Тёмный

KUNGWI DUME: Kumsinga mumeo 

Ibrah Thedon
Подписаться 133 тыс.
Просмотров 146 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 309   
@FatimahAl-f1d
@FatimahAl-f1d 7 месяцев назад
Shukuran sn kungwi dume wanifinza megi sn mungu akuzidishie umri uzidi kutufunza nakupenda sn ❤❤❤
@hussainalajmi5511
@hussainalajmi5511 7 месяцев назад
Nakupenda najifinza vingi ingawa sijaolewa😊😊😊 ila najifunz
@faidavictoria
@faidavictoria Год назад
Ebu tujuwane walio rudiya iyi video zaidi ya mara mbili ❤❤❤❤
@NuruJuma-yz1eh
@NuruJuma-yz1eh Год назад
Tupo wengi🥰😍
@nasrahassan3886
@nasrahassan3886 Год назад
Mim mwenyew mmoja wapo
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 6 месяцев назад
X 6🤣🤣😍😘
@husnababe
@husnababe 3 месяца назад
Tupo sana
@SiwajibuSelemani
@SiwajibuSelemani 2 месяца назад
Tupo ❤❤
@aishaaisha2224
@aishaaisha2224 Год назад
Asante sn kk lbra maarufu kungwi dime Kwa kz zako nzr zenye mafunzo mzr amakweli tunajifunza mengi kupitia kz vipindi vyako love u💕❣️💕🙏😘😘
@MwaSukha
@MwaSukha Год назад
Wwweee💃💃💃imetulia. Iyooo asiejua maana ambiwi maana akijua maana atakutukana
@chaniyakipozy2113
@chaniyakipozy2113 9 месяцев назад
Nakuftilia sana na najifunza mengi kungwi wng❤
@mesaidima6066
@mesaidima6066 Год назад
mashaallah mungu akupe umri mrefu kungwi uzidi kutuelimisha zaidi inshaallah
@MadamLugendo-tw8nx
@MadamLugendo-tw8nx Год назад
Shukrani kwa somo zuri Allah akuwezeshe uzidi kutuletea vitu vzr hakika nimejifunza kitu sikuwa nikijua🙏🙏🙏
@AminaMagulati
@AminaMagulati 9 дней назад
Asant sana kwa mafunzo Yako tunakupenda kungwi wetu
@NahGonya
@NahGonya 9 месяцев назад
Mashallah ibrah mungu akuzidishie
@SabraMohamed-ys6lv
@SabraMohamed-ys6lv Год назад
Shukran sana kungwi dume sana nimefaidikq kwa funzo zako
@mammy-l8s
@mammy-l8s Год назад
mashahallha Mungu akupe huri uzidi kutufunz naakupe afya njema apa duniani nakesho haera anin
@WitnesMrisho
@WitnesMrisho 5 месяцев назад
Asante sana kka ibra nimejifunza mengi kutoka kwako namuomba mungu akupe maisha malef Ili uendele kutuelimisha
@fatuma6011
@fatuma6011 Год назад
Shukran kaka jamani wengine tulipelekwa kwa makungwi na hayo hatuyajui inshaallah mungu akuzidishie umri ili uzidi kutufunza
@nayranasri4583
@nayranasri4583 Год назад
Makungwi wengine Wana Kula pesa hawana wajualo
@FatumaNjowa
@FatumaNjowa 9 месяцев назад
Mashallah kungwi dume mungu akuzidishie ❤❤
@ZamzamChande-wu6it
@ZamzamChande-wu6it Год назад
A, allykum hongera San kungwi dume mm naitaj ushauri. Mkubwa kutoka kwako
@AminaJuma-b1n
@AminaJuma-b1n 3 месяца назад
Mashaallah walai miye sina swali nafurahi kujifunzq nisiyo yajuwa shukran
@ArafaAlly-f1t
@ArafaAlly-f1t 11 месяцев назад
Kungwi dume htriiiii tusiyoyafahm tumeyafahm jmn somo zur
@AminaBinti-e2x
@AminaBinti-e2x Месяц назад
MashaAllah nimejifunza kungwi asante ❤
@MohamedMwachega-x6c
@MohamedMwachega-x6c 4 месяца назад
Maa shaa Allah ubarikiwe kaka una mafunzo mazuri sana❤
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 День назад
Jamani hii karafuu ya madonge ndio ipi pia weka no yako boss
@PrettySalmah-tt8bh
@PrettySalmah-tt8bh Год назад
Kungwi dume ubarikiwe 👏👏tunashukur saan kwa somo lako
@JamilahMsuya-tm1xb
@JamilahMsuya-tm1xb Год назад
Kungwi kungwi kungwi ishi sana huna baya nomekuelewaaaaaa sana 🎉🎉🎉huna
@mariamjuma-zp8jy
@mariamjuma-zp8jy Год назад
MASHA ALLAH ALLAH AZINDI KUKUHIFADHI KWA ELIMU 🙏🙏❤❤❤❤
@NuruJuma-yz1eh
@NuruJuma-yz1eh Год назад
Amiin🤲🏻❤
@ZuuhLugoda
@ZuuhLugoda Год назад
Asantee sna kungwiii dumeeee unajuaa kutufunzaa wadada hakikaaa ww ni mwanaumeeee lakn kuna kitui sijaelewa hv karafuu za madongee ni zipiii
@iamanoutstanding_creation
@iamanoutstanding_creation 8 месяцев назад
mbegu za karafuu
@JudithMrina
@JudithMrina Год назад
Daah upo vinzur kungwi Asante kwa somo lako❤
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 2 года назад
Kungwi dume ongela sana maaana mafunzo yako mazuli nimejifunza mengi gutoka kwako nashukulu ❤ ❤
@SamuelTsingwa
@SamuelTsingwa Год назад
mashallah njoo kenya uwape elimu mabint zetu
@kallandoking6561
@kallandoking6561 Год назад
Mko vizuri sana!!! Sijui nisemeje nice movie!!
@haleemabilali1733
@haleemabilali1733 2 года назад
Aiseee balaaaa nimejifunza kwakweli hongera kwa kazi nzuri kaka
@jasminiIssa-y2q
@jasminiIssa-y2q Год назад
Nakupenda ga sana❤❤❤ uko inaonekana mkeo ana faidi sana mashaallah
@AminaMganga-f7p
@AminaMganga-f7p 10 месяцев назад
Aksante Sana nimeipata Allah akulipe
@EdinaMkulasi
@EdinaMkulasi Месяц назад
Asante nimefunza jaman
@Jamilla-u9v
@Jamilla-u9v Год назад
Laa kwakwel kaka ngu Allah akubarik Sanaa Asante kwamafuzo yako
@ShukuBahanuz
@ShukuBahanuz 14 дней назад
Nimekuelewa Doctor❤
@MwajumaMnyumanga
@MwajumaMnyumanga 2 месяца назад
kwakweli najifunza kitu kupitia wew kungwi dume👍👍
@furahakalyfurahakaly4901
@furahakalyfurahakaly4901 6 месяцев назад
Assalam alaikum wa rahmatullah nipo Kenya nafatikia mafunzo in Shaa Allah nitapata kitu kwajili ya mtarajiwa wangu in Shaa Allah ❤❤❤❤
@shemsakiza8263
@shemsakiza8263 Год назад
Asww vp hali asante sana kumafuzo yako sasa nikarafu tu utatumia
@OliverMponda
@OliverMponda 2 месяца назад
Asante kwa somo zuri kungwi
@ngwelesalu8348
@ngwelesalu8348 Год назад
Kaka asant sana allah akujalie sana sanaa jaman daa nimeipenda iyo mashallaah
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Yaaaan Asante sna kaka ibra sna kwa mafunzo
@vumiliahamisi7046
@vumiliahamisi7046 2 года назад
Maashaallah,tunasubir massage ya hogo,asante sana kwa mafunzo
@SabraMohamed-ys6lv
@SabraMohamed-ys6lv Год назад
Yaani napenda sana kufatilia video zako
@ZuhuraYusuph-o3n
@ZuhuraYusuph-o3n Год назад
Mashaallah, kaka, endelea ku2pa darasa, 2zidi kujifunza...
@SamiraGodfreyMushi
@SamiraGodfreyMushi Год назад
Mwenyezi Mungu akulinde uendelee kutufunza❤❤❤❤
@AishaAbdallah-oe9ps
@AishaAbdallah-oe9ps Год назад
Allah akujalie umri mrefu amiiin....
@reneeyahu7772
@reneeyahu7772 5 месяцев назад
Shukran sana kwa kazi nzur
@fatmaali6571
@fatmaali6571 5 месяцев назад
Shukran sana kaka Ibra, karafuu ya madonge napata wapi apa nairobi
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 2 года назад
Weeeehh mungu atakubariki tn sn pia maisha marefu tn sn
@AnneMutinda-tf6ux
@AnneMutinda-tf6ux 2 месяца назад
Woow nimependa somo zuri snaa🎉
@rukianasoro7643
@rukianasoro7643 2 года назад
Yaaan nimejifunza meng mnoo yaan mungu akuzdishie
@akimanaasiya4654
@akimanaasiya4654 Год назад
Asnt sana kungwi dume nili kuwa na omba utufunze gisi shanga zinavyo shezeshwa
@BimenyimanaMarieGrace-mn7ly
Asante sana dada yetu
@halimamlala
@halimamlala 4 месяца назад
Kwa kweli una mafunzo mazuri Mungu akubariki❤🎉
@Amina-z8o8q
@Amina-z8o8q 5 месяцев назад
Ety usikauswe koo 😂😂 kungwi dume nakupenda vile we huongea uwazi❤❤
@daprincesstiffah8862
@daprincesstiffah8862 Год назад
Asant kungwi dume tufundee na menginee tupate kujua😘😘
@Vaileth-ki3gp
@Vaileth-ki3gp Год назад
jaman mungu akutunze jmn unamafunzo mazuli sana
@fatumamwanamnima4963
@fatumamwanamnima4963 2 года назад
Maaxhaallah allah akupe maixh maref ili utufunze zaidi
@mwakanyundo2236
@mwakanyundo2236 Год назад
Wow hio nivizur kutuelimisha bro
@halmejo5907
@halmejo5907 5 месяцев назад
Asalam alaikum kungwi dume naomba kujua huo mchanganyiko wa mafuta ya karafuu na roze water je naeza kumfanyia masaji pia kwenye kichwa mana umetaja maeneo yote ya mwili ukianza na shingo ila hukutaja kichwani na ndio mana nataka kujua asante❤🇰🇪
@astridagaudence9507
@astridagaudence9507 Год назад
Hongeraa kwa kazi nzuri bro nimeyapenda mafunzo yako hope yataleta manufaa chanya
@swemamohameed5691
@swemamohameed5691 2 года назад
Dah umetisha 🤝 cjui hata umesomea wap
@bintimarkan5898
@bintimarkan5898 Год назад
Asante kaka ibra nimekupata vizuri
@hawashabani7896
@hawashabani7896 2 года назад
Kaka uko vzr sana,NAHITAJI ushauri wako,naomba ushauri wako
@kakamama5104
@kakamama5104 2 года назад
Mashallah shukran jazakumullahu kher ,
@aishasalim5643
@aishasalim5643 Год назад
Ahsante sna kungwi dume kw mafunzo
@Grace-si3cg
@Grace-si3cg 2 месяца назад
Naomba niunge kwa group lako kungwi
@themembinga3996
@themembinga3996 2 года назад
Shukran sana Nimefurahia somo ndugu yng
@aishayusuph3159
@aishayusuph3159 2 года назад
Kak ibrah samahn mi ni shabk yako san t lkn nlikuw naomb kujua kma una group la watsap niunganishe maan nakhtj zaid kwny mafunzo
@witnesssabato5457
@witnesssabato5457 Год назад
Mi naomba kufahamu somo la shanga.
@nasrahassan3886
@nasrahassan3886 Год назад
Hatariiii hongera kwa mafunzo mazuri na matam,ila Ibra nakuomba utuambie in Shanga za aina gani hizo Ambazo maalum kwa ajili ya maandalizi hayo ya kumcnga mume,pia kama mume hajuhi jinsi ya kuzitumia shanga je nitamfundishaje,? Pia tufundishe jinsi ya kuzitumia hizo shanga mana raha ya shanga kujua kuzitumia
@hanamuson891
@hanamuson891 5 месяцев назад
Somo nzuri kwakweli maji ya uwaridi ndo yapi hayo?
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Asante sana ibrah Kwa somo
@JamilaShoo-y5f
@JamilaShoo-y5f Год назад
Umetisha bro
@MonoMono-q7s
@MonoMono-q7s Год назад
Wanawake tuna kazi ya kupiga makelele tu unafuza mwari fujo tupu lakin kaka masha alla hela haiyendi bure
@LovenessKamogi
@LovenessKamogi 11 месяцев назад
Huyo ndokungwi dume❤❤❤❤❤❤❤
@khadijamwaziro7045
@khadijamwaziro7045 5 месяцев назад
Kuntuh 👌, nilichezwa ila nalikubal darasa 💯
@TausiHashim-vp8cc
@TausiHashim-vp8cc 5 месяцев назад
Tungeomba utengeneze group whatssap jmn🥰
@RubiAbdi
@RubiAbdi 5 месяцев назад
Mi pia ningekuwa mojawenu
@SaidSaid-m6x
@SaidSaid-m6x Месяц назад
❤❤Asante kungwi
@hamidakondo1283
@hamidakondo1283 Год назад
Dume Zima baada kuongelea maisha yalivo tabu sana unaongelea ukungwi nani anaetaka kuoa au kuolewa maisha haya Kila mtu akimbila usingle kwendraaa
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 Год назад
Wewe ndo usietaka kuolewa coz hujajua raha za ndoa so we kimbilia usingle pekeako
@ashurafarhan8335
@ashurafarhan8335 3 месяца назад
Hata kma uko singo ipo siku utapta bwana utampa mambo
@ashurafarhan8335
@ashurafarhan8335 3 месяца назад
Usikimbilie usingo ulewa
@ismailMdoe-zs2mo
@ismailMdoe-zs2mo 2 месяца назад
​@@mejumaamwachirero7324nimekupenda bureeeee
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv Месяц назад
​@@mejumaamwachirero7324yes 👍good job God bless you ❤❤❤❤🇨🇳
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 5 месяцев назад
Shukran kwa darssa ila Nina swali utamsinga Mme na kitambaa?
@j.mugabo724
@j.mugabo724 Год назад
Shkrn kk ye2 kwa mafunzoo
@ViolethMwakyusa
@ViolethMwakyusa 2 месяца назад
Kaka naomb niunge kwenye group lak nijifunz meng
@HappyKwacha
@HappyKwacha 3 месяца назад
Nayapenda sana mafundisho yako
@neemabeatus-t8l
@neemabeatus-t8l Год назад
Ubarikiwe sana kaka
@situitiu4655
@situitiu4655 2 года назад
Nashukuru kwamafundisho mazuri nimejifunja mengi
@aishaathmani8095
@aishaathmani8095 Год назад
Ibra kweli umefunzwa ndugu yangu hongera sana tanga tunajua maana kusingana
@mhagamaafra1
@mhagamaafra1 Месяц назад
Naomba niunge kwenye group jamn
@josphinemghoi2021
@josphinemghoi2021 Год назад
Asante kwa mafunzo nimekusikiliza kwa Malini sana
@rosettentamabyariro6543
@rosettentamabyariro6543 Год назад
Asante Kwa mashauri
@SafiaSfsf
@SafiaSfsf 6 месяцев назад
Wow napenda najikuta najifuzamengi
@Frola-r9z
@Frola-r9z 2 месяца назад
Hongera sana kaka ❤❤❤❤
@MwanaidiShabani-c9g
@MwanaidiShabani-c9g Месяц назад
Karafuu ya mdonge unamaanisha mbegu za karsfuu?
@NawasaKivuyo
@NawasaKivuyo 10 месяцев назад
Jmn kungwi Kama Sina Maj ya uwaridi inakuaje?
@sulehyamaogo7788
@sulehyamaogo7788 Год назад
Tumfundishe jinsi ya kuchezea shanga,na utengeneze group la whattup
@VailethYohana-lm4yf
@VailethYohana-lm4yf Год назад
Jaman nimependa San iyo kak
@josephmasudi5471
@josephmasudi5471 5 месяцев назад
Axnte sana kungwi dume kunakitu nimejifunza so No la leo
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 5 месяцев назад
Hatari Sana nimependa Sasa Mimi sijui hayo maji ya walidi yanapatikana wap
@FelisterMsawila
@FelisterMsawila 3 месяца назад
Asant sana najifunza vitu vingi
@mariamhamisimwafisi9348
@mariamhamisimwafisi9348 3 месяца назад
Asalam Alaikum kungwi dume tafadhali naomba kujua ukipaka miskii kwenye kuma alfu mume akunyonye inamadhara plz help me
Далее
KUNGWI DUME: MATUMIZI YA UNGO KWENYE TENDO LA NDOA 2
38:58
KUNGWI DUME: KUIFINYIA KWA NDANI
32:15
Просмотров 233 тыс.
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
На самом деле, все не просто 😂
00:45
KUNGWI DUME
42:19
Просмотров 428 тыс.
KUNGWI DUME: MAMBO YANAYOFANYIKA CHUMBANI
29:06
Просмотров 34 тыс.
KUNGWI DUME sehemu ya pili
50:35
Просмотров 265 тыс.
MFANYIE MUMEO HIKI AKUPE KILA UNACHOTAKA
14:29
Просмотров 72 тыс.
Mke ndio Daktari namba moja wa Mume
35:52
Просмотров 132 тыс.
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Просмотров 31 тыс.
KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE
26:32
Просмотров 120 тыс.
KUNGWI DUME sehemu ya Kumi
32:44
Просмотров 88 тыс.