Тёмный

KUNA SIRI NZITO IMEFICHUKA KUHUSU MAKONDA KUMBA.. SAMIA ...... 

Mzawa Media
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

KUNA SIRI NZITO IMEFICHUKA KUHUSU MAKONDA KUMBA.. SAMIA ......

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@augustonampuanica8440
@augustonampuanica8440 Месяц назад
baba ntunataka Makonda yuko wapi? mbona kuna utata? Napenda sana Makonda (Mocambique)
@patrickfabian8378
@patrickfabian8378 Месяц назад
Kiutaratibu huwa hivyo, nafasi ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa ukaimiwa na wakuu wa wilaya au mkoa kutoka eneo la jirani.
@user-kt6dd6qx7h
@user-kt6dd6qx7h Месяц назад
Wanakula Mb zenu acheni kufuatilia ishu za kihuni yupo hayupo piga kazi maana yatajulikana ila ikatokea tofauti la kujibu watakuwa nalo
@manethmwiyanja2452
@manethmwiyanja2452 Месяц назад
Hiyo barua wewe uliiona? ipo hapo ofisini tuonyeshe kama siku ishirini na nane ole wako siku zipite unatakiwa ujiudhuru maana utakuwa umetudanganya
@djfaraji
@djfaraji Месяц назад
Sijawai kuona mtu anaacha majukumu yake anaenda mkoa mwingine
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Месяц назад
Duh..! Mimi sielewi. !!!? Muda utasema..🙄🙄🙄
@user-rc7yt7uo3y
@user-rc7yt7uo3y Месяц назад
Hao ni waongo wamesha mpa sumu hao yani wanafanya mambo bira hata aibu na JPM ndio walimdondosha hivyo hivyo😢😢😢😢
@user-ul9ur7ss9s
@user-ul9ur7ss9s Месяц назад
Hapana makonda yupo salama na hana tatizo lolote kama unavosikia mtandaoni.
@user-zx9mk6pr1c
@user-zx9mk6pr1c Месяц назад
Taarifa ni ya kihuni zaidi hata majibu ni ya kihuni zaidi hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuridhika na haya majibu!
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Месяц назад
Kwa wenye akili Makonda aende likizo wakati kuna sherehe ya 8 8.mmmh akili inahitajika..
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Месяц назад
Nyie mumunyeni manenotu . Umutafutesasa tuelewe. Kuwa yu hai musitembelee kichwabadala yamiguu nakama nichadema... sisahihisanakwake kinamatatizo makubwa yaulafi nautawala .
@RubenKasomo
@RubenKasomo Месяц назад
Acheni kutupotezea mb zetu. Mbolo zn
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan Месяц назад
😂😂😂😂😂nimecheka mbavu zinauma kwa kweli
@djfaraji
@djfaraji Месяц назад
Mkojo mdogomdogo ndio unao lowesha chupi.msiudhalau uhu usemi aya
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 Месяц назад
Acheni uhuni si kweli hizi habari
@RobertMeleka
@RobertMeleka Месяц назад
Wewe mwandishi usitupotoshe kamahujazibitisha Ujinga gani huo Unatueleza
Далее
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 22 млн
MBOWE ATOA KAULI NZITO"MSIBA HUU UWE WA MWISHO"
12:00
Musk See TV | Elon, Inc.
25:22
Просмотров 1 тыс.