Тёмный

KIVUMBI! WAFANYABIASHARA WAFUNGA BARABARA HOLILI, WAVUTANA NA DC "TUNAAMBIWA TULIPE LAKI 3 YA NINI?" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@barakamanga5502
@barakamanga5502 3 месяца назад
Mkuu anataka kuwatoa kisisa
@isamony58
@isamony58 3 месяца назад
Selekali ya mama wezii wamejaa rushwa nje njeeeeee mungu kwa nn ulimchukuwa magufuli😢😢😢
@zully756
@zully756 3 месяца назад
Nenda kamfuate
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 месяца назад
Wezi tunawajua tu mnaumiaaa mtakufa na ninyi​@@zully756
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
Wabunge ndio wazarishaji wa matatizo nchini
@Globalpeace123
@Globalpeace123 3 месяца назад
Serikali ya samia ni wezi sana tena mno aibu Msikubali simamameni imara
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
Ati bila aibu anajiita Baba badala ya kusema mimi ni kiongozi wenu.Hawa wanajiona miungu watu .Msidhani mnaongoza manyumbu watu sio wapumbavu, watu wameamka sasa
@karyori69
@karyori69 3 месяца назад
Mzigo wa Kenya lazma ulipe kodi!
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 месяца назад
Hana adabu huyo,wanajifanya watoto wa Samia wao wanaishi peponi,wanatumia V8.wakati kwao baba yake hana ha baiskeli.Hapo alipo amevaa kofia ni dharau.komaeni naye,zakayo hao
@jomba6514
@jomba6514 3 месяца назад
Umesema konsani ni nini mkuu
@barakamanga5502
@barakamanga5502 3 месяца назад
Watanzania nao waanza mdogomdogo kupinga manyanyaso, uongozi angalieni haya, watu wanauchungu
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 3 месяца назад
Kinukisheni kama 🇰🇪 waoga tz
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Kenya si kwenu na mihemiko yenu, wa tz ni wa amani.
@gugahmediaafrica9405
@gugahmediaafrica9405 3 месяца назад
HUKU KENYA SAI VIONGOZI WOTE KIMYAAAA AKUNA KUONGEA SUBUTU..TUNAWATIBU HUKU KENYA INAFAA WAFANYE TUNAVYOTAKA WALA SIO WATAKAVYO
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 3 месяца назад
Mmetisha wakenya nass we ngoja tutawapa dicplin
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 месяца назад
Wapuuzi hao wafanyabiashara
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 3 месяца назад
Duh,hii boda inasumbua sana sababu hakuna ukweli hapo ,,,,,ss madereva Hali ngumu geti Hadi wiki laki tatu ya Nini,,,,kwa ujazo wa Kila gari ,,Mzee funguka hapo hapo show show mkamalizane wapi,,,,holili thug life
@josephmtavilalo5087
@josephmtavilalo5087 3 месяца назад
Bongo mavi kabisa hapo Rushwa ilikataa kutoka
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 месяца назад
kuna watu wanamgongamanisha raisi na raia wake kwa tamaa zao!!
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 месяца назад
Anagombanishwaje?? Anawajua wezi anaona wa Tz wanavyoteswa ame mute?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 3 месяца назад
Kwa nini kuficha changamoto Zetu kwenye. Kivuli cha Rais. Kwa miaka mingi tabia hii imetutia upofu wa kutatua changamoto.
@AntonyKarisa-tw8ju
@AntonyKarisa-tw8ju 3 месяца назад
Haha eti tukakae mahala hapo huyu kiongozi ingikuwa kwetu kenya hahaha hapatoki mtu hapo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 3 месяца назад
Angesalimiwa
@knight6757
@knight6757 3 месяца назад
🇹🇿🤑🤑
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 33 млн
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
NI MWENDO WA MGOMO WAFANYABIASHARA KARIAKOO
5:29
Просмотров 2,4 тыс.