Kai naye ni mshamba sana kila kitu akiambiwa anamwambia kendi,angewatafuta wazazi wa kendi na kuwaleta ndo lingekuwa bonge la suprise yani kwa kendi aiii.... unawafelisha wanaume bro .Tunaoona anafeli Kai gonga like...
Kwakweli nimeipenda sana hii movie ❤yani huwa nikiwa naiangalia natamani isiishe mapema mnakipaji sana 🎉 Like kama nawewe unajifunza kitu ukiwa unaiangalia hii picha
Je unajifunza nini kupitia hii movie 1, tujifunze kuishi vzr na watu maana kendy asinge munyanya zuu ayoyote yasingelitokea 2, tuwaeshimu wazazi wetu maana kendy angekuwa anamuheshimu mama yake wende agelikuwa na baraka kutoka kwa wazazi wake 3,wanawake wawawshimu wanaume zao kendy alikosa heshima 4,kumbu ulicho pamba ndicho utakacho kivuma kendy bado unavuma maana uliyapanda mengi BIG UP TEAM BUSADI TV
Hongera bibi zuuuh kwakumsaidia zuuuh na Kai kurejea kwenye akili zao zakawaida, pia ninawapongeza kwamafundisho yenu mazuri mnayotupatia wanajamii wenzenu. Ninawaomba nawatazamaji wenzangu tujifunze kwahaya yanayojidhihirisha kwenye maisha yetu Halisi yandoa zetu. Tunavoamuru kuyaishi maisha yandoa basi tuhakikishe tunaishi katika Imani nakweli pia tukiona bado tusubirie wakati ufike ndipo tuingie kwenye maisha yandoa Ili kuyaepuka matatizo yasiyo naulazima.