Тёмный

KONKI: JOHN HECHE ALIAMSHA BUNGENI LEO/ HALI NGUMU/ PESA HAKUNA/ AJIRA HAKUNA. 

TimesFMTZ
Подписаться 538 тыс.
Просмотров 261 тыс.
50% 1

Bungeni leo Nov 7: Alichokisema Mbunge wa Tarime Mhe. John Heche leo Bungeni.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 253   
@ashashabani4210
@ashashabani4210 5 лет назад
khaki mungu ninavyowapenda wapinzan mpk naumwa nilikumiss sana john 👏🏽
@elltrick
@elltrick 5 лет назад
wasafiafa
@tommiecharles6501
@tommiecharles6501 5 лет назад
Japo csikii lakini jinsi ninavyomuana anavyoonge Mh; Heche atakua anatema madini... Gonga like niamini endapo kweli...
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 4 года назад
Huyu jamaa ananikubusha timu ya reli morogoro ilivyo kuwa inacheza lakini ilikuwa inashuka daraja na huyu jamaa anajikakamua tu mwaka huu baada ya uchaguzi atakuwa kwao akikamua ngombe maziwa bye bye 👋
@shakaykelvin9403
@shakaykelvin9403 Год назад
wew hauna akili na ukubwa wako
@shomytventertainmenttanzan7842
Nimekupenda bure heche
@joctanjaphet3795
@joctanjaphet3795 5 лет назад
Ni wachache ktk nchi wanaosema ukweli, daaaaah jaman.
@yasintagerald2913
@yasintagerald2913 5 лет назад
Big up mheshimiwa heche
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 5 лет назад
Woyooo bungeni mambo ni 🔥 🔥 🔥 🔥
@abdulseif4093
@abdulseif4093 5 лет назад
0716072004 - 1last
@SLTN4503
@SLTN4503 5 лет назад
kama umemuona professa jay gonga like hapa
@zedmsuya420
@zedmsuya420 5 лет назад
hatujamuona tulikuwa tunaskiliza point
@mohamediomary8439
@mohamediomary8439 2 года назад
Wapinzani ni muhimu sana kwa maendeleo daah mungu wajaalie hawa
@salimyona8795
@salimyona8795 5 лет назад
wakuropoka mko wapi semen tena kama hamjamulewa heche maana wengi ni washabiki ila tunaisoma wote
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 5 лет назад
Salim yona sana tu
@elizajuma5827
@elizajuma5827 5 лет назад
I salute u hon.Heche....live long
@medkisalazo3890
@medkisalazo3890 5 лет назад
duuh beef LA mafahari wawili tuu sasa taifa Lina angamia kikwete wanakukumbuka Japo kosa pia ni lako umewatia WA Tanzania tabu
@mbachaliletv6548
@mbachaliletv6548 5 лет назад
Mh Heche nakubali michango yako coz imekuwa chachu hata kama hawafanyii Kazi mawazo yako naamini wanakusikiliza. Mara nyingi umekuwa ukitusemea vijana wa Masikini tusio na kwa k usemea Wala tusiosikilizwa na yeyote tunaoteseka na familia zetu kwa u masikini tuliowaandalia wazazi waliotoa pesa zao nyigi ili angalau tupate elimu na baadae tuwafute machozi leo tunalia nao ila wao wanalia mara mbili yetu. Binafsi elimu yangu ni ndogo ila tangu 2015 mpaka leo Hajira hakuna. Sekta ya kilimo serikali inavotudharirisha last year walikuwa wanaitaji watu 126 ila wanaita interview watu 1000... tunatoka mikoani mpaka dsm unakaa wiki 2 alafu majina yanatoka umekosa. Umetumia gharama kubwa na bado ukifika mtaani unakutana na mtendeji wa serikali anaelipwa mshahara unaotokana na kodi ya jasho lako anakwambia kajiajiri. Sasa unajiuliza huyo BOSS ANAEITWA KAJIAJILI wakati yeye anaajiliwa na serikali hakumuona kama mzuri aende nae akajiajiri?? Ukienda kwa huyo boss kila kona kodi mlango wa biashara kodi,tra kodi,halmashauri ushuru,tfda ushuru,tpri ushuru yaani huyu huyu boss kajiajili anatutesa mpaka tunajiona watumwa na yatima kwenye nchi yetu
@stevetimber7857
@stevetimber7857 5 лет назад
hilo la wanyonge umeongea ukweli sela heche
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
Tena sana yaan bora kipindi cha kikwete wanyonge walikuepo wachache ila sasaivi mhh zunguuka uswahilini ujionee au maospitalini mtu akiumwa akienda hospitalini shida kupata matibabu km huna pesa na pesa yenyewe ngumu kuipata utafanya kzi kutwa nzima hata ya kuifadh kdg hupati leo unatuambia serikali ya wanyonge kweli wanyonge wanakufa sana wanapokosa pesa za matibabu maana wanyonge wengi hawana bima ya Afya
@goodluckmlaki5595
@goodluckmlaki5595 5 лет назад
Inasikitisha sana maelfu ya wasomi watoto wawakulima hawaajiriwi ,wanaajiriwa wanasiasa tu ,sasa bunge linajadili nin wakati wTu wakufanya kazi wapo barabarani wanaendesha bodaboda .Elimu ya miaka 3 mtu hajaajiriwa kichwani kuna kitu kweli alichosome au elimu ishakuwa maji..halafu unasikia taarifa .... Serekali wakumbukeni wanyonge jaman elimu zao zinaishia kufuga kuku
@hilderpeter9512
@hilderpeter9512 5 лет назад
Umesikia hicho kimama pembeni kitoa tarifa et unasema haijajili kisa chenyewe kina mshahara hakijui tunapitia shida gan huku mtaan hawa wabunge ccm bas tu
@goodluckmlaki5595
@goodluckmlaki5595 5 лет назад
@@hilderpeter9512 inasikitisha sana maana kosoma kunapoteza maaana ,mambo ykiendelea hivi.
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 5 лет назад
Nawashauri wanafunzi wa secondary wajikite kwenye art na comerce mengine hayana maana bora kujiajiri
@MWALIMU_GURACHA_MEDIA
@MWALIMU_GURACHA_MEDIA Год назад
This guy is a legend
@mussaandrew6078
@mussaandrew6078 5 лет назад
Very good,,, ni kweli hatuoni Matunda ya kusoma,,, tunapunguza tu mapato ya nyumbani kwa Ada.
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Kila sk hali tanzania inazid kuwa ngum watu wanajiuza dodoma mnakataa mna wafunga ila mashoga mnawakubal ovyoooooooooo
@sabinamwanshinga3239
@sabinamwanshinga3239 5 лет назад
Haha true... ila mashoga nao hawaepukiki na huu utandawazi ndo watatupa tabu sana
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Baba njoo nikubusuuuu
@mwidzuhuluhapalataii6945
@mwidzuhuluhapalataii6945 5 лет назад
heeeeeeeee,umbusu iuli iweje?Atashusha zipu ujue
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
@@mwidzuhuluhapalataii6945 😀😀😀😀😀😀😀hawez anajiheshim na mm niko mbal atanipatia wap.
@sidneykaduma3697
@sidneykaduma3697 5 лет назад
Dyana Tanz , Uzalendo katika nchi yako; Naamini kuwa umembusu hata ukiwa bado ukàli mbali , Hongera kwa kusubutu kukubaliana na points zake za Mh. John Heche za ukweli. Stay blessed....!!!
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
@@sidneykaduma3697 asante nashukul
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 5 лет назад
John heche we n mmoja ya wanaharakati wangu saaaana yan- hua sikupingii sio mnafiki kama watu wengine# kila lakher jOhn ,sio pombe# .... Get well soon shujaa mnyaturu bedui- tundu lissu# huku kwetu singida tunaamin wew ni kama mzimu unaotenda maajabu- hakika mungu mkubwa saana - ✌
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 лет назад
John heche nakukubali
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Sema babaaaaaaaaaa
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 5 лет назад
huyu aje Kenya tumpe urais
@hamadathuman6939
@hamadathuman6939 5 лет назад
Akiii vleee
@lindatemu3465
@lindatemu3465 5 лет назад
Nitakuja Mimi jamoni
@edwinmbugua7704
@edwinmbugua7704 5 лет назад
@@lindatemu3465 unakaribishwa
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 5 лет назад
Heche oyeeeeeeeee 2020,sijajua imekaaaje maana kwa mtiti huuu 👌👌👌???
@allydisi3656
@allydisi3656 5 лет назад
Upinzani ni kama apolo tuko imara sna kwa hoja hizi wacha moto ilie mawe itoke 2020
@apostlezachariabulugu2810
@apostlezachariabulugu2810 5 лет назад
Tatiana
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 5 лет назад
Mtu unasoma kwashida, nakupata kazi nako kuwe shida?? Inaniuma Sana jamani
@zakiamakita7339
@zakiamakita7339 5 лет назад
Soma ujiajiri
@shickkitabunda3959
@shickkitabunda3959 5 лет назад
...alafu mpuuzi anasema anaunga mkono juhudi
@amevuai8724
@amevuai8724 5 лет назад
Serikali imeajiri watu wengi sana, kwa mfano TRA tu imeajiri watu zaid ya 500. Kada za afya washaajiriwa watu wengi sana tena sana. Hawa wabunge wengine wanatafuta umaarufu tu kwa watu na kudanganya jamii.
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 5 лет назад
Kwan kuna mkataba uliingia na serikali kwamba ukimaliza kusoma lazima ikwajili?n kwa nn umesoma? Elimu yako inakusaidiaje? Sku zote elimu ikusaidie na syo ww uisaidie elimu
@sabinamwanshinga3239
@sabinamwanshinga3239 5 лет назад
@@amevuai8724 hivi vitu vinaenda na stats sijajua anazungumzia ajila za namna gamn lakin huwezi ajiri watu 500 kwenye nchi ylinayotoa wahitimu si chini ya 50k kila mwaka... mfano mwepesi ni ualim bro... serikal haijatoa ajira then hat kwa waajiliwa aslimia kubwa wafanyakazi mishahara iko domant... tangu awamu ianze. Na usiseme umaarufu ungekua umelima mahind au mpunga yasingekutoka maneno haya maan hasara wanaijua wakulima.
@majaliwawangdagangdullanga700
@majaliwawangdagangdullanga700 5 лет назад
Sana heche
@jessykaelus1579
@jessykaelus1579 5 лет назад
Nakukubali sana heche, hongera sana baba. Hunaga kupindisha pindisha.
@benardmanyama3415
@benardmanyama3415 5 лет назад
Huwa naenjoy pale Wapinzani huwa wanachangia hoja huwa ni wakwelii
@anozacha611
@anozacha611 5 лет назад
Wakiona wanasema ukweli wanakatisha penda sanaa upinzani
@petercat9686
@petercat9686 5 лет назад
Kweli kabisa
@frankyohana746
@frankyohana746 5 лет назад
Dah! Inauma san!
@martinemwakifuna6072
@martinemwakifuna6072 5 лет назад
Haya
@tumsifusokoine2493
@tumsifusokoine2493 5 лет назад
yan kuna wabunge wakichangia hoja mpaka utatamani achangie kila saa big up heche
@felicianbwinyende4884
@felicianbwinyende4884 5 лет назад
Be blessed heche
@fauziayusuph672
@fauziayusuph672 5 лет назад
Ni kwel kbc mungu akubariki uwe unawapa ukwel mara watabadilika
@mohamediomary8439
@mohamediomary8439 2 года назад
Safi sana heche
@ibrahimchedielmbwambo-rm6qf
Hapa sawa mbunge huyu mmoja sawa na wabunge 10
@priscaoscar6571
@priscaoscar6571 4 года назад
Kabisa mweshimiwa hongera kwa kuliona hilo
@joelmsambwa5504
@joelmsambwa5504 4 года назад
Ifikie Mahali Maoni Ya Wapinzani myasikilize sio Kila Wakati mnatafuta defensive mechanism kwa Hoja zao ilimradi Ni za Kujenga nchi Yetu, coz nchi Ni ya Kwetu Sote. MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU BARIKI ULIMWENGU MZIMA.
@nairatykasim6250
@nairatykasim6250 5 лет назад
Duuh hii kiboko
@selemanommy1386
@selemanommy1386 5 лет назад
Mmhhh we ni noma sana
@jacquelinemahumbi7924
@jacquelinemahumbi7924 5 лет назад
Barikiwa
@The90roman
@The90roman 5 лет назад
Upinzani imara ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Nyie Chekeleeni tu upinzani ukiwa unakufa, just imagine mnaingia bungeni hamna mtu anaekosoa kila mtu anasifia tu. Aisee nchi lazma ita stuck.
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
Hapo ndo mtakapo tambua umuhimu wa wapinzani sasaivi ole wako ajira hazijatolewa useme watu hawajaajiwa kamati ya maadili ikushughulikie
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 5 лет назад
asante kaka heche wanyonge kwenye nchi hii ndio mnaoendesha vx
@emmanuelmselestine3960
@emmanuelmselestine3960 5 лет назад
akuna mkamilifu chini ya jua kahongea vyema ohhhhh yes or no
@adolfmajebele8073
@adolfmajebele8073 5 лет назад
respect 2 this guy!!!
@shomytventertainmenttanzan7842
Safiii nimekuelewa
@rizikeyernest9260
@rizikeyernest9260 5 лет назад
Dah, heche umenena aiseeee
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 5 лет назад
safiii msema kweli mpenzi wa mungu
@originalnchimbi5972
@originalnchimbi5972 5 лет назад
Big up mheshimiw respect
@boniphacemarco9421
@boniphacemarco9421 5 лет назад
Good
@adimetermseveni4623
@adimetermseveni4623 5 лет назад
John Heche shikamoo kaz nzur
@shabanimruke7880
@shabanimruke7880 5 лет назад
Mh heche mungu akulinde
@charlesmataba6931
@charlesmataba6931 5 лет назад
UKWELI HUO UMESEMWA NA HECHE UBARIKIWE SANA
@edrawnedward5670
@edrawnedward5670 5 лет назад
fact #konki heche
@tumainirichard5678
@tumainirichard5678 5 лет назад
Kaongea point
@mmeruuchongo5082
@mmeruuchongo5082 5 лет назад
umeongea ukweli mtupu love you heche
@johnsonmwamsojo8134
@johnsonmwamsojo8134 5 лет назад
umenena kweli mzee baba nakubali makofi kwako
@jacquelinemahumbi7924
@jacquelinemahumbi7924 5 лет назад
ubarikiwe mtumishi
@oscartandula8644
@oscartandula8644 5 лет назад
Mungu akusimamie sana kiongozi kwa kila jambo
@vidothlema2691
@vidothlema2691 4 года назад
Safi kaka
@hamisnangi4226
@hamisnangi4226 5 лет назад
Big up Mh. Heche hakika wewe ni kichwa
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 5 лет назад
Mungu ibariki tanzania
@msafiriomary893
@msafiriomary893 10 месяцев назад
Jaman tarime mrudisheni bungeni
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 5 лет назад
bright minded guy.
@kingdrummer8774
@kingdrummer8774 5 лет назад
hujaeahi kusema uongo nakupendaga bule
@stellahnkuu8234
@stellahnkuu8234 5 лет назад
Heche usituache tukiangamia maana hata mwenyez mungu anasema heri wenye huzuni maana watafarijiwa,kwa maneno yako tayari tumefarijika.
@immaruzige1845
@immaruzige1845 5 лет назад
Dah! serikali ya wanyonge ni shidaaaa
@alexlutengano687
@alexlutengano687 5 лет назад
Asanteeeee
@albanbros7210
@albanbros7210 5 лет назад
Ndo maana hawataki tuone bunge live.
@merlissawilliam3773
@merlissawilliam3773 5 лет назад
Safi
@salumbahria7643
@salumbahria7643 Год назад
This mam deserves to be a president
@amevuai8724
@amevuai8724 5 лет назад
Hawa wabunge wengine huwa wanaishauri serikali au wanaijengea chuki serikali kwa wananchi wake?? serikali kila leo inatoa matangazo ya ajira tunayaona na watu wengi tu wanaajiriwa, tusiwe wanafiki jamani kwa kusema uongo tena bungeni hadharani.
@upendodaniel7359
@upendodaniel7359 5 лет назад
hongela sana kaka sasa hivi gunia la mahindi sh20000
@rehemamustafa8703
@rehemamustafa8703 5 лет назад
serikali tukufu inayokusanya kulikozote mutuajili jamaniiii
@ahmedramadhan8331
@ahmedramadhan8331 5 лет назад
Ilo kweli sijui kwa nn hawajir, hususan vyombo vya kijeshi, police, uhamiaji na vyenginevyo wakiajir watu wanajir watu kidogo walostafu wengi na mwaka wa chaguzi ndo huuo unafika ss 2019 iyoo mi nasisitiza ajirin ili tume na walinzi kwenye nchi yetu tuwe na amani zaid, Tanzania oyee
@sirilimichaelpamojasana2033
@sirilimichaelpamojasana2033 4 года назад
Wapinzani nawapendasana
@lama6310
@lama6310 2 года назад
Heche jamani Rudi Bungeni
@AbdulRahman-wx6iv
@AbdulRahman-wx6iv 5 лет назад
Kweli mtupu.wanapigania matumbo yao tu sio wanyonge.
@felisiande729
@felisiande729 5 лет назад
Daaa jamaa kaongea ukweli balaaa
@hassankidisa8070
@hassankidisa8070 5 лет назад
Duh! We Heche ujue MUNGU anakuona unavyowapaka Hawa wajinga. Si kea ukweli huo. Keep it up baba Heche!
@jacklinemuro2648
@jacklinemuro2648 5 лет назад
Aisee inauma Sana mbunge umenitoa machozi tumesoma lakini tunawaua wazazi kwa mawazo kwajinsi walivyo tusomesha kwa shida na bado tunawategemea badala ya wao kututegemea Sisi.
@fatumaahmad8065
@fatumaahmad8065 5 лет назад
Binti umesema kweli roho inauma binti yangu kamaliza chuo kikuu mwaka wa NNE saa anasota home ajira hakuna imebidi nimpeleke ajifunze kushona na digree yake
@abubakarmuhammad7116
@abubakarmuhammad7116 5 лет назад
asante babaaaa
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Wanyonge ndiotumeongezekaaa
@nasibumutabazi8721
@nasibumutabazi8721 5 лет назад
mh nimeipenda iyo panchi waliwakuta wanyonge wangapi na mpaka sasa wamewasaidia wanyonge wangap
@gelfasimtengwa3504
@gelfasimtengwa3504 5 лет назад
dah kaka heche we ni msema ukwel sana
@freesoul5963
@freesoul5963 5 лет назад
Fara uyu anaongopea bunge Fara saana
@idrissamohamed8469
@idrissamohamed8469 5 лет назад
wew ndio fala mavi yako"" nyooo mtu anaongea ukweli wew unampinga
@Kiganjani
@Kiganjani 5 лет назад
🔥🔥🔥
@daudmchile5277
@daudmchile5277 5 лет назад
Mmi CCM bt unanipa shida bro na point zako duu
@rashidchembaxic6879
@rashidchembaxic6879 5 лет назад
Japo mi CCM lakini Heche nakubaliana na wewe kwenye suala la ajira
@twahiraliy3382
@twahiraliy3382 5 лет назад
Nchi hii wabunge wako 7 tu wengine porojo, Heche njoo masasi brother utusemee
@kagoshimsule4851
@kagoshimsule4851 5 лет назад
.mungu akubaliki heche wangu
@kidoyjames5194
@kidoyjames5194 5 лет назад
Kweli kabisa
@denisdejo5033
@denisdejo5033 5 лет назад
Respect Bro.😭
@lindatemu3465
@lindatemu3465 5 лет назад
Hachelew kutekwa walay au atumbuliwe na kutolew nje maana hili bunge la ccm
@teresiakomba9957
@teresiakomba9957 Год назад
Hilo liserikali lenu nalichukia mpaka bac, tena nyie km mungu mwenyew huyohyo tunayemuomba na cc wanyonge mnalakujibu cku mkifa.
@limolimo4701
@limolimo4701 5 лет назад
vyuma vimekaza sana nabado tutakoma hapa nchini
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 5 лет назад
Kamanda ukifika Congo we ni Rais. Konki konki konki Heche
@simuyangu1356
@simuyangu1356 5 лет назад
Mm ni ccm ila nanukuu point ya heche...tulikuta maskini wangapi....sasa wamepungua wangapi....kipindi kile pesa zilionekana sasa .pesa hazionekani...na kodi tumevunja rekodi
@georgegeorge8762
@georgegeorge8762 5 лет назад
Ni kweri serikal yetu hii haitazami wala kufikikilia kuhusu watu walio hitimu wapo watu walosota zaid ya miaka 9 hawana ajira serikali yetu iangalie kwa hili
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 5 лет назад
namkubali heche
@yohanamsabila4653
@yohanamsabila4653 4 года назад
Duh
@naijapatson6774
@naijapatson6774 2 года назад
Serikali tukufu inayokusanya kuliko serikali zote 😄😄😄😄
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 5 лет назад
wapinzani ndiochujiola wanyonge tuwilitapita I'lla machicha yatabaki safarinjemaaa
@sesiliaumbela3984
@sesiliaumbela3984 5 лет назад
shikamooo baba heche
Далее
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 291 тыс.
“Tunakubali kwenda kujinyonga?” -Zitto Kabwe
9:16
Просмотров 145 тыс.
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08