Тёмный
No video :(

KWAHERI Marekani: SAUDI ARABIA yautosa MKATABA wa MIAKA 50 wa Petrodollar, Haya ndio yatatokea 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 365   
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 2 месяца назад
Gaddafi alitushauri vzr Waafrika kuwa na fedha yetu sasa mnaona tungekuwa mbaaali. Mungu Awarehemu . Amin
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 месяца назад
Rest in peace.wazungu walimuuwa kwasababu life yao ingekuwa mbaya
@user-ik4ki3zo8c
@user-ik4ki3zo8c 2 месяца назад
Mashallah 🇸🇦 saudia from 🇹🇿 tanzania
@nassorsalum9200
@nassorsalum9200 2 месяца назад
Siku sote dhulma haidumu kwa iyo madhalimu marekani na vinyago wenzake wanaenda kuanguka walaaniwe milele na milele aamin
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Marekani haiwezi kuanguka leo wala kesho
@mudhihirhamisi7686
@mudhihirhamisi7686 2 месяца назад
Hujielewi kwa yeye wa kwanza kuwa super power
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
@@mudhihirhamisi7686 inaweza ikaanguka ila sio leo wala kesho labda ni miaka 1000 ijayo
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz Ni kweli ila safari imeshaanza bro, dola imepigwa biti Urusi, na sasa Saudia, mdogo mdoogo aliselema alija"
@SylvesterPaul-my8ml
@SylvesterPaul-my8ml 2 месяца назад
​@@MathewNathan-yb2bzlengo co anguko la marekani acha mawazo mgando
@kassimbayuu
@kassimbayuu 2 месяца назад
Hii taarifa nilikuwa naisubiria kwa hamu sana, I kazi nzuri Saudia Arabic
@user-oc5wy5ut5g
@user-oc5wy5ut5g 2 месяца назад
Team viladmir putttttttiiiiiiinnnnnnnnnnn❤❤❤❤
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 2 месяца назад
Pomoja
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 месяца назад
tuko wengi
@Issamuemede
@Issamuemede 2 месяца назад
Mashaa Allah peace 🕊️🕊️🕊️🕊️ from Palestine
@user-nt5gk2gx6m
@user-nt5gk2gx6m 2 месяца назад
Masha llha congratulations Saud arabian
@Gody360
@Gody360 2 месяца назад
Marekan anaweza akamgusa pabaya na aka saini mambo bado sana😅
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 2 месяца назад
Mungu atatulea Amani dunia inshaallah vita za kila siku tomecoka
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 2 месяца назад
Hapa nilikuwa napasubiri sana katika maisha nipaone,tuombe uzima
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Dua la kuku
@PUTINN365
@PUTINN365 2 месяца назад
Safi sanaaa russia safi sanaaa saud arabiA
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 2 месяца назад
Ukiambiwa akili yako Haina akili usikatae
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 2 месяца назад
​@@tumainielmaruwa3148wewe kibaraka wa mashoga anguko lenu laja
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@tumainielmaruwa3148tena haina kabisa akili
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 2 месяца назад
Yakwetu yametushinda
@SylvesterPaul-my8ml
@SylvesterPaul-my8ml 2 месяца назад
Nn fact yko!!???​@@tumainielmaruwa3148
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 2 месяца назад
Mungu anabadilisha mwenendo wa dunia, kutoka uendeshaji kwa njia ya machafuko kuelekea kwenye insafu na uadilifu wa uchumi wa pamoja.
@rashidomar1558
@rashidomar1558 2 месяца назад
Genius comment
@salminijumasalminijuma6213
@salminijumasalminijuma6213 2 месяца назад
Hili ni anguko la dollar 🤑 Kwa marekani bricks inavutia mataifa mengi congratulations Putin
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 2 месяца назад
Ktk maisha yako umewahi kuiona pesa ya Mrusi?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@tumainielmaruwa3148tatizo hao wapambe wa urusi wanakurupuka tu bila kutumia akili.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 месяца назад
​@@tumainielmaruwa3148Kwahiyo unataka kusema je
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 2 месяца назад
​@@tumainielmaruwa3148utaziona2 ni swala la mda kwani ya china ulikuaga unaiona ila sasaivi si inaonekana!!😂😂😂
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 2 месяца назад
Waarabu wamechomoa betri😂
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 2 месяца назад
Kumbe marekani ahana lolote yy nijinatu ndo limebaki napenda ivyo kwasababu marekani anajiona sn mpigeni uyo marekani ajuwe km dunia sioyake
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 месяца назад
Safi sana hii nzur kabisa mwache marekani aanguke kiuchumi
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 2 месяца назад
Angaikanna uchumi wako usifurahie anguko la mwenzio hautafaidika na chochote
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 2 месяца назад
Akii
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Kwanza marekani haiwezi kuanguka kiuchumi
@SylvesterPaul-my8ml
@SylvesterPaul-my8ml 2 месяца назад
​@@MathewNathan-yb2bzjidanganye hvy hvy
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 2 месяца назад
amefanya vema kukataha kuongeza mikataba napenda ivyo mfalme mtarajiwa kukataha mikataba n'a inchi yenye wivu 💪💪💪💪💪
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 2 месяца назад
Kwani kunaumuhimu Gani kuachana vita na Saudi na Wahuth na kupata suluhu. Saudia halazimiki kumtegemea Marekani. Ufalme wa Mungu usimame. Amin.
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 2 месяца назад
MASHAALLAH MASHALLAH.... MOLA WETU MKUBWA SANA... SAUDIA MMEFANYA KITU KIZURI SANA KWA WADHALIMU HAO MAREKANI.. NA BADO HAO MAREKANI WATAANGUNGA KAMA MAJI TIRIRIKA MABONDENI...
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 2 месяца назад
Dola kwisha hayo nimatokeo yakuingia vitani naputin imekula kwao hongala sana nimeapongeza kahilo
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 2 месяца назад
Big power big contractor kuanguka kwa usa 🇺🇸 iyo ndoto sio jana wala juzi wala kesho uyo mtoto watamlaumu zaid maana American 🇺🇸 hainaga ujinga subiri wamuashie moto Mwarabu maana usa 🇺🇸 haiwezi kushindwa na mtoto Tena mtoto mdogo kwa usa 🇺🇸
@eusebionaungu1585
@eusebionaungu1585 2 месяца назад
Shoga😂😂😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 месяца назад
Mbona huyo marekan hapelek jeshi Ukraine
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 2 месяца назад
Halafu saud kwenye kujilinda ni wabovu sana
@academicsite8524
@academicsite8524 2 месяца назад
​@@sultanbakary4292atie mguu Putin ajinyonge, silaha tu anazotoa Putin anataka ufa...😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@eusebionaungu1585shoga na wakati unatumia you tube yake na nchi yako inakopa huko.
@allysimu6856
@allysimu6856 2 месяца назад
Nimekuelewa Sana mchambuzi kilalaheli wote wanaopambania swalaili mwenyezi mungu awalinde na hila za wamaghalibi ewee mwenyezi mungu walinde warussi walinde wa arabu walinde wa Africa
@Joshuajereman
@Joshuajereman 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu 2 месяца назад
Brother Ally M na brother Sky Kwetu bado Sanaa kwasababu GDP ya Span au California ipo juu ya GDP YA AFRICA CONTINENT pamoja na mikoa yake 54.... SISI bado sanaaaa
@boaziamos1224
@boaziamos1224 2 месяца назад
Fata uhalisia broo hao wanatengeneza wenyewe hyo mifumo lakn fuatilia uhalisia wa maisha yao
@user-nt5gk2gx6m
@user-nt5gk2gx6m 2 месяца назад
Pesa zao watanunuwa madini kutoka inchi za africa
@eliudkazoba5170
@eliudkazoba5170 2 месяца назад
Kazi nzuri BRICS kwa ushawishi wenye tija.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 2 месяца назад
Safi sna
@Kidamui
@Kidamui 2 месяца назад
Narrator is on next level keep it up Dj ASMA
@samwelipaul9014
@samwelipaul9014 2 месяца назад
Siyo DJ SMA ni Ally Masubi
@Kidamui
@Kidamui 2 месяца назад
@@samwelipaul9014 aloanza kuongea ndo ananoga
@daprince7545
@daprince7545 2 месяца назад
Shida kubwa ya viongozi wetu ni uporaji wa pesa za umma, ubinafsi, ukabila, endapo viongozi watakua na lengo. Basi wangewekeza pesa za umma kwa uzalishaji wa bidha na vyenginevyo. Lakini shida ulafu mwingi viongozi na kujali maslai yao.
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 месяца назад
Alhamdhulillah 🤲Hapo ndio ilipokua napataka💪💯✍️
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 месяца назад
😂✊🏿✊🏿✊🏿🫶🏼
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 2 месяца назад
Its good move but trust me hii itakuwa ni pigo kwa uchumi wa dunia maana dunia haijajipanga vzr kupambana na dora.. kama vita ya mrusi na ucrain mafuta yalikuja juu kama anapigana mmareken kumbe ni vikwazo tuu sasa kutotumia dora ni kuivamia moja kwa moja marekani coz hii ndo silaha yake kubwa i think kuna jambo si zuri marekani ataplan dhidi yao vzr wajiandae kisaiikolojia like putin yan kupigana na dora you must hv fugnatve plans
@Luzwiro27
@Luzwiro27 2 месяца назад
Think twice mataifa kaza mpaka wanafikia hatua ya kugomea huo mkataba wameshapata njia mbadala mfano urusi iran wamepigwa vikwazo vingapi lakini ndio kwanza wanazidi kusonga mbele
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 месяца назад
Apo wajiandae kwa vikundi vya #kigaidi 🇹🇿🇷🇺🇮🇷🇸🇦
@uwimana6533
@uwimana6533 2 месяца назад
Naniwisilam wenzie 😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 месяца назад
Hiyo ni ardhi takatifu pale maka hukutatokea vita mpaka Dunia inaisha Ile ni ardhi tukufu
@academicsite8524
@academicsite8524 2 месяца назад
​@@sultanbakary4292 Jidanganye😂😂😂
@warshysaid8564
@warshysaid8564 2 месяца назад
​@@academicsite8524 ayo ni maneno ya Allah
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 месяца назад
@@academicsite8524 hakuna shoga yoyote yule dunian atavamia pale na akabaki salama
@dominic4727
@dominic4727 2 месяца назад
Safi sana
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 2 месяца назад
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@barakabahati6600
@barakabahati6600 2 месяца назад
Bora E A C waharakishe na sisi tuwe na hela zetu Africa mashariki 💪💪💪💪
@Timothymchomi
@Timothymchomi 2 месяца назад
taka msitake America is the best waarabu wenyewe wanatambua so there is nothing to to worry watanyooka tu
@Pablolookman
@Pablolookman 2 месяца назад
umepigana vita ngapi hiyo marekani unaempamba mwambie apelekee jeshi lake Korea
@mucci_AI
@mucci_AI 2 месяца назад
Marekani n dude kubwa sana
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 месяца назад
Ukubwa ni wa Mungu
@MauaLucas-st6be
@MauaLucas-st6be 2 месяца назад
Ukiwa mkubwa na hauna.pesq we ni umbwq tu
@tyivbra
@tyivbra 2 месяца назад
Wakwanza Leo jmn naomba like zng😂
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 месяца назад
Congrats to MBS❤
@biasharaonline693
@biasharaonline693 2 месяца назад
Ni kwelii?!
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
asante sana Ally Masudi kwa maelezo. sie tuna rasilimali nyingi sana ambazo nchi hizo wanaitaji. sema tuu nchi zetu tumekuwa waoga na wao kututawala. Ona Congo- malighafi inayoitajika mno duniani ambapo nchi tajiri wao ni silaha tuu..jmni sie mmh
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 2 месяца назад
Marekani sasa wame fikia pabaya, mzee PUTIN kasha hanza kufanya mambo
@ashahania5207
@ashahania5207 2 месяца назад
Asante M' bin Seleimani. Simamia uamuzi wako.
@nakivonamediatz
@nakivonamediatz 2 месяца назад
Matumizi ya mafuta yanapungua kwenda kwenye umeme
@AbdulhalimYusuf-bc6rj
@AbdulhalimYusuf-bc6rj 2 месяца назад
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu
@giftyeliasy8112
@giftyeliasy8112 2 месяца назад
Masha allah yaan hii n habar njema saudia wamefanya vyema🎉
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 2 месяца назад
Duuuuh!!! Hiii balaaaaa,marekani imepotea sasa
@masoudal-abry8038
@masoudal-abry8038 2 месяца назад
Good very good.
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 2 месяца назад
Msisahau kuwa saudia amejiunga bricks kwahiyo hii ni mipango ya Russia
@kimodomusic9760
@kimodomusic9760 2 месяца назад
Good
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 месяца назад
Saiv utaskia saudia ni adui wa marekani maana wao wanataka ufate wanavo taka wao tu usi wapinge kwa chochote kile
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 2 месяца назад
Uchambuzi maridhawa maboresho kdg kwenye picha inshallah mko vzr lkn
@hallymahmohamed3516
@hallymahmohamed3516 2 месяца назад
Safi sanaaaa ❤😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 месяца назад
Safi sana ❤🎉🤜👍
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 2 месяца назад
Kama kweli JAZAA HUMU LLAH
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 месяца назад
Tatzo hili taifa laongozwA na wanafiki kuptiliza Hayo tunayoshuudia na ujinga wa suudia Anawatajirisha wamarekan Alaf marekan inawAfadhiri waisrael iwauwe waarabu
@wilfredmichael1909
@wilfredmichael1909 2 месяца назад
Hapo umenifungia sana
@francemlelwa9811
@francemlelwa9811 2 месяца назад
Vikwazo vya uchumi is typing😂😂
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 2 месяца назад
Good analysis with arguable facts
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Hii angepewa dj smaa ndo aichambue vzur masubi bado achimbui mambo ipasavyo
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 месяца назад
Tuko wengi 😂😂😂😂
@ce-08
@ce-08 2 месяца назад
Hapo sasa huenda kukatengenezwa Gari za umeme kwa wingi Ili kuuwa soko la mafuta
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 2 месяца назад
Hapo saud asipotulia atapata changamoto sana, magari ya umeme na pia marekan atatumia uas hasa ukizingatia saud bado anamtegemea marekan kwenye ulinz
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@emiliankomba5217kwanza wana mpango ya kuuwa matumizi ya mafuta yanaharibu mazingira.
@SalumMohamed-ph4yn
@SalumMohamed-ph4yn 2 месяца назад
Kwahiyo unataka kunambia mafuta hayakua na kazi daima?
@ce-08
@ce-08 2 месяца назад
@@SalumMohamed-ph4yn yatatumika lakini kwa uchache yakija magari ya Umeme yatatumika sehemu nyingne huko
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv 2 месяца назад
sio kweli we muongo
@kabeza_itech
@kabeza_itech 2 месяца назад
Asante sana sky kwa uchambuzi
@alibinali_
@alibinali_ 2 месяца назад
Good new
@AliKaroyo
@AliKaroyo 2 месяца назад
Mim Simuamin Saudi Arabia Ata kidogo Mpaka nione Amebaki na msimamo uwo uwo Mwaka Mzima Ndio nitaamin ila Kwassa Simuamin Saudi Arabia Hanaga Msimamo
@jut1161
@jut1161 2 месяца назад
Hili neno
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 2 месяца назад
Dio
@Timothymchomi
@Timothymchomi 2 месяца назад
kwenye kubadilishana pesa na mafuta hasa kwa tz na saud , mtu mmoja tu ndo alikuwa anaweza , si mwingine bali JPM so kaa kwa kutulia dollar litaendelea kutumika kwa kila kitu mtake msitake
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Sasa hawa saudia ndio wamemtia adabu marekani kwa ushetani watu wa pale palestine
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 месяца назад
Naa'am hili ni Pigo kuwb xana km litafanikiwa Na Marekani hawez kukubali kirahisi
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 2 месяца назад
Hapa pesa ya mchina ndio itakua mmbadala wa dola maana waafrica wengi hununua vitu vya mchina
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Saudia atanunulia urusi kwanza urusi ndio ana silaha nzuri kuliko marekani
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
S 300 na S 400 imeshapigwa na kuteketezwa kabisa crimea na ndani ya urusi.Mwenye silaha bora ni America.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Hivi nchi yenye uchumi bora Duniani iwe na silaha dhaifu
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 месяца назад
Haiwezekani kamwe 🇺🇸 🇺🇸 USA DOLLARS ni pesa rasmi inayo tambuliwa naku tumika na UNITED NATION
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 2 месяца назад
Mafuta hauziwi tena, yatakuja ni milki ya urusi
@maulidrehani
@maulidrehani 2 месяца назад
Kiukwel saudia wamefanya poa lkn hofu yangu saudia itasaini tena sabab ya utegemez wa usalama sabab hila za mmarekani zinajulikana ajiandae kwa regime change waasi na vita visoisha plus vikwazo
@kombatv2069
@kombatv2069 2 месяца назад
UCHAMBUZI MAKINI SANA MR MASUBI
@NiniOman-lx5lg
@NiniOman-lx5lg 2 месяца назад
Alhamdulillah
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 2 месяца назад
Tuombe uzima kwani yajayo yanafurahisha mno, lakini kuhusu hili tulipe muda, muda umebeba majibu ya kila kitu, ila Saudi Arabia ni kibaraka mtiifu wa mabeberu Marekani hivyo ana sura mbilihawaaminiki kabisa, muda ukifika utaongea tu.
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym 2 месяца назад
safi sana saudi arabia achana na mabepari wa kimagharibi waafrika hapa tuna cha kujifunza
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Ukiwauliza wasaudia wote wanatamani kuishi marekani kuliko hapo Saudia au Russia au China
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 2 месяца назад
Kweli kabisa kaka aly lakini ndio juzi viongoz wetu kwenye bunge la bajeti wamekataa manunuzi ya ndani kufanywa kw dolaa sa sijui wanamyazamo gani hapo
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 2 месяца назад
Iyo saudia itaanguka mda sio mrefu maana warabu hawajakuaga na akili timamu subirin Njo mtajua maana ya dollar 💵 ya usa 🇺🇸
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 месяца назад
Hivi unavyojua wewe ni pesa gani yenye nguvu duniani?
@Awatee
@Awatee 2 месяца назад
Weye mwenye akili vzr Umeona kuona mwanaume kwa mwanaume ndio akili
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@IbniAbbas-yz3ktdollar ndio inatumika sehemu kubwa duniani.
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz sio dollar tu ambazo hutumika duniani kuna pesa nyingi zina tumika tena zina nguvu zaidi ya dollar zako
@Yayouselim
@Yayouselim 2 месяца назад
Ali masubi umesoma Wapi international finance bhwana😂 S
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 2 месяца назад
The change has come Please take care dear brother😊
@lombardocrich6177
@lombardocrich6177 2 месяца назад
Tusubirie vita ya Dunia 😢😢😢😢😢
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 2 месяца назад
Hakuna kwaheri yoyote kwa Marekani yani USA iyumbe kisa huo upuuzi mdogo tu yani Media za Tz za kufala mnapenda vi Habari vya hovyo vya kuisema Marekani 😊😅 USA mwnyewe hata muda hana wa kuwaza.
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 2 месяца назад
Safi sana huu ndio uzalendo
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 месяца назад
Na wenye akili ndio waone nchi km Saudia kuna hekma ndani yake
@Denis1-t3u
@Denis1-t3u 2 месяца назад
Bado haja sign tulia kwanza kwa Marekani achomoki 😂😂😂
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 2 месяца назад
Shoga wewe
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 месяца назад
Wahuth watauziwa silaa na ndo mwisho wao
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 2 месяца назад
Elewa mambo wewe,Hujui kama marekan anapambana na wahouthi yemen??? Atawauziaje silaha???
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 2 месяца назад
Kwan wewe unaongea hvo kama nana wa marekan???
@Denis1-t3u
@Denis1-t3u 2 месяца назад
@@radjamtaki5597 😁😁kama ambassador 😁😁😁
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 2 месяца назад
Saudia ni vibaraka
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 2 месяца назад
Wamejichanganya😂😂😂😂😂
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 2 месяца назад
Hapo sawa wajitambue
@AbdulhalimYusuf-bc6rj
@AbdulhalimYusuf-bc6rj 2 месяца назад
Dj smaa atuandalie makala inayohusu huu mkataba wa saudia na Marekani na ziara ya putin katika nchi za kiarabu inaonekana ziara hiyo imezaa matunda mimi Ustadh hamad kutoka pemba
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Titanic nyingine inazama pole pole, walipata nafasi lakini wakaitumia hiyo nafasi kuchapia wengine
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 2 месяца назад
SAUDI ANATAKIWA KUWEKEZA BANK HAPA KAMA VILE CHINA UNAWEKA SHILINGI UNAENDA CHINA UNACHUKUA YUAN
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Hela ya china umeiona wapi
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 2 месяца назад
Hawa jamaaa waarabu sasa wana jambo lao kwanza viza yao kuipata siku zijazo itakua sio kirahisi kama sasa, lkn pia wanaiunganisha sasa kama ile ya schenngen wow em tuangalie itakavokua badae
@OlaisMoses
@OlaisMoses 2 месяца назад
Nachoshangaa mmarekani anavopigwaa vita ndio dola inapotea na kupanda bei Sanaa sijui dunia inakwama wapiii
@AbdulhalimYusuf-bc6rj
@AbdulhalimYusuf-bc6rj 2 месяца назад
Kwa hakika mabadiliko katika hii dunia yana kuja kwa haraka sana namuomba dj smaa atuandalie makala inayohusu huu mkataba wa saudia na Marekani na ziara ya putin katika nchi za kiarabu inaonekana ziara hiyo imezaa matunda mimi naitwa Ustadh hamad kutoka pemba
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 2 месяца назад
Ndoma raia wa us wanaela sana sasa inabidi Dunia iamke sasa Kila mwenye pesa yake iwe nathamani
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 месяца назад
Kwani mpaka soudi ndio Wana mnafuta Nigeria ina mnafuta mazuri Tu na pengine yapo sema wote watabafilika
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 2 месяца назад
Tatizo siyo mafuta uwe unaelewa nasiyo kukulupuka tatizo nikutumika Kwa dollar katika ununuzi wa mafuta maana yake pesa yoyote itumike pesa ya china, Tanzania Kenya n. k
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 месяца назад
Saudia anamafuta na rasilimali watu pia, maana kila mwaka waislamu dunia nzima kutoka ktk kila nchi wanakwenda kuhiji pale makka, na gaharama za kwenda huko utumika dollar ndiomaana dollar hatakama ukaikataa vp kwamamilion ya waislamu dunian kila mwaka inafikia hatua nilazima waitafute dollar ili waende makka, sasa saudia kitendo cha kuikataa dollar na kuiruhusu pesa yoyote ile unafikilia dollar itaanguka kiasi gani ?
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 месяца назад
Hana ajualo Hayo mafuta ya nigeria kwa cku ni bpipa hata lak havifi Saudia ndio nchi ya pili dunian kuzalisha mafuta safi yakwanza urusi Kbl ya vkwazo ilikua inaingza sokon pipa milion 12 Jitu lingn bichwa debe tupu Ajisemea tu Haya nigeria yk niyangap Unapozungumzia mafuta ya suudia unazungmzia uchumi waduniA
@Abdulmajid79072
@Abdulmajid79072 2 месяца назад
Dollar dead 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 месяца назад
Itachukua mdaa sn wamarekani wamejipanga mdaa mrefu sn anguko lao litachukua mdaa
@user-ny6sc9js3k
@user-ny6sc9js3k 2 месяца назад
Africa nasisi tuamke tuache kubanwa banwa na mamikopo umiza. Tuoneshe nia mrusi yupo atatupa sapoti
@EmayNgayda-in9gx
@EmayNgayda-in9gx 2 месяца назад
Inafaa kuwe na world currency value against local currency value kurahisisha biashara duniani.Mataifa yajadili
@ashahania5207
@ashahania5207 2 месяца назад
Afrika ina vitu vingi sana ambayo msaaudirabia anavihitaji .
@dominic4727
@dominic4727 2 месяца назад
India china wamekubaliana ku fanya biashara kwa pesa zao hili ni jambo zuri
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 2 месяца назад
Ni vema na sisi tukawa na sarafu moja if not Africa basi East Africa
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 месяца назад
hii itawaathiri watu wa marekani pamoja na nch zinazotegemea dola
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Ni nchi gani haitegemei dollar na ina uchumi mzuri
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 месяца назад
@@FridayMwassa ngoja ni kupe link ya historia ya dola itakusaidia
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 месяца назад
@@FridayMwassa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yolCkHT1S_o.html
@AmosMabula-bf1dr
@AmosMabula-bf1dr 2 месяца назад
Puting vita yake akl nyng nguvu kdg
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 месяца назад
Sjui km wamekufaham wahusika
@IsmailIbrahim-yy3ls
@IsmailIbrahim-yy3ls 2 месяца назад
🎉
Далее
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 5 млн
HUKUMU JUU YA GAZA (AMOSI 1 : 6 - 8).
16:43
Просмотров 205 тыс.