Тёмный

DAKIKA 50 ZA MABISHANO MAKALI BUNGENI HALIMA MDEE, MWIGULU, MPINA, MUSUKUMA AMALIZA MZOZO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 186 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 684   
@user-ow8cp1fp9c
@user-ow8cp1fp9c Месяц назад
Hongera Mh Spika Endelea Kutupigania
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Spika wa Bunge ameupiga mwingi safi sana
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm Месяц назад
mdee jembe itakuwaje chadema kafukuzwa mgombea binafsi bongo wana bania anaitajika sanaa mjengoni ❤❤❤
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Huko kuingia Bungeni tu bila chama ni ujembe kweli kweli.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
​@@hajihassan5433CCM number 2 hao
@festongonyani152
@festongonyani152 Месяц назад
Tutayamaliza baada ya bunge kuisha ondoeni shaka nina imani atarudi cdm
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
@@festongonyani152 Yeye yupo CHADEMA dam dam kama kuondolewa wataondolewa kwa mkutano mkuu wa chama.
@mpalalakenan4083
@mpalalakenan4083 Месяц назад
❤❤ll❤❤​@@hajihassan5433
@ibrahimmbilinyi-sp4gi
@ibrahimmbilinyi-sp4gi Месяц назад
Tulia you are a very important woman kwa nchi yetu proud of you❤mpina you are never walk alone boss😎
@mashipeter4819
@mashipeter4819 Месяц назад
Mheshimiwa Tulia Mungu akuongoze. Heshima kwako.❤
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Na kweli kabisa
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 Месяц назад
Harima mdee ni kiboko ❤❤❤ kachafuwa hari ya hewa ,
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Месяц назад
Halima siyo Harima 🤝
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 Месяц назад
@@awatifalghanim1106 wewe umenielewa
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 27 дней назад
Hajachafua hali ya hewa,anawaonesha jinsi gani hao mawaziri walivyo viporo. Mpina anamweleza Mwigulu atoe vielelezo,hana. Wanakuwa wakali tu. Wana wasiwasi na Mpina.Anawatoa jasho jembamba
@ordafabian5172
@ordafabian5172 12 дней назад
Ra, re, ri, ro, ru. La, le, li, lo, lu.
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 9 дней назад
@@ordafabian5172😂😂😂😂 nimecheka hadi nimekojoaaa
@kizitokhaissy7150
@kizitokhaissy7150 Месяц назад
Asante muheshimiwa speaker kwa kumbana waziri wa fedha bado hatoshi kwenye wizara ya fadha
@user-wq9jk1zk4y
@user-wq9jk1zk4y Месяц назад
Mdee hakilinyingi
@jimmysam8330
@jimmysam8330 26 дней назад
Hakili au akili😅😅
@Ommyblacktz13
@Ommyblacktz13 10 дней назад
@mmyblacktz13
@EliasMollel-x3d
@EliasMollel-x3d 10 дней назад
Waziri hapo hapana
@robertmosha6801
@robertmosha6801 Месяц назад
Mwigulu ni deshi sana
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go Месяц назад
Mwigulu mwongo sana
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Afukuzwe kabisa
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 Месяц назад
Mwigulu hatoshi kuwa waziri wa fedha Tanzania kabisa
@MrimiMarwa
@MrimiMarwa 29 дней назад
Kweli wazili jina wizi
@BabaLea-ez7pp
@BabaLea-ez7pp 11 дней назад
Aende burundi huyu maana Kaz imemshinda
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 10 дней назад
😂😂😂😂​@@BabaLea-ez7pp
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 дня назад
​@@LeonardEdward-fb2bnkwakwel aende hatumtak
@ImamuKipepe-ke7gv
@ImamuKipepe-ke7gv Месяц назад
Uko very sana dada tatizo ukiongeaukweli mafisadiwanakuchukia
@brightontibenda2346
@brightontibenda2346 Месяц назад
Tulia Ana uwezo mkubwa wa kisheria na anaheshimu taaluma yake vizuri. Halima mdee Ni mwanasheria mzuri akitumiwa!
@katikirojuventus
@katikirojuventus Месяц назад
Mpina na Halima big up sana. Wapigeni spana hao majizi
@gabrielmwikanu1160
@gabrielmwikanu1160 Месяц назад
Halima mdee namkubali namkubali Sana.
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Hata mm aiseee
@user-ff1ti2bo4w
@user-ff1ti2bo4w Месяц назад
Hongera sanaa mama wetu tulia spika wabunge la jamuhuri ya muungano Mungu akulinde una tenda haki
@kenjoseph3337
@kenjoseph3337 Месяц назад
Tuna waziri wa fedha wa ajabu sana
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Jiziiii kabsaa
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 Месяц назад
Tuanzishe petition ya kumtoa Mwigulu kwenye uwaziri wa fedha. Hafai kwenye wizara nyeti Kama hiyo. Kama hawana mtu waende pale UDSM kuna wataalam wa kutosha
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Mwigulu utoke utoke utoke bhana hutakiwi hapo sifa huna ww nchi yetu inayumba sana mpaka wanyonge tunanyanyaswa kila kona toka hapo
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 дня назад
Kwakwel Mwigulu ni shiiiiiidah😮😮😮😮😮
@amosmahona433
@amosmahona433 29 дней назад
MH.Mdee na Mh.speaker wa bunge nimewaelewa sana maswali yao
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Hapa bunge limejitendea haki
@ibrahimmbango9117
@ibrahimmbango9117 Месяц назад
pongezi kwa mdeee na spika leo nimefurahi saana
@berthamushi6891
@berthamushi6891 Месяц назад
Hongera Kwa Mh.Spika RAIS wa Mabunge yote Duniani na Mh. Halima Mdee na Dr. Mpina Wanasheria Wasomi Endeleeni kuwapigania Watanzania 😂😂😂 EPC+F
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 14 дней назад
Pongezi za nini wakati nchi inaibiwa watu hawajakamatwa
@user-pl4ju8du7j
@user-pl4ju8du7j Месяц назад
Huyu Dr gani haelewi hata maana ya mikataba.mimi sio Dr wala prof ila ktk hili Mwigulu ni achunguzwe halitendei haki Taifa hili ni huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
@fatmamtete3191
@fatmamtete3191 10 дней назад
Hv hy na yule wa mdor wakariakoo ni mtu na mdogo wake huwa wananivuruga xn hawa binafsi wanazingua
@yusuphmbilinyi612
@yusuphmbilinyi612 8 дней назад
😂😂😂😂😂
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Waziri wa fedha afukuzwe kazi mala moja tayr hapo kuna tatizo
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 21 день назад
Ninamashaka hata uraiya wake
@boazmwakifumbwa7728
@boazmwakifumbwa7728 20 дней назад
​Uuuuiuuuuuuuiiuuiiiuuiuiuiiutrreeerrepppp😮😮😅😮😮😮😊😮😊
@edwinkajuna7207
@edwinkajuna7207 Месяц назад
Mwigulu hana sifa za kuwa wazir wa Fedha
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Месяц назад
Mkataba ukishasainiwa kinachofuata ni mkandarasi kupiga kazi na kukamilisha kwa wkt uliokubalika. Mambo ya dola hayahusiani cc tunatumia Tsh. Mwizi mzoefu wewe
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Месяц назад
Anabebwa sn na mama Hana sifa hata ya kuwa rais hafai kabisa
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Mwiz tuuu shenz hili
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Месяц назад
@@aishahasan7722 kabisa ndugu yangu jizi mno na halina sifa za kuwa waziri
@user-nn1rt6kj3m
@user-nn1rt6kj3m Месяц назад
Mwigulu jiuzuru tafadhali kama mama hataki kukutoa basi wananchi hatukutaki,tafadhali jiuzuru achia hela zetu
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 Месяц назад
Tulia Akson...uwezo wako ni mkubwa sana,hongera sana,ukiamua kukataa jambo lisilo sahihi unasimama kwa watoa hoja,hubebi waziri kama hujaridhika na hoja zake....big up
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 Месяц назад
Mdeee apewe chama mwakani awemo tena
@omarali797
@omarali797 Месяц назад
Siyo Halima ni honourable Halima, hii ndiyo kauli ya Kibunge, heshima muhimu
@danielotienoobunde4738
@danielotienoobunde4738 27 дней назад
Jamaa ana dharau sana anavyo zungumza na mheshimiwa Halima mdee unafikiria ni mtoto
@matikowambura7657
@matikowambura7657 Месяц назад
Mwigulu ni mhuni
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Nilijiziii shenz
@success-only
@success-only Месяц назад
Mwigulu Ana mipango yake binafsi na fedha za nchi yetu
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Ndio nijiz shenz sn kandamiz hili mwigulu
@selinalawala2270
@selinalawala2270 Месяц назад
Spika anaijua vizuri sheria.
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Spika safi sana
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Месяц назад
Mama samia sipendi ccm Ila wakati unchukua inchi nilikupenda Sana sana Ila mwigulu hapana mpigaji tu nasijuwi kama utapita kama utabaki na hawa kina mwigulu na nape hupiti nakwambia naapa
@larryking623
@larryking623 14 дней назад
"Hata Yesu alifundisha kwa mifano"... 😅 waziri bhana janja janja nyingi...
@nestanesta5704
@nestanesta5704 Месяц назад
Tulia leo umetisha
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Haswaaaa
@user-pb8qk9hn6n
@user-pb8qk9hn6n Месяц назад
Tungekuwa nawabunge kama mdee ishiriini 20 tuu nchi ingesonga mbele
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Yaani 20 wasiokuwa na vyama au?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
Kwenye vyama vya upinzani
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Ndg yangu wapo ila wengi ni waoga,wanaogopa wasiojulikana +waliomlisu lisu.
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Месяц назад
Mwiguru hamna kitu
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Jizi sn Hilo mwigulu
@MrimiMarwa
@MrimiMarwa 29 дней назад
Kachoka
@MenelusCzar
@MenelusCzar Месяц назад
IKIWEZEKANA TUJENGE BARABARA ZA CHUMA MAANA HIZI ZA RAMI NI SHIDA KILA KUKICHA🙌🏻
@selurashid4252
@selurashid4252 Месяц назад
madam speaker safi sana wapelekee moto wabunge vilaza wote waache uongooo.
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
😂😂😂na kweli kabisa
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Месяц назад
Mkuu, Waziri wangu, pole. Naona waheshimiwa wanakupiga " Spana". Nashukuru, nimecheka.
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 27 дней назад
Tanzania watu wanaoweza hawapewi dhamana sasa huyu mwigulu daah 😂😂😂😂
@user-nn1rt6kj3m
@user-nn1rt6kj3m Месяц назад
Hili limwigulu linavaa tai ambalo hanasifa nalo kwani Lina rangi ya Taifa wakati halina maana ya kuitumikia taifa
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Месяц назад
Mwigulu. Chenga. Hamna. Kitu. Hapo. Munamlinda. Tuu. Kutufujia. Pesa. Zetu.
@user-nn1rt6kj3m
@user-nn1rt6kj3m Месяц назад
Luhaga Mpina mwenyekiti hawezi kukupa nafasi maana hoja zako kauna wa kuzimudu
@ezronwilson9965
@ezronwilson9965 Месяц назад
Job alisema ipo siku hii nchi itauzwa
@leebronkasianh5296
@leebronkasianh5296 Месяц назад
Miradi yote mikubwa inajengwa kwa mikopo tu,hakuna hata mmoja tunatumia fedha zetu.
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 14 дней назад
Huku mnakopa huku mnapigwa na viongozi wezi wanaotajwa kwenye ripoti ya mkaguzi wa fedha za serikali amebainisha uwizi wa fedha za watanzania ukizijumlisha zinafika zaidi ya trillion tatu kwa mwaka
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Месяц назад
Mwigulu watanzania wanaelewa technicality zote, usiwafanye watanzania wote kuwa hawakusoma! This is so demeaning those who put you on that position! That is so sick! Mwigulu acha siasa, huwezi kuanza mradi bila ku-approve budget hata kama ni ya miaka mitano. Budget projections huwa zipo wakati mikataba inakuwa signed, hii inaonyesha negligence ama incompetence ya wizara husika!
@BezalelyMasija
@BezalelyMasija Месяц назад
U
@godwineliya4686
@godwineliya4686 Месяц назад
Mpigaji huyo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
Huyu mwigulu ni nguruwe pori 😢😢😢
@Nedjadist
@Nedjadist Месяц назад
He thinks he is so smart!
@user-so3xq3dw7i
@user-so3xq3dw7i Месяц назад
Serikali sikivu
@JosephMpangala-wd5mp
@JosephMpangala-wd5mp Месяц назад
Hii ndiyo tunaitaji spika afanye nawabunge wafanye kwa maslai ya wananchi, Mungu awabariki sana.
@NelisonNkonjwa
@NelisonNkonjwa Месяц назад
Turia mama kama jina rako simamia aki mama👍
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 Месяц назад
Tuna waziri wa Fedha wa ajabu sana
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Tena lijiziii kabisa hili gulu
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Huyu waziri afukuzwe kazi tuu hakuna kubembeleza mtu hao wanao mpigia makofi anakula nao
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 24 дня назад
Huyu muheshimiwa,kulikoni ? Anavurunda sana, lakini yupo tu ! Kuna mahali alisikika akisema yeye ni mbunge anayependwa sana, ni Kwa mtindo huu ?
@awadhally1052
@awadhally1052 15 дней назад
Sio wa ajabu ni mwizi
@godfreynoya6670
@godfreynoya6670 14 дней назад
Kama hadharani NI hiv...je huko tusiko ona
@peterlove4g869
@peterlove4g869 Месяц назад
Mwingulu leo kapuyanga😂😂😂 nchi yangu jamani
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
Aaaa😅😅😅
@EmanuelIsaya-sg8bk
@EmanuelIsaya-sg8bk Месяц назад
Tatizo ni waziri wa Fedha mpigaji
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Jizi sn
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Afukuzwe chap
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 дня назад
Watakuwa wanajuana😢😢😢mbona mwanzo alitumbuliwa
@MusaAlly-wf6tm
@MusaAlly-wf6tm Месяц назад
tulia oyeee
@RichardKamata
@RichardKamata 28 дней назад
ina maana waziri mpaka afundishwe na spika kujibu maswali ,huyo waziri wa fedha mama angalia mtu mwingine
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Месяц назад
Mwigulu kwani kwenye mkataba huo hamkuweza ku-lock interest rates? Ina maana basi mikataba yetu ni ya kipuuzi basi. That is not an excuse, umeshindwa kumjibu mbunge swali lake! Spika, asante sana kwa kumbana huyu waziri!
@ramadhanrashidmthailand9553
@ramadhanrashidmthailand9553 Месяц назад
Wanaangaliagatu 10% ndio wanachojali
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Месяц назад
Bull shit kabisaaa ... Huyu jamaa ni negativity thinker na ni mjingaaa sanaaa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Месяц назад
Kwanza hiyo EPC +F ndo ninj??? nishachoka zangu
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 14 дней назад
Nchi inaibiwa watu wanacheka
@nelsonngowi1103
@nelsonngowi1103 Месяц назад
Tulia uko vizur njoo chadema huko hakukufai
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs Месяц назад
Nyoo
@fredyjoackimu-bk1tf
@fredyjoackimu-bk1tf 16 дней назад
Very good mh.Dkt Tulia kwa umakini I ❤ it
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 Месяц назад
Hii ndo maana ya Bunge👏🏻👏🏻
@emmanuelmyombe-gq8el
@emmanuelmyombe-gq8el Месяц назад
Nampongeza huyo waziri kukubali kufanya marekebisho ya sentensi
@jameskileo955
@jameskileo955 26 дней назад
Bashungwa ni mtu wa Hekima sana tatizo ni mfumo mkuu
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 Месяц назад
TULIA ndo Spika wa bunge anaejielewa wale Wenye viti wanapokuwepo hakuna kitu wa toleo abaki TULIA na Nabii Spika kwa sababu wanaelewa kuuliza maswali na changamoto kw Mawaziri
@godfreynoya6670
@godfreynoya6670 14 дней назад
Nilichogundua NI kuwa mkandarasi hakopesheki...Hana dhamana inayotakiwa na mabenk...alishindaje zabuni???
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 9 дней назад
NAJIULIZA MKANDARASI ALISHINDAJE TENDA NA HAKUWA NA PESA?? AU KULIWA NA UJANJA UJANJA KAMA ILIVYO KAWAIDA??
@JofreySanga-lu8pn
@JofreySanga-lu8pn Месяц назад
Leo mumejitaidi kubanana vzuri mungekuwa hivo Kila siku taifa lingesimama vizuri
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Месяц назад
Najiuliza kwann mwigulu mpk leo bado yupo oficin
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Месяц назад
Yaan cjui linaroga ili libaki officn jizi sn hilo
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Afukuzwe huyo anakela kama nn
@nelsonngowi1103
@nelsonngowi1103 Месяц назад
Halma mdee waambie
@hancygadiel810
@hancygadiel810 28 дней назад
Hapo kuna dalili ya pesa chafu kwa 100%
@berthamushi6891
@berthamushi6891 Месяц назад
Daaah Waziri wa Fedha mwenyewe anachanganya mambo mara EPC+F Mara Serikali itatafuta Hela afanye Marekebisho 😂😂😂😢😢 TRAB AND TRAT
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 19 дней назад
😊😅😅😅
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 дня назад
Kigugumizi
@user-pl4ju8du7j
@user-pl4ju8du7j Месяц назад
Kwanza kabisa huyu waziri wa fedha hatufai kabisa na hio tai yake ya bendela yetu aitoe tena hafai kuivaa huyu jamaa sio mzalendo kama waziri hufai kubishana na kiti yaani na maanisha Spika. Rais wangu kipenzi mama wa faida mkombozi wa Taifa hili mtoe huyu jamaa daa jamani hivi tuna urazima gani kubishana kisa kiingereza na hizo paragrafu zake Rabishi.
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h Месяц назад
Bado hujasema babu 😂😂😂
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Месяц назад
Huyo waziri ni anatetea maslahi yake siyo ya watanzania
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Месяц назад
Huyo amekwisha kuwa tajiri na ujanja hafai kuwa waziri wa fedha Aachie wengine
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Месяц назад
Jamani na hawa mawaziri wazee wapumzike,wateuliwe vijana maana vijana bado hawajachukua akili
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw Месяц назад
Vijana hawajachoka akili
@davidmziray2048
@davidmziray2048 Месяц назад
Mama unawatu gani jenister yy nikupiga makofi tu hajui kinachoendelea
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Месяц назад
Elimu elimu elmu. Jenista ni 0 kubwaaa
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Месяц назад
Anamuunga Waziri mwenzake,hovyo kabisa
@Officialabshry
@Officialabshry Месяц назад
Ni chawa 😂😂😂
@msanabukere7835
@msanabukere7835 28 дней назад
Wenda hajasoma kama msukuma
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 4 дня назад
Halima upo byer ila waziri ni nomaa.sana shikeni shilingi
@user-wq7zm9bo6l
@user-wq7zm9bo6l Месяц назад
Mwigulu mwambie uyo mama uliekaa nae hapo pembeni agonge meza kwa mala ya mwisho akiludi huku mwanza mwakani aludi bungeni
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Месяц назад
Hivi anachokipigia makofi anakielewa kweli huyu au ndo wajumbe ndiyo mana anampigia makofi kila mtu 😂😂😂
@Maxmill_20
@Maxmill_20 26 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eeeeeh asirudi au sio
@user-kp3su2zu7r
@user-kp3su2zu7r 14 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@nestanesta5704
@nestanesta5704 Месяц назад
Mh spika leo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@selemananexwa5127
@selemananexwa5127 Месяц назад
Huyu mama, Tulia Jackson anaweza kuwa Rais mwanamke ajaye. Kichwa ake Iko smart sana.
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
Yuko vizur kwanza anajiamin natamani awe hvyo ulivyosema
@EliudHaule-zx3jd
@EliudHaule-zx3jd 13 часов назад
Daà tanzania, ina vichwa vyenye akili hongera, spika tulia kwa busara zako za kuviongoza hivyo vichwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 28 дней назад
Mdee anawatoa KAMASI,hata waziri wa fedha hana akijuacho.
@bwaxmsafitz5442
@bwaxmsafitz5442 4 дня назад
Honorable halima mdee💥💥
@rodwellluganomwakatuma2885
@rodwellluganomwakatuma2885 23 дня назад
Speaker dada yangu Tulia position yako unaitendea kazi vizuri sana, ila kitu kimoja inapokuja hoja vey serious kama aliyo raise Halima Mdee please punguza mzaha. Wabane hao wahusika kama ulivyomyoosha Mwigulu ambaye anaona kama yeye pekee ndio anaelewa kila kitu. I commend your objectivity. Ndaga fijo kalumbu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 16 дней назад
Huyu Mwigulu anataka kutafuta pesa. Hata baada ys mkaguzi kuwambia matatizo na bado anaendelea kuwachanganya kupata nafasi ya kuiba ndiyo mafisadi makubwa kabisa.
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 Месяц назад
EPC KUJUMLISHA F
@nicodemusfidelis3772
@nicodemusfidelis3772 Месяц назад
Halima ndee ni jembe
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Mimi huwa naenjoy sana michango ya halima
@JumaSanga-h9q
@JumaSanga-h9q 8 дней назад
Speka wa bunge safi sana wapane hivyo hivya hongera mwenyezi mungu akulinde kweli unatete wananchi wako
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Месяц назад
Mwigulu anatuchanganya sana
@nelsonngowi1103
@nelsonngowi1103 Месяц назад
Mbunge wangu ndakidem anashangaa tu Hana hoja
@JohnMashamba
@JohnMashamba Месяц назад
Ubarikiwe mama wa Bunge Dr.
@emmilianlukaye3125
@emmilianlukaye3125 Месяц назад
Kama ni spika wa Bunge,awamu hii tunaye. Anajuwa kuongoza vilivyo..... Kongole kwa mtoa hoja #Halima Mdee
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391 Месяц назад
Wazir ambaye mimi sijawahi muelewa
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 дня назад
Mwigulu 😢😢😢😢
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Mheshimiwa mdee nimekuelewa sana nimekukubali sana na Rudi chadema kaombe radhi au nenda hata wazalendo Kwa zito kabwa ila Mwigulu twende tukachenge singida pamoja na mimi
@msamanga2277
@msamanga2277 Месяц назад
Mwigulu tatizo hajui vitu vingi
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Месяц назад
Amen...asante Yesu kwakumpatia haki yake...Glory to God kwaajili ya mheshimiwa Makonda
@user-iy4yg4sg6l
@user-iy4yg4sg6l Месяц назад
Dr.Mpina safi kabisa wapige spana hao
@JeruMusalika
@JeruMusalika Месяц назад
Mwigulu uwa haeleweki
@laurentgwasma4581
@laurentgwasma4581 11 дней назад
Tulia na mdee wamekomaa sana kwenye sheria
@RichardKamata
@RichardKamata 28 дней назад
huyo waziri wa fedha ni mpigaji tu,hanahuruma na mama anavyopambana kutafuta fedha
@pilihiza1254
@pilihiza1254 20 дней назад
Huyu hamfai mama
@pilihiza1254
@pilihiza1254 20 дней назад
Mh Spika na Mdee mpo vizuri big up
@bfox3549
@bfox3549 29 дней назад
Nina wasiwasi na PhD ya Mwigulu… sifa kubwa ya kusoma sana ni kufanya mambo magumu yawe rahisi, ila ndg yetu na shule yake kubwa ndo kabisaa 🤔 He sounds contradictory every time he stands up. It’s ok kusema sina jibu sahihi naomba nipę muda
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Месяц назад
Mhagama unapiga makofi hata kabla ya majibu😢😢😢 Sijawahi kukuelewa hata siku moja.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
Kupe huyo😢😢😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
Kupe waliambiwa Kila hoja itakayofikishwa bungeni na mbunge wa CCM ni kupigiwa mafi na sio vingine
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Месяц назад
Wanaopiga sana makofi bungeni kwenye kila hoja mara nyingi ni mizigo
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 15 дней назад
Nakupenda sana dada yangu mhe spika.godbless more
@Officialabshry
@Officialabshry Месяц назад
BUNGE KUMBE TAM NAMNA HII😊😊😊😊
@Officialabshry
@Officialabshry Месяц назад
Mimi mwenyewe ilikuwa inanichanganya kuwa riba inabadilikaje kwenye mkataba ambao umeshasainiwa!!!?
@godfreynoya6670
@godfreynoya6670 14 дней назад
Wanatufanya cc vilaza....kuna hajagani ya kuwa na mkataba??..inamaana walisain wasichokielewa
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 Месяц назад
Huyo mbunge ariye karibu na mwiguru yeye nikugonga meza mwiguru akiongea !hivi anaerewa kinachobishaniwa?
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Месяц назад
Tufikishe hoja kwa spika mana mimi pia simuelewi
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 Месяц назад
Mwigulu, Makame mbarawa n mizigo kwa taifa
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Месяц назад
Ongeza na bashungwaa
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 27 дней назад
Atoke chap cjui nani kamuweka
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 27 дней назад
@@mussamussa8181 ummy mwalimu oddo
@QmaniQmanidimingu
@QmaniQmanidimingu Месяц назад
Bunge jana lilikua Tamu Sana nimelikosaje
@vickiadembise2697
@vickiadembise2697 17 дней назад
waziri wa fedha afukuzwe
@shijageorge5995
@shijageorge5995 16 дней назад
Mdee wewe ni miongoni mwa wabunge wenye umakini mkubwa sana katika nchi hii
Далее