Тёмный

Kutana na Jasiri Eva 

TAHA ONLINE TV
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Kutana na Eva John (24) kutoka Kiwangwa Bagamoyo, mkoa wa Pwani ambaye changamoto za kutokuendelea na shule baada ya kumaliza kidato cha 4 hazikumfanya kukata tamaa. Hapo ndipo alipoamua kuanza kufanya kilimo katika shamba lake la ekari 1 mwaka 2018 akiwa na ujuzi mdogo wa uzalishaji na upatikanaji wa masoko kusababisha mazao kuharibika shambani.
Kwa sasa ana shamba la takribani ekari 6 la mananasi ambapo amejiunga na huduma za TAHA mwanzoni mwa mwaka 2020 na kupitia TAHA Eva amekuwa akipokea ushauri wa kitaalam juu ya mbinu bora za kilimo, upatikanaji wa masoko na usindikaji ili kuongeza thamani ya mazao anayolima, kisha kudhibiti upotevu wa mazao.
Eva anauza mazao yake kwenye masoko ya Dar es Salaam, Dodoma, Morogoro na alikuwa akiuza Kenya kabla ya kuzuka kwa Covid - 19. Hivi sasa anatarajia kuvuna ekari 5 za mananasi na anatarajia faida ya zaidi zaidi ya tshs mil 10.
Kupitia kilimo cha horticulture ameweza kuipatia familia yake mahitaji ya msingi, kujenga nyumba yake na pia kuwajengea wazazi wake, pia amejenga fremu za maduka ya kukodisha na anasaidia wanafunzi 13 kwenye eneo analoishi na mahitaji ya shule ili waweze kutimiza ndoto zao na wasiishie njiani kama yeye.
#TAHA
#HorticultureForHealthAndWealth

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@sarahaminiel1955
@sarahaminiel1955 Год назад
Naomba kujua najiungaje uanachama wa TAHA
@innocenttasinga3785
@innocenttasinga3785 3 года назад
Hongera sana dada, unatupa moyo na sisi. Mungu akubariki.
@e45mussa78
@e45mussa78 3 года назад
Hongera sana
@miriamkwembe
@miriamkwembe 3 года назад
Naomba number ya Jasiri Eva
@amosstimamaroba1054
@amosstimamaroba1054 Год назад
Yaan acres Tano million 7 mmmmh shamba acre moja linachukua Miche 20000 means acre Tano ni Miche laki moja ukiuza Kila Nana's sh 500 utapata million 50 baado haulimi kilimo chenye tija
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
Mtafutee,ndugu yangu iliumfunguee macho zaidi mwenyez mungu atakujalia mmema zaid plz
@charlesmbeikya5415
@charlesmbeikya5415 2 года назад
Mbona mapato kidogo sana. Eka 5 pesa hizo tu? Nanasi moja inauzwaje?
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Месяц назад
Jaman msaidieni plz
@sarahaminiel1955
@sarahaminiel1955 Год назад
Naomba kujua najiungaje uanachama wa TAHA
@sarahaminiel1955
@sarahaminiel1955 Год назад
Naomba kujua najiungaje uanachama wa TAHA
Далее
Tazama furusa Kwenye kilimo Cha zao la Nanasi ( Video)
11:41
NAMNA SAHIHI YA UANDAAJI WA UDONGO
8:39
Просмотров 8 тыс.
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,1 млн
Каха и жена (недопонимание)
00:37
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 4,1 млн
North Garden Tour (September 17, 2024)
3:59
BREAKING NEWS! Shamba Darasa BAGAMOYO //
3:19
JIFUNZE KILIMO CHA MANANASI
26:35
Просмотров 1 тыс.
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,1 млн