Mwanamke tafuta ajira ili mwanaume asizidi kukuliza. Wanawake wengi wanao wategemea waume zao huwa wanalia kila siku wakihisia wanalia kwa sababu ya penzi. La! Sivyo, ni kwa sababu hawana cha kufanya wala tegemeo lingine. Ukiwa unafanya kazi hautapata mda wa kumkumbuka mwanaume katili. Na ata akikusaliti hata kugombeza kwa ukatili.
Movie nzur cn ila wadada wenzngu tusidanfanyike n wanaume kiufupi tujitume ila wanaume wasiweze kutuchukulia advantage ykukunyanyasa kiukwel ukiwa n mtaji wko hkuna bile boy atakutambia dafaa kutoka saudi ❤