Critical thinking, how he builds his arguments, and the deep knowledge he has on what he talks about makes me want to learn from him more. Baby, thanks for the interview. There were rooms for more questions and speculation.
Woow this guy straigt from god annointed one full of wisdom and brain god bless you pastor tony keep on rocking your part to hit and kill the devil in all spheres of our life your contribution is biiiiiigeer thanks lord for having you
Pastor Tony honestly umeniliza Leo baada ya kusikia sauti yako ktk shajara. God be with U.. God is Good; All the Time God is Good. Mtangazaji hongera sn ...God Job. Pastor Tony neno lako la x-mas hasa last msg imekusa mtima wangu. Mungu atulinde. Amen
Babe please jaaamani naomba urudie hii interview haujaitendea haki hasa kwenye maswahili hiyo mtu anamambo mengi sana ya kutufunza ukiachana na uchungaji tu
Mtangazaji anashindwa kuhoji kwasababu akilini mwake anamchukulia poa sana jamaa na kumuona kama mtu maarufutu alietoboa mitandaini, kiasi kwamba anashindwa kuona reality ya Umuhimu wahuyu mtu kwajamii. She is not serious
Pr ungemjibu TU kuwa YESU ni zaidi ya hizo private jet yeye ni anatupa kuwa mabilionea mm mtu wa MUNGU namwamini yesu nitakupa ushuhuda siku zijazo mm ni bilionea kwa jina la YESU
Tulikuwa na industrial age ambayo ilikuwa na mazingira yake na namna ya kuwasiliana na level of technology pia .... But now tuko Kwa information age, na advanced technologies vitu ambavyo vinaweza kumsaidia Sana MTU kusikika Kwa urahisi kama akihitaji.... So don't ignore the power of social media kukufanya ufike ulipofika pastor....
Wewe ni muongo ukisoma Wakorintho 9:8 Neno linasema maana tuimeijua neema ya Bwana Yesu Kristo jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu,ingawa alikuwa tajiri ili sisi tupate kuwa matajiri kwa umaskini wake.Kwa hiyo huyu jamaa anadanganya.Ndiyo maana ya Injili ya msalaba Yesu Kristo alikuja kama asiye weza kuwawezesha wasio weza waweze,Aliteswa na kutemewa mate ili wewe usidharaulike,Pamoja na ukweli kwamba alikuwa Mungu ange amuru malaika wampiganie hakuna ambaye angemgusa,etc.Nyie watumishi wachumia tumbo ambao mnatumia loop holes za watu kutokulijua neno la Mungu kuwapiga hela.Kuna tofauti ya kuwa muhubiri na motivation speaker wa neno la Mungu.Mtume Paulo anasema sikuja kuwahubiria hekima za kibinadamu bali neno lenye nguvu ya Roho Mtakatifu.
@@olivermfinanga9387 Mimi siamini kwenye kujua neno ndiyo mtaji wa kuanzisha huduma na kuwaibia manyumbu kama wewe ambao ni sombasomba hamna upeo wa kudadisi neno kama Waberoya