Тёмный

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 796 тыс.
50% 1

Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amesema kuwa Serikali inatakiwa kuzifanyia kazi baadhi ya taarifa zinazotolewa na wananchi kuhusu matukio yanayodaiwa kuhusisha Askari Polisi kuuawa watu bila hatia na iache kuwatishia watu wanaotoa taarifa hizo. Heche amesema hay oleo November 7, 2018 wakati akichangia mapendekezo yake katika mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 704   
@priscahezron8418
@priscahezron8418 Год назад
If you’re here 2022 listening to this guy again after missing these discussions on the Parliament…. Like here John Heche live long
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 5 лет назад
uyu jamaaa huwa namwonaga mbali sana...mungu aendelee kumtetea....
@samwelpaul7334
@samwelpaul7334 Год назад
Moja ya wanasiasa bora sana
@robisammeytv7547
@robisammeytv7547 10 месяцев назад
I wish to see this guy back.As Kenyan we have alot of hope in him.
@yegokubebekamugurus8072
@yegokubebekamugurus8072 5 лет назад
Dah! hii kichwa naipenda balaa. Piga kazi mura najivunia wewe kuwa mbunge wanguuu👏👏👏
@muchomersonmichael4615
@muchomersonmichael4615 5 лет назад
Naomba uwe rais kura yangu na ukooo wangu woooooote chukua. Akili yako nikama ya wana ...........wooooote, love u so much brother. Ongea ukweli asiependa ukweli atakuwinda, tuko nyumbani toka 2015 hamna ajira mimi ni moja wao, naomba namba nikutumie vocha bro.
@nicholausnchimbi1599
@nicholausnchimbi1599 5 лет назад
Yatapotoka majibu toka kwa mawaziri utasikia kuhusu utaratibu,mwongozo,taarifa mwisho haoooo nje
@isackmosesmabula3648
@isackmosesmabula3648 5 лет назад
Tata muchomason hahaaaaaa
@documentariestvshow
@documentariestvshow 4 года назад
Ukabilaaa ndo unauelewa Sana eeee n ukooo wako
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 5 лет назад
Unafaaa kuongoza Tanzania. Kama unamkubali Heche kua Rais wetu ngonga Like hapa
@salmaabdillah1617
@salmaabdillah1617 5 лет назад
longa heche longa I like this guy taking sense, that's what MP is supposed to do talk for the people GOD protect this guy
@rajabugassa6723
@rajabugassa6723 5 лет назад
Ukiwa mpinzan Mungu anakuongezea akil na uwezo wa kufikir, hongera Heche
@georgegodfrey4776
@georgegodfrey4776 4 года назад
Ni kama ukiwa nje ya uwanja tu
@nessa4899
@nessa4899 5 лет назад
Pole sana heche, kwa kumpoteza mdogo wako, inauma sana, lakini ndio serikali yetu hiyo ya uonevu.
@amanipindu3403
@amanipindu3403 4 года назад
Kwer
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 5 лет назад
Wabunge wa upinzani ni noma yani nivichwa wanafaa kumsaidia rais wetu kiukweli
@iddyabdallah4823
@iddyabdallah4823 4 года назад
Heche kiboko sana
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 года назад
Bernadi Nangasi rais hataki kufanya kazi na wapinzani wakiwa upinzani unles kama watahamia tawala
@benjaminjulius8021
@benjaminjulius8021 4 года назад
Sisi tunaitaji mtazamo wake hatutaki awe msagaji
@gabrielmamela2206
@gabrielmamela2206 4 года назад
Kama rais hataki kufanya kazi na wapinzani huo ni upunguani kwani hii nchi ni ya mfumo wa vyama vingi na maendeleo hayana chama. Rais akishapita watu wote ni wa kwake awapelekee maendeleo bila ubaguzi eti kwa kuwa jimbo fulani mbunge wake ni chama cha upinzani au diwani ni wa upinzani eti mtasota miaka mitano yote bila kupata maendeleo yoyote.
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
@@gabrielmamela2206 kweli kweli kbs licha wakwake tu pia nchi ya watanzania wote sio yake peke ake
@peterwakitaa1902
@peterwakitaa1902 5 лет назад
mwanasiasa wangu bora katika huu mwaka huwa Una nipa ujasiri mkubwa sana
@hassankaluta8864
@hassankaluta8864 5 лет назад
Nawakubali sana chama langu lijualikali pascal haonga heche prof j
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 4 года назад
Huyu mbunge ni mashine ya hali ya juu nimempenda Mungu akulinde na akupe maisha marefu aise
@winnestonmwalukasa2398
@winnestonmwalukasa2398 5 лет назад
Heche hats Mimi umeni inspire.MKULIMA nchi hii sijui nisemeje.hana haki mbolea elfu Sabin sawa na gunia NNE za mahindi. Serikali yangu sikivu embu liangalieni hili mambo mengine ni Nondo
@manfredymahinya9511
@manfredymahinya9511 5 лет назад
tumepewa macho kwa ajiri ya kuona,tumepewa masikio kwaajiri ya kusikiliza na tumepewa ubongo kwa ajiri ya kutunza kumbukumbu.kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho msijisahaulishe viongozi wetu asante sana Heche kwa mchango wako mzuri
@oscarwandera8129
@oscarwandera8129 5 лет назад
Love his debating prowess and he is so factual... Very informative...
@sylivestajoel1588
@sylivestajoel1588 4 года назад
Nikweli kaka uyu tata Mora ninoma mungu amuongoze
@sylivestajoel1588
@sylivestajoel1588 4 года назад
Nikweli kaka uyu tata Mora ninoma mungu amuongoze
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
TZ ya Sugu,Heche,Zitto,Msigwa,HalimaMdee,Easter Bulaya Nyerere angefurahi sana
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 5 лет назад
Umemsahau Tundu lisu
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 5 лет назад
umeona e
@maijohn4815
@maijohn4815 3 года назад
Umemsahau na lema
@shownewsdiamond1942
@shownewsdiamond1942 5 лет назад
huyu ni mbuge wa watanzania namkubali sana
@majaliwawangdagangdullanga700
@majaliwawangdagangdullanga700 5 лет назад
Kabisa
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 лет назад
Waongo sana hawa jamaa kesho unaweza ukasikia anawasifia na kuponda huko aliko sasa hivi
@libwelaally3707
@libwelaally3707 5 лет назад
True
@restjoel8968
@restjoel8968 5 лет назад
Sana sana
@saidnzowa9913
@saidnzowa9913 5 лет назад
nampenda sana heche
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 5 лет назад
Mh Heche yuko vizuri kimawazo... Gud Sana mh
@twahiraliy3382
@twahiraliy3382 5 лет назад
Hahahahahah Heche wewe kiboko nikiuza korosho nitakutumia vocha kaka hata msimbazi chief nanga kaka Noma
@imanimputa1926
@imanimputa1926 5 лет назад
Jknn&ghbcbbv) v!v v b b
@agapehardware285
@agapehardware285 5 лет назад
.
@abdalamfinanga3507
@abdalamfinanga3507 4 года назад
Abdala wewe mwanamke unae kierere tarifa tarifaunsjipya msikilize heche pumbavu haun ndugu zako ambao hwana ajira
@stanleylyimo7617
@stanleylyimo7617 5 лет назад
umeongea hoja nzito sana hongera sana heche
@iddymanyama3742
@iddymanyama3742 5 лет назад
Mungu mtangulie john heche popote aendako mpeujasiri wa kutukomboa
@abdulrahmansaliumalbry2615
@abdulrahmansaliumalbry2615 5 лет назад
Majambazi watupu.
@emmykagemb7993
@emmykagemb7993 5 лет назад
Wizi mtupu
@gililwise
@gililwise 5 лет назад
Hongera sema kaka yangu
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 лет назад
Safii muraaa mbabe, alaaa mtu kajitahili mwenyewe huyo bila kutoa chozi mamae.
@lelomsechu7569
@lelomsechu7569 5 лет назад
Kafanyaje? Hahahahaaa
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 лет назад
+Lelo Msechu kajitahili mwenyewe kwa sime akiwa kasimama bila kutoa chozi. eti leo aogope pyu pyu
@lelomsechu7569
@lelomsechu7569 5 лет назад
@@vivianlenard3618 haha haha haha haha! Ni hatari sana mwaya...
@beatraceketto3880
@beatraceketto3880 5 лет назад
Asante wabunge mnaoujua kilichowapeka wapo ambao wanataarifa za kuokatisha kitu chamaana kinachoongelewa poleni mloshiba nakusahau wenye njaa
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 5 лет назад
Mengine hapo yanakazana taaarifa wakati huku kitaa ndugu zao wanaishi maisha magumu, sema babaaa
@nicevictormkalimkali3776
@nicevictormkalimkali3776 5 лет назад
winnie charles baby h i
@felistersanga6357
@felistersanga6357 5 лет назад
tutetee baba tunakuelewa wananchi huku tunaishi maisha magumu sana
@charlesachar7460
@charlesachar7460 4 года назад
winnie charles
@pazzyamily2857
@pazzyamily2857 4 года назад
Watetee
@jacksonsangiwa4029
@jacksonsangiwa4029 4 года назад
Hahaha dada muelewa sana safi mami
@hasanalihasani3236
@hasanalihasani3236 5 лет назад
Sijawahi kukomenti ila leo mh hapo kwenye mahindi aaaa upo vizur mbunge mwaka huu mahindi hali ni mbaya mnoooo
@masrergaudens3967
@masrergaudens3967 5 лет назад
Mwkt uwe unampa mh Heche hata nusu SAA azungumze tunamuelewa sana
@majaliwawangdagangdullanga700
@majaliwawangdagangdullanga700 5 лет назад
Masrer Gaudens kweli
@tausimwambujule1642
@tausimwambujule1642 5 лет назад
Woyoooo, tunamuelewa kwel kwel
@charlesimaregesi5949
@charlesimaregesi5949 5 лет назад
mheshimiwa nakubalisana kweli mungu akujalie afyanjema mwambie ukweli hao mawaziri na wabunge hao waoneshe uzalendo wakula mlo mmoja kamacici wavuja jasho @##mnyamakazi kunthu
@peteropiyo5934
@peteropiyo5934 5 лет назад
Aisee Heche ungekuwa speaker bunge lingenyooka
@optatusnkwela4666
@optatusnkwela4666 5 лет назад
Heche wewe ni zidi ya msomi wa kitanzania
@julietsamson4059
@julietsamson4059 5 лет назад
Saf sana heche wahili meet ni vichwa mungu akusaidie man's wakodoa macho washindwe kwa jina LA yesu
@albertkileo6132
@albertkileo6132 5 лет назад
Asante KAMANDA,UKO SAWA.VIPOFU NA ZE,ZETA WANAOSHANGILIA CCM WASIKIE HAYO LABDA WATAPATA UFAHAMU
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 5 лет назад
Yani uyu jamaa sio wakawaida mungu akupe maisha malefu mweshimiwa.heche👏👏👏👏👏👏
@davidsaanane7939
@davidsaanane7939 5 лет назад
knowledge is Power.
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 лет назад
True... kukosa elimu mtihani!!!
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 5 лет назад
Big up sana Heche wataelewa tu hata kama wanajifanya viziwi
@philemonviva7187
@philemonviva7187 5 лет назад
Heche, hapo umesema yalo ya kweli.....toka 2015 had leo ajira n za kulenga kwa manati. Na bado tunalazimishwa kurejesha mikopo tuliyoitumia kwenye elimu yetu ya juu. How can we return the loans without being employed!
@luhigoemmanuel8720
@luhigoemmanuel8720 5 лет назад
Exactly brother ur so good intellectual
@yohanakebacho3990
@yohanakebacho3990 5 лет назад
huyu ndo Heche umorooooo 🔥
@gtmalanga6953
@gtmalanga6953 3 года назад
Dis discussion was very fire,fire to da maximum
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 года назад
Waeleze wasifikie wananchi hawaoni au viziwi na Mola atawalipa kuwapa maradhi yasiokuwa na kinga In shaa Allah
@muhingirajeremih7752
@muhingirajeremih7752 3 года назад
This guy breathes fire, he know how to table agendas I hope his ppl feel represented.
@blassabdon8241
@blassabdon8241 5 лет назад
Shikmoo Heche, brother wew ni mtu muhimu sana kwenye hili taifa. Ushauri kama huu ungekuwa unafanyiwa kazi na serikali hii basi kusingekuwa hata na umasikini wa namna hii.
@linusjohn5950
@linusjohn5950 4 года назад
Mh john heche mungu yupo tunamtegemea hili taifa letu lipiganiwe sana tufike maisha mazuri
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 5 лет назад
Heche anastahili kabisa hata kuwa MKT Wa upinzani salute mkuu
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Bas tanzania ukiongea ukwel kama iv kesho unatekwa. Koma na ww dada et taalifa taalifa nenda choon ukanye fala ww
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 5 лет назад
Hawa watu Wanaboa sana sana ndugu yangu
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
@@raynellyaugustino3237 nachukia mm hawa watu ingekuwa ni uamuz wangu bunge ningelifuta uwa sion cha maana
@limokisuda4145
@limokisuda4145 5 лет назад
Dyana Tanz mbavu zangu jamanii eti nenda chooni
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
@@limokisuda4145 wanaboa maisha nimagum ndugu yang. Mbaka umsubil rais apite akupe hera mkonon iv nikwel
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
@@limokisuda4145 nahuyu kaka anauchungu wa kuuwawa yule mdogoake ww kisu kiliingia kile jaman
@michaelsimion720
@michaelsimion720 5 лет назад
mungu akubaliki sana heche unachoongea ni kweli kabisa huku kwetu barabara ya mtaa wa mapelele hawatengenezi eti kisa ni wanachadema
@ShabaniMome
@ShabaniMome 3 месяца назад
Safi sana Mheshimiwa John heche Mungu akutangulie uendelee kututetea wanyonge
@solanuskomba82
@solanuskomba82 5 лет назад
ahsante sana dokta heche ..ni kweli kabisa flyover ya DAR sisi hatuijui..serikali inakusanya lakin hakuna kinachoendelea hakuna ajila
@michaelgideon625
@michaelgideon625 5 лет назад
Kinacho uzi zaidi,,,, eti watanzania wanyonge, halafu watu tumesoma ili tuwa saidie wazazi wetu maana mazingira waliyo tusomesha ni siri zetu Lakin ajira hakuna, ukisema hivyo bas utasikia usisubili kuajiriwa Bali jiajiri mwenyewe,, ivi mtu ajiajiri vipi hata kianzio cha mtaji hana. Ila magufuli mungu anakuona.
@lazarochimaguli1077
@lazarochimaguli1077 5 лет назад
hongera sana heche wewe ni kiongozi wa watu na unatetea watu Mungu anayaona haya tuko nyuma yako kaka
@bonabonala8253
@bonabonala8253 4 года назад
Heche kama tundu LISU bigup john
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 4 года назад
Uzalendo unahubiriwa kwa wasio na kitu hongera sana mp heche
@godfreymajagi1867
@godfreymajagi1867 5 лет назад
Japo mm sipendi siasa ila this guy is very brilliant, ana logic, ana uwezo wa kujenga hoja sana., anasikilizika., keep fighting for ur people
@godymashana1968
@godymashana1968 5 лет назад
Umenikuna heche Sana Sana mungu akulinde
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 5 лет назад
Mh Heche nimekuelewa vzur sana, unaweza xana kiongoz propaganda nyingi serikal hii
@amirmotors9735
@amirmotors9735 5 лет назад
Kwa kwel man of the people kinahusika tz umenikumbusha meng sana kwa kitab hiki
@ChiediTV
@ChiediTV 5 лет назад
Hecheeeeeeeeee we ni nyundo
@verdianabanabi8230
@verdianabanabi8230 5 лет назад
musa ausi Umeona ehh musa.
@josephatchristian7267
@josephatchristian7267 5 лет назад
Nakukubali heche bigup
@emmanuelkitabi3437
@emmanuelkitabi3437 5 лет назад
Heche unacho kisema ni sahihi sana
@amryzubery1051
@amryzubery1051 5 лет назад
people power
@ChiediTV
@ChiediTV 5 лет назад
Sana ukisoma hicho kitabu cha chinua Achebe kwa sisi tuliosoma language utajua kweli kazi ya fasihi
@armyofgodworshipersminitri7610
heche shikamoo brother,wewe kweli ni mwema kweli nakukubari asilimia 100 yani kama MUNGU azidi kukulinda udumu sana
@jchuwatv1890
@jchuwatv1890 5 лет назад
Konk konk konk master Heche John
@cleopastanley6683
@cleopastanley6683 4 года назад
Kiukweli Kama Kuna kada wa ccm hua anamsikiliza heche najua atakua anamuepewa sio hawa wabunge wa kupongeza tuu mungu mbaliki heche🙏🙏
@vitalisnyagali2204
@vitalisnyagali2204 5 лет назад
Kujiunga ccm na kufa Mimi bora nife kuliko kuwa mwanachama wa ccm
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 лет назад
wajinga sana waliokimbilia huko warembo tuu wanazidiwa hadi na wakina halima mdee. tena wengine mwanaune wa kikurya kabisa unashindwa kutulia
@jimjam4162
@jimjam4162 5 лет назад
Kweli
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 лет назад
Hahaa
@kennykennedy9868
@kennykennedy9868 5 лет назад
Atamimi
@emmanuelmussa8331
@emmanuelmussa8331 5 лет назад
Mi pia
@allygambwe7555
@allygambwe7555 5 лет назад
Respect mzee John heche
@silversilas3634
@silversilas3634 5 лет назад
Wako vzr na wanasema ukwel hongera sana heche
@ummuzakariya798
@ummuzakariya798 5 лет назад
Kweli kabisa heche watumishi tunashida sana
@mwachamwacha5538
@mwachamwacha5538 5 лет назад
wakiwa ccm tuu huko bungeni hatutakaa tusikie kauli kama hizi ..zaidi sana kutakuwa na kupongezana tuu
@nicholausnchimbi1599
@nicholausnchimbi1599 5 лет назад
Hata mungu anahitaji sifa jaribu kumdhihaki uone,kumbe pongezi ni kimungu zaidi ni ni dalili ya unyenyekevu na adabu ili upate vingi lakini kutia moyo pia
@paolodebizza5078
@paolodebizza5078 5 лет назад
Muraaaa waeleze hao Hawa elewagi
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 лет назад
@@nicholausnchimbi1599 usifanishe kiumbe na Mungu brooo,Mungu hujawahi na wala hatawani kukosea sawa,viumbe peke yake ndio wenye udhaifu sawa broo,na Mungu anaenda haki na usawa kwa binaadam wote,kila mmoja amemkadiria jins wanavyotaka yy ,
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 года назад
Mwacha Mwacha kwakweli
@quarantine325
@quarantine325 3 года назад
Yametimia kaka
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 5 лет назад
Nice speech.
@frankmichael893
@frankmichael893 4 года назад
Dah nimekuelewa Sana Hongera kwa ujasiri ulionao
@babalily4516
@babalily4516 5 лет назад
Hili jamaa ni bonge la kiongozi sio hao wengine wanasifia kupanda kwa pesa ya budget kutoka 40% mpaka 57% ni uzuzu wa kiwango cha lami huu, kama mnapanga kutoa tsh 13T kwanini mtoe Tsh 6T na mjisifie, nyie vipi jamani, naunga mkono hoja ya sugu ya kupima akili za viongozi wote watakaotaka madaraka hapo baadae
@nicegabriely917
@nicegabriely917 5 лет назад
Nimekupenda kwa kweli 🙌🙌🙌🙌
@thomashudson1083
@thomashudson1083 5 лет назад
Mbunge wangu wa nguvu
@jifunzekusamehe4527
@jifunzekusamehe4527 5 лет назад
mia mia
@benjamincosmas5926
@benjamincosmas5926 4 года назад
For sure so bright big up
@godfreykyejo7070
@godfreykyejo7070 5 лет назад
Brother heche uko vizuri umeongea point za msingi sana
@yazzgray9757
@yazzgray9757 29 дней назад
2024 am back here listening to the MP...his spitting some good points...
@rasnchimbi
@rasnchimbi 5 лет назад
Mbunge mmoja wa upinzani ni 10 wa ccm.
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 5 лет назад
Safi sana
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Semababa semaaaaaaaaaaa
@manasejames7221
@manasejames7221 5 лет назад
dah mungu awalinde upinzan siku zote maana mnaongea ukweli naskia raha pamoja na tunapigwa risasi
@smwansasu8605
@smwansasu8605 5 лет назад
Asante Heche kwa kututetea!!!!
@mnikog1529
@mnikog1529 5 лет назад
Daaaaah kaka nakushukuru umetusemea make mie ni mmoja wapo wa wahanga tangia mheshimiwa alipoingia mjengoni
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 лет назад
Dada punguza kelele tna dharau zako hizo kisa ccm. taarifa taarifa taaarifaa acha mura aongeee
@msafilyngeze4202
@msafilyngeze4202 5 лет назад
Vivian Lenard ukosawa.mbunge.wangu
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 5 лет назад
Sichok kukusikiliza piga nyundo manyumbu hawo
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 5 лет назад
NI KWELI UMASIKINI SIYO SIFA,UZALENDO SIYO KUWA MASIKINI.
@henrysanga1087
@henrysanga1087 5 лет назад
ww ndio nyumbu hujitambui
@chikumatangwa8314
@chikumatangwa8314 5 лет назад
Vivian Lenard 😂😂😂😂😂 yaan vina kiherehere hivi vidada ata hoja havina vinaendaga kuuza sura tu kula posho za bure
@maxmilian9966
@maxmilian9966 5 лет назад
Mungu akulinde
@tumsifumunuo7428
@tumsifumunuo7428 5 лет назад
Watu wa tarime mna bahati ya kuwa na mbunge mwenye uwezo wa kutoa hoja nzito zaidi ya wabunge kumi wa ccm
@rogerkibarua1108
@rogerkibarua1108 5 лет назад
Heche mumuongezeage muda jaman.anafunguka vzr
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 5 лет назад
Wambie tunawasubili 2020
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 лет назад
Roger Kibarua kweli
@chidybwax8080
@chidybwax8080 5 лет назад
Father shikamooo wakulima tunateseka sema baba
@labankisunga4111
@labankisunga4111 5 лет назад
Kwel
@salehekihedu2084
@salehekihedu2084 5 лет назад
mungu akuweke daima sijawah kutoa neno ila we mingu kakuleta kwa utetez wetu
@michealseleman8013
@michealseleman8013 5 лет назад
jonh heche mungu azidi kukuongezea hekima zaidi kiongoz wangu
@redmondmulilo4852
@redmondmulilo4852 5 лет назад
Heche wambie ao mana wanawachanganya wananchi naujinga wao wakusema eti wanamuunga mkono rais kuleta maendeleo sijui ayo maendeleo nadoyepi make hatuyaelewi
@annaenglibert1763
@annaenglibert1763 5 лет назад
Ukweli utabaki pale pale. Japo wanajifanya hawajui bt watz waelewa anaelewa tyuuu,,,! Wsape bro,,! Ipo cku watakuelewaa,,!
@abdallahchota9269
@abdallahchota9269 5 лет назад
Waambie ao mama
@modestaabeli3389
@modestaabeli3389 5 лет назад
Kweli kbc umeongea kaka heche mahindi hayana soko
@pauloolekooylaizer9363
@pauloolekooylaizer9363 5 лет назад
uko juu
@albertosanga7744
@albertosanga7744 5 лет назад
That's a very good point
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 5 лет назад
Ongea Tata sisi tumekuangiza Ukawaambie waelewe
@theodorahraphael7322
@theodorahraphael7322 5 лет назад
Hongera mbunge wangu bora wa muda wote kwa hoja nzr za kuwatetea watanzania. Nchi yetu tunahitaji watu kama hawa huko mjengoni na siyo wahuni wa kushangilia tu.
@CAROLINEOTIENO
@CAROLINEOTIENO 5 лет назад
Well said! Very brave man!
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 лет назад
Heche nakukubali
@betweljackson375
@betweljackson375 5 лет назад
semaaaaaa Kaka Mungu akutetee
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 5 лет назад
Hongera sana heche mungu akulinde Sana safi Sana
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 5 лет назад
John Waigesa Hecheeeeee!!!! You are critical thinking!!!!!!!!!!!!!!! 100% for you!!!!!!!
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 5 лет назад
Jamani hapo kwenye ajira mpaka inanilizaaa. Ee MUNGU tuangalie sisi wanyonge. Binadamu anayejipa sifa ya kwamba yupo kwaajili ya wanyonge, anazungumza na moyo wake tu. Lakini tulio na huo unyonge tunaendelea kuteseka, EE MUNGU TUPIGANIE WAJA WAKO AMEEEEN.
@redmondmulilo4852
@redmondmulilo4852 5 лет назад
Sijui ao akina karanga na waitara sijui ndouo uzalendo wanaouunga mkono kuwaumiza wakulima nakuwauwa wanyonge au kunamengine wanayoyaunga mkono
@tumwiuhagemihale4315
@tumwiuhagemihale4315 4 года назад
asante baba
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 5 лет назад
Upinzani kuna watu wenye akili sana, Mungu atakulipa mh. Heche
@shonelyzbeth648
@shonelyzbeth648 5 лет назад
The really fighter ...#Heche
@kamboarheritage461
@kamboarheritage461 5 лет назад
Asante Hache
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 5 лет назад
Safi sana John Heche!!! hoja nzuri sana!!!
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
The next president Heche##
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52