Тёмный

KUNGWI DUME: KUIFINYIA KWA NDANI 

Ibrah Thedon
Подписаться 133 тыс.
Просмотров 233 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 505   
@MwanaishaMwamose
@MwanaishaMwamose 5 месяцев назад
Mashaallah kungwi dume mungu akuzidishie kipaji ni Aisha kutoka Kenya kazi safi ndoa yangu ilikua ya msikitini lkn hk mafundzo yko ya linikuza sana nashukuru sana
@AishaMuhima
@AishaMuhima 2 месяца назад
Asant sana kaka yetu tunajifunz mengi kutoka kwako nakupend san ni aisha tok Burundi
@bahatiomar5297
@bahatiomar5297 6 месяцев назад
Mashallah ubarikiwee sana kungwi dume kazi nzuri sana umeshinda hata hao kungwi wake jinsi unavyoelezea vizuri ❤from Kenya🙏🙏
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 2 месяца назад
Kazi nzuri sana kaka yetu hii ndo walipaswa kujua mabint kabla ya kuoana . Lakin kufunda kwa namna hii ni njema sana asante sana
@اسماعيلالعواد-ذ4ص
@اسماعيلالعواد-ذ4ص 6 месяцев назад
Mimi ningeomba nierekezwe gisi yakutumiya shanga kwasababu unajuwa wanaume Wangi mafunzo kama aya hawayapendi ungetuerekeza nasi tuwaerekeza asant🎉❤
@ماريافيدال
@ماريافيدال 2 месяца назад
@@اسماعيلالعواد-ذ4ص mi pia natamani
@UwimanaSumaiya-g9l
@UwimanaSumaiya-g9l Месяц назад
Asante sana kungwi dume unafunda mambo mazuri saana
@AliceKathambi-gc9mt
@AliceKathambi-gc9mt 5 месяцев назад
Asante sana kungwi najifunza kutoka Kenya thanks so much 😊
@christermlewa8471
@christermlewa8471 21 день назад
Kungwii asante jamani leo ndio nimeona hii nyiee❤❤❤
@RzikiSaeed
@RzikiSaeed 5 месяцев назад
Shukran mungu azd kukupa umri mrefu uzdi kutuelimsha Inshaallah
@BenardMsalama
@BenardMsalama 6 месяцев назад
Shukran sana kungwi tnajifunza mengiiiiiiii si utani ❤❤❤❤❤❤❤❤ tunajivunia uwepowako kungwi dume
@MariaJohn-g9w
@MariaJohn-g9w 6 дней назад
Barikiwa sana kungwi Ibrah
@mariammariam5723
@mariammariam5723 6 месяцев назад
Nakukubali sana kungwi dume uko kufinyia kwa ndan ni balaa mpz wangu popote ulipo naiman unanikumbuka najivunia kuzaliwa tanga tanzania ❤❤
@MARIAMKHAMISI-jz6ze
@MARIAMKHAMISI-jz6ze 6 месяцев назад
Uko vizuri kungwi dume naomba namba ya watsp
@zuhurahussein4738
@zuhurahussein4738 6 месяцев назад
Asante kaka kwa mafundisho yako. Nakufuatilia kutoka Kenya
@bukurunahda3227
@bukurunahda3227 5 месяцев назад
Mashallah kungwi dume nilikuwa sijui kusinga mume wang allah akuzidichie skukinge na mahasd chukrsni
@Rahma-r1y
@Rahma-r1y 4 месяца назад
Manshaaallah shukrani Sana my brother Naomba plz mimi naitaji kama una maji umkeni unaweza kufanza nini🙏🥰🤗
@AngelKawau
@AngelKawau 23 дня назад
Jamani kaka yangu hongera kwakazi yako nimeipenda naomba niunge
@LeilaShaban-h4n
@LeilaShaban-h4n 3 месяца назад
Jamani kungwi nimeyapenda mafunzo yako ❤❤❤ naomba uniunganishe katika grupu ili niyafahamu mengi zaiidi
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 6 месяцев назад
Asante kujitorea kuwafunda wanawake kupitia mitandao👏👏🫶🙏
@ReginaStephano-pt9pc
@ReginaStephano-pt9pc 5 месяцев назад
Ahsante kungwi dume najifunza mengii kaka🤗
@Aishabankhadil
@Aishabankhadil 5 месяцев назад
Asante sana kaka nakufuatilia nipo Burundi bujumbura ❤🎉
@furahakanzao
@furahakanzao 5 месяцев назад
Asante sana pia mm n mepata kakitu aki mungu akubariki 🙏❤
@JadidaMbaraka
@JadidaMbaraka Месяц назад
mashallah asante kungwi kwa mafundisho yko japo wengin hatujaingia kweny ndoa hap kungwi unapokuw unasafiisha KE kidole hakiumiz??
@AminaRaisa-t8u
@AminaRaisa-t8u 3 месяца назад
Shukran kak ibra njee uke ukiwa na matatizo ya infection upashwi kusafisha
@SikudhaniKulonda-jy1bq
@SikudhaniKulonda-jy1bq 5 месяцев назад
Jman humu ndan wengi wao bado waari in sha allah mungu awape waume wa halal
@Mlshi-p4z
@Mlshi-p4z 18 дней назад
Kazi nzuri kaka niunge group
@MwanahamisiMohammed-sn4fx
@MwanahamisiMohammed-sn4fx Месяц назад
Kaka nakukubalisana naunatupa ujuzi nasisi wengine mungu akuweke🥰🥰
@AfredyBadoman
@AfredyBadoman 2 месяца назад
Nimekupenda sana kaka unafanya vizuti❤❤❤❤
@TamlaShekigenda
@TamlaShekigenda 9 дней назад
Hongera sana kaka,naomba km unagroup uniunge
@RenaldaSulley
@RenaldaSulley Месяц назад
Kaz nzuri kaka niunge kwenye group
@Emily-k98
@Emily-k98 6 месяцев назад
Asante sana baba mrezi wetu ❤❤🎉🎉ila sijaelewa mno
@IshaMuzhimu-lr8lr
@IshaMuzhimu-lr8lr 6 месяцев назад
❣️🔥Asante Sana Kungwi Dume kwa mafunzo yako mazuri.🔥❤️
@AminaAminaabdallah
@AminaAminaabdallah 16 дней назад
Waoo naomba niunge kwenye group lako lawasap
@Brayanwilirck
@Brayanwilirck Месяц назад
Me naish arush 🎉🎉🎉nmependaaa mafunzo yaakoo
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 6 месяцев назад
Binafsi nakuelewa mno kaka barikiwa kwa kutuelimisha ❤from kenya
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 месяца назад
Mungu akubariki sana nmejifunza kitu hapa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Ruqaiy-r5t
@Ruqaiy-r5t 2 месяца назад
Kungwi ipo vizur
@mwanamksisoppah9325
@mwanamksisoppah9325 7 дней назад
Uko vzr kk watupa utamu kama yote😅😅❤❤
@Modesterchoger
@Modesterchoger 6 дней назад
Ili kungwi akuunge kwa group lake unafanyaje me cna namba kama unazo naomba ili na mm niingie darasan kujifunza❤
@queenestherjoviale5919
@queenestherjoviale5919 2 месяца назад
Asante 🙏 sana kungwi wetu tunajifunza mengi sana 🙏
@SelinaImma
@SelinaImma 14 дней назад
Nataka kujua jinsi yakuifinyia ndani ❤
@Brayanwilirck
@Brayanwilirck Месяц назад
Asante sana nmependaaa mafunzo yaakoo
@husnaali2021
@husnaali2021 6 месяцев назад
MashaAllah kungwi mungu akuweke
@RehemaJuma-fr7yq
@RehemaJuma-fr7yq 5 месяцев назад
Ubalikiwe sana kaka ibra napia nimekumbuka sana ulipo kuja muheza mungu abaliki kipaji chako
@JanethSanga-kt7mn
@JanethSanga-kt7mn 2 месяца назад
Mume wangu anapenda sana kufinyiwa sana mpk analia
@NishimweAisha
@NishimweAisha 2 месяца назад
Kukwe dume Aslam alaykm Mimi jina rangu Aisha waburudi nime jipfuza mengi kwama pfuzo yako kutoka sehemu yakwanza ya kukwe dume paka 26 gusema ukweri nime jipfunza mengi mume wangu mutarajiwa Ata enjoy kweri Asante sana niri cerewa sana kukujuwa
@AnethPaschal-pi7wv
@AnethPaschal-pi7wv 4 месяца назад
Kungwi asantee...nilikua sijui mengi ..najifunza sana na nazidi kujifunza..ila naomba uniunge kwa grop la WhatsApp kaka
@mahamoddales4443
@mahamoddales4443 6 месяцев назад
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu naaam ndugu angu asanteee Sana kwa elimu ilyo bora hasa kwa sisi vijana naomba2 hako kamwimbo kako uwe unakaachia kwa dakika kadhaa maana kamenifurahisha Sana
@mhagamaafra1
@mhagamaafra1 Месяц назад
Yaan mpka raha🤗🤗❤️
@AishaHarunaNayigihugu
@AishaHarunaNayigihugu 3 месяца назад
Asante kw mafunzo maturité lakini ukiwa unatufunz jitahid uwe unafunguka ili tuelew vizur apana kupita pembeni yaani ongeya moja kw moja
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 3 месяца назад
We msungo nini.kuna vitu hufai kuongea ila wakubwa wanaelewa
@HusnaMustapha-f1m
@HusnaMustapha-f1m Месяц назад
Asante kwa kufundisha vizur naomba niunge kweny group la whatsaap
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Месяц назад
Asante kungwii dume
@HarimaMohamed
@HarimaMohamed Месяц назад
Asante San nimejifunz meng mno
@christermlewa8471
@christermlewa8471 21 день назад
Asante sana kaka kwa somo,ule uchafu mzito unatokaje sasa bila kuingiza kidole?
@AishaRehema
@AishaRehema 6 месяцев назад
Nakupenda bure Kaka yngu❤kwa mafunzo jmni👌kuna mengine nilikuwa sijui kbsa Asanteni ndgu maisha malefu nakuombea🙏🙏🙏🙏
@SaumuEliasi-qb5ky
@SaumuEliasi-qb5ky 6 месяцев назад
Sjw kumsinga mume nifundishe
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
@@SaumuEliasi-qb5ky njoo zanzibar
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 5 месяцев назад
@@sabihaibrahim143 🤣🤣🤣aje zanzibar daaagh....
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
@@hanifahkhamiss8485 ehee tumfundishe masingo
@saidbakari2408
@saidbakari2408 5 месяцев назад
@@sabihaibrahim143 kwanini asije mapenzi yaliko zaliwa mpaka aje kufundwa ujeuri zenjibar 😁
@WardaJuma-of1mt
@WardaJuma-of1mt Месяц назад
Naomba uniunge group lako kwakweli unafunza vizur nimependa
@RadjaboyKubita
@RadjaboyKubita 6 месяцев назад
Huku Congo 🇨🇩 Tunakupenda sana brother, congratulations my Big bro 💪
@naifatshafii2504
@naifatshafii2504 6 месяцев назад
Asante kaka nashkuru kwa maneno mazuri tumjikuta furaha zinazidi katika ndoa na mapenzi
@ASHADANGA-t1m
@ASHADANGA-t1m 3 месяца назад
Nimekuelewa sana kungwi najifuza niliya sahau tena
@KhadijaChiro-e2m
@KhadijaChiro-e2m 4 месяца назад
Ahsante sna bro nmekuelewa sna 🎉❤
@NoellaNdikumana
@NoellaNdikumana 4 месяца назад
Mi niko burundi 🇧🇮 nimeolea ira kuna bitu bingi sibifahamu ndani ya ndoa.1 sizuwi kukata kiuno bingitu siyuw
@Awoshy
@Awoshy 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@AminaRaisa-t8u
@AminaRaisa-t8u 3 месяца назад
😂
@ماريافيدال
@ماريافيدال 2 месяца назад
​@@Awoshymbona mwamcheka mwanamke mwenzenu
@Jayjay-d8o
@Jayjay-d8o Месяц назад
@@NoellaNdikumana We nawee 😂😂
@عايشهعمان
@عايشهعمان 2 месяца назад
Wow ,,l love ❤❤❤
@FatmaAbdulkadir-q7l
@FatmaAbdulkadir-q7l 3 месяца назад
Some love from kenya❤
@عايشهعمان
@عايشهعمان 2 месяца назад
Kk Kaz yako nzuri 🎉🎉🎉
@Ziada-qe3sp
@Ziada-qe3sp 5 месяцев назад
Asante kungwi eti nielekeze jinsi ya kunyoana
@marymassawe2853
@marymassawe2853 6 месяцев назад
Kungwi dume uko vizuri sana mungu mwema elimu hamasa unyotupa ahsante sana
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 6 месяцев назад
Tupe kungwi wetu,tujue kuifinyia ndani wewee❤🎉😂
@AishaTuyisenge-x3o
@AishaTuyisenge-x3o Месяц назад
Asante sana kaka yetu
@ZueinahWendo
@ZueinahWendo 27 дней назад
Masha Allah ❤️❤
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 6 месяцев назад
We need people like you in life.
@sinangoarashid504
@sinangoarashid504 6 месяцев назад
😂😂 nilidhani kuna mbinu mpya ya kufinyilia kumbe ni vile ninavyo elewa asante sana kugwi🎉🎉
@hawaa341
@hawaa341 5 месяцев назад
Asante sana kungwi kwa kuelisha nimejifunza mengi
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 5 месяцев назад
Kubania kwa ndani mala kwa mala ni hatali.kwa mwanamke kwasababu mishipa yako italegea na siku ya mwisho unajikuta umepata matatizo makubwa sana siwashauli wanawake kufinyia kwa ndani mala kwa mala ni hatali kwa afya yako
@ukthysalma9918
@ukthysalma9918 5 месяцев назад
Kama kuzaa tu hakulegezi mishipa itakua kuifinyilia ndani acha tuwafinyilie tu😂😂😂😂
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 5 месяцев назад
@@ukthysalma9918 kaa apo apo na ujinga wako 😏 fatilia history ya wanawake wengi waliozaa sana wanavyopata maambukizi ya via vya uzazi na kupata kanza ya shingo wa mlango wa kizazi na kupelekea kutolewa kizazi baada ya kuuma na maradhi mengi
@HusnaMussa-dn9ml
@HusnaMussa-dn9ml 5 месяцев назад
Htr gan wakati inasaidia kukaza misuli ya uke
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 5 месяцев назад
@@HusnaMussa-dn9ml acha ujinga ww ww unauke una mboo nani alikuambia inasaidia kukuza misuli ya uke ulisikia wap misuli ya uke inatakiwa ikue
@petermanala6138
@petermanala6138 5 месяцев назад
@@ukthysalma9918 😂😂😂😂finya mama
@HalimaRajabu-f4e
@HalimaRajabu-f4e 6 месяцев назад
Kaka nashukur sana mejifunza mengi kupitia vipindi vyako mungu akupe maysha marefu ,lakin pia naomba kujua mwanamke akiolewa Kuna kisahani Cha udongo hua kinakaaga chumbani je kazi ya hicho kisahani ni nn??
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu 6 месяцев назад
Asante sana naomba kujua inafaa kuosha sufuria kwa maji ya baridi yaani ya kwenye friji
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 6 месяцев назад
Oshea ugande 😂😂😂😂
@swaumusalim6161
@swaumusalim6161 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@christermlewa8471
@christermlewa8471 21 день назад
​@@Rahima-kv6mn😂😂😂
@NuruSaid-g2q
@NuruSaid-g2q Месяц назад
Asante sn kwa mafunzo
@AminaJuma-b1n
@AminaJuma-b1n 3 месяца назад
Nimefurahi sana kwa somo lako nimejifunzq vyena kutoka saudi lakini mwenyeji 🇰🇪
@NishimweAisha
@NishimweAisha 2 месяца назад
Mungu akuzidishiye
@ZinabTanz
@ZinabTanz 6 месяцев назад
Kungwi tupee mambo❤❤❤❤🥰🥰
@citycity8941
@citycity8941 6 месяцев назад
Asante kugw dume mm nazidi kupanuk akil ingawa nilifuzwa lakin waniongeza ujuzi kakaa❤mungu akujalie umri mrefu in sha Allh
@MwaidaMsiku
@MwaidaMsiku 6 месяцев назад
Kaka kiukweli mimi nakuerewa sana yani mungu akuweke lakini mimi kwenye kuifinyia kwandani kiukweli sijapata elimu ya kutosha
@MamaYake-df5je
@MamaYake-df5je 5 месяцев назад
Mashaallah kungwi
@ashahussein-u6f
@ashahussein-u6f 3 дня назад
Jamn mi ndo mar ya kwanz na nmepend mno naomb uniunge kweny group lako la whatsapp
@IrakozeMydear
@IrakozeMydear 4 месяца назад
Napenda sana mafunzo Yako brother ibrah
@FarhatAmour
@FarhatAmour Месяц назад
Ungwi funguka kila mtu akuelewe vzr
@janetmbwana553
@janetmbwana553 6 месяцев назад
😂😂eti naona aibu👌👌tupee kaka
@BeatriceNashon
@BeatriceNashon 3 месяца назад
Barikiwa kaka❤
@Ruqaiy-r5t
@Ruqaiy-r5t 2 месяца назад
Kungwi ipo vizur
@ruwaydaimam8763
@ruwaydaimam8763 2 месяца назад
Jamni naomba no za kungwi dume
@ELIZABETHGABRIEL-x1t
@ELIZABETHGABRIEL-x1t Месяц назад
Nimefurahi sana jinsi unavyofundisha naomba uniunge kwenye group lako la WhatsApp
@omankafa1555
@omankafa1555 6 месяцев назад
Asante Kaka ibrah tunajifunza mengi sana
@MchangaHamadomar
@MchangaHamadomar 5 дней назад
Yan ww mkaka Allah akuweke unatupa mafunzo ming xn
@IshaMuzhimu-lr8lr
@IshaMuzhimu-lr8lr 6 месяцев назад
Lakini naomba uni fundishe mana ya KUIFINYIA KWA NDANI niweze kuelewa vizuri. Asante Kungwi Dume tuna kushukuru sana .❤️🔥❤️
@wanunegervinho4231
@wanunegervinho4231 6 месяцев назад
Njoo kwangu
@MaryMnyazi-b1l
@MaryMnyazi-b1l 6 месяцев назад
@@wanunegervinho4231 nifundishe kuifinya Kwa ndani
@petermanala6138
@petermanala6138 5 месяцев назад
​@@wanunegervinho4231😂😂😂😂😂😂😂
@marryofficial9143
@marryofficial9143 5 месяцев назад
Hata mm apo sjaelew vzr
@hafsamussa333
@hafsamussa333 5 месяцев назад
Unabana uume km unavyo bana mkojo
@TasianaSilvester
@TasianaSilvester 6 месяцев назад
Asante sana kwamafunzo yako mazur🎉
@mimeme8802
@mimeme8802 4 месяца назад
Asante sana kaka Dume ❤
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j 3 месяца назад
Mbona kule kwa kusafisha uke umesema unaigiza kidole usafishe..Halafu hapa kutokana na sufuria unasema usitie kidole kusafisha uke ,kwa hiyo unaichanganya kidogo sikuelewi vizuri hapo🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
@Trifozanestory
@Trifozanestory 3 месяца назад
Kungwi naomba utupe jia yaku ongeza joto ukeni 🙏🙏🙏🙏
@EmanuelWanted-u4e
@EmanuelWanted-u4e 3 месяца назад
Naomba uniunge kwenye group lako kungwi
@DevineNadege
@DevineNadege 6 месяцев назад
Asante sana kaka.eee yan mambo mengine tunafanya kama mutani kumbe nimakosa.asante sana
@EmilianaOnesmo
@EmilianaOnesmo 2 дня назад
Tafadhali kungwi unapatikana wapi
@SalmaSalim-tt7if
@SalmaSalim-tt7if 2 месяца назад
Honger sana umetukombow
@IrankundaDevotte-yu4nm
@IrankundaDevotte-yu4nm 5 месяцев назад
Wapi nduru Kwa kungwi❤❤❤🎉
@Zenamomo
@Zenamomo 6 месяцев назад
Wapi nduru ya kungwi wake 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@Mrs.Mumewangu
@Mrs.Mumewangu 5 месяцев назад
Asante najifunza. Ila shanga zikizidi utakaa mchawi zatisha
Далее
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Просмотров 31 тыс.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
Просмотров 75 тыс.
MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
19:55
Просмотров 16 тыс.
KUNGWI DUME: MATUMIZI YA UNGO KWENYE TENDO LA NDOA 2
38:58
KUNGWI DUME
42:19
Просмотров 428 тыс.
KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE
26:32
Просмотров 120 тыс.
KUNGWI DUME: Kumsinga mumeo
9:37
Просмотров 145 тыс.
KUNGWI DUME: KUTOKWA NA MAJIMAJI UKENI
28:49
Просмотров 26 тыс.
KUNGWI DUME: MAMBO YANAYOFANYIKA CHUMBANI
29:06
Просмотров 34 тыс.