Тёмный

KUHUSU WASAFI LISSU AMJIBU NAPE "WANAONGEA MAMBO YA MDOMONI/NILIJIULIZA KAMA WANAUBAVU WA KUNIALIKA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@HermanJoseph-mi2og
@HermanJoseph-mi2og 8 месяцев назад
Ongereni interview nzuri sana mnafanya kaz nzuri
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 месяцев назад
Nikawa najiuliza...."mbona huyu mwanaume mwenzangu anayatakia nini...."? Haya Mheshimiwa!!!
@JustinKachewa
@JustinKachewa 8 месяцев назад
Tuwe wakweli tanzania akuna demoklasia yakweli aiwezekani ccm tu watawale pekeyao inchi nandio wanatuletea umasikini awa ccm watu wamataifa mutambue tanzania aina demoklasia yakweli
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 месяцев назад
Hunaakili kama unadhani demokrasia niuchaguzi
@williamuaza7541
@williamuaza7541 8 месяцев назад
Hkn democrasia ww​@@emmanuelmlowe-ew7gx
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад
Mpaka hapo wewe ndio umeonesha huna akili Kwa maneno yako mwenyewe Umejidhihirisha huna akili Emmanueli
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 месяцев назад
Kushindwa uchaguzi haruhusiwi na demokrasia. Kushindwa uchaguzi yenyewe tu ni demokrasia tosha.
@bundalamabula6264
@bundalamabula6264 8 месяцев назад
Lissu piga kazi kuna watu fuse zilishakatika na hawajui inchi hii iko wapi na inaenda wapi
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 8 месяцев назад
Wahuni hao kwa nin walivyopiga cm hawakutoa hizo sababu???
@chuwafashion1912
@chuwafashion1912 8 месяцев назад
Kamanda.waburuze.maakamani.kwakutumiya.jinalako.kujinufaisha
@JoyceMora-p1f
@JoyceMora-p1f 8 месяцев назад
Acha kumtaja Magufuli muache mzee wawatu alale
@machakayohana9200
@machakayohana9200 8 месяцев назад
Lisu ukome kumtaja magufuli
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 8 месяцев назад
Kama una mbaya wako na wewe utamchukia tu na kumtaja
@malkavoice2570
@malkavoice2570 8 месяцев назад
Maelekezo kutoka juu ni juu ya wasafi na huyo ni Diamond anajaribu kulipa kisasi 7bu mlimkataa kipindiflani alikuwa anawania tuzo kubwa duniani. Hakuna juu nyingine zaidi ya hyo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад
Acha utoto chadema wamzuie Daimond kushinda Tuzo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 8 месяцев назад
@@zebedayokatamaduni9676 we kupe nn inamaana hujui. Sio chadema ni wanaharakati akiwemo Lisu hawakupenda Diamond anavyosaport ccm alafu aje kushinda tuzo za Bet mbele yao walimnyuka nahisi hadi leo anaugulia mshenzi,Maagizo kutoka juu kwa pale Wasafi unadhani yangota kwa nani?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Haongei lolote positive.Kamtuksna Mama Samia Japo kajaribu kuwa mzuri Kwake .Siku zote huongea mabaya Tu.Sera hana zaidi ya chuki 😢
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 8 месяцев назад
Huyu mwandishi vipi?
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 8 месяцев назад
😂😂
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 8 месяцев назад
😂
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 8 месяцев назад
Wamekudanganya
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 8 месяцев назад
Huyumjinga bilakumtajaMagufuli hawezikuongea
@geey7893
@geey7893 8 месяцев назад
Anamuonea Wivu mke wa Magufuli😅
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 8 месяцев назад
Mjinga hajijui kuwa ni mjinga nionavyo mimi mheshimiwa LISU Ana akili timamu
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 8 месяцев назад
We ndiyo mjinga wa kutupwa, Vitendo vya mauaji vya Magufuli ndivyo vinavyomhukumu, Lisu kabla hajafa akaonyeshe ulemavu uliosababishwa na Makonda kwa amri ya Magu, Mungu aliamua kutoa hukumu hapax2 duniani, ili watu wajifunze "Ubaya ni deni" Mungu humlipa yeyote aliyetenda ubaya.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Wasafi Lissu NI chizi Baada ya risasi kuminasita..Kachanganyikiwa. Hana Shukrani.Atawachafulia biashara yenu.. Never entertain such s person 😢
@salambafrancis6840
@salambafrancis6840 8 месяцев назад
Wewe ndo chizi maana unaonyesha una utindio wa ubongo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад
Kweli chizi huongea uchizi Kamanda Lisu tunakupenda sana
@Expedito2512
@Expedito2512 8 месяцев назад
Hivi katika maelezo kama hayo kuna shida gani mpaka unaona hafai?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад
Yeye hampendi tu Lakini sisi tuna mpenda Lisu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад
Alafu Grace una maneno yasiyo endana na Jina lako kabisa. Hivi Grace chama cha Siasa unacho kipenda kitakupa uzima wa milele
@JumaShimende
@JumaShimende 8 месяцев назад
Kidini haipendez kumsema marehemu yeyote vbaya.c kwa waislam c kwa waristo.Nashauri kama itawapendeza hembu tusiwe tunawazungumzia marehemu vbaya.tuwaombeeni dua walipo kosea kwa mapungufu ya kibinadam mungu amsamehe.chakufanya kunamaziri waliyo yafanya na yanatija kitaifa yaendelezwe walipo kosea tuyaache.cvema hapaongelewi siasa au jambo ni marehemu flan ni baya nimbaya hayupo sasa na hawezi kuamka kujibu hizo tuhuma inakuaje!!!?
@JumaShimende
@JumaShimende 8 месяцев назад
Kwani bila kutajwa yeye siasa haziendi? Kuna viongoz wangapi ambao nimarehemu mnataka kusema wao walikua ni watakatofu na wele walio hai hawana walipo kosea?upande wangu tukiacha mungu hapendi.kibinadamu tuangalie familia zao wanajisikiaje kwakuondokewa na mpendwa wao halafu watoto wazaz wanasikia kila siku mpendwa wao anasema vibaya wanajisikiaje hatulioni hilo!!?au mnataka kusema sooote niwatakatifu hakuna mkosefu nani c mkamilifu!?au nyie hamtakufa je familia zenu wakiwasikia watu wanawanenea vibaya watoto wenu na familia zenu watakisikiaje?sikatai mana hakuna mkamilifu sasa kunamana Gani kila uchao flan alikua mbaya mflan alikuabaya.tumuogopeni mungu kwamtazamo wangu naona sisawa tujengeni hoja Kwa Yale ambayo tunaona hayapo sawa.matehemu hao washaenda mbele za haki tuwawache wapumzike Kwa Amani🤲🤲🙏
@johnmligo6966
@johnmligo6966 8 месяцев назад
Ajenda ya huyo bwana haiwezi kamilika bila kumtaja Magufuli YAFUATAYO yanawezekanaa... A. Inawezekana anatumikab B. Labda anapsychogical effects, lisasi zile hata kama ni feki lazima zilimuathiri.
@allyvindili9099
@allyvindili9099 8 месяцев назад
Yakikukuta utamtaja uyo marehem mpaka cku na ww unatokwa na roho Kinachotakiwa ni kutengeneza kesho yako isemwe vzur Unataka uuwe watu. Udhurumu haki zao alafu utajwe Kwa wema?
@allyvindili9099
@allyvindili9099 8 месяцев назад
Ndugu zangu Hawa jamaa wamefaulu kubadili njia ya kufikisha ukweli CCM watasemwa wawe hai au laa wamekufa kwakua wanafanya dhambi wakiwa wanaijua
@williamuaza7541
@williamuaza7541 8 месяцев назад
Kama ulifanya ubaya kwenye uhai wako usitake uongelewe vzr ukiwa maiti ubaya upo na unaishi na haufutiki kwa gharama yoyote ile Kama mtu alikua mbaya ataongelewa kwa mabaya mpk mwisho wa dunia
Далее
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
MHEHE original wa iringa ndani kabisaa
1:52
Просмотров 1,6 тыс.