Тёмный

KUHUSU MAKAMBA KIJANA MZALENDO ACHARUKA "BITEKO AMCHUNGUZE MAKAMBA ALIYOYAFANYA KWENYE NISHATI" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 314 тыс.
Просмотров 109 тыс.
50% 1

KUHUSU MAKAMBA KIJANA MZALENDO ACHARUKA "BITEKO AMCHUNGUZE MAKAMBA ALIYOYAFANYA KWENYE NISHATI"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 276   
@obadiakajungu6965
@obadiakajungu6965 Месяц назад
Nakubaliana na wewe kwa yote unayoongea! Mungu akubariki sana. Unaongea kwa uchungu sana kuonesha jinsi nchi ilivyozungukwa na kuongozwa na vibaka!
@user-mu5ep3cu3h
@user-mu5ep3cu3h Месяц назад
Kwa kweli huyu kijana ametukumbusha mambo mengi muhimu ushauri wake uzingatiwe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Unahoji vizuri sanaaaa mwandishi wa Mwananchi pongezi sanaaaa nahuyu mwannawane anachapa kazi vizuri anaijua vizuri katiba
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Mwandishi mzuri sanaaaa Nyarobi na unahoji vizuri Mungu akubariki upewe maua yako
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 Месяц назад
Uko vizuri sana .tukipata watu watano kama wewe nchi itafunguka
@sabuomar2420
@sabuomar2420 Месяц назад
Thanks, wewe ni mrithi wa Musiba, Aluta continua !
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 Месяц назад
Kwani Musiba yuko wapi siku hizi
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Месяц назад
Magufuli aliwaondoa alijua ni tatizo Mama akawarudisha ili aonekane kwamba yeye ni mwema ionekane walionewa sasa amejionea kwenye ukweli utabakia ukweli tu
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Месяц назад
Msukumo viongozi wastaafu pia ni mtoto wa mwenzetu.Magufuli alikua haangalii sura ya mtu.
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 Месяц назад
Una ushahidi au
@dassustephen731
@dassustephen731 Месяц назад
Huo NI mwanzo Tu na bado
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Месяц назад
Tatizo wakina makamba wananiona hii nchi ni yao wanadeka watakavyo na uwezo wa kifanya kazi ni mdogo
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo Месяц назад
Wazuri hawafi
@frankpeter4178
@frankpeter4178 Месяц назад
Usukumani kuna vichwaa, unastahili kuwa Mbunge na zaidi
@onesmonkwabi1022
@onesmonkwabi1022 Месяц назад
Amfukuze Waziri wa fedha(Mwingulu Chemba)
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Месяц назад
Hapohapo sijui umejuaje yaani simpendi with yule
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Месяц назад
Mwigulu cjui kuna kitu gani yaani
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Chanzo cha matatizo
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Месяц назад
Bado mwengine MWINGULU hatosha pia sisi Wananchi tunaona
@hassanally7832
@hassanally7832 Месяц назад
Mwigulu na kinana awatakiwi kua ndani ya madaraka ya aiana yote ktk inchi hii Kundi lao ni moja Makamba Nape Kinana Mwigulu ni watu wa moja na ndio maana maguful aliwatoa mapema sana
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Месяц назад
Kidonda cha taifa huyu
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o Месяц назад
Makamba ni mwizi sana,Wizara ya Nshati ameiba bilioni350 pesa nyingi sana bado mama bado alikuwa anamlinda nakumhashia Wizara nyingine Hafai hafai.ILI RAIS ILI AJISAFISHE MAKAMBA ASHUNGUZWE NA MWIGULU ATENGULIWE BILA HIVYO KWELI ANAWAFUGA WEZI.
@dassustephen731
@dassustephen731 Месяц назад
@@user-qe5cb7vy6o True
@sueqadir3371
@sueqadir3371 Месяц назад
Leteni ushahidi... fitna siyo nzuri!
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t Месяц назад
Kwa nini mafisadi nchi hii wanaogopwa? Katiba yetu inaonyesha mapungufu makubwa hawa wote wangeshitakiwa mara moja
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Месяц назад
Ndiyo maana chama kinaogopa suala la katiba mpya!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Месяц назад
Mzungumzaji huna taarifa kuwa mtandao wa wezi wa rasilimali za nchi walijindaa kujimilikisha kila kitu . Walifurahi mheshimiwa mwamba Magufuli kufariki.
@FrancisChuwa-tk8xt
@FrancisChuwa-tk8xt Месяц назад
Itoshe sasa kumtumia Makamba kuivusha nchi hii. Mama alikuwa na nia njema.Alitaka awaangalie yy mwenyewe. Katika kipindi ambacho tunakabiliana na maadui wakuu wa nchi hii (Mabeberu) hatuwezi kutembea na hawa ambao ni over-ambitious.watahongwa watuuze wazima wazima.
@LameckMbele
@LameckMbele Месяц назад
January makamba na Baba yke ni wajuaji sn na rafiki yke Nape kikosi hiki ni kibovu sn
@selegioelias9076
@selegioelias9076 Месяц назад
Hawa ni wahuni alio wasema pole pole baloz
@ChristerKoku
@ChristerKoku Месяц назад
Dotto Biteko kijana mzuri sana hekima na busara mungu amlinde,Dotto Biteko safi sana.
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg Месяц назад
Wanatakiwa watu wenye uwezo wakazi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Yombaga mwanawane
@BenardLucumay
@BenardLucumay Месяц назад
Nimemkumbuka sana hayati baba wa Taifa na rais mstaafu mwl Nyerere, alikuwa mzalendo kwa vitendo,hakuwa mkabila wala mbinafsi familia yake iliishi kawaida tu!
@daudhenry6212
@daudhenry6212 Месяц назад
Sahihi
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Месяц назад
Duh! Tarehe 21/ 7/ 2015 alitimuliwa na JPM. 21/7/24 Ametimiliwa na raisi samia😂
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Месяц назад
21/7/2015 raisi wa nchi alikuwa kikwete
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg Месяц назад
Juju liliexpire21/7/2015,akarenew likaexpire tena 21/7/2024 .Sidhani kama atarenew tena. 😂😂
@naturelle1097
@naturelle1097 Месяц назад
​@@shavasjohnkay-cw8lg😂😂😂
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Raisi Magufuli aliliona muda sana hilo Kuhusu Nape na J. Makamba . Mama hakuamini Hivyo kwasasa ameelewa Kwanini Raisi mwendazake aliwatengua. Nimpongeze Raisi samia kwa uoni huu .
@ramadhansaadalahtawaqal7902
@ramadhansaadalahtawaqal7902 Месяц назад
❤❤
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 Месяц назад
Amechelewa sana kuchukua hatua
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf Месяц назад
Kiukweli mama anamacho makali ❤yanaona sana, ila nashauri hizo nyadhifa wawe wanachanganya na viongozi wetu upande wa chama ambao niwazalendo wawe wanapewa fulsa nafasi zisizunguke humo humo huku wengine wanavunjika moyo
@phillipbwilengende3434
@phillipbwilengende3434 Месяц назад
Makamba, Chalamila, Ndejembi, Kikwete, Pinda, Nnauye, nk. ni majina utaendelea kuyasikia sana. Hayawezi kusahaulika kwani wenye majina ..
@LaurentMagesa-iv5yt
@LaurentMagesa-iv5yt Месяц назад
January na Nape hawafai katika taifa hili .
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 25 дней назад
Umemsahau boss wao kikwete
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Ni kweli wengi sana wanaojipendekeza tena hao wengi sana Bungeni
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
ni kweli watu wa lake zone sio mchezo, wengi ni kazi tuu
@mwanjalimfaume6380
@mwanjalimfaume6380 Месяц назад
Utaona watapewa nyasifa zingine Msizungumze sana
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 Месяц назад
Kwa kweli
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Месяц назад
Makamba, ni kweli UWEZO WAKO NI MDOGO MNOO, MAJAMBAZI TU,
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Tena kanda ya Xiwa inachapa kazi sanaaaa
@AmaniMwakalapuka
@AmaniMwakalapuka Месяц назад
Akili kubwa sana hii
@AtanasiDotto-bk7hk
@AtanasiDotto-bk7hk 29 дней назад
Pongezi kubwa kwako kiongozi hakika Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya watanzania🔨
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Месяц назад
Yombaga mwanawane,ila ulitakiwa uongee kabla hajatumbuliwa, .....ila wananchi wanahitaji waziri wa hela atolewe
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Месяц назад
Makamba, Mwigulu, Bashe, Ridhiwan, Mhangama, na Mchgengerwa ni mabomu tu. Sijui kwanini rahis amewavumilia kiasi hiki ukichia Mchengerwa na Ridhiwan tokana na wazazi wao.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
Sasa hili bwawa la Nyerere mahitilafu tena haya jmni..gharama kubwa sana serikali inaenda kuingia..vitu vingi vimejengwa chini ya viwango...mmh
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Kada yeyote wa ccm, Akitoka baba anaacha mtoto ashike nafasi, huo ndio mfumo wanaojisifia kuwa ni wa kidemokrasia, ndivyo wanavyopokezana kijiti cha utawala wa kiukoo kuanzia Tanu youthlig/Uvccm tangu 1985!. Magufuli aliwaondoa, wakarudishwa na sasa tena wameonekana wana majungu na tamaa ya kiti wanaanza kuondolewa
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Hao ni watoto wao na wanafanya kama kisultani au kifalme, subiri tuone watawapa wizara nyingine. Magu aliona hawana uwezo lakini mama yao kaona asiwaangushe ndugu zake 😂😂😂😂😂 watajipanga awape kazi nyingine akishindwa kabisa atawapeleka ubarozini 😂😂
@winifridabyesigwoa741
@winifridabyesigwoa741 Месяц назад
​@@MsAggie500😊😊😊😊😂😂
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Месяц назад
Mwigulu nae apumzishwe yeye ndio muhizunishi mkuu wa pesa zetu hazina. Sio mzalendo wa kweli mpigaji pia
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Месяц назад
Makamba hafai ataishia kuota urais hatapata
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Месяц назад
Shida ni aliyewaweka ukiwa wana doa kubwa ...tena akawapa nafasi kubwa sana na kuwatoa watu WEMA wwaliodhibit uwizi kama Kaliman
@athumanyassin7796
@athumanyassin7796 25 дней назад
Hakuna mwanasiasa msafi wengi ukiwachunguza wana mazongezonge yao kama tumesha yaona haya tuanze kupika viongozi wapya wenye uzalendo ili miaka ijayo tupate viongozi bora
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Месяц назад
Safi sana na Mzalendo
@user-pt4jf7lg3z
@user-pt4jf7lg3z Месяц назад
Mwigulu atumbuliwe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 дня назад
Nkindikwa unayamwaga vizuri na mama ayasikie vizuri kwa makini aliwabeba kumbe wabaya wake
@mackarioussmakuri6147
@mackarioussmakuri6147 Месяц назад
Hii ndiyo hatari ya nchi kutawaliwa na vijana wa umri mdogo 1wafalme 12:1-15 nge alizosema mfalme leo ni kupiga urithi wa nchi kwa kufikiri kua ataishi milele Inchi yetu ifike mahali ichunguze mali za watumishi wa uma kua zinaendana na kipato chao?
@user-uk3gu2fp2w
@user-uk3gu2fp2w Месяц назад
Tatizo ni rais wetu ni mubovu sana hayo yalikuwaga majipu yeye kawakaribisha
@user-gs1qw5on1b
@user-gs1qw5on1b Месяц назад
Francis zongo ngereja mama samia asiangalie sura ya makamba,lzm ashitakiwe watanzania tumechoka tuna shida mno,hy makamba alete hz hela ht wananchi wa khali ya chini tupate ht unafuu wa maisha tunaibiwa mno,jamani watanzania wamekosa cha kuzungumza kwy nchi yao,wanatawaliwa na mabeberu,mtu mmoja anawetesa watu million 60,du!! Mama kamala hao wanyanganye hate za kusafiria walete hela,na hilo bwana liishe
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h Месяц назад
Hapo uko sawa hujakosea hana uwezo mambo yake ya kitoto sana
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 Месяц назад
Hawa viongozi wachunguzwe utajiri wao, mana wanatuona watanzania wanasesere.
@rabomunde3550
@rabomunde3550 Месяц назад
Jamaa nimemkubali"""! Shikamoo dogo
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Месяц назад
MWIGULU NAE HATOLEWE PALE AMEKAA SEHEMU SIO YAKE. KUNA PESA NYINGI SANA HAZINA ZINAPOTEA
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Месяц назад
Waaveja Mwana wane
@TinaZimba
@TinaZimba Месяц назад
Makamba ni mwizi silipendi hata kidogo kwa wizi wake
@Mobmob2013
@Mobmob2013 Месяц назад
Jizi alafu machawi
@elizabethsimba9743
@elizabethsimba9743 Месяц назад
Safi sana.
@user-kf5lc2ph2o
@user-kf5lc2ph2o 22 дня назад
Hili li jamaa bhana na lafudhi yake ya Mwanza linajitahidi kufuatilia siasa hadi linapata kigugumiz kuongea😅😅😅😅😅
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Месяц назад
Mwigulu...makamba...Nape.Hawa jamani....Ni hatari sana...Na ukweli watu kama Hawa wamo wengi sana..Wabathilifu wa mali za umma.Ubanafsi.Waangaliwe kwa jicho la tatu
@user-fj7it6ly7n
@user-fj7it6ly7n Месяц назад
Kwakweli mtu apendwinaote tanzania munapenda rushwa poleni sana wapinzani wamakonda kawapiga spana ❤ 😂 Mungu atakulinda hutarudi tena wapige tena
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 Месяц назад
She often wait for the right time...she doesnt react quickly..anamsoma mtu anamjua kwa undani zaidi kisha anaamua..very smart leader
@MarriamNg9wi
@MarriamNg9wi Месяц назад
Wezi hao wafilisiwe warudishe fedha za watanzani
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Месяц назад
Uko sea jamaa yetu makamba January na,nape na mwiguru waangariwe vizuri au wachunguzwe
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Месяц назад
Hata mimi nilishangaa sana kitandula kuwa naibu waziri mama nadhani katika uteuzi kuna asilimia50 na zingine niwashauri
@Bone_Gamer24
@Bone_Gamer24 Месяц назад
kwenye safari hapo uko sawa sana
@georgenkindikwa5190
@georgenkindikwa5190 Месяц назад
Mama Samia snatakiwa awemakini sana watu wapo kwamasilahi yao
@daudhenry6212
@daudhenry6212 Месяц назад
Jamaaa anaitwa nani😂😂😂 hachoshi kusikiliza
@RamadhanMakoka-vp9cl
@RamadhanMakoka-vp9cl Месяц назад
Mngemtazama pia wakati alipokua waziri wa mazingila alifanya nlni,
@wabbaitan3063
@wabbaitan3063 Месяц назад
Mwandishi wa habari kuna kitu unajaribu kukikingia kifua kwa kumuuliza maswali uku ukiwa na ukweli wake, Unavutia kwa Makamba, nawe ni Mmoja wa wale wana habari walio upande wake, kimahadili mwandishi huruhusiwi kuwa upande, bali ni kuandika habari zote kwa usawa, hufai kabisa ndio maana unauliza maswali yenye lengo la kumchonganisha kwa Rais, na Makamba ukimwita kijana wakati ni Mtu Mzima, ni kuwanyima haki vijana wenye haki ya kuitwa Vijana. Angalia Gen Z Uko Kenya, huo ndio umri sahihi ya neno vijana, 18-35yrs. Mtu ana umri zaidi ya 40yrs ana Mke na Watoto, bado unamuita kijana? uko ni kuwanyima vijana nafasi, vijana wanawakilishwa na wazee au watu wazima kabisa wanaojiita Vijana.
@munisindeshisamson3590
@munisindeshisamson3590 Месяц назад
Hapa bongo watu werevu wanachukiwa sana na vilaza ndo wanakuwa viongozi kulinda maslahi makubwa ya wenyewe
@edithakweka5591
@edithakweka5591 18 дней назад
Tukujengee mnara juu ya mlima kilimanjaro
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Месяц назад
Iv wazir wa fedha anasubir nin pale??
@listere-i1b
@listere-i1b Месяц назад
Nitashangaa sana alie kuwa waziri wa nishati january makamba asipo shitakiwa kwa ajiri ya uhujumu uchumi
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 Месяц назад
January Nape Kinana Mwigulu Bashe Masauni Mbarswa Hawatoshi kuwa viongozi ndani ya Taifa kwa masrahi mapana ya Taifa hili. Ukweli utabaki kuwa ukweli
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Месяц назад
Viongozi wengi wao wanapenda Rushwa na wabathilifu wa mali ya umma.Huu ubinafsi ni mbaya sana na wanaingia kwenye uongozi kwa kupigiwa kura za Rushwa.Tunapata viongozi wa ajabu sana.Tumejaza wezi na fusadis tu.Hii ni hatari sana.
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 Месяц назад
makamba ni mwizi afungiliwe mashi taka
@manimbakikuli6271
@manimbakikuli6271 Месяц назад
The truth in plain white! Wananchi inabidi wajue ukweli!
@petermboje5839
@petermboje5839 Месяц назад
Nimekuelewa kaka
@levislewis4291
@levislewis4291 27 дней назад
Ni ukweli anaongea ila tatizo kubwa ni mfumo wa ccm usiofuata katiba ila utashi.... Hapo ndipo ccm inakosa kupendwa zaidi inakua na machawa na wanafiki... Na ukweli ccm wote mbinguni hakuna nafasi yenu bila kuondoa unafiki... Baada ya uongozi mtaondoka Duniani kama ilivyo kwa yeyote... Jueni Hilo.. Kitabu macho apa nacho kinaangalia miyoyo yenu... Muogopeni Mungu kwenye unafiki.. Ni ushauri wangu nautoa bure kama mwananchi mlipa Kodi.
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Месяц назад
BUNGE lipitishe sheria ya mafisadi kupigwa risasi.Bila hivyo tutaendelea kuchezewa.
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Месяц назад
Tatizo, je wote ni wasafi?
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Месяц назад
Wewe,hapo uko nje.kwamba tuna viwanda via nyaya na transformer,wapi vilipo?
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn Месяц назад
Wapasue Haoooo
@user-gs1qw5on1b
@user-gs1qw5on1b Месяц назад
Mhe kasimu majaliwa tunakuamini,mhe biteko tunakuamini, vaeni kofia ya magufuri mmsaidie mama samia
@OmarOthman-w9k
@OmarOthman-w9k Месяц назад
Unatoka povu bureee kwani yeye mama mgeni na serkali hii? Wanajuwana hao ndugu yangu ila msichoke kusema😅😅😅😅😅😅
@salumjoka6286
@salumjoka6286 27 дней назад
Ukweli mchungu
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Месяц назад
Msiba aritahadhalisha sana kuhusu Makamba na wenzake, sasa wametuletea hasara ndio mnashituka , hawa hawafai hatakua Barozi wa Nyumba kumi.
@thomasburito
@thomasburito Месяц назад
Kiongozi uko vizuri.
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg Месяц назад
Ukovizur kaka unasema ukweli
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Wachawi sasa wameanza kuinuka kumpaka matope mh Dotto beteko hapo utawajua tu wanaopenda wizi wizi
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Uwe unasikiliza kwa makini kinachozungumzwa kisha ndio ukomenti utaonekana mpumbavu mbele za watu wenye akili salama.
@nurdinsurve9475
@nurdinsurve9475 Месяц назад
Hakuna hayoo kwa huyoo makamba haja msaidia yoyote wala simu hapokei huyo makamba
@user-gg1pb2du5u
@user-gg1pb2du5u Месяц назад
Makamba hana sifa ilanikubebwa bebwa tu
@lemuelrugumyamheto5094
@lemuelrugumyamheto5094 Месяц назад
Bado inawezekana kuwa Kiini Macho tu.Sitaona ajabu wakiibuka katika nyadhifa nyingine tofauti katika system hii.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Hawa baba zao walikuwa marafiki yaani mzee Makamba na Nauye baba yake na Nape na huyo Kinana. Na Makamba baba yake January ndiyo wenye nchi wana uwezo was kupiga simu Ikulu na kuongea na Ikulu kwahiyo ongeeni tu ila hakuna lolote la maaana litakaloleta unafuu, wabunge walipiga kelele lakini ndo kwanza aliambiws fanya kazi usisisikilize maneno ya watu naungana na wewe ni kiini macho
@Fesary
@Fesary Месяц назад
Kiini macho, sema kiini sasa iyo imeenda
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Waache kaka mungu yupo atawaumbua hajawafukuza wanaandaliwa kwenda kufanya maandalizi ya kuiba kura hao ni vinara wa ccm
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Kweli
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Месяц назад
Kweli kabisa
@TwaibuLali
@TwaibuLali Месяц назад
Acha ukabila wewe angaria nnchi ulipata uhuru kupitia wapi nyinyi mlikuwa wapi tulia wacha jaziba kachukue 🎉
@SeveriniPeterMkini
@SeveriniPeterMkini Месяц назад
Jamani tusipepese macho, kosa ni kosa, na mkosaji anatakiwa kulipwa/ kuadhibiwa kulingana na upana na uzito kosa/mafanikio.
@SonitajoseDonita-tm5ex
@SonitajoseDonita-tm5ex 28 дней назад
Muulize Hugo mwandishi Kwa Nini huwa hawaendi kuwahoji hawa viongizi wanaotuhumiwa,mnawaogopa au munaogopeshwa??????
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo Месяц назад
Ni kweli
@loycep7785
@loycep7785 Месяц назад
Yaani viongozi wetu wanaturudisha nyuma kwa sababu ya tamaa zao za hela na kusabsbisha Taifa letu kuwa maskini wakati uchumi wetu unauzwa ebu tuweni makini Na baadhi ya viongozi wakisema ukweli wanachukuliwa hatua hiyo siyo sawa mwogopeni Mungu wapendwa
@ISMAILPAMBA
@ISMAILPAMBA Месяц назад
Unaongea kwa hasira sana huenda unachuki binafsi kwani suala la nishat lilianza toka enzi za Mr Muhongo kma umesahau hata Mr Luasa aliwajibika kisa ni Nishat Acha chuki binafsi ndg yng.
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Месяц назад
Judidh ameteuliwa utafanyaje hujuma wakati Dotto naye ameteuliwa
@Uhuru1234
@Uhuru1234 Месяц назад
Ww sio mwanasheria ufungue hizi kesi?
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t Месяц назад
Acha aseme ukweli au ww ni mmoja was?
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 Месяц назад
Kweliiiiiiììio ndugu yangu uko sahihi kabisa
@robertedward1992
@robertedward1992 Месяц назад
Bado jutu Moja pale fedha.alitumbuee.
@SalomeJackson-c1y
@SalomeJackson-c1y Месяц назад
Huyu msukuma akipewa uongozi serikalini wafanyakazi watanyooka.
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x Месяц назад
Ni mwizi mkubwa huyo makamba, mama hongera kwa kuondoa hili jipu, ni habari sana
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Hi hapo ni kiiini macho
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 Месяц назад
Makamba hana kosa lolote kuwabeba watu wa Tanga ikumbukwe kwamba wamekandamizwa muda mrefu sana kwenye hii nchi
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 Месяц назад
Mimi Niko kanda ya ziwa madudu ni mengi Sana kuliko kanda zingine
@thuwein
@thuwein 21 день назад
Mnahitaji court summons for character assassination. Stay tuned.
@mpologomaChristopher
@mpologomaChristopher 20 дней назад
Ccm wengi ni wezi, anzia huyo raisi, mawaziri wake, makatibu wakuu, ndiyo mana mambo ni ya ovyoovyo hapa tz
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Прохожу маску ЭМОЦИИ🙀 #юмор
00:59
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55