbona hawapandi wanazidi kupotea me bado marehemu anawaloga au wajitambue wasiamini mushirikina
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 8 лет назад
mh very touching story we luve u kitale n RIP sharo
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 6 лет назад
His eyes,,,,, says the truth,,,,
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 лет назад
Umenenepa San kaka yng WA morogoro mwenzang mashaallah
@najmaadam9331
@najmaadam9331 8 лет назад
happy born day to u milard wangu allah akupe una chotaka hapa duniani na akhiira. mad love from canada . keep doing good work
@marycelineevergreen9257
@marycelineevergreen9257 8 лет назад
inasikitisha sana nakumbuka kifo cha shark mpk kesho mungu amweke pema jmn tumepoteza watu muhimu sana akiwepo Kanumba hawa watu wangekwepo jmn mpk Leo
@hassanabdallah1009
@hassanabdallah1009 7 лет назад
nakuelewa broo
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 5 лет назад
Kumbe kitale akili zako timamu!!tena handsome boy!" Maneno ya kuambiwa"kitale hujaoga,'nimeoga"😆😆😆😆😆
@user-xd1qs1qn6t
@user-xd1qs1qn6t 4 года назад
Kuoga mm au kisigino🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dessertqueen7787
@dessertqueen7787 4 года назад
Hahahaha
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 5 лет назад
Umeeleza hadi roho inaniuma uko vzr sana mkude
@abubakarkaniki9545
@abubakarkaniki9545 8 лет назад
Nimemuelewa kitale inauma inatia uchungu na nimejifunza thenx millad
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 5 лет назад
Much love and blessings @kitale, your haters will always see you rising while they fail.
@khadijamalifedha5862
@khadijamalifedha5862 8 лет назад
asante Millard kwa kazi nzuri
@nazonahdi9993
@nazonahdi9993 5 лет назад
Kitale mzuri kumbe my brother mashallah
@mahadhmahadhhababuumahadh1783
@mahadhmahadhhababuumahadh1783 7 лет назад
Kuna kitu nimejifunza kumbe maisha in uvumilivu sana.Broo KITALE kumbe upo ivo yaan pigup sana. So kind.
@joyveykjer7084
@joyveykjer7084 8 лет назад
Daaaaaaaah so sad interview!!!! Big up kitale live long........and r.i .p sharo
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 года назад
Ameen
@ahmedswaleh9181
@ahmedswaleh9181 8 лет назад
yani katika interview zote hakuna ilionigusa kama hii usijali Kitale haya ndio maisha sio wote watakaokupenda R.I.P SHARO
@zuhuraali9983
@zuhuraali9983 8 лет назад
pia mimi hii imeningusa sana kitale mugu yupo
@ahmedswaleh9181
@ahmedswaleh9181 8 лет назад
+Zuhura Ali yani hata yahuzunisha umchukie mwenzio kwa faida gani sijui
@zuhuraali9983
@zuhuraali9983 8 лет назад
nilijikuta nalia coz kumbe kitale nimuelewa mtaratibu tofauti na akiwa kazini
@ahmedswaleh9181
@ahmedswaleh9181 8 лет назад
+Zuhura Ali hahahahah pale anatafuta unga
@zuhuraali9983
@zuhuraali9983 8 лет назад
+ahmed swaleh yaani namuongopa sana hata akinifolllow nahisi kama ananitokea ila tuwaombee waliotutangulia mbele
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 года назад
Wangapi waliokua wanamchukia sharo ila ndo haohao tuliowaona wanamlilia sharo kumbe kinafki,,,doh binadamu jamn,,2022 Mungu wetu azidi kuturinda
@mansourmuhammed1922
@mansourmuhammed1922 4 года назад
Umependeza halafu upon kimnya mashaallwa tafauti na move zako mungu akupe mafanikio mema ishallwa nakupenda bure
@agustimsoma7754
@agustimsoma7754 8 лет назад
Daaa kweli sio kilam2 atakupenda bila kujikubali mwenyewe usione m2 anatembea yamemjaa mengi moyoni 💗
@metrinelwangu4670
@metrinelwangu4670 4 года назад
Wow kitale kumbe no undsam boy.nakupenda bure❤️❤️
@kissdiffanyhotnews7518
@kissdiffanyhotnews7518 5 лет назад
Ata Kifo Chake Wamemfanyia Hao Lakini Mbona wenyewe hawa Vumi Kipaji Sio Ndumba Na Malipo Ni hapa Hapa
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 года назад
Una uhakika?
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 8 лет назад
jumba la dhaha namkumbuka yule jini kabula she is so beautiful
@reubenonsando1148
@reubenonsando1148 5 лет назад
Namkubali kitale sana
@albertmandari5687
@albertmandari5687 7 лет назад
wasanii wa kibongo wamejaa uswahili sana ndio maana hawaendelei, pole sana kiale lakini nna imani utapata mafanikio makubwa zaidi ya hao haters. kwanza hata hatuwasikii tena saivi.
@daisydavid3196
@daisydavid3196 8 лет назад
pole sana kitale .. imenigusa sanaa .But Mungu tu ndiye mambo yote..R.i.p Sharo
@marciakassimkassim9275
@marciakassimkassim9275 8 лет назад
Kitale .napenda sana move zako...Big up sana
@peterkarioki753
@peterkarioki753 Год назад
ooyya unabonga kimamba bro big up
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 5 лет назад
Nice kitale
@ramadhanindaro6866
@ramadhanindaro6866 4 года назад
Nimelia sana mmmh
@khadijaally7346
@khadijaally7346 8 лет назад
Dah inaskitisha Sana ila aikua na maana kumuongelea mtu ambaye ameshatoka dunian. @big up milady
@kigozizari658
@kigozizari658 3 года назад
Kumbe mkude mzuri ivi aise nime kupenda
@rahimasaleh4957
@rahimasaleh4957 6 лет назад
he kitale ndo mzuri ivo jamani mashallah
@munishasuleiman940
@munishasuleiman940 8 лет назад
dah..hii story inaliza wallah r.i.p sharo
@sylivestercylilo9241
@sylivestercylilo9241 6 лет назад
komaa ushatoka Ww usaidie na wengine
@qrrrqtqt9976
@qrrrqtqt9976 3 года назад
😭😭😭mm pia mola ampe kauli thabity sharo
@fatumaselemani661
@fatumaselemani661 5 лет назад
nakukubali my kaka 😍😍😍😍😗😗😗
@zulfamawvaa7428
@zulfamawvaa7428 8 лет назад
kitale daaah nimekupenda bure unajielewa
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 Год назад
Love you brother
@camillahsaid776
@camillahsaid776 8 лет назад
ni vinzuri sana kazi nzuri
@dsmith7600
@dsmith7600 8 лет назад
Aisei hii movie bomba sana, hapakaliki tena!
@juxkanumba9928
@juxkanumba9928 2 года назад
Cool Bro
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 лет назад
Pole sana ni kutokana na ukaribu muliokuwa nao na kukueleza baazi ya mambo yake ndio maana yakakukuta hayo lkn we mtegemee Allah
@surambayarohosafi314
@surambayarohosafi314 8 лет назад
happy new year kitale and Millard ayo kama nimkono wa mtu sharo kufa wajue njia ni hiyo hiyo hatawawo hawataishi milele MUNGU atakusaidia kitale usife moyo bro
@maryamisa9743
@maryamisa9743 5 лет назад
Yani sharobaro Shikamoo bhana penda sana.
@pendowilliam1910
@pendowilliam1910 8 лет назад
Du Pole kitale R. I. P sharo
@marcoayubu3150
@marcoayubu3150 8 лет назад
ahaa kumbe kitale bonge la msanii juu xna bab ak godifrey kundaeli kiruan manyara
@rachelheda9330
@rachelheda9330 8 лет назад
So sad 😔😔😔😭😭😭😭😭 R.I.P sharo
@veronicapaul499
@veronicapaul499 4 года назад
Nakupendaje kitale afunakuogopa kinyama kumbe ukopoa ivi
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
Kitale shikamoo hizo move nyingine sikusijua niliijua ya jumba la dhahabu kipindi hivyo tv kwa jirani😁😁😁😁👈
@mwanalelee6
@mwanalelee6 6 лет назад
mungu wangu.....mzee kankaaaaaa kumbe amefariki mdaaaaa....Ka namuona vile..
@khadijaissaeddd6334
@khadijaissaeddd6334 8 лет назад
mkudee simba M ashaallah uko juu rip sharo
@sniperislam4547
@sniperislam4547 5 лет назад
Millard ayo fundi ukitaka kujua ufundi wke kuwa ni mtangazaji bora angalia hyo kofia alivyoweka watangazaji uchwara wanageuza kwa mbele
@zahramobne7807
@zahramobne7807 6 лет назад
Nimependa interview yako sana
@ntakarutimanvbh4121
@ntakarutimanvbh4121 5 лет назад
Kiukweri gitare unaongea vizuri san
@EStyle-xf1cb
@EStyle-xf1cb 5 лет назад
Na kweli pia.nagoja majibu. To ka Kwako.
@johnybony7807
@johnybony7807 6 лет назад
Kitale rahisi wa mateja juuu xana bro
@michaelking1232
@michaelking1232 5 лет назад
Yup kitale
@sumaya8478
@sumaya8478 7 лет назад
hao hao ndii walimuende kinyume na kumbe sharo maana alikuwa ako na kipaji kuwazidi wote tena amekuwa juu zaidi kuwa shind hata kiakili R.I.P.SHARO.don't worry kitale
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
Kabisa m'y inavyoonyesha walimwendea jamani
@gfttyfffg2219
@gfttyfffg2219 5 лет назад
kwer kitare umenimariza urivyo baba ongera
@johnsonmbwana9696
@johnsonmbwana9696 4 года назад
Sana kaka mungu akubaliki
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 8 лет назад
i like more than a lion
@sadammsafili5530
@sadammsafili5530 2 года назад
Nakubar
@rosesawala9689
@rosesawala9689 8 лет назад
Da!kitale unamoyo wapekee,pole
@sanurashaban2570
@sanurashaban2570 8 лет назад
thanks millard ayo.....
@eminja7644
@eminja7644 7 лет назад
very nice
@3xaidy273
@3xaidy273 7 лет назад
mungu yupamoja nawe my bro r.I.p sharo
@francissakwa5607
@francissakwa5607 5 лет назад
hata ss wakenya tunakupenda sana kitale.
@maliganyakanuda
@maliganyakanuda 6 лет назад
Nice enterview
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 8 лет назад
leo nimeamin kwamba watu wengi ila binadam wachache r.i.p Sharo
@konoliusmapunda7495
@konoliusmapunda7495 6 лет назад
BURUANI SAIDI
@abelydasilver8396
@abelydasilver8396 6 лет назад
Nice kitele
@issaothman8590
@issaothman8590 6 лет назад
BURUANI ukiona.watu.wanakuchukia.juwa.umewazidi.kwa.upande.huo
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 2 года назад
Mimi nimekuja hapa baada ya kumsikiliza masele
Далее
MKUDE SIMBA :  NANDY / ANATUMIA PESA APATE PENZI
31:28
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 534 тыс.
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni
7:15
Просмотров 568 тыс.
STAN BAKORA Interview at EFM | Uhondo
8:34
Просмотров 235 тыс.
Alikiba - Lupela (Official Music Video)
4:34
Просмотров 6 млн
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн