Тёмный

KUIPAMBANIA NDOTO YAKO - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 5 месяцев назад
Asante mwalimu kwani ndoto nizakufwatilia .nimejifunza menghi kupitia kwako
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 2 месяца назад
Nime ele wakitu sasa ku husu ndoto 🎉🎉🇨🇩
@user-ts4jr7ok1e
@user-ts4jr7ok1e 5 месяцев назад
Jamani kaka joel unaniponyaga kila siku MUNGU AKUBARIKI SANAA nakuahidi sitokubali ndoto yangu isitimie na siku natimiza ndoto yangu kaka joel nutakutafuta uwe mgeni rasmi hakika ndoto yangu lazima itimie
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 5 месяцев назад
Kaka yangu @Joel Nanauka namtukuza Mungu kwaajili yako hakika nazidi kuchipua kila siku❤❤
@bukuruphilibert2968
@bukuruphilibert2968 5 месяцев назад
Hii afya ya asubuh
@citovunjabeilimitedcompany4455
@citovunjabeilimitedcompany4455 5 месяцев назад
Hii dawa ya ubongo❤
@user-dc5on6iv5g
@user-dc5on6iv5g 5 месяцев назад
Asante sana kaka Joel Mungu akubariki sana
@theresiamateru6426
@theresiamateru6426 5 месяцев назад
Asante nimejifunza mengi kwako uwe unatusaidia kupitia Tv ukifanya hivyo utakomboa ulimwengu
@user-cq3ul4jk9r
@user-cq3ul4jk9r 5 месяцев назад
Nikikusikia. Napata nguvu zaid ya jana 🎉
@nox_nation255
@nox_nation255 5 месяцев назад
Napenda san kukufatilia najifunza ving kupitia wewe my life coach asante san🙏
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 2 месяца назад
Ahsante Sana
@user-xt5vs7cm2k
@user-xt5vs7cm2k 5 месяцев назад
One love bur❤
@MosesFikiriIbrahimu
@MosesFikiriIbrahimu 10 дней назад
AMEN SANA 🎉🎉
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 5 месяцев назад
Elimu yako unayotoa ipo wazi kabisa Arthur, maneno ya Mungu yanasisitiza hivi; Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako bali yatafakari maneno yake usiku na mchana upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyo andikwa humo maana ndipo utakapoifanikisha njia yako kisha ndipo utakapo utakapositawi sana.
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 4 месяца назад
Powerful and Transformative
@Eziron9Vyats
@Eziron9Vyats 5 месяцев назад
Ahsante Sana Kaka Joel Kwa elim unay tufundisha see you at the top 🎉
@ruwaidamabrouk1797
@ruwaidamabrouk1797 5 месяцев назад
Joel saut imekuwa nzito sana why inafika time kama inakuwa inaboa
@minaaminaa1781
@minaaminaa1781 5 месяцев назад
True mwanzoni alianza vizur sababu nakumbuka 2021 alikua akiandika pia na sauti ilikua nzuri ,,,,lkn siku hiz sauti na video ady awe kanisani tu..lkn audio ipo nzito yatia uvivu
@chiefsharifshrffBrwn
@chiefsharifshrffBrwn 5 месяцев назад
Thanks san bro Kwa msaada huy unao tup ,mung akubarik.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 месяцев назад
Hallelujah ❤
@MarryJulius-wq3eg
@MarryJulius-wq3eg 5 месяцев назад
Asante Sana kaka maisha marefu
@HalimaAmadi
@HalimaAmadi 5 месяцев назад
Asante sana ❤ mungu akubarik sana
@edsonedmond6919
@edsonedmond6919 5 месяцев назад
Asante sana kwa mkate na chai ya asubuhi
@joelnanauka
@joelnanauka 5 месяцев назад
Tuendelee kujifunza 🙏
@FrankNgasa
@FrankNgasa 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana kaka #JoelNanauk, Mungu aendelee kukutunza wewe ni hadhina kwa Watanzania.
@MalongoRichard-md5dv
@MalongoRichard-md5dv 5 месяцев назад
#Joelnanauka nimebarikiwa umenitia moyo sana Rafiki Mungu Nisaidie 🙏🙏🙏
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 5 месяцев назад
Hii yenyewe kabisah ✊💯🏆
@furahasweya7433
@furahasweya7433 5 месяцев назад
Asantesana kaka Joel na Mungu akubarikisana . Ninauona mkono wa Mungu juu yakoo utakaonitoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 16 дней назад
Knoweledge connecter kwangu kakq
@julianalaly2095
@julianalaly2095 5 месяцев назад
Tunakufuatilia kaka yetu.
@dulesame1193
@dulesame1193 5 месяцев назад
🎉🎉🎉see you at the top@@++ BrO
@pialafrance7922
@pialafrance7922 5 месяцев назад
Asante sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏
@DanielaSanka-ns4tv
@DanielaSanka-ns4tv 5 месяцев назад
🎉😊😊asante kwa motisha
@user-jb5tb7qq5f
@user-jb5tb7qq5f 5 месяцев назад
Uzidi kubarikiwa broo
@CatherineJacob-yt5sy
@CatherineJacob-yt5sy 5 месяцев назад
Asante Kwa kutuelimishaa asubuh asubuhi
@deogratiasmazangi-mk4fp
@deogratiasmazangi-mk4fp 5 месяцев назад
Thanks brother Joel
@marymkamwa3779
@marymkamwa3779 5 месяцев назад
See me at the top🎉
@joelnanauka
@joelnanauka 5 месяцев назад
See You At The Top
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 5 месяцев назад
Asante 🙏.. nakufatilia joel...naku share
@joelnanauka
@joelnanauka 5 месяцев назад
Nashukuru tuendelee kujifunza na kushare na wengine
@lovenesslubilo1218
@lovenesslubilo1218 5 месяцев назад
Sasa nitajuaje kama ndoto yangu ni kitu flan
Далее
LIFE WISDOM : HATUA ZA KUFANIKIWA KATIKA MAONO YAKO
14:32
LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA NA FURAHA
15:43
Просмотров 10 тыс.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Просмотров 10 тыс.