Тёмный

The Awakening Of The Spiritual Realm | Part 1B | Pastor Tony Kapola | 24th July 2022 

Pastor Tony Kapola
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My RU-vid: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@BoniphaceMhenwa
@BoniphaceMhenwa Год назад
Mtumshi wa MUNGU akubariki sana pekee nmebarikiwa na mafundisho yako
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 2 года назад
kutoka Mombasa Kenya 🇰🇪 Mafundisho yako inanijenga Sana kiroho na kimwili pastor Tony kapola MUNGU akubariki popote ulipo.
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 Год назад
This is a true servant of God, his preaching is true and it heals. Thanks a lot Pastor 🙏🙏
@bettylweve4460
@bettylweve4460 Год назад
Ubarikiwe saana pastor ton, najiskia kukombolewa kila nahubr Yako, NEEMA ya MUNGU ikufadhili daima
@ROSEMARYKOLOWA-ue3qm
@ROSEMARYKOLOWA-ue3qm Год назад
Nabalikiwa sana na huduma ya huyu mchungaji jamani.Mungu azidi kukutumia kwaajili yaroho za watu.
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 года назад
Dah ila mtumishi unachekesha 😄, Mungu akubariki sana baba unatusaidia sana kwa mafundisho
@ConsolataMushi-i1j
@ConsolataMushi-i1j Год назад
Yaani pastor Tony Mungu akubariki your chocen to be more than higher
@gladysbuloa4107
@gladysbuloa4107 Год назад
Nashukuru mungu ninapokufatilia naona nikipata nafuu naumwa na joints,tumbo yaani ulcers and typhoid but najua mungu ni Alfa na omega alivoanzia ma akamilishe niwe salama,barikiwa mtu wa mungu
@frankkimaro8039
@frankkimaro8039 Год назад
Namshukuru Mungu kupitia hii Chanel yako maisha yangu yamebadilika imagine nimeacha sigara sababu ya mahubiri yako
@kambibikamugisha3394
@kambibikamugisha3394 Год назад
Hongera sana sana kwa hatua kubwa. Mwenyezi Mungu tukuzwe na azidi kukuongoza, kukuinua na kukuwezesha zaidi.
@jacklinepatrick7950
@jacklinepatrick7950 Год назад
wooh!Mungu azidi kukutia nguvu usonge mbele
@godfreymgaya1862
@godfreymgaya1862 Год назад
Be blessed bro
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Год назад
Hongera sana ndugu yangu
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Год назад
Hongera sana ndugu yangu
@samwelmelack
@samwelmelack Год назад
Amee nimebalikiwa kwa ujumbewako kwangu amee
@narggdhdv765
@narggdhdv765 2 года назад
Amen. Nimebarikiwa mafundishoo yote ulio fundisha na maneno yote uliotamka yenye baraka yakawe halis kwangu.ktk jina la YESU
@makotsi1350
@makotsi1350 2 года назад
Napenda sana mahubiri Yako yanijenga sama nikiwa mkristo
@sbnz6280
@sbnz6280 2 года назад
Mungu wa mbingu akubariki mchungaji umenitoa Mahalia na kunieka Mahalia
@davidmembedalamethepsalmis2885
Barikiwa Sana pastor tonny
@HappyLaizer
@HappyLaizer Год назад
Amen nabarikiwa happy toka arusha mianzini
@Lainafaustine-e1t
@Lainafaustine-e1t 4 месяца назад
Ahsante kwa neno lako la roho ya utulivu, limenibariki sana na Mungu anipe roho ya utulivu, katika kila jambo ninalofanya
@Lainafaustine-e1t
@Lainafaustine-e1t 4 месяца назад
Mungu azidi kukupa nguvu na kukupa hekima na mwalimu mwema katika watoto wa Mungu ili tukamjue Mungu
@pascalmtivike
@pascalmtivike Год назад
Nakupata vizuri mch. Nakuelewa vizuri.ubarikiwe kwa neno zuri.
@rosegadi7160
@rosegadi7160 Год назад
Yani pastor umenibariki Sana na kunifanya nicheke pia, kwakwel Mungu azidi kukutumia kwa viwango atakavyo
@getrudenabwayo2890
@getrudenabwayo2890 Год назад
AMEEEEN AMEEEEN oooh, I will never regret for connecting my spirit kwa hii channel yako PST mpendwa🙏🙏🙏😇😇😇
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 года назад
Napokea uponyaji kwa jina la Yesu
@janety1933
@janety1933 Год назад
Mchungaji ubarikiwe sana mungu akizidi kukupaka mafuta uendelee kutulisha chakura Cha uzima hakika kinywani mwako yametiwa maneno na bwana, Amin
@elizabethfrolence4344
@elizabethfrolence4344 2 года назад
Amina mchungaji nimepona kupitia mahubili Aya 🙏🙏🙏 mungu azidi kukutumia
@khalisiamildred6053
@khalisiamildred6053 4 месяца назад
Ktoka Kenya nakupata live and clear
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 года назад
Ameni napokea uponyaji kwa jina la Yesu
@Mchungajimalaki
@Mchungajimalaki 3 месяца назад
Asante mngu kwakumutumia mtumishi wako pasta tony kapor mtunze sana
@magrethngaiza1073
@magrethngaiza1073 10 месяцев назад
Asante sana kwa mafundisho haya Mungu aendelee kukupaka mafuta Mtumishi Mungu akubariki
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Naakili Sana kusikiliza somo hili,,, MUNGU nisaidie
@mashmanase7530
@mashmanase7530 2 года назад
Nashukuru kwa ibada zako, kwakuwa zina songesha next level always...Ulimwengu wangu wa Ndoto iko hai tena kwa ku tafsiria wengine pia..mafunzo yako yana uhai tele
@salomegunga5300
@salomegunga5300 Год назад
Amen pastor nimepona kwajina la yesu mahubiri yako yamenibadilisha..I'm form kenya
@tumainhagai6846
@tumainhagai6846 Год назад
Amen, mtumishi tunavuka sasa. Mungu akulinde na kukutumia zaidi
@bazzuibrah4531
@bazzuibrah4531 Год назад
watching from Nairobi Kenya
@samijimhando6432
@samijimhando6432 2 года назад
This is so strong message.......Im going to take over.
@noelkimath-gh6ts
@noelkimath-gh6ts Год назад
Ameni amenii mchungaji nimepokea kwa jina la Yesu
@felisterphilemon1852
@felisterphilemon1852 6 месяцев назад
hakika kila somo hunipa mwangaza mpya na nguvu mpya na mapambano mapya aksante mungu kwa kuniumba mwanamke
@davidekasere2133
@davidekasere2133 11 месяцев назад
Barikiwa sana...kitabu kipi haswa
@mariamdaudi8629
@mariamdaudi8629 Год назад
I am watching from Nairobi Kenya, nimekuwa na wakati wa baraka sana kufuatilia mahubiri yako Mungu akubariki sana
@frankstarstz470
@frankstarstz470 3 месяца назад
Yesu uniongezee ufahamu niijui kweli,,
@braxtonamoni9230
@braxtonamoni9230 Год назад
Amen Amen Amen
@mmkwenihira7826
@mmkwenihira7826 Год назад
Bwana wamajeshi akubariki pastor I am so blessed Let the Mighty Lord bless you more
@gracekivolwe3037
@gracekivolwe3037 2 года назад
Amina barikiwa mtumishi
@epifaniarichard566
@epifaniarichard566 Год назад
Amen amen 🙏🙏 ubarikiwe sana mtumishi wangu nimebarikiwa pia mungu akubariki sana
@irenebidaz9071
@irenebidaz9071 11 месяцев назад
Mtumishi wa Mungu akutunze yaan mahubiri yanajenjga sana
@christinethoya5983
@christinethoya5983 2 года назад
I'm so blessed,ubarikiwe sana pasta this is what I want to hear..,kwa wakati huu ninaopitia,naamini Mungu atanifunguwa niwe huru
@carolinemghanga2891
@carolinemghanga2891 Год назад
Amen
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Nami pia Mungu atanifungua ninayopitia niwe huru, NINAAMINI
@furbenj7405
@furbenj7405 2 года назад
Amen My Pastor I received thanks and Be blessing
@mfarijikiza2213
@mfarijikiza2213 2 года назад
Nimebarikiwa mno kutokea KIGOMA.
@motariwilson155
@motariwilson155 2 месяца назад
Ni Kweli mtumishi Wa MUNGU 🙏
@gentrixnafula8582
@gentrixnafula8582 2 года назад
Thank you very much and be blessed pastor for you have saved my situation for what l was just going through and about to loose my job has bn washed away... Ameeen 🙏🙏🙏🙌🙏
@kihimachahilu87
@kihimachahilu87 2 года назад
Amen
@kayeyemapesa7533
@kayeyemapesa7533 Год назад
Nimepokea
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
@calorinemwoga2638
@calorinemwoga2638 Год назад
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUSIKILIZA HIKI KIPINDI CHAKO LEO.
@joharikahite6329
@joharikahite6329 Год назад
Amen Amen God bless you pastor Tony Kapola
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 года назад
Ameni
@monicajulius5084
@monicajulius5084 Год назад
Mafundisho yako yanifundisha sana maana hufichi jambo unasema kila kitu
@JosphineMuthoni-v2e
@JosphineMuthoni-v2e Год назад
Awesome teachings .
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 Год назад
AMEEN
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Ameni ,,,,
@haikaagustino1715
@haikaagustino1715 2 года назад
Amen. Somo zuri sana.
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 года назад
My Sunday is really blessed with this sermon. God bless you pastor!
@joyfarmers9252
@joyfarmers9252 2 года назад
A men in Jesus might name..
@YusilinaZakeo
@YusilinaZakeo 4 месяца назад
Asante sana
@neemagondwe926
@neemagondwe926 2 года назад
Amen mtumishi
@anngithaiga2814
@anngithaiga2814 Год назад
Thank you pastor you have been sent to this channel for me to see it t this time of sorrow and distaborn ness inorder for my heart to get healed may Almighty God bless you abundantly
@kayeyemapesa7533
@kayeyemapesa7533 Год назад
Be bless
@piliibrahim4057
@piliibrahim4057 2 года назад
Ameen man of God
@monicajulius5084
@monicajulius5084 Год назад
God bless you pastor l love your teachings alot
@agnesmbone231
@agnesmbone231 Год назад
Amen and amen more grace pastor Tony
@jumaogigo196
@jumaogigo196 Год назад
Thank you pastor be blessed
@evalynependo3824
@evalynependo3824 Год назад
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@joyfarmers9252
@joyfarmers9252 2 года назад
Amazing inspiration, God bless you Pastor 🙏
@mfarijikiza2213
@mfarijikiza2213 2 года назад
NIMEJENGWA
@elizaikuthu9672
@elizaikuthu9672 2 года назад
Amen, you bless me, be blessed my pastor 🙏
@Aminacaren1
@Aminacaren1 Год назад
🙏
@beatricembuya6403
@beatricembuya6403 Год назад
Amen and Ameeeen 🙏🙏🙏
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 года назад
Sichoki kukusikiliza
@witnessemily1391
@witnessemily1391 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@SayuniMalema
@SayuniMalema Год назад
Napenda San. Mafundisho yako mtumishi yamenivusha kutoka mahali naomba unapoonda sms yangu uniombee San na mm Mungu aniinue
@innocentpallangyo3462
@innocentpallangyo3462 2 месяца назад
Pastor nabarikiwa sana nawewe, na hua nafuatilia sana masomo yako lakini swali la mama kaijage kuhusu siku ya kwanza ilianzia wapi naona kana kwamba ikiwezekana ulijibu vizuri zaidi maana kwenye kutoka 20;8 anakuja tena kuliambia taifa la Israel kuwa kumbuka siku ya sabato na uitakase siku sita ufanye kazi na siku ya saba ni sabato ya Bwana,, hiyo siku ya saba inakuwepoje kama hamna siku ya kwanza hadi siku ya sita ??
@peterkivuyo5037
@peterkivuyo5037 2 года назад
Naomba kujua kama kuna CD au DVD ya mahubiri ya pastor
@annamarie1404
@annamarie1404 2 года назад
Amen 🙏🏾😌😌I’m blessed 🥹
@AlexVenance-s1b
@AlexVenance-s1b 2 месяца назад
Wakati wa Mungu ukifika mm😅
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 года назад
😂😂😂🤣Amen neema ya Bwana yanitosha
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Hahaha vitabia vya mama,,,, jamani MUNGU tusaidie watoto wa baraka
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 Год назад
Guluguja mtumishi 😄 🤣
@abbyongonga8803
@abbyongonga8803 Год назад
🤣🤣🤣 was kufana na bwan kaaah pastor ..Sasa wakufanana na nani 😂😂😂
@moniquenimbabazi4528
@moniquenimbabazi4528 Год назад
Na Sabato ndo siku ya Saba Mwanzo 2:1----3
@gracekitanze5335
@gracekitanze5335 Год назад
😂😂😂twendenalo
@irenebidaz9071
@irenebidaz9071 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂Daaa nimecheka saa hapo katoto kanasikia kigodoro tumboni
@mercylangali3097
@mercylangali3097 2 года назад
Amen mtumishi unanibariki sana
@JeannetteFuraha-y2u
@JeannetteFuraha-y2u 5 месяцев назад
Amen
@christinasinderema3005
@christinasinderema3005 Год назад
Ameen
@maryannmuthoni8054
@maryannmuthoni8054 Год назад
Amen
@rev.ndayiragijeviateur6953
@rev.ndayiragijeviateur6953 Год назад
Amina
@uwimanaamina4281
@uwimanaamina4281 Год назад
Amen
@jennifermwende2023
@jennifermwende2023 Год назад
Amen
@maglindaanyango
@maglindaanyango Год назад
Amen
@marywinga3120
@marywinga3120 2 месяца назад
amen
@maureenalusa3434
@maureenalusa3434 Год назад
Amen
@winniemwambeso3283
@winniemwambeso3283 2 года назад
Amen
Далее
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Просмотров 4,6 млн
LIVE: Tony Kapola Akifungua Shajara Yake na Babbie Kabae
1:03:40
The Power of God
2:20:01
Просмотров 108
VITA VYA KIROHO
33:13
Просмотров 8 тыс.
sikiliza mafundisho toka Pastor Tony Osborn Kapola
52:07