Тёмный

KOZI ZA HKL/HGL/HGK ZA DEGREE ZENYE FURSA YA AJIRA SERIKALINI NA MTAANI 

KICHA THERAPIST
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KOZI ZA HKL/HGL/HGK ZA DEGREE ZENYE FURSA YA AJIRA SERIKALINI NA MTAANI
Hizi ni kutoka shule zote za serikali na private...inawahusu hii..tazama video mpaka mwisho na u subscribe

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@AshratuKipam
@AshratuKipam 2 месяца назад
Mm nmesoma HGK ndoto yang kuwa Air hostress je inawezekan?? Na ni course gan nisomee?? Ili kutimiza ndoto yang nmepata division 1 ya 7
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Ahsante sana kwa swali zuri,, sifa unayoo na ,fabamu kuwa kozi hiyo haipewi mkopo na fahamu kuwa kozi hiyo inabidi uende chuo husika ili ukaombe nafasi ..
@IsihakaKalolo-rx7oi
@IsihakaKalolo-rx7oi Месяц назад
Mambow
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha Месяц назад
Poa..ankoo..nipange..0656485159
@JacksonJohn-nb5zf
@JacksonJohn-nb5zf 2 месяца назад
Hkl kozi gani nzuri naweza kupata kwa udom na udsm
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Education
@martinassey4914
@martinassey4914 4 месяца назад
Thanks much😀😀
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 4 месяца назад
You're welcome
@Niika870
@Niika870 11 дней назад
Kozi ya n History and Archeology hii ina kzi au n shida
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 11 дней назад
KAZI ZA HII KOZI 1. **Mtafiti wa Historia (Historian)**: Unaweza kufanya kazi katika taasisi za kitaaluma, makumbusho, au vituo vya utafiti ambapo utahusika na uchambuzi na uandishi wa historia kwa kutumia nyaraka, mabaki, na kumbukumbu mbalimbali. 2. **Mwanakiolojia (Archaeologist)**: Kama mtaalamu wa akiolojia, utakuwa unafanya uchimbaji na uchambuzi wa mabaki ya kale, ili kuelewa historia ya binadamu, utamaduni, na teknolojia za kale. 3. **Mkurugenzi wa Makumbusho (Museum Curator)**: Hii ni nafasi inayohusisha kusimamia makusanyo ya kihistoria au akiolojia katika makumbusho, kupanga maonyesho, na kuhakikisha mabaki yanaifadhiwa vizuri. 4. **Mhifadhi wa Urithi wa Kitamaduni (Cultural Heritage Manager)**: Katika kazi hii, utahusika na kuhifadhi maeneo ya urithi wa kitamaduni na kihistoria, ikiwa ni pamoja na majengo ya kale, tovuti za akiolojia, na maeneo mengine ya kihistoria. 5. **Mwalimu au Mhadhiri (Teacher/Lecturer)**: Unaweza kufundisha somo la historia au akiolojia katika shule za sekondari, vyuo, au vyuo vikuu. 6. **Mwandishi wa Vitabu au Mhariri (Author/Editor)**: Ikiwa una shauku ya kuandika, unaweza kuchapisha vitabu vya historia au kuhariri kazi za kihistoria na kiakiolojia. 7. **Mshauri wa Mambo ya Kitamaduni (Cultural Consultant)**: Unaweza kufanya kazi na mashirika ya utalii, filamu, au miradi ya kihistoria kama mshauri wa masuala ya utamaduni, kuhakikisha usahihi wa mambo ya kihistoria na kitamaduni. 8. **Msimamizi wa Hifadhi za Taifa (National Park Manager)**: Katika maeneo yenye urithi wa kihistoria, unaweza kufanya kazi kama msimamizi wa hifadhi zinazolinda maeneo ya kihistoria au kiakiolojia. 9. **Afisa wa Serikali (Government Officer)**: Unaweza kufanya kazi na mashirika ya serikali au wizara zinazohusika na urithi wa kitamaduni, maendeleo ya utalii, au elimu. 10. **Afisa wa Utalii wa Kitamaduni (Cultural Tourism Officer)**: Utahusika na kukuza utalii unaohusisha maeneo ya kihistoria na akiolojia, na kusaidia katika kutengeneza vivutio vya kihistoria kwa
@Niika870
@Niika870 10 дней назад
@@Therapist_kicha nakushukur sana Ndugu Mungu akubariki sana
@LEONARDSTIVIN
@LEONARDSTIVIN 2 месяца назад
B.A in Business planning & management ipo chuo gani
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Ahsante kwa swali zuri,,,MWECAU,MZUMBE,IAA-arusha hasa institute of accoutance arusha IAA
@LEONARDSTIVIN
@LEONARDSTIVIN 2 месяца назад
@@Therapist_kicha thanks Na hii ya Project planing and management chuo gani sas vizuri
@JacquelineMushi-i1q
@JacquelineMushi-i1q 2 месяца назад
Nina 3 ya 14 hkl naweza soma course gn dip
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Ahsante kwa swali zuri...ila naomba kujua neno "dip" umemaanisha diploma au?? Kama umemaanisha diploma basi unaweza soma diploma yehote tanzania endapk ulifaulu form 4 vizuri na ulichukua masomo hitajikaa....kama ni degree inabidi unambie umepataje katika masomo yako kwenye kombania hiyo je,una D mbili?
@ElinaKahemela
@ElinaKahemela 2 месяца назад
Chuo kingine n kip kinachotoa bachelor of health system management
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Ahsante sana kwa swali zuri, ..kozi hiyo ipi mzumbe tu
@ElinaKahemela
@ElinaKahemela 2 месяца назад
Samahn ina uhakika wa mkopo
@ashmamu
@ashmamu 2 месяца назад
Hiyo coz ya bachelor of health system management ipo chuo gani
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
ahsante sana kwa swali zuri,,,inapatiakan MZUMBE chuo kiko morogoro fanya kuaply mapema maana ndo chuo pekee taznzania chenye kozi hiyoo
@JulianaKelvin-z6i
@JulianaKelvin-z6i 3 месяца назад
Course hiz znapatkn katk vyuo vyote Tanzania
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
ahsante kwa swali zuri,,,,ndiyo zinapatikana tanzania hapap hapa,,kila chuo na kozi yake
@JulianaKelvin-z6i
@JulianaKelvin-z6i 3 месяца назад
@@Therapist_kicha oh thnks maan me n mmoja wa mwanafunz amby had cc cjui naend kusomea na nmemaliz mwak huu naamn kupitia vdyo zko nmegain jambo
@AffectionateLacrosse-ik1jn
@AffectionateLacrosse-ik1jn 3 месяца назад
Kama nimetokea diploma na sasa nataka kwenda degree natakiwa niwe na sifa gani
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
Ww ni kozi gan ya diploma ..nambie kozi ndo nijue sifa
@TevenMos
@TevenMos 3 месяца назад
Poa sana
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
karibu san ,usisahau ku subscribe na kushare video hizi
@TwitikeChepe
@TwitikeChepe 3 месяца назад
Ukiw na 3 ya 14 nawez kujiunga degreee
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
AHSANTE SANA KWA SWALI LAKO ZURI,,, faham kuwa ili uweze kujiunga na degree laima uwe na vigezo hivi 1..uwe na princile pass yeny D mbili 2..uwe n cutpoint 4 yaan D+D hivyo ukiwa na D,D,F au D,D,S basi una kigezo iiwa A=1 B=2 C=3 D=4 E=5 S=6 F=7
@JosephatBukuru
@JosephatBukuru 2 месяца назад
Nina one ya 8 hgk nisome koz ip
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 2 месяца назад
Ahsante sana kwa swali zuri,,,nakushauri kaa chini fikiria kipi unapenda na kwann ulisoma comb hiyo kuwa nani....mfano mtu anasomea awe mwanasheria atachagua LLB ....
@Reefa-q8o
@Reefa-q8o 3 месяца назад
Ur not explaining enough.. Kwenye ajira chuo gani labda utapata Kwa mfano hyo diplomasia no deep explanations
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
ahsante sana mkuu wangu,,niwie radhi kwa makosa nilio fanya ,,,na kozi hiyo inapatiakana vyuo hivii IPA UDSM CPR ZU
@JulianaKelvin-z6i
@JulianaKelvin-z6i 3 месяца назад
Coz hz znapatkn vyuo vyot Tz
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 3 месяца назад
ahsante kwa swali zurii,, ndiyo zinapatikana vyuo vyote ni ww tu ucahague kozi nikwmbie chuo
Далее
Kozi za Chuo kwa HKL, HGK, HGL (Humanities-UDSM)
9:08
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
KOZI ZA ARTS UNAZOWEZA KUSOMA CHUO APART FROM LAW
7:10
KOZI ZINAZOTOLEWA KATIKA CHUO CHA BAHARI- DMI.
16:41
Просмотров 4,2 тыс.
Kozi unazoweza kusoma kama ulisoma combi ya HGK
2:56
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43