Hakika nafasi kungali...Yesu Kristo ameteseka kwa ajili yetu wapendwa, tufanye matengenezo ya busara mioyoni tusije tukapotea mwisho wa safari. Barikiweni watumishi kwa nyimbo nzuri.🙏🙏🙏
Wimbo mzuri, maudhui mazuri ujumbe mzuri, hongereni nashauri kinanda kingepigwa live nahisi wimbo ungetoka mtamu zaid ya hapa beat ina vitu vingi imeharibu wimbo