Тёмный

HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 464 тыс.
50% 1

HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
Mbunge wa Tarime (Chadema), John Heche, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:
/ globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

20 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 225   
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 6 лет назад
uko vizuri Heche nakuelewa sana watanzania wanahitaji watu kama wewe
@elishamollel2131
@elishamollel2131 6 лет назад
Nchi yetu bado tupo gizani wanaitajika wabunge kama hawa wanaoweza kutoa mwanga iweze kuwanganza hongera sana Mkuu tuko pamoja
@matthiusmsule2213
@matthiusmsule2213 5 лет назад
mungu akubaliki heche
@gtmalanga6953
@gtmalanga6953 3 года назад
well done,Mr heche u'll never never be forgotten
@ndagabwenemachunda313
@ndagabwenemachunda313 6 лет назад
Hon.Heche big up!..Tel'em da truth
@yegokubebekamugurus8072
@yegokubebekamugurus8072 6 лет назад
Mbunge wangu nakukubali sanaaa, piga kazi jembeeee
@sadikimwalongo7871
@sadikimwalongo7871 5 лет назад
Watu kama hawa wachache sana duniani
@biggamihayombotte184
@biggamihayombotte184 6 лет назад
Duuu, Yeke Muraaa Tisha sanaaaa... Bravo hon. Heche it was on ur best ....Madini Tupu
@adenmayala9298
@adenmayala9298 5 лет назад
Heche uko vizuri sana na upinzani kwa ujumla mungu awasaidie sana
@juniorraphael7042
@juniorraphael7042 5 лет назад
Mmm
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 6 лет назад
Tarime hatuchagui mabwege!!!! Heche 2020 hakuna mpinzani kwako tata!!!!!!
@mariamuomari1944
@mariamuomari1944 3 года назад
Wabunge wa upinzani wana akili sana na ndio maana mwaka huu wamewafanyia figisu ili asiwepo wa kusema maovu yao ccm kuna ubabaifu sana
@transmadale
@transmadale 6 лет назад
Hii Mashine huwa naielewa mbaya,BigUp Heche,
@julianusnambert2237
@julianusnambert2237 6 лет назад
yaani nataka kukunyanyua zaidi mungu akulinde
@yusuphlusinde9832
@yusuphlusinde9832 6 лет назад
Mh. Heche upo vizuri endeleza mapambano zidi ya ufisadii
@winfridangingo8848
@winfridangingo8848 4 года назад
Daaaaaah mbunge mpinzani 1 sawa na wabunge wa ccm 100, safi sanaaa Heche🙏
@mapundamapunda2868
@mapundamapunda2868 6 лет назад
safi sana kamanda heche hawa maccm tumewachoka na hadithi zao
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 лет назад
Best work of opposition ....I like ur spirit Mr Heche. May u leave long in sha Allah
@hudhud2022
@hudhud2022 6 лет назад
Maalim Ali Amiin
@hudhud2022
@hudhud2022 6 лет назад
you are Absolutely right Mr Heche
@hudhud2022
@hudhud2022 6 лет назад
na sio deni la bunge peke yao kodi za wavuja jasho hizo
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 года назад
Waambie ukweli wanafik hao Mwenyezi Mungu atawaonesha na awapeo maradhi yasiokuwa na dawa ameen.
@habilmselemu4610
@habilmselemu4610 6 лет назад
Safi sana mh heche Waambie hao wa ndio mzee
@jaredjohanes3839
@jaredjohanes3839 6 лет назад
Hon.Heche nimekupata vizuri lakn tatizo la wabunge wetu wanaongea kisha wanasema naunga mkono hoja,wabunge inusulini nchi hii
@abuuaishaahmadtwaha7711
@abuuaishaahmadtwaha7711 6 лет назад
Sijawahi jutia Mb zangu kwako kaka, I wish maneno yako yangewekwa km kumbukumbu ili kizazi kijacho kijue kuwa uliyasema hayo!
@hawasaid6024
@hawasaid6024 3 года назад
Muungwana huongea yaliio moyon tumewamiss
@janetmtei5892
@janetmtei5892 6 лет назад
Safi sana kiongozi wangu unaongeo point sana
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 5 лет назад
mb zikikata najaza tena mzee wangu endelea kuunguruma
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Kama mti basi mhe,john Heche ww ni mizizi iliyoshika mti big up kaka mkubwa
@psterinishayo4270
@psterinishayo4270 6 лет назад
Saf safi mh heche upo vizur mbunge
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 6 лет назад
Kuna wabunge mna akili kuptiliza, saf sana
@ndilanhasjeremiah
@ndilanhasjeremiah 6 лет назад
Powerful points
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 6 лет назад
Ila kweli kuna kitu cha kujiuliza hapa mapato ukitoa matumizi unaanza kujiuliza hela ya kujenga Standard gauge Railway zipo wapi?
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 лет назад
Kwa akili yangu wanataka halmashauri zote waziongoze tu kwa remote ccm waweze kuwanyima wapinzani kwenye halmashauri zao.....WATALIPIGANIA SANA HILO WAZO CCM WATZ TUKIKAA KIMYA.LITAPITA KISHA MTAONA JINSI UBAGUZI UNAVYOZIDI KUKUA KWA HARAKA
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 6 лет назад
Safi sana umeeleweka
@SUPREMEDIGITAL
@SUPREMEDIGITAL 6 лет назад
Asanteeeee
@prosperamlima86
@prosperamlima86 6 лет назад
Upo sawa Kamanda
@karegakisimbo4145
@karegakisimbo4145 4 года назад
Heche ni mwanaume na kiongozi wa kipekee anayeweza kusimamia maslahi ya wananchi wote Tanzania nzima
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 лет назад
Utashangaa hata hawasikilizi na kufanyia kazi point kuntuntu kama hizi
@davidlissu9099
@davidlissu9099 6 лет назад
Bigup heche! Uko makin
@wrghkjdghklljg3819
@wrghkjdghklljg3819 6 лет назад
du hongera sana kamanda apana chezea chadema www
@erasmusnzibonela5151
@erasmusnzibonela5151 6 лет назад
Nikweli nimeenda Tanesiko kuwekewa umeme kwenye nyumba ambayo inaumeme tahari ninatakakutumia pekeyangu make mwenyenyumba aliniruhusu nikaambiwa nilipe sh350000
@hamadshein935
@hamadshein935 6 лет назад
Wabunge wa ccm hawawezi kuongea kama heche.akiongea hvyo tu.anapugwa.
@bahatikengese3603
@bahatikengese3603 3 года назад
heche noma
@paulfrancis7143
@paulfrancis7143 6 лет назад
point bin point
@yohanamollel2335
@yohanamollel2335 6 лет назад
Global tv mm nna ushauri icho kitu kinacholia iyo sound mwanzo kabsa toeni inaumiza maskio kwa ss tunaotumia earphone
@issazakaria863
@issazakaria863 3 года назад
2021 bunge limepooza sana. Wapinzani warudi vitini
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 4 года назад
Wapinzani ndio Kila kitu. Hongereni sana wapinzani
@sammymichael693
@sammymichael693 6 лет назад
Daaaaah wat kama hawa
@remenmassawe9184
@remenmassawe9184 6 лет назад
safi sana,keep a good work alive
@matthiusmsule2213
@matthiusmsule2213 5 лет назад
chadema 1 =ccm 25
@sibiromallya5894
@sibiromallya5894 6 лет назад
Heche yuko sawaa dahhhhhh
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Год назад
John Heche ni mmojawapo wa watu makini na vichwa sana, bahati mbaya sijui kwa nini watu bora wapo nje ya system.. walio kwenye system ukisikiliza wakiwa wanahojiwa unaweza kushika kichwa aibu tupu
@Peterson__J
@Peterson__J 6 лет назад
😭😭😭😭😭😭 Rais wazikilize hawa hata kidogo tu. Itakusaidia
@fabianmories4218
@fabianmories4218 6 лет назад
Heche ww ni mbunge wa aina yake tangu tarime tuchague sijaona kiboko kama ww, kura yangu 2020 lazima iangukie kwako .
@idynasoro3250
@idynasoro3250 4 года назад
Saw kabisa
@charlessengasenga2582
@charlessengasenga2582 4 года назад
Namkubali
@winfridangingo8848
@winfridangingo8848 4 года назад
Jembeeeee hilooo
@ibrahimzuberi1029
@ibrahimzuberi1029 6 лет назад
big brain heche
@elizabethmniko2522
@elizabethmniko2522 6 лет назад
Safi Murah tabhaghambera mbane Enokwe akotangate
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 лет назад
VITA NI VITA TATA TANZANIA NI YETU SOTE KINACHOPATKANA KIWEKWE WAZI NA KILICHO SHINDIKANA TUAMBIWE NA SIO WATUDANGANYEDANGANYE
@chazydaudy1379
@chazydaudy1379 4 года назад
Thankx
@chikakamanu1452
@chikakamanu1452 3 года назад
Saluti heche
@eradmdage8504
@eradmdage8504 6 лет назад
Safi sana heche
@amosmakini6676
@amosmakini6676 4 года назад
Wewe ni master bro
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 6 лет назад
Sana kaka imepenye
@enockkagomba2602
@enockkagomba2602 Год назад
Thanks Mr Heche
@lindatemu3465
@lindatemu3465 5 лет назад
Nampenda sana heche jamani Mungu amuweke miaka 100 anaongea point ni mkweli anajiamin yuko gadoooooo Haya wakina bashite mpoo
@elialucas6140
@elialucas6140 3 года назад
Heche umetisha kwa kweli
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 лет назад
Nakuunga mkono Mheshimiwa Heche..umeongea la maana leo.
@frankzominister1473
@frankzominister1473 6 лет назад
Mh.Waziri wa fedha chukua hili...tuokoe watz...
@justinerasto3430
@justinerasto3430 6 лет назад
Wewe mh heche ni msema ukweli kuliko jiwe
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 6 лет назад
Hasante sana mheshimiwa
@aidangilles8136
@aidangilles8136 6 лет назад
Fact
@musaogira385
@musaogira385 6 лет назад
wabunge ni kama hawa sio wale nyinyiem wanao ogopa kusema ukweli
@yussufally8668
@yussufally8668 5 лет назад
Mungu akulinde baba
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 4 года назад
Honourable !! Heche
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester Год назад
Wengine wanasema uncle magu alikua Sawa%, lakini uamini usiamini lipo kusudi la kuondoka kwake, maana hakuna mwanadam mkamilifu ila Mungu TU
@antonijohn6958
@antonijohn6958 4 года назад
Shikamoo heche ,nipo singida nakuja msoma kukuona tu na nijue ivi wew ni MTU kweli ama malaika?
@yasinjames556
@yasinjames556 5 лет назад
your Highness Sir...!
@simonfundi9658
@simonfundi9658 6 лет назад
Kuna raha sana kuwa upinzani
@jamesmwaipaja5196
@jamesmwaipaja5196 5 лет назад
Simon Fundi
@ashashabani4210
@ashashabani4210 5 лет назад
penda sana chama langu ✌🏼✌🏼✌🏼forever 😍😍😍
@jumangojole4009
@jumangojole4009 6 лет назад
Mtapata tabu sanaa ccm
@dariuslimbu7442
@dariuslimbu7442 6 лет назад
Point's tupu
@kfastak
@kfastak 6 лет назад
Nice
@bahatikengese3603
@bahatikengese3603 3 года назад
anaongea jamaaa noma sana
@kilekeremson9821
@kilekeremson9821 4 года назад
Ni kit chaajabu sana wat wenye akili kama hawa kama Taifa hawatakiw
@lucky9285
@lucky9285 5 лет назад
Heche upo vizuri sanaa
@user-mk6pw8cv1s
@user-mk6pw8cv1s 10 месяцев назад
Naipenda iyo
@allymohamed1563
@allymohamed1563 4 года назад
We nenda chuoni kukariri wakati kuna watu wanaenda kusoma kuelewa halafu kwenye kukariri kwako unatuletea ufisadi
@farajajeriko2620
@farajajeriko2620 4 года назад
japo niko mbeya namkubali sana uyu jamaa john heche
@sebamkalikwanza5097
@sebamkalikwanza5097 4 года назад
Najivunia chadema
@nehemiamsigara419
@nehemiamsigara419 4 года назад
Hengereni watu wa tarime kwa kupata jembe cyo iyo minyumbu ya___
@fransicsamson106
@fransicsamson106 6 лет назад
Mbona wabunge WA CCM hawa hoji mambo ya hivi?hiindio faida ya upinzani makini wabunge makini chama makini pigs point kaka tarime mnaakili Myra kumpigania heche kuwa mbunge minaona upinzani woote wana akili na uwelewa
@marthalewis332
@marthalewis332 3 года назад
C c m hovyo hao wapinzan wako vizur Sana japo mm nili ccm ya chukua Chalo malaya
@bonabonala8253
@bonabonala8253 4 года назад
CCM wataweza kuongea kama wapibzani ? Au mbataka kuumuua lissu kwa ukweli wake?? Bure!?
@shauriernest7934
@shauriernest7934 6 лет назад
Mbona ufisadi. Hamsemi ? Mnataka fedha badala ya watu kufanyakazi?
@japhetbaraka587
@japhetbaraka587 6 лет назад
yani selikari hii nishida
@ngwanayande6761
@ngwanayande6761 5 лет назад
Heche we ni jiwe kwerikweri nakupongeza kwa dhati kabisa,
@kinglance9816
@kinglance9816 6 лет назад
anaongea point tupu
@musarichard2934
@musarichard2934 5 лет назад
Huyu jamaa hatareee sanaa
@conradjunior5940
@conradjunior5940 6 лет назад
Heche noma aiseeeeeee
@thomaspeter1736
@thomaspeter1736 5 лет назад
Conrad junior huu ndiyo ukweli
@juliuspaul7927
@juliuspaul7927 6 лет назад
Mbona ccm hawatoi maoni yao hapa
@mohamedimganga1481
@mohamedimganga1481 4 года назад
Mwenyez mungu ibalik Tanzania
@kibangahassan8773
@kibangahassan8773 5 лет назад
Mbn ccm wanawachukua wapinzani...
@saidomary4950
@saidomary4950 4 года назад
Kazi nzuri
@kiumbechambinguni
@kiumbechambinguni 6 лет назад
Wame hayoo,, mavuvuzela ya fisiem yameshapoteana yaje hapa yasema kama heche anadanganya, MISUMIALI IMEWAINGIA,, hahahaha, CCM SUMU YA WATANZANIA WEKA MBALI.. Tanzania bila fisiem inawezekana
@revocatusgambachuchu9706
@revocatusgambachuchu9706 6 лет назад
Joseph Kaboyoka
@hermankwete1632
@hermankwete1632 5 лет назад
Joseph Kaboyoka
@barakaananias987
@barakaananias987 6 лет назад
huko juu
@yusuphsaid1398
@yusuphsaid1398 4 года назад
Tamimu Vairres 🤔
@alphaxardsungura1973
@alphaxardsungura1973 6 месяцев назад
Namkubali sana uyu jamaa
@mangsonsamson7712
@mangsonsamson7712 5 лет назад
Nimeamin kichwa kimoja cha cdm bungen ni zaid ya vichwa 10 vya ccm bungen
@abrahammangendimcharo3027
@abrahammangendimcharo3027 5 лет назад
Uwiiiiii evaeee HECHEE.
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 4 года назад
Points, Heche
@rithabanyanga6886
@rithabanyanga6886 5 лет назад
kweli wew jembe
@agustinoginwe4080
@agustinoginwe4080 5 лет назад
Big up
@dariuslimbu7442
@dariuslimbu7442 6 лет назад
Saafi sana
@obeidmpombwe9951
@obeidmpombwe9951 6 лет назад
Hizo ndiyo hoja
@wazomagenge2348
@wazomagenge2348 6 лет назад
hatariii cjui
@ibrahimjuma9974
@ibrahimjuma9974 4 года назад
Heche umeshashinda ubunge trh 29'10'2020
@barakamathew8656
@barakamathew8656 6 лет назад
hahahahahah!! jaman heche duuh
Далее
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 432 тыс.
JOHN HECHE BUNGENI LEO "MIMI NI KISIKI CHA MPINGO"
4:51