Тёмный

#kivumbi 

Yuhai media
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@kisinza6077
@kisinza6077 6 часов назад
Kuhusu taarifa za kimfumo hamuwawezi Kwa sababu wao ndiyo wamiliki wa mifumo, wanauwezo wa kutengeneza taarifa kinzani na zikahalalishwa. Poleni sana kupambania watanzania.
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 10 часов назад
Safi sana mpina
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 10 часов назад
Ila mpina unajielewa
@andrewassey5108
@andrewassey5108 9 часов назад
Hivi, na hawa mawakili wa serikali ni wapinzani? Mbona kila kesi wanapinga? Mapingamizi kila kesi!!!
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 часа назад
Upigaji ni mfumo Mwalimu alipambana sana
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 4 часа назад
Sukari, ingalie kwa umakini inatafautiana rangi zile punje
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 5 часов назад
Akishinda MSUKUMA sijui ataficha wapi uso wake kumdhalilisha ana afya mbaya ya akili akae ni mtuhumiwa
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 6 часов назад
Sukari ilipoadimika tulilalamika na kuilaumu serikali, hatua zilipochukuliwa kunusuru hali ile tulifurahi, leo tunaambiwa taratibu zilikiukwa tunaunga mkono. Hao ndo SS wa tz.
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba 7 часов назад
upande wa serikali hakuna kesi walishaga shinda,sijui wanasheria wao wanasomaga wapi
@umranim5854
@umranim5854 7 часов назад
Sasa kushinda nini hapo kwani imefikia mwisho mgoje muone mwisho wake ndio mseme mmeshindwa hovyooo 😏
@SamsonLubinsha
@SamsonLubinsha 8 часов назад
Lazima wapinge kula yao inatoka humo!
@alfredbee7967
@alfredbee7967 7 часов назад
Mawakili wa mjifunze kuhus uzalendo cyo mnakuwa machawa wa serikalin mnatumiwa kama toilet paper stupid
Далее
Dnevnik D: Svetlana Cenić, 19.09.2024.
22:09
Просмотров 3,1 тыс.
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,9 млн
У НАС ДОМА ЗАВЕЛАСЬ КРЫСА 🐀
01:00