Тёмный

Kumekucha! tazama alichokifanya DIAMOND baada ya HARMONIZE kudai amlipe hela zake na kuwasha moto. 

Middle simba
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 92 тыс.
50% 1

Please subscribe now on our RU-vid channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 286   
@zachariamuthui1650
@zachariamuthui1650 Год назад
Diamond sio tapeli sio mnafiki....Kenya for simba
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 Год назад
Yani huyo mjomba nchumari mpuuzi Sana Yani mm Simba alipo nipo 🔥🔥🔥🔥
@silageorge1638
@silageorge1638 Год назад
Mtoto umutunzae ndio anakuombea ukilema nawaza tu
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Год назад
Ni noma mzee
@issamjuma7871
@issamjuma7871 Год назад
Wale team wasafi tujuane kwa like wakwanza jmny
@coachissah7703
@coachissah7703 Год назад
Diamond platnumz the king of Africa
@issamjuma7871
@issamjuma7871 Год назад
Middle simba on toooop
@taysonelinda2211
@taysonelinda2211 Год назад
In truth, they are only wasting their time. It's been a long time since platnumz said he doesn't want to fight with lyrics in music anymore but he does it for the good of everyone. go ahead dear brother
@taysonelinda2211
@taysonelinda2211 Год назад
Traduction Française: En vérité, ils perdent leur temps seulement. Il y a longtemps que platnumz avais dit qu'il ne veut plus se battre avec des paroles dans la musique mais il le fait pour les bien de tout le monde. va de l'avant cher frère
@basickasote538
@basickasote538 Год назад
Harmonize mshamba sana
@coachissah7703
@coachissah7703 Год назад
Diamond platnumz simba baba Lao Africa
@youngstirio6444
@youngstirio6444 Год назад
Wale wanaipenda team wasafi tia like yako
@timochazze9845
@timochazze9845 Год назад
Jibu safi sana
@lyssmithofficial7049
@lyssmithofficial7049 Год назад
Simbaaa plutnumz huyo ni baba n'a kama Ni kweli ana haki ya kula hata pesa za uyo fala zote kwani bila Diamond hatunge mjua huyo... Tayari nime vuta nyimbo zake kwani hana shukran Platnumz baki kimya baba endelesha kazi kwani YATAPITA YANA MWISHO NA IPO SIKU UTA SAHAU HUYO ... haku aribii kitu ana ji aribia ku gombana na chuma na yeye ni udongo
@osmandingi
@osmandingi Год назад
Wewe ni mjinga sana unadhani kwandika nyimbo ni jokes
@lyssmithofficial7049
@lyssmithofficial7049 Год назад
@@osmandingi wewe ume andika ngapi mjinga mwenzangu
@zimondrenkz254
@zimondrenkz254 Год назад
Wacha unafki
@dynessminja9284
@dynessminja9284 Год назад
Acha ujinga... unajuwa garama za kupandisha muziki... konde hajafika hapo kimchezo
@destausngenzi9654
@destausngenzi9654 Год назад
Kuanzia leo mimi cyo team ya kolosho naomba mnipokee wcb jamani
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 Год назад
Mwani unamsumbua harmonize tu,kafulia Sana
@Thunderboe_066
@Thunderboe_066 Год назад
#diamondplatnumzz🇹🇿……LIVE LONGER BROOH usisikilize maneno ya #harmonize🤬………Alidhani akiunyea mkono wako utaukata bali wewe ukauosha na kuendelea na mambo yako ONE LOVE BROOOH ❤
@subo2667
@subo2667 Год назад
Wa kwanza leo
@rushanikaaime6560
@rushanikaaime6560 Год назад
Bado mwanzo wa mwaka tuu kijana ameshaanza kutetema kwangoma 3 za Simba. Na usubiri uyu mwaka atamu nyosha kwa hit songs nyingi sana sijui atakwepea wapi jamani. Huruma sana Harmo
@yasinhussen-2881
@yasinhussen-2881 Год назад
daaah harmonize hana shukurani kabisa nimeami mungu amsamehe amkumbushe alipo toka asante middle kwa habari
@sevastierkalumba7556
@sevastierkalumba7556 Год назад
You're right
@ahmadiimilongera7660
@ahmadiimilongera7660 Год назад
Hana shukurani kivp na alishalipa dola 600 yeye anadai chake na mmakonde akidai lazima apewe
@osmandingi
@osmandingi Год назад
Alipwe pesa zake unadhani kwandika wimbo ni kitu cha jokes
@yasinhussen-2881
@yasinhussen-2881 Год назад
unakumbuka pale airpot alisemaje baada ya kutoka kufanya utoporo marekani??? huyo tumuombee make bangi zinachukua sana nafasi yake ndo maana na ngamia mbebaji (kajala ) ame muve one malipo ni hapa hapa
@mtoobebe5778
@mtoobebe5778 Год назад
do aven know how is sex hundreds millionlook like if is u had give to someone else for ungekuwa busy n washawi kumuwuwa that's too much and are saying horm don't give thanks wt fro ?
@mchovu4761
@mchovu4761 Год назад
Mtu anipe jina la hiyo ngoma kwa background please
@mamtuhhassan809
@mamtuhhassan809 Год назад
Nampenda sana diamond huwa hapendi kujibu ujinga 😌♥️
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Год назад
Niatari kweli 😭😭
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Год назад
SIMBA✊
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Год назад
Jike
@youngstirio6444
@youngstirio6444 Год назад
Jaman wale mnaopenda mziki muzuri subilieni middle simba atawaletea kionjo changu cha nyimbo yangu mpya inaitwa mapenzi yataniuwa simba naomba sapport yako
@juniorwilliam6338
@juniorwilliam6338 Год назад
Simbaaaaaaa baba laoo
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Год назад
Huyu dogo anafanya watu wengine wasisaidiwe😢
@shabaniibrahimu3868
@shabaniibrahimu3868 Год назад
unaakili kubwa Sana kaka
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Год назад
Kwel kabisa
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Год назад
Broh wew n genius
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Namkubali sana midle simba
@babudicky
@babudicky Год назад
Tembo tena ana lalamika nini ameacha kujigamba sas ana lalamika hahaha 😂😂🤣 Simba baba lake🦁🦁🦁🦁
@iezdollar8175
@iezdollar8175 Год назад
Too much sasa..Analalamika sanaa kama demuu
@heritierndalamba1707
@heritierndalamba1707 Год назад
Harmonize arudi tu Wasafi mbona na tuzo yo yote apati ? Acha ujinga😂 wcb for live baby Congo
@fedyaalzadjali8597
@fedyaalzadjali8597 Год назад
baby Congo Tena 🤣🤣😂
@tahasuleiman7174
@tahasuleiman7174 Год назад
Tuzo nd nn 20 percent ana tuzo kibao lkn pesa ya kununua bangi inamshinda saiv
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Год назад
@@tahasuleiman7174 anatuzo kibao za wapi tuzo za kilimuziki aaha
@vemakaskoss4305
@vemakaskoss4305 Год назад
Hahaha izi Kiki now znatafutwa kwa nguv koz hata harmonize anayoongea hayamake sense
@flavourboyke
@flavourboyke Год назад
Yaani kajala amemkula pesa zote kasota mpaka amekumbuka za wcb, makubwa haya
@shaksyskills4884
@shaksyskills4884 Год назад
🔥
@giftmwalyego4912
@giftmwalyego4912 Год назад
Jamani k g nikichaaa
@chdmsafitz
@chdmsafitz Год назад
Aseme tu hana jipya lakufanya ndo anatafuta kiki hivyo 😂😂😂
@chdmsafitz
@chdmsafitz Год назад
Hiyo Mwamba kukaa kimya nikawaida yake inaitwa wapuuzaji clanks 😂😂😂
@philipotieno9996
@philipotieno9996 Год назад
Kweeeeli🤣🤣
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Год назад
Baba TEE NA NNY HUYOOOH ACHA KENGE AJIFANANISHE NA MAMBA WE WILL ALWAYS KNOW DR DIFFERENCE.
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
Ila hamonize amekuwa mwanamke angependeza mno maana ana maneno maneno sana, mtoto wa kiume hapendezi kuwa na maneno maneno mengi mengi kama hamonize
@patrickndumba7855
@patrickndumba7855 Год назад
Njaa imeingia Makondeni hela alikula bata na Kajala imeisha...chukua contract nenda basata au Kotini.... MUFILISIKO 😂😂😂
@bilaliabdallah4606
@bilaliabdallah4606 Год назад
Mjomba nchumi ana wenge sanaaaa
@titusnailstz6478
@titusnailstz6478 Год назад
Pesa zimeicha dogo arudi zake wcb mlango uko wazi
@jalude6710
@jalude6710 Год назад
Harmoniz acha bangi
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Год назад
Ujanja shule acha wamnyoshe mmakonde.
@duniayona6262
@duniayona6262 Год назад
Nguruma midle simbaaaa
@saidi1365
@saidi1365 Год назад
Mungu atakulipia harmo pamban tu achan na hao wanyonyaj wanao tumia pesa zak kuzulumu wat wa hali y chini sis dua zet zik na wew tu 1day yes atakuj kuheshimu tu mond kila kit kina mwisho
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Год назад
Pole sana unateseka ukiwa wapi
@esthermutabuzi4582
@esthermutabuzi4582 Год назад
Yaani huyu akishavuta tu hizi bangi anabwatuka tu! Sasa kama ana uhakika na anayoyasema si akafungue kesi mahakamani? Sie watu wa mitandao tutamsaidia nini kama sio kutafuta huruma kwenye jamii. Kweli nimeamini Kajala kazikomba hela za huyu jamaa🤣🤣
@malmavoice8989
@malmavoice8989 Год назад
Huyu mmakonde pure kaishiwa kila kitu
@nestonmarko395
@nestonmarko395 Год назад
Bangi ni mbaya jamani, watu wanatamani vya nyuma
@mr.romancer9160
@mr.romancer9160 Год назад
Mmakonde ana njaa🤣🤣🤣
@hamishalidy5696
@hamishalidy5696 Год назад
Mshaurini huyo kijana jaman anaongea sana
@fedrickaloyce9660
@fedrickaloyce9660 Год назад
Anafeli sana
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Год назад
My blood my Wasafi for rever
@saidilukoloma5832
@saidilukoloma5832 Год назад
Leongo lake mondi afirisike, anasaau kwamba mpaji ni mungu
@strong8534
@strong8534 Год назад
He don't care ama he doesn't care 🙄🙄🙄
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
😂😂😂😳😳😳😳💃💃💃
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 Год назад
kana angaika haka kamakonde hahaha😂😂
@chingychingy2066
@chingychingy2066 Год назад
Uyu panya ni mngese sana yani inakuaje mkataba asaini yy afu pesa iende kwa mtu mwingine aaache uku....wake tushamchoka sasa na malalamiko yake yan uyu jmaa ni demu kabisaa yani middle simba mwambie uyo panya ata kama akiendelea kumsambazia chuki diamond Sisi tunaojua mziki toka zaman izo hatuwezi kumchukia diamond coz tunajua nn kafanya diamond kwenye ii game ya bongo ata yy uyo panya bila mond wala asingekua hapo alipo...sema mtt hana shukrani uyu afu anatamani nafasi alioipata diamond ndo ingekua yy iyo haiwezekani mana mungu ndo mtoaji yy apambane tu na hari yake mziki ukimshinda aende zake akalime korosho kwao
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Год назад
Mziki umemshinda huyo...
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Год назад
Dah hyu jamaa kweli 2lixhamchoka Kila cku hawez kuongea bila kumtaja diamond ajue 2memchoka!
@fadhilingari4427
@fadhilingari4427 Год назад
Amemtaja Diamond wap, Acha upuzi
@winnawiliamwinnawiliam8859
@winnawiliamwinnawiliam8859 Год назад
unatoa ushauri au unatukana sijaelewa maumivu ya mtu ndo maumivu yako kesho tusikomenti kwa mapenzi
@bwejuubeach9280
@bwejuubeach9280 Год назад
Kama Hana pesa aseme tu uyo kima
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
🦁🦁🦁
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 Год назад
Ajuwi anapo helekea,
@Itskeyzmusic
@Itskeyzmusic Год назад
Harmo tafuta pesa lawama achia Upcoming
@paulmbuthia9363
@paulmbuthia9363 Год назад
Anakaa underground
@chdmsafitz
@chdmsafitz Год назад
Sasa siku zote alikua wap wakati hapat pesa yake kwenye RU-vid 😂
@dynessminja9284
@dynessminja9284 Год назад
Alikuwa anawekeza tuu kibubu hicho anajuwa hana haraka nayo... sasa ndo wakati
@shakabwyg
@shakabwyg Год назад
Anataka kujibiwa ili avume uyoo han jipya😂
@experiusalex6986
@experiusalex6986 Год назад
Hyu,anastress za Kajala,hv nn maana ya kuwa huru,n Nan anaweza kuchukua hel Yako n wakati hati unayo,means kunavitu akuweka saw,....au mambo yameanza kwenda mrama
@siamejerry9239
@siamejerry9239 Год назад
Wasafi is gud and gud
@opajumaismail8621
@opajumaismail8621 Год назад
Simbaaa
@martinhit400
@martinhit400 Год назад
Hebu ni followe tupunguze zetuu stress tuuu 🔥🔥
@abdulrahmanhaitham-pg7yu
@abdulrahmanhaitham-pg7yu Год назад
As Mambo shuwari
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 Год назад
kana angaika haka kamakonde hahaha😂😂ukisha ona mtu alikuwa na hela anaza kulalamika ujue kafuria anatafuta wa kumlaumu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Год назад
Hamo aache upumbavu kama Maisha yamemshinda arud him tumechoka malalamiko yake.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Korosho afanye mambo yk. Na kama kelele apige yy pekeame ache kushirikisha wengine ktk upumbavu wk
@mg.general7710
@mg.general7710 Год назад
Daah siopow
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Год назад
*hili jemba bhana sijui kajala Alisha lifanya nini kajala njoo ubebe mzigo wako*
@weselysimbeye3054
@weselysimbeye3054 Год назад
kweli Kuna watu Awana shukulani namba Moja niuyu kenge konde boy
@renetendo-gy1iw
@renetendo-gy1iw Год назад
harmo amlipe h baba kwanza
@ismailmneka2967
@ismailmneka2967 Год назад
Anaishi Kwakiki tu amesha feli
@petromsigwa2589
@petromsigwa2589 Год назад
💥💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯🌎
@tysonking9675
@tysonking9675 Год назад
Kaka uyo mvuta vida kasha pagawa mangoma dunia yatapita na zuwena hache maneno apige mziki kama anatafuta kiki kwa munyama ata mpa muuni anapiga mipago yake ya kibiashala zaidi yeye adili na mapezi ndio anayo yaweza mbwa mfuta sigala poli
@bahatiyves78
@bahatiyves78 Год назад
Bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii bangiiiiiiii
@lapourgahb8935
@lapourgahb8935 Год назад
Song,s name plzz on background
@Phat-23
@Phat-23 Год назад
Harmonize alidanganywa na Eva ukitok WCB utamzid Diamond kweny mziki 🤣🤣🤣mjomb nchumali
@OFFICIAL21BZKING
@OFFICIAL21BZKING Год назад
Bro Tuambie Full story please 😂
@kevinoguna3807
@kevinoguna3807 Год назад
Middle simba or anyone kindly can you tell me the owner of this beat song
@raphaelbravo8432
@raphaelbravo8432 Год назад
Was by curious feat Romy wave.
@kevinoguna3807
@kevinoguna3807 Год назад
​@@raphaelbravo8432 Thankyou bro
@tnews6230
@tnews6230 Год назад
W kwanza like zang
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Год назад
Tabia ya Mtu Asiekua na Shukrani Hua Anapenda Kupakazia Watu Machafu Ili Awe Msafi Wakati Kaogotwa na Kukuzwa na Kulelewa Leo Anawatuc Mond Anayo Haki ya Kuka Pesa ya Wasanii Alio Wakuza Wawe Ndani ya Wasafi Au Nje ya Wasafi Maana Kaupa Dhamani Sana Mziki wa Bongo
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 Год назад
Huyo mmakonde akafie mbere hanarorote zaidiyakiki
@alainkubwimana5061
@alainkubwimana5061 Год назад
Kijito huyo hana esabu nimujinga ssns kibonge
@thenyarikifranklin2910
@thenyarikifranklin2910 Год назад
Kondeboy siku zote wcb iliisha alipotoka
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental Год назад
ndo anapotea juz alisema anapiga pesa nying leo anakataa
@barakamclean6758
@barakamclean6758 Год назад
Sema huyo jamaa ndo hivo hivo tabia zake akipata stress za mapenzi The claim doesn't make sense in total line of reasoning
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Hao ziiki Media wamempa simba pesa za harmonize kanunua marolly Royce kutoka Dubai used na maescalade
@ados2305
@ados2305 Год назад
Maswali mengi kwa 🎶 🎵 hauna hela nini? Hi shingapi hi shingapi 😄 🤣. Toa upuzi apa kidudu mtu. Wenzako wanaomba kazi wewe unaomba pesa? 🎶 🎵 Mvalisheni chupi ya Bambino hahaha 😆 😂 🤣 😅 😄
@MK_3688
@MK_3688 Год назад
what is the artist name or song title that usually plays background
@athumanibunengwa6925
@athumanibunengwa6925 Год назад
Middle Simba
@MK_3688
@MK_3688 Год назад
🤔
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 Год назад
Harminize hawez kwenda mjni bl umuomba diamond aweke daraja avuke,so tunaelewa siku zote akitaka.kutoa nyimbo au km ametoa anaomba msaada wa kuibust,hana lolote
@alexaidan6437
@alexaidan6437 Год назад
Huyu hamo kasha yakanyaga anaomba kiki
@KingFerran-wr3ql
@KingFerran-wr3ql Год назад
Konde boy is right 100 per cent
@Manswabu
@Manswabu Год назад
Hatarii
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Hahaha huyu hamo,hata hajielewi........sai ako broke Sasa anatafuta sympathy
@Zanga93
@Zanga93 Год назад
Mibange 🚭🚭🚭🤭🤭🤭🤭
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Год назад
Nimecheka kama mazur😂😂😂😂😂😂shida hakujiandaa sasa pesa zinasha anaropoka tuu sifa mbaya
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Год назад
Huyu mwehu kaishiwa pesa alizopewa alihisi zitakuja bila kuziheshimu
@IssaIbrahim-er1ym
@IssaIbrahim-er1ym Год назад
Isaa ibrahim
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 Год назад
Kila siku Wewe ndo wakuliya
@nurumwakisu3335
@nurumwakisu3335 Год назад
Mi naona mond ndo anamdai huyu mtu
@kulwajeremiah1576
@kulwajeremiah1576 Год назад
Fireeee
@felista5107
@felista5107 Год назад
🐘💪🔥
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 311 тыс.
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 870 тыс.
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 311 тыс.