😂😂😂haya kp zimia ukiamka kumekucha upige kubwa kubwa Hadi Kwa gate..hiyo inaitwa tit 4 tat mana umeyabananga mwenyewe hukujua unaongea na mwenye nyumba
Dah hii swala la nyumba dadayangu nae kampangisha kibasha yange ukoo makumbusho Namimi ndo mpokea kodi kisha 50/50 nasisteriiii🤣🤣🤣🤣🤣 Siku akijua tu mi namfurumusha mwenyewe
Hahahahaha hao ndio wanawake hii stori ilitokea kweli mwanamme alikuwa analipa kodi kwenye nyumba ya mkewe . Ila hiyo ndio adabu yenu nyinyi wanaume. ukizinduka uondoke Hahahahaha