Тёмный

Kuku wa kukaanga Kama wa KFC | How to Make KFC chicken 

Cooking With Tina
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

katika video hii nitaonyesha jinsi ya kutengeneza kuku kama wa KFC kwa kutimia vitu vichache, vinavyopatikana kwa urahisi tena kwa gharama nafuu kabisa.
unasubiri nini? wafurahishe familia yako kwa kuwatengenezea kuku kama wa KFC na usave pesa yako.

Хобби

Опубликовано:

 

24 мар 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@manalibaby4192
@manalibaby4192 6 лет назад
Ahsante love
@irenekitomary9780
@irenekitomary9780 6 лет назад
Wow leo napika hvi
@pastorabellukumay6592
@pastorabellukumay6592 3 года назад
Asante Sana nimejifunza
@barakakajange7335
@barakakajange7335 3 года назад
Dada uko vzur
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 лет назад
Safi .nimekuelewa my
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Radhia Salum Thanks dear
@herrysitayo6144
@herrysitayo6144 6 лет назад
Thanks kwa dasara.....kesho nitajaribu kuandaa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
HERRY SITAYO Thanks so much too 🙏
@johnblessing8938
@johnblessing8938 4 года назад
I like 👍 how you explain 😏 nice 👌 cooker
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
John Blessing thanks 🙏
@al-baghiryakout4343
@al-baghiryakout4343 6 лет назад
is really good. thanks.
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Al-Baghir Yakout Thanks 🙏
@merricknash6789
@merricknash6789 3 года назад
You probably dont give a shit but if you are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new movies on InstaFlixxer. I've been streaming with my gf for the last few weeks :)
@kaysonterrance6000
@kaysonterrance6000 3 года назад
@Merrick Nash yea, have been using InstaFlixxer for years myself =)
@houseofbunnies8636
@houseofbunnies8636 6 лет назад
WOow....it would be way KFC with oats
@mtumzurigoodman720
@mtumzurigoodman720 4 года назад
Sweet Kuku
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
IDDI OCHIENG Asante
@gloria6401
@gloria6401 5 лет назад
Wow ingawa sauti ilikua inapotea mapishi bora
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Gloria 6 Nitaorodhesha mahitaji yote nliotumia kusaidia pale ambapo sauti ilipotea
@janethmnyangabe3798
@janethmnyangabe3798 5 лет назад
Kwenye viungo vya unga hawataki kuwa wazi,wote huwa wanaficha,na unga ndiyo radha nzima ya zoezi hili.
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
🙏
@MrAbingPj
@MrAbingPj 5 лет назад
Saan si kuku hehee
@collinsmogan3499
@collinsmogan3499 3 года назад
Sauti sehemu nyingine hakuna mtu kujifunza na kupata matokeo km yako hivyo ulivyopika ni ngumu. Rekebisha sauti
@khadijamsangi353
@khadijamsangi353 6 лет назад
sauti imekata ukiwa waeka viungo kwny unga,majina ya spices ulizoweka kwny unga
@zayhimid
@zayhimid 5 лет назад
Kfc wataniskia keener bomba
@zayhimid
@zayhimid 5 лет назад
Vifaa vyote ndani ninavyo jmn
@rehemakayange4657
@rehemakayange4657 5 лет назад
Jmn yaán ndo kjfnz d
@sarahjairo4298
@sarahjairo4298 6 лет назад
corner stach inapatikana wapi? my
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
Sarah Jairo Utapata kwenye maduka ya vyakula na pia Supermarket yeyote unapata ukiingia supermarket waulize wahudumu wa mle ndani watakupatia kadhalika dukani. Corn starch
@pettymmasi4958
@pettymmasi4958 5 лет назад
Kesho xmass tr 25/12/2018...mm nyumbn kwangu nawapikia familia yangu yote
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Petty Mmasi That nice 🙏 utanipata mrejesho kwenye comment
@pettymmasi4958
@pettymmasi4958 5 лет назад
Cooking With Tina sawa momy...saizi naenda kununua Beatter milk ndio kitu ambacho sina my dear....nimejifunza vizuri na pia nimekuelewa momy...mungu aendelee kukutunza na kukupa ubunifu mkubwa ili kuweza kutusaidia na sisi 2weze wafurshisha watoto wetu na waume zetu pia
@pettymmasi4958
@pettymmasi4958 5 лет назад
Cooking With Tina nikipika 2 nitakwambia ...but naomba no nitakayokutumia video na picha nikuonyeshe vile nitakavyopika momy
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Petty Mmasi ukikosa buttermilk unaweza kutengeneza mwenyewe my dear maziwa ya kawaida kikombe kimoja cha chai unatia white vinegar kijiko kimoja kidogo (kijiko cha chai)
@habakukimgata5100
@habakukimgata5100 5 лет назад
safi
@gulainguyraymond88
@gulainguyraymond88 6 лет назад
Dada Tina Almond milk inapatikana Tanzania? Na kwa gharama ya kiasi gani?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
gulain guy Raymond Yanapatika kwa ujazo tofauti so bei itategemea na ujazo unaotaka wewe.
@gulainguyraymond88
@gulainguyraymond88 6 лет назад
Cooking With Tina mfano litre 5 ni sh ngapi?
@arianahvaliente5357
@arianahvaliente5357 4 года назад
Spices umetumia zipi kwenye unga? Please be opened
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Arianah Valiente chili power, cayenne, paprika na black pepper
@mightyguy7549
@mightyguy7549 6 лет назад
SIENDI KFC TENA
@sekundaasenga2102
@sekundaasenga2102 2 года назад
Naitwa sekunda aaenga nimefurahishwa na mafunzo yako unatisha sana
@anglegaspa
@anglegaspa 8 месяцев назад
Kwan kunaulazima wa kuwechangany na maziwa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 8 месяцев назад
Sio lazima ila inasaidia kuku asikauke kwa ndani.
@emilyouko2257
@emilyouko2257 5 лет назад
Asante sana Tina. Naomba hiyo orodha ya bidhaa ambazo hazikusikika as in the sound went off when you were mixing the dry ingredients. Kindly reveal this to us. Much thanks
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Emily Ouko I will
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Emily Ouko Maziwa kikombe kimoja changanya na kijiko kimoja cha vinega nyeupe, Mayai 3, pilipili manga, pilipili ya unga, chumvi kidogo. Mahitaji kwaajili ya unga Unga wa Corn starch Unga wa ngano Pili pili ya unga au cayenne powder Chumvi Paprika Black paper/ pili pili manga
@emilyouko2257
@emilyouko2257 5 лет назад
@@cookingwithtina8186 I'm more than grateful for this n the quick response. Thank you
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Emily Ouko thanks so much for watching
@raudhwamuhinda5291
@raudhwamuhinda5291 4 года назад
@@cookingwithtina8186 mfano kama una unga wa ngano tu inakuaje na jee mahitaji mengine mfano kama vitunguu thaumu au tangawiz je aifai
@hidayasajan50
@hidayasajan50 5 лет назад
Kama hauna corn starch?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
hidaya sajan ukipata itakuwa vizuri zaidi
@Gojo_fan7207
@Gojo_fan7207 5 лет назад
Sasa da Tina badala ya maziwa mtu wawezi tumia Nazi?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
mariam jimmy sijajaribu kwa nazi my dear
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 4 года назад
Huo uganga uliyoweke mala yapili niungagani
@momylovely907
@momylovely907 5 лет назад
Costash ndo unga gan mamy jina jingine
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Corn starch ni unga laini sana unakuwa kwenye box ndongo kama ujazo wa 1kg Kwa nje unakuwa na picha ya mahindi machanga
@neemamathias7856
@neemamathias7856 4 года назад
Huo unga unapatiakana wapi
@gladnessmakyao4191
@gladnessmakyao4191 6 лет назад
Je nikitaka kutumia kuku wa kienyeji itafaa?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
gladness makyao Unaweza kutumia ila utumie kuku ambaye hajakomaa kwani kuku wako akiwa mgumu kuiva itachukua muda mrefu na huo unga unaweza kuungua na kuku wakatoka weusi.
@gladnessmakyao4191
@gladnessmakyao4191 6 лет назад
Cooking With Tina oooh na je naweza kumchemsha kidogo? Then nimkaange?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
gladness makyao I’m not sure ila unaweza kujaribu ku chemsha kidogo. Then una marinate kwa muda mfupi.
@heriethzephania4790
@heriethzephania4790 5 лет назад
Huo unga mwingine sijauelewa unapatikana wapi?
@jenifajoseph2053
@jenifajoseph2053 2 года назад
Kama haun frij je
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 2 года назад
Unaandaa nakuacha pembeni kama masaa mawili halafu unaendelea
@salmasadick5866
@salmasadick5866 4 года назад
Blac paper ndo nn
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Salma Sadick pilipili manga
@ajamesguitare8663
@ajamesguitare8663 5 лет назад
Kama huna huo unga wa corner unaweza tumia unga gani?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Ajames Guitare Tumia unga wa ngano na chenga za mkate. Unaweza kufikicha vipande 2 au 3 vya mkate hadi iwekama unga unga kisha tumia kama huna cornstarch
@ajamesguitare8663
@ajamesguitare8663 5 лет назад
@@cookingwithtina8186 samahani kidogo, huo mkate unaukausha au unafanyaje hata uwe km unga?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh.
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Ajames Guitare unaweza kutumia mikono au ukakata ndogo ndogo na kusaga kwenye blenda ila weka kidogo kidogo usiweke nyingi kwa wakati mmoja. Unaweza kausha kwenye oven na pia unaweza kutumia mkate ukiwa fresh. Haitakuwa kama unga kabisa inakuwa chenga chenge. Pia unaweza nunua dukani au supermarket. Chenga za mkate / breadcrumbs
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Inakuwa chenga chenga lakini inasaidia kuku kuwa na ule ukavu kwanje. Kaukau/crispy
@Kaydenw-xj7fv
@Kaydenw-xj7fv 6 лет назад
Unga ngano na huyo unga mwingine kwa kizungu waitwaje
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 6 лет назад
Ramla Athman Ni unga wa corn starch flour. Huu niunga unaotokana na mahindi.
@raudhwamuhinda5291
@raudhwamuhinda5291 4 года назад
@@cookingwithtina8186 ni unga wa sembe ???
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Raudhwa Muhinda mmmh sijawahi jaribu ila sio mzuri maana unaungua haraka ukitia kwenye mafuta
@mtambile26
@mtambile26 5 лет назад
Mbona video haina sauti mara nyengine sikusikia viungo gani umeweka kwenye unga
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Zeyana Al-anbury Pole sana sijajua tatizo ni nini. Nitaifanyia kazi next time isiweze kutokea tatizo la sauti. Nitaorodhesha mahitaji yote ili kusaidia hapo ambapo sauti ilipotea
@heriethzephania4790
@heriethzephania4790 5 лет назад
Naomba No yako
@fatnaryoba7752
@fatnaryoba7752 4 года назад
Cooking With Tina kama sina fridge nafanyaje my dia?
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
🙏
Далее
Kuku wa Kukaanga na Mayai -Swahili
11:05
Просмотров 713 тыс.
ЮТУБ ТОЧНО ВСЕ!
11:23
Просмотров 1 млн
Fried Chicken - Kiswahili
5:55
Просмотров 284 тыс.
JINSI YA KUPIKA CRIPS ZA NDIZI TAMU NA KAVU
5:43
Просмотров 2,3 тыс.
Jinsi kupika French chips au KFC chips
14:33
Просмотров 3,6 тыс.
Jinsi Ya Kutengeneza Pizza | How to Make Pizza
15:29
Просмотров 269 тыс.
Kuku mzima wa kuoka kwenye oven
12:24
Просмотров 32 тыс.
#TBCMEKONI - JIFUNZE JINSI YA KUPIKA BIRIANI
27:31
Просмотров 293 тыс.
А вы бы как с ним поступили?
0:22