Тёмный

WARIOBA AKEMEA UDINI, UKABILA,AGUSIA UOGA WA KUKOSOA NA KUSIFIA,ASIHI MASHAURIANO CHADEMA NA SERIKAL 

JAMBO TV
Подписаться 923 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 293   
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 3 часа назад
Napenda watu kama hawa huyu uzalendo anao, anaependa Wariba piga like. Mshauri mzuri sana.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 9 часов назад
Utaishi miaka mingi sana Mzee Warioba. Una haki moyoni mwako.Mungu anakupenda sana.
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 7 часов назад
Mwenyenzi Mungu mwenye mamlaka yote akuongezee maisha mzee warioba.
@kennedythomas7282
@kennedythomas7282 8 часов назад
Mzee, una busara sana. Hebu watu wajifunze kwa unachokisema. Mungu akubariki na akuzidishie siku za kuishi ili ulisaidie taifa.
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 9 часов назад
Mzee wetu warioba maashallah nimekuelewa sana binafsi
@willmar9293
@willmar9293 8 часов назад
Jaji Warioba nakutakia mema sana jaji wetu 🤍🤍🤍
@maryyona8946
@maryyona8946 8 часов назад
Asante Baba una hofu ya Mungu .Mungu azidi kukupa afya njema.
@HenryKisusi
@HenryKisusi 10 часов назад
Hakika Mzee Warioba uchaguzi mwaka huu itahujumiwa sana... Tutafute njia bora ya kuhakikisha uchaguzi uwe huru na haki.. Ameen
@BraisonMeela
@BraisonMeela 9 часов назад
Mwalimu nyerere akirudi hakika atakupongeza mzee Warioba. HONGERA Sana kwa mzee Warioba.. Wish you long and prosperous life
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Час назад
Anaendelea kuvivaa viatu vya hayati JKN. Mungu azidi kumfunika kwa mkono wake ulio hodari
@sadih5333
@sadih5333 Час назад
Nyerere ndio chazo cha yote mabalaa ya democracy nchini, alienda Zanzibar kipindua matokeo na ndio ukawa mwanzo wa ujinga wote huu.
@joegemihayo8625
@joegemihayo8625 Час назад
​@@sadih5333una ushahidi?
@SeveriniPeterMkini
@SeveriniPeterMkini 6 часов назад
Hongera sana Mzee mwenye BUSARA na usie na woga ktk kusema ukweli. Natamani kama mungekuwa watu japo 20 tu hapa nchini, kama wewe basi TANZANIA INGEKUWA TAYARI INATUMIA KATIBA MPYA. Wanao ikataa KATIBA Mpya wanaona itaminya shibe yao haramu. Big up Joseph.
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 9 часов назад
Natamani arudi ujana atuongoze msomi huyu jmn nampenda sana duh wanaonisapot gonga like
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 6 часов назад
Huyu mzee asife kwa Kweli maana wanasiasa wanatuharibia nchi,, Nimeongea mm juzi 😂😂 nashukuru Mzee kachana ukweli mtupu, hata mauaji haya vyama vyote vilaumiwe,,
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 6 часов назад
Kuna comment niliandika, ipo siku tutafuta utawala wa vyama, turudishe kwenye Taaluma kila Nafasi itapatikana kwa Taaluma, ubunge usomewe Kama Udoctor na uwalimu tuu, ukuu wa wilaya na mikoa upatikane kwa kosomea 😅😅
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 6 часов назад
@@georgemtewele7656 hakika itakaa pw
@petersipano6335
@petersipano6335 5 часов назад
Suala hapa sio yeye kurudi ujana bali tatizo ni vijana kuwa wapumbavu mitaani na katika madaraka.
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 5 часов назад
@@petersipano6335 kikweli tuna vijana wenzetu wapo kwenye Nafasi nyingi, wameishia kuwa machawa tuu, Mwisho wa siku pesa zao zinaishia kwenye Baga na pizza tuu, Hatakuanzisha miradi ya kimkakati hatuwezi, ni uchawa tuu si cha wanahabari wala nani,,,
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 7 часов назад
Mungu Baba Mwenyezi Akutunze na kukuongezea hekima zaidi na tunu hii iheshimike. Tunakuombea maisha marefu. Ukweli hutuweka huru daima!
@NassourOmar-f4c
@NassourOmar-f4c 10 часов назад
Mzee wape somo hao, nakukubali san🎉
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 8 часов назад
Wewe ndiye Baba wa Taifa uliyebaki katika Nchi hii. Asante sana Mzee Warioba. Ninaamini hupati tu nafasi ya kumshauri Rais, ungekuwa unapata nafasi ya kuongea naye asingefikia hapo alipo sasa
@johnrobert5198
@johnrobert5198 10 часов назад
Mungu amlinde mzee wetu
@NyamhangaOlango
@NyamhangaOlango 8 часов назад
Umetoa Elimu nzr sana Mzee wetu tunakupenda sana 🙏
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 20 минут назад
Hotuba hii imejaa nondo tupu, hata kupiga makofi washiriki waliona watapitwa. Mzee anatiririka madini tupu.
@franknyalyoto1422
@franknyalyoto1422 7 часов назад
This old man is a treasure of our nation, he should be taken care of and protected, because he is speaking, I believe God has decided to reveal himself to this old man, let's think hard and let the current leaders evaluate themselves.
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 10 часов назад
Mungu akujalie maisha marefu mzee wetu Joseph Sinde Waryoba, Ameni
@knight6757
@knight6757 10 часов назад
Ameen!🤲🤲
@Hyun626
@Hyun626 7 часов назад
Aaamen
@SaidZablon
@SaidZablon 8 часов назад
Mzee huko vizuri mungu akulinde
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 8 часов назад
Mzee ishi sana MUNGU akulinde
@Georgemselyamwaluko
@Georgemselyamwaluko 8 часов назад
Mungu azidi kukubaliki ww ndoo tunu ya taifa
@minazsaid2470
@minazsaid2470 10 часов назад
Mungu akupe maisha marefu taifa bado linakuhitaji mzee wetu
@KhatibuMshana-wy9pf
@KhatibuMshana-wy9pf 3 часа назад
Mzee warioba wewe ni baba yangu nakuombea mungu aendelee kukulinda na kukutunza hakika naamini unahitajika Sana katika taifa la Tanzania mungu akubariki
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 6 часов назад
Mwenye haki akiongea unamtambua tu. Mungu akupe maisha marefu mzee Warioba.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 10 часов назад
Mzee Warioba kama baba yetu una Neno la kutangulizi au mgeni rasmi.,tutapona kama nchi.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 9 часов назад
Jambo TV, hongera kwa kazi njema ya kutuhabarisha kuna changamoto kidogo ya sauti, angalia watu wasiojulika waweza kuingilia kwa hofu.
@user-wu1oo1ro3k
@user-wu1oo1ro3k 5 часов назад
uko makini saana❤
@kennedythomas7282
@kennedythomas7282 8 часов назад
Huyu mzee alikula kiapo cha kweli . Anayo hofu ya Mungu kweli kweli. Mwenye sikio,atasikia. Ee Mungu mpe maisha marefu huyu mzee.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Час назад
Kabisaaaa
@allyhamad1496
@allyhamad1496 8 часов назад
Namuona JK Nyerere katika mzee Warioba na mzee Butiku.Tukumbuke palipo na Wazee hapaharibiki kitu.
@augustinejobmkongwa7599
@augustinejobmkongwa7599 9 часов назад
Mzee Warioba ni Hazina kwa nchi
@immichaelwale5147
@immichaelwale5147 10 часов назад
Mungu akupe mwisho mwema mzee warioba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 10 часов назад
Tunaomba kazi uliyopewa ya kutupatia KATIBA MPYA utupiganie tuipate hata kwa kauli tu
@januarysungura8119
@januarysungura8119 6 часов назад
@@adelinelyaruu3036 vijana mnakaa nyuma wakati mzee waryoba kashasema yote chukua hatua
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 4 часа назад
Baba wa Taifa Mlezi .. We love you ... Hekima imejaa hapo .. Nimerudia 3 times ❤
@user-bu3lg2sc7x
@user-bu3lg2sc7x 7 часов назад
Busara za Hali ya juu... Kwl utuzima dawa...❤❤
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 7 часов назад
Nakukubali sanaaa nzeed wetu una hekimaa nyingi sanaa MUNGU akupe maisha marefuu sanaa
@godfreyisaac1665
@godfreyisaac1665 10 часов назад
Wewe ni Baba wa Taifa uliyebaki
@halimamasai2234
@halimamasai2234 10 часов назад
Hongera sana baba
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 10 часов назад
Asante kwa kauli hai kbs
@udazakikoti3419
@udazakikoti3419 7 часов назад
Ni mzee hasiyejali uchama ila anajali haki ya mtu kuishi, kukosoa na kuwa huru kwenye nchi yake
@GodfreyRichard-v4f
@GodfreyRichard-v4f 8 часов назад
Mungu akupe Maisha marefu
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 4 часа назад
Mungu akubariki sana mzee warioba washauri sana ccm watembee kwenye njia ya mungu na ya haki pia na kweli.
@francismapunda6924
@francismapunda6924 6 часов назад
Mungu ibariki Tanzania na watu wake wazee kama hawa usiwachukue mapema
@laizerjaphet5260
@laizerjaphet5260 6 часов назад
Very interesting
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 2 часа назад
Mzee Butiku na Warioba ndio mlio baki tunawategemea sana. Mungu awape maisha marefu na awalinde kwa nguvu za malaika wake.
@emmanuelalfred140
@emmanuelalfred140 6 часов назад
Huyu tuu ndiye binadamu anaishi Mfano wa mwaalimu Nyerere and may almighty make you an example to let’s the world know you are living things 🎉✌️🙏🏿🫶🏿
@deccapolyclinic7416
@deccapolyclinic7416 2 часа назад
Excellent ever
@NepporSabith
@NepporSabith 10 часов назад
Msingi wetu wataifa letu nimkubwa sana lakini wakati mwingine unatikisika kwa7babu yaviongozi wetu wanaotumia nguvu nyingi kuongoza taifa LETU,emu TUBADILIKE
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 8 часов назад
Mbona mnakata kata sauti nyie Jambo wahujumu
@boneyme9433
@boneyme9433 9 часов назад
Sema Baba
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 10 часов назад
Mzee warioba siyo mnafiki anachosema kinatoka moyoni
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 10 часов назад
Jaman mzee huyu ni tunu ya taifa kwanini viongozi wasichukue hiyo hotuba yake wakaifanyia kazi
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 3 часа назад
HUYU MZEE WATU SIKU TUMLIPE NINI NAOMBA KAMA TAIFA TUNA DENI NA HUYU MZEE❤❤❤❤
@user-hf9kp7ys2h
@user-hf9kp7ys2h 6 часов назад
Ccn msikilizeni Mzee Warioba acheni kiburi na ubabe kujiona nyie ndiyo bora zaidi kuliko wengine jadilieni na wenzenu walio na mawazo tofauti ili amani itamalaki hapa Tanzania
@helencyprian8745
@helencyprian8745 7 часов назад
Hingerq mzee wetu Mungu akuutunze sana
@benedictogesa2206
@benedictogesa2206 9 часов назад
Maneno ya hekima Mungu ayape nguvu wote tuyasikie na Tuyafanyie ka Zi
@RachelMaeda-cq3mo
@RachelMaeda-cq3mo 6 часов назад
Kuna msemo usemao mvi Ni hekima hekima ndiyo hii ubarikiwe Sana baba pamoja na uzao wako mungu azidi kukulinda
@mahadhimmoto1013
@mahadhimmoto1013 6 часов назад
Huyu Ndiye Mzee pekee wa Taifa Hili Aliyebaki!... Mungu Ampe Umri mrefu na Afya Njema
@SomaEliah
@SomaEliah 2 часа назад
Hakika mzee wewe ni muungwa a sana ,,,, Mungu akutunze sana
@TumainiNyari
@TumainiNyari 9 часов назад
Huyu Jaji ni Kiongozi mwenye upeo wa kipekee sana kwa Taifa hili tuna haja kujifunza na kumwenzi umahiri wake na ukweli kwetu.
@zabronmdoe4398
@zabronmdoe4398 8 часов назад
Wewe ni Mzee ,Kuazia 1964 tuwatu ajirani,Umetukuta, tumia uzee huo vizuri,Uzee dhahabu kwa sonara mzuri, Wengine tuwataalamu lakini tuliongozwa na siasa,Rafiki yako Jim Mdoe alisema (There is no booksh administration)Wisdom only,ask for wisdom God only Grants Iam 84yrs No hatred for any one,
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Час назад
Mungu Akulinde mzee wetu azidi kukupa Afya na uzima na uhai inshaallah 🎉🎉🎉🎉🎉
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 часа назад
Asante Sana mzee warioba umeongea mambo mazito makubwa CCM ni sikio la kufa
@emmanuelalfred140
@emmanuelalfred140 6 часов назад
This should be the second president after mwalimu Nyerere until now🫶🏿🙏🏿👍🏿👍🏿👍🏿
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 10 часов назад
MUNGU AKUTUNZE MZEE WETU WARIOBA, NA USIHOFU MANYANG'AU WA ROHO ZA WATU NAO HAWATAKAA MILELE WATAKUFA PIA. ILA WATZ TUMEUMIZWA NA HILI ZIMWI LINALOKULA NA KUMALIZA.
@JohnMabustar
@JohnMabustar 3 часа назад
Babu yetu sis gen Z wa tz warioba Asante kwa madini Yako tunakuzingatia 😊😊
@PatrickJohn-u6t
@PatrickJohn-u6t 5 часов назад
Asante Babu yetu kwa Hekima kubwa hii hakika viongozi wakutumie vyema wakati wa uhai wako ili kuiongoza vyema nchi hii.
@CimwaganjeMgoli
@CimwaganjeMgoli 10 часов назад
Mzee wambie ukweli hao tunawatuma wakatuwakilishe mwishowe wanaenda kusifu raisi sjawahi sikia ata mmoja akosoe
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 6 часов назад
Halafu anatokea Mtu,, Hajawahi kusema ukweli Kama Warioba nayeye anajiita, professor au Msomi, kwangu mm wanasiasa wote ni Wahuni tuu, Hajasoma kabisa, Selfish people ,anapoteza sifa ya usomi wake kwenye siasa, siasa na Harakati zimetengeneza wahuni wengi mnoo… Na njaa ndo Shida, kuleta mambo ya hovyo kwao sio shida, mpaka sasa mikakati ya kuweka wagombea mtaani kimya,,
@yohanangowi
@yohanangowi Час назад
Asante sana busara Yako mungu akibariki naiwe SoMo kweti sote
@leonardmsafiri2199
@leonardmsafiri2199 10 часов назад
Let's wait and see 60 years of our party in government I wonder why we still in the same situation every day yo me it's insane
@richard111-p2o
@richard111-p2o Час назад
Hotuba hii itabaki kichwani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu uzidi kutulea kwa mawazo yaliyokomaa
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 3 часа назад
TUNAMPENĎA SANA MZEE NDIO MAANA MZEE WA SIKU HAMUONDOI MAPEMA❤❤❤❤
@FrancisAntto
@FrancisAntto 6 часов назад
Jaji warioba unasema ukweli kuhusu wagombea tunaoletewa na vyama si chaguo la wananchi. Pia ajali ya 2019 na 2020. Dosari isiyotarajiwa. Waliosimamia uchaguzi 2019 na 2020 ndiyo watakaosimamia ? Hapo kweli shida. Toboa waambie. Mungu akuli de baba kwa hekima.
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 9 часов назад
Napenda anavyovyaa mashati yake safi sana
@FestoLalata
@FestoLalata 46 минут назад
Ubarikiwe mhe Walioba
@samirsamson3996
@samirsamson3996 4 часа назад
Live long sir nimependa speech yako hasa ulivyosema viongozi wa mihimiri haina haja ya kuwa pamoja yani km mkutano wa raisi haina haja ya spika au jaji mkuu kuwepo vivyo hivyo mkutano wa jaji au spika
@shabansalum1848
@shabansalum1848 5 часов назад
Vyama vya siasa na ofici ya msajili wa vyama..mpeni kazi mzee warioba..kazi yakuwashauri nakuwalea..mfarakano wa vyama uondoke
@RICHMINDEDSKILLS
@RICHMINDEDSKILLS 2 часа назад
Congratulations 🎊 to jambo TV, babu warioba
@shabansalum1848
@shabansalum1848 5 часов назад
Mzee wetu warioba safi saana busara..kubwa haswa muhimili... kutoingiliana
@amaningalla9420
@amaningalla9420 9 часов назад
Huyu mzee apewe nafasi japo nimtu mzima sana ila ana uwezo mkubwa sana
@pendobruno111
@pendobruno111 9 часов назад
Niliumia sana sitasahau kuwa chama kimoja kikashinda uongozi wote sitasahau niliumia sana
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Час назад
Hunishindi me natamani hata leo kingerudi tuh haina haja ya kuwa na vyama vingi iwapo CCM ving'nganizi hawataki na wenzao wachukuwe madaraka
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 5 часов назад
Mama jaribu kusikiloza busara za huyu mzee naheshima yako itabakia pale pale Tanzania 🇹🇿 kwanza mama etu❤❤
@davidbenson661
@davidbenson661 17 минут назад
Mungu akubariki sana Mzee wetu
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 4 часа назад
Asante baba Mungu akubariki
@ArnoldMsengezi-g5q
@ArnoldMsengezi-g5q 8 часов назад
Mnatakiwa kutoka na tamko la kuunda tume huru ya uchaguzi itakayofanya kazi kuanzia November 2024. Bila kufikia adhima hiyo mnatupotezea muda. Kwamba tume hiyohiyo zamani ilisimamia uchaguzi vizuri. Hii haiwezikani kuwa sababu. Zingatieni utawala wa vyama vingi. Ninyi wazee wa zamani kuweni na msimamo, TUME HURU bila kupepesa macho.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 часа назад
Warioba Mungu yupo nawe.
@RICHMINDEDSKILLS
@RICHMINDEDSKILLS 2 часа назад
Nimeskia uchungu sana
@JosephMakaranga-o7r
@JosephMakaranga-o7r 4 часа назад
Nakubaliana na wewe Mzee wetu kwa asilimia mia Moja nakama mwalimu essay yako umepata 20/20 sawa 100%
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 2 часа назад
Maneno yako yanaponya mioyo na kutia matumaini. Ubarikiwe saana na Mungu akutunze zaidi kwa ajili ya taifa letu. Tumemiss saana kusikia busara kama hizi
@EdwardBundara
@EdwardBundara 3 часа назад
Hakiya Mungu naapa mbele za Mungu, mzee huyu ni mzalendo hakika,Mungu azid kukutunza hata milele
@jeremiahakonaay1842
@jeremiahakonaay1842 9 часов назад
Kweli kabisa mzee wetu! 2020 wengine hata hatukuthubutu kujiandikisha kwa vile dalili zilionekana kwenye chaguzi za walioacha au kufariki kuwa wananchi hatuna haki ya kuchagua
@danielishigita2423
@danielishigita2423 2 часа назад
Wenyezi MUNGU akulinde BABA
@ArnoldMsengezi-g5q
@ArnoldMsengezi-g5q 7 часов назад
Dini haziwezi kuwa mbali na ni kimbilio la wanyonge. Tume huru ni suruhisho.
@FrankMwakalinga-k9y
@FrankMwakalinga-k9y 4 часа назад
Mzee warioba Uishi miaka mingi sana
@maulidmwegio5704
@maulidmwegio5704 9 часов назад
Busara ya Hari Ya Juuu Kabisaa.Amina.
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 3 часа назад
Shikamoo babu Mungu akulinde
@bonifasmashingia
@bonifasmashingia 5 часов назад
Haki na uwazi na uzalendo ndo siri ya maisha marefu ya huyu mzeeeee
@ElishaKahema
@ElishaKahema 10 часов назад
Zawadi ya taifa iliyobaki
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 48 минут назад
Mzee Warioba yupo sahihi sana na anatumia raw data tena mbichi kabisa hazijapikwa.... dhambi hana huyu mzee wetu. Manano yake yataishi. Huyu tumuite Baba Mdogo wa Taifa hili...
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 часа назад
Mzee Walyoba hongera umeongea mambo mengi sana yabusara lakin kama viongoz wanayasikia
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 6 часов назад
Wazee wapenda haki wawajibikaji kwa jamii zao ndio kama huyu nao wamebakia kidogo sana yan wapo mwisho,,sasa sijui hawa Mungu akiwachukua hili taifa litakuwaje maana da!! Tunalia tu kila siku wengi wao saizi ni uchawa tu kwaajili ya matumbo yao na sio kuisaidia nchi tena😢😢😢
@PeterMafuru-l6r
@PeterMafuru-l6r 6 часов назад
Nchi hii ina ukame wa akina Warioba
Далее
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Просмотров 638 тыс.