I can't stop kulia about you Jessie ulinipenda tangu nilipokuja tht mpaka nilikua nashangaa kuna siku nililia sana luge alivoniambia naimba kawaida lakin ulinipa moyo pumzika kwa amani na nakuahd ntamuangalia mtoto wako kwa njia yoyote ile
Jessy umetuachia sauti yako tu dada naumia jessy, R.I.P JESSY pole t.h.t pole Jolie kwa kuondokewa na dada yako ambaye ni rafiki hako Wa dhati. Mungi wewe tu ndo unaeweza kumkuza mtt Wa JESSY mkuze awe faraja ya jolie
Unajua clouds kunamuda tuwakubali bana kunamazuri mengi wamefanya kwenye music wa Tanzania hii kitu kila nkiangaliaga namkumbuka sana marehem Ruge nakuja kuona kwann dozzen aende Efm dah😭😭😭 R.I.P Ruge 🙏🙏 R.I.P dada Jessy dah!
Sichoki kuusikiliza huu wimbo! Una Melody nzuri Sana na ujumbe mzuri wa kumjenga mtoto wa kike! Sauti Sasa! Zilipangiliwa vizuri mnooo! Rest peace Ruge and Jessy! Na asanteni wadada wote mlioshiriki kufanya kazi hii kubwa!
naomba kujua alietunga wimbo huu.kwakweli anahitaji heshima kubwa alikaa akawaza.well who ever composed this number,I salute you,and say what?you are simply one of the best composers.
Quel bohneur d'entendre des telles voix. Tzn a tjrs été ma source d'inspiration. Vous vous égalez par vos différences. Je vous aime tous les filles, bcp plus pour Jessy et sa petite soeur Jolie. Vous êtes toutes craquantes. Hongera